Najikuta kubarikiwa sana nikimsikiliza Joel Nanauka, I wish one day aje Tanga......Dada Irene Big up kwa kumuita huyu mtu hapo..naomba umuite tena kwa ajenda nyingine......DADA IRENE PLEASE PLEASE HUYU MTU PLEASE USIKOSE KUMUITA TENA ANAMADINI MENGI SANA
Kaka Joel nimekuelewa Sana Yan,,,Yani hapa mim nilipo ni Kwa baraka za mungu ,,na jinsi ninavyowafuatilia watu waliofanikiwa,Asante mungu,,Asante kaka Joel kwakuniongezea maarifa
Naludia kwambia Dada kamgisha na kupenda Sana umeniletea mwalimu nimeanza kumfatilia 2020 kanibadilisha vitu vingi marafiki,fetha na nithamu Hadi watu wanichukia nilio wambia tabia zao
Napenda sana kumsikiliza Joel kwenye masomo yake, pia namkubali sana kwa experience zenye anawapa watu wengine. Mungu azidi kumbari na Mungu anibariki na mimi.
Wao kumbe Joel Ni rafiki yangu kilabsiku lazima nianze naMUNGU alafu Joel nanauka au Kris Mauki ndio watu wangu wa kwanza,Asante Ailin kuniletea Rafiki,
kipindi kizuri, nimekipenda, shukran Mtangazaji,shukran Mgeni Mwalim Arthur, ahsante SnS...kuna kitu Arthur kaongelea nimependa mno, kwenye dakika ya 29 hadi dak ya 31...Nimependa mno nondo hiyo,msumari umeugonga kabisaaaaaaa::::::AhSaNtE
Huyu MH. Joeli Nanauka Anamuchango Mkubwa SANA Tanzania na Dunia Nzima Asante SANA Pia Kwa Kutambua Mchango Wake Itakuwa Vizuri Muenderee Kutuandalia Vipi Vingine Zaidi Vizuri Ana Elimu Nzuri SANA Kwenye Na Wengine Wote Munao fanya Nao Vipindi Nawapenda SANA
Kipindi chenu kimenigusa moyo kbs! Nimeelewa tofauti ya marafiki!. Joe Nanauka Mwalimu aHodari wewe! Nilijifunza mengi zaidi. Una Ufahamu kuhusu mambo mengi kbs. Mungu akubariki. Niko nchini Rwanda.
Toxic people ni watu wabaya Sana ,,,wanakutesa mnoooo but kila ukitaka kuondoka unashindwa kuondoka ,,hasa kwenye ndoa za siku hizi duuh,, MUNGU aingilie Kati✍️
Safi sana ktk kipindi kizuri kwa mwaka huu ni kuwa hapo mjengoni na kaka Joel nanauka, coZ nabalikiwa sana kupitia yeye Mungu amjalie maisha marefu sana
Wanapaswa watu kama hawa iwe ndo wanapata nafasi zaidi katika vyombo vya habani anajenga anaponya anatoa ushauri yani ni kioo bora katika jamii yetu ya sasa
Nakuelewa xana brother Joel nanauka mungu akubark xana
Fikiria kama haya maarifa halafu ndo yaongoze nchi yetu!!!! Mungu akubariki sana kaka sina cha kusema ila naelewa sana mafundisho yako🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Am very happy and happy niko blessed sana na elimu niliyopata Mungu azidi kuwabariki kwa vipindi vingine vizur vya kuelimisha
Najikuta kubarikiwa sana nikimsikiliza Joel Nanauka, I wish one day aje Tanga......Dada Irene Big up kwa kumuita huyu mtu hapo..naomba umuite tena kwa ajenda nyingine......DADA IRENE PLEASE PLEASE HUYU MTU PLEASE USIKOSE KUMUITA TENA ANAMADINI MENGI SANA
Hii irudiwee Da Irene❤
kaka uko vizuri nabarikiwa sana
Hongera sana br... Joel uko.. Sahihi .... barikiwa Sana kw .. mafundisho yko 🎉🎉🎉❤
Sis Irene kwa kweli Vipindi vyako VINAFUNDISHA SANA. Asante kwa kutuletea Brother Joel.
Mwamba Yuko vizur sana mungu alipandikiza kitu sahihi Kwa mtu sahihi anaelimu ambayo ukiifatilia inamwelekeo mungu akubaliki joel
Kaka Joel nimekuelewa Sana Yan,,,Yani hapa mim nilipo ni Kwa baraka za mungu ,,na jinsi ninavyowafuatilia watu waliofanikiwa,Asante mungu,,Asante kaka Joel kwakuniongezea maarifa
Joel Mungu akulinde mafundisho ni mazuri sana.
Naludia kwambia Dada kamgisha na kupenda Sana umeniletea mwalimu nimeanza kumfatilia 2020 kanibadilisha vitu vingi marafiki,fetha na nithamu Hadi watu wanichukia nilio wambia tabia zao
Nafurahi kusikia hivyo, keep it up.
Joel is so good 👍tunaomba tuletee Dr Elline v.d waminian
Namkubali sana pia
Napenda sana kumsikiliza Joel kwenye masomo yake, pia namkubali sana kwa experience zenye anawapa watu wengine.
Mungu azidi kumbari na Mungu anibariki na mimi.
Thank you so muxh sijutii kwa mamuzi nililo fanya. Because leo hii sijui nigekuwa na maisha aina ngani. Its wise to make concreat decission.
52:13
Wao kumbe Joel Ni rafiki yangu kilabsiku lazima nianze naMUNGU alafu Joel nanauka au Kris Mauki ndio watu wangu wa kwanza,Asante Ailin kuniletea Rafiki,
kipindi kizuri, nimekipenda, shukran Mtangazaji,shukran Mgeni Mwalim Arthur, ahsante SnS...kuna kitu Arthur kaongelea nimependa mno, kwenye dakika ya 29 hadi dak ya 31...Nimependa mno nondo hiyo,msumari umeugonga kabisaaaaaaa::::::AhSaNtE
Asante Sana Joel kwa elimu nje ya darasa
Huyu MH. Joeli Nanauka Anamuchango Mkubwa SANA Tanzania na Dunia Nzima Asante SANA Pia Kwa Kutambua Mchango Wake Itakuwa Vizuri Muenderee Kutuandalia Vipi Vingine Zaidi Vizuri Ana Elimu Nzuri SANA Kwenye Na Wengine Wote Munao fanya Nao Vipindi Nawapenda SANA
Shukrani sana Baraka
ahsantee sana joel nanauka umeniongezea kitu kwenye kujenga urafiki na watu na kujua maana halisi ya urafiki
Hello.Asante mwanahabari kutuletea mwalimu Nanauka nahitaji kitabu chake nitakipataje
Tuna mtaka pia Eric shigongo master
Jammaa yuko na madini mazuri sana.
MUNGU azidii kukutunza ,najifunza mengii brother Joel be blessed
MUNGU azidi kuibariki huduma yako ,ili huduma ambayo MUNGU amekupa izidi kuwafikia watu wengi🙏🇹🇿
Asante sana...kk.. Joel nimebarikiwa..sana.... hongera nimejifunza 🙏🙏
Kipindi chenu kimenigusa moyo kbs!
Nimeelewa tofauti ya marafiki!. Joe Nanauka Mwalimu aHodari wewe! Nilijifunza mengi zaidi. Una Ufahamu kuhusu mambo mengi kbs. Mungu akubariki. Niko nchini Rwanda.
Mungu akubarikiiiiiii saaaana
🎉 Asante sana ,nimejifunza kuhusu urafiki aina za marafiki, muda na sababu za kuendeleza urafiki au kuvunja urafiki.
Asante kwa shule tamu sn mwalimu,nimejifunza kitu.
Toxic people ni watu wabaya Sana ,,,wanakutesa mnoooo but kila ukitaka kuondoka unashindwa kuondoka ,,hasa kwenye ndoa za siku hizi duuh,, MUNGU aingilie Kati✍️
Point yangu jmn naona umeifanyia kazi big up Joel nanauka
Bro kweli wewe ni Zaidi ya mwalimu thanks so much
Joel you are the best .
Thank you Irene for hosting him.
My Coach Joel Nauka Mungu ampe maisha marefu nimejifunza vingi sana kutoka kwake much love Joel ❤❤❤❤❤❤
Asante kaka ww WA pekee mungu akueke sana
Nakuelewa sana kaka, mungu akubariki sana na wewe na familia Yako. Endelea kutuelimisha
Asantee,Sana nimejfunza mengi,ambyo sikuyakujua🙏♥️
Lesson learnt......fixed kwakweli....asante sana
Ubarikiwe sana najifunza mengi kupitia wewe na umebadirisha maisha yangu
nawafatiliya kutoka bunia Congo drc
Joel is a very brilliant guy .
Thank you.
Asanteni sana, naona napata faida kubwa sana.
Watu kama hawa ni muhumu sana wanatakiwa watafutiwe kipindi maalum ili watueleweshe zaidi
Shukran sana brother joeli nanauka daaaa kuna kitu kikubwa sana umenipatia
God bless you
Asante dada Irene nmefurahi Sanaa jamaniii
Nakuelew sana kaka joel kwa kutuelimisha
Asantee sana mwalimu
MORE age more succes Mr NANAUKA you inspire me alot
🎉🎉Joel blessed mentor
Aiseeee Joel ni mmoja tu ❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤
Holy Spirit, Amen 🙏🏼
Asante sana kaka Joel, dada Irene na wahusika wote, 🙏🏼 ❤. TUPO PAMOJA!
Upo vizuri
Asante sana kiongozi
Uyu Mwamba Hatari Sana
Napenda mafundisho yako kwakwel Kuna hatua umeniongezea
Asante sana mental wngu ubarikiwe sana
Joel namukubali Sana
Asante kwa kuongeza kitu kwenye ubongo wangu
Mm nashukuru kumsikia huyo mwalimu mzuri sana najifunza mengi juu yake
Kaka Joel Arthur Nanauka❤❤❤
Thank you brother Joel na irene
More than a teacher thanks bro for the speech
Ahsante sana
I really like Nanauka namsikiliza sana na napenda anachokifanya,Hakika tumefixkika but hatujatosheka please mrudishe tena ❤
Namkubali sana Joel Nanauka
Jamaa ana madini sana.story kama hizi tanzania hazina nafasi maana umbea na picha na video za uchi zimeteka akili za wengi.
😂😂😂
Mambo mazuri sana
Kabisa kaka
Somo zuri mbarikiwe
Asante sana ni mtumishi muhimu sana
Thank you very much Joel and mtangazaji,
Bro Joel big up ulicho kizungunza ni ukweli mtupku god bless you ma brother
Certified Life Coach Joel Nanauka 🙏
Asante nimepata kitu
Shukrani sana, Irene kwa kipind kizuri sana❤
nina rafiki yangu kila siku lazima anisalimie asubuhi eventhough i dont contribute anything kwenye maisha yake. hii inaitwaje kitaalamu
Kaka mungu akubaliki. Kweli unacho sema
Always my mentor Joel
Asante mwalim
Nimepata faida kubwa sana mbarikiwe
safi sana sns! vipindi vyenu vina elimisha sana💯
Kaka nakuerewa sana mafundisho yako yawe chachu kwakira mtu
Yaani uko sahihi kbs
U n asema ukweli sana.😊
Nilikua nasubiri sana kumuona kaka Joel nanauka ❤❤❤❤asante sana
Joel nanauka
Brother uko good nimekuelewa kaka
thanks so much you changed my life
Mwalim mzur sana amekuw mbarak mkubwa kwangu
Be blessed sanaaaaa
Shukrani inategemea mnaongea nini nikujenga ama ni kubomoa , ukweli ni kwamba marafiki lazima uchague ............
🎉🎉🎉 Asante sanaaaa
Facts because maneno yanatujenga vilivyo.kuleta matokeo chanya kwenye jamii yetu. 20:15
Yupo so practical, hana hadithi za uongo. Namkubali sana.
Kunamtu kanibia tu juzi et kanitoa mbali duh nkashangaa sana inamaana anamzidi adi Mungu alie niumba yaani ndoa iziii 😊😅😅😅
Thanks for this interview ur answering my question
Safi sana ktk kipindi kizuri kwa mwaka huu ni kuwa hapo mjengoni na kaka Joel nanauka, coZ nabalikiwa sana kupitia yeye Mungu amjalie maisha marefu sana
MashaAllah sema hili jamaa genius sana
Cogratulation to it im apretiet on it
True meaning of life coach 🔥🔥
Brother your so deep endelea kutupa madini tupate kudiscover what do we have especially in part of friends to we have and their impacts
Daaah we joel bhn n level nyingne kabisaa wala usifananishwe na watu wengine, wengine watafanya kwa nafas yao lkn kumfikia Joel bado sana
Namkubali sana
Intelligent man.
Wanapaswa watu kama hawa iwe ndo wanapata nafasi zaidi katika vyombo vya habani anajenga anaponya anatoa ushauri yani ni kioo bora katika jamii yetu ya sasa