Bahati nzuri nimeangalia hii interview kupitia WI-FI, Naweza sema ni mojawapo ya interviews mbaya kuwahi ziona. Mbali na majigambo sijaona content ambayo inaelezea footprints zake, hicho ndicho audiences walikitaka. Bora angesema ka trade forex au crypto currency tujue moja, au alipata mentor aliyempa connection za uhakika za import products za China...
Maisha ni Siri nzito, mwingine anasema aliuza mihogo, mwingine vitumbua na mwingine mambo mengine ukiyafuata utajikuta upo somaria, anyway ni ya kuangalia tu hayo mambo ya familia masikini aka fukara
Nafikiri angeweza kueleza namna ambavyo amerweza kupambana kuliko kuelezea maisha aliyonayo. Watu wanapenda kusikia steps za kufuata ili na wao wajifunze.
Congratulations dada masipetii uko vzr # ni maamuzi magumu xana kuacha kazi na kujiajiri ukiamn ndo Moja ya njia ya kutoboa kupitia biashara # keep going # uthubutu, kujituma, na nidhamu ya pesa ndo imekufanya uwe hapo pia baraka za mungu kupitia wazazi # kuhusu biashara ameshasema yey amejikita kwenye kuuza bidhaa za kuwasaidia wanawake Kwa wanaume katika mambo ya uzazi na amesomea pharmacy # hayo mengne ni additional au feeling zake
Cha msingi hapa ni kila mtu apambane tuu, mafanikio ya mtu yakupe wivu wa kupambana ili kuyafikia malengo yako. Na watu mjifunze pia sadaka huwa inanena !! Kama Mungu ndiye aliyemuwezesha na akuwezeshe wewe na mimi pia !! Tupambane tumheshimu Mungu na tutafute hela !!
Muongopeni mungu sema ukweli kujenga sawa umuli na mda wa kazi hauendani agekuwepo magufuli ulitakiwa ukanguliwe biashara yako acha uongo .unabiashara nyingine umeificha
Huyu dada alitaka kunitapeli 1 million ila nilimshitukia huyu ni tapeli kila siku akaunti mpya kumbe ndo pesa zetu unajengea nyumba ukishatuma tu pesa unabrokiwa😂😂😂😂
Hongera sana masipeti..ila kitu kinachonikwaza ni kuweka account private ya instagram..ni bora ungefungua ndio ungepata watu wengi zaidi..Anyway kuhusu jiko la nyumba unasema ni quality sana yes ni zuri ila jiko dogo sana..jiko langu ukiona mamy..its very big..kubwa la kutosha..kibongo bongo umeweza sana..hongera..
Wohii huyu dada ni tapeli alituita makumbusho melinium tower atupe mchongo wa kujiajiri akatuambia tununue dawa kwa laki 3 tukauze tutapata faida ya laki sita na atatusapoti kupata wateja mweee mweeee sio poa mjoja wetu alitoa hela yake hakupaata wateja wala hakuuza chochote na pale alipo kuwa anasema ndo offisi yake hakumkuta jamani ninacho wambia ninakijua msije mkamtafuta huyu dada ni mwiziiiiii
Dada mi naomba uniwezeshe ninauhitaji wa pikipiki ili niweze kutafuta riziki make kazi ninayoifanya ya kubeba zege imenichosha dada yangu kama waswahili wasemavyo kazi na umri kama itakupendeza nitashukuru sana Kwa msaada wako undugu siyo kuzaliwa bali ni kufaana shalom
positive chanya ndio vizuri, negative ni hasi naona unayachanganya, kikubwa ninachokuunga mkono ni fungu la 10, nimefanya kazi mwaka mzima sikujua mshahara wangu ulipokua unaenda wote ila baada ya kutoa fungu la 10 miezi miwili tu nimeona mafanikio makubwa, hilo nakuunga mkono
Jaman msidanganyikeeeee. NETWORK MARKETING HIZI HUWA WACHACHE HUTOBOA ILI WAWE AMBASSADOR KUSHAWISHI DAGAA MAANA DAGAA NDIO WANALETA HELA KWENYE MTANDAO
Sema Maisha ya kusema umefanya hiki na hiki naonaga HainA maana na sio Kwa ubaya kozi hatupendani ataekupenda kwenye hii dunia NI mamako Tu lkn hawa WENGINE inabaki Kua NI Vita Kua MAKINI bidada Acha kuanika unavyovimiliki ..NI hayo Tu ✍️✌️
Very inspiring hiz kaz za medical za kidwanz sana unasoma kwa garama na mda mrefu unakuja kulipwa lak 3😂😂😂😂😂 usipokua makin utaishia kununua kadeti na iPhone tu
Jamani watu wa mkoa wa Kilimanjaro wanajenga hatari jamani wanajenga majumba y hatari wanashindana tokeni mikoani mingine nendeni mkoa w Kilimanjaro mjifunze huko
Na mimi nina fanya mtandao na hayo nimefanya lakini Nimekukubali sana wewe ni mwanamke shujaa ...na una hekima sana sio kuwa na pesa ndio uishi ovyo...hawo mentor wako utakuwa bora zaidi yao ...Nature yao wewe utafanya zaidi
Asalaam aleykum huyu dada muongo sana na ni mwizi wallah katuibia pesa huyu dada karibia milioni mbili tulitaka dawa za uzazi na matatizo mengine nasi tukamtumia pesa wallah naapa na Mie muislam huyu dada hatujamsamehe ataenda kutulipa kesho AKHERA in sha Allah Yaani Ata siamini Kama kachukua pesa ekesha haja tutumie dawa kila nikikumbuka roho inaniuma sana Allah atatulipia kwa huyu dada mwizi anaibia watu pesa kuhusu dawa munaongea na Sim uzuri unatuma pesa ekesha hatumi dawa wala nn izo Mali za utapeli nenda uko bonge unanenepa kwa Nguvu za watu looo 😢😢
habari dada samahani naomba kupata mawasiliano yako jmn nami nataka kununua dawa kwa huyu masipeti nisije tapeliwa jaman ,please uuone uu ujumbe bas tuongee daa
Mama yangu alipata strock kwa kuwasikiliza hawa washenzi kabisaaaa! Mnapata pesa kwa utapeli wa kijingaaa! Yaaan ni vile tu vita ni ya Bwana ngojq niache
Usingetaja zaka ningeona fremason na mm😂😂😂😂😂 zaka ndo kila kitu. Zaka kamili baraka kamili. Ngoja niendelee kuangalia sasa naomba umeze mate kidogo shoga angu❤❤❤❤❤❤❤❤
Toa zaka mama kikamilifu utaongezewa na kuongezeka
Bahati nzuri nimeangalia hii interview kupitia WI-FI, Naweza sema ni mojawapo ya interviews mbaya kuwahi ziona. Mbali na majigambo sijaona content ambayo inaelezea footprints zake, hicho ndicho audiences walikitaka. Bora angesema ka trade forex au crypto currency tujue moja, au alipata mentor aliyempa connection za uhakika za import products za China...
Majigambo sana
Mpk nimeacha kuangalia
Naunga hoja
Maisha ni Siri nzito, mwingine anasema aliuza mihogo, mwingine vitumbua na mwingine mambo mengine ukiyafuata utajikuta upo somaria, anyway ni ya kuangalia tu hayo mambo ya familia masikini aka fukara
Uyo dada namjuaaa ni tapeli anakuzia dawa kwa laki 3 ukauze anakwambia utapata faida ya laki 6 muongoooo sana
Nafikiri angeweza kueleza namna ambavyo amerweza kupambana kuliko kuelezea maisha aliyonayo.
Watu wanapenda kusikia steps za kufuata ili na wao wajifunze.
Hongera Sana mdogo wangu,hakika umepambanana.wanawake tunaweza Tena tukijiamini tunafanya Mambo makubwa
Hongera sana Dada ukweli umenifurahisha sana natamani nionane na were uniambukize upako wa kutafuta pesa Mungu aendelee kukutunza.
Congratulations dada masipetii uko vzr # ni maamuzi magumu xana kuacha kazi na kujiajiri ukiamn ndo Moja ya njia ya kutoboa kupitia biashara # keep going # uthubutu, kujituma, na nidhamu ya pesa ndo imekufanya uwe hapo pia baraka za mungu kupitia wazazi # kuhusu biashara ameshasema yey amejikita kwenye kuuza bidhaa za kuwasaidia wanawake Kwa wanaume katika mambo ya uzazi na amesomea pharmacy # hayo mengne ni additional au feeling zake
Congratulation dear nami napenda kufanya biashara
Dada angu masipety
Mzungu sana
Ana roho safi sana
Hongera sana, naomba na mm unishike mkono mm ni dereva wa maloli, sema trela
Umeshapata kazi, tutafutane
Asate dada naomba no zako ❤❤❤
Nimekupenda mnoo mdogoang hongera sana
Mashaallah dad namimi yangu iko mukuisha 🎉❤❤
Umenitia hasira ya maisha...umri wako na mambo yako tofauti it's like u re my daughter...hongera sana sana.
Cha msingi hapa ni kila mtu apambane tuu, mafanikio ya mtu yakupe wivu wa kupambana ili kuyafikia malengo yako. Na watu mjifunze pia sadaka huwa inanena !! Kama Mungu ndiye aliyemuwezesha na akuwezeshe wewe na mimi pia !! Tupambane tumheshimu Mungu na tutafute hela !!
Kweli kabisa
Kweli kbs tutafute hela
Kweli
Samahan Dada naomba mawasiliano yako ili unisaidie kitu tushee mawazo naomba sana
Biashara mtandao ndio nini
Hongera sana natamani kufika hapo ulipo ngoja nipambane nakosea San kutokuto fungu la kumi
Majigambo Kwa sana
Uko vizuri Sana dada, naomba tuwasiliane unisaidie kitu
Nimekupenda sana dada pia napenda sana watu wapambanaji na wanaotia nguvu nasio wanaokatisha tamaa sijui kwanini mtu akishindwa anakatisha tamaa
Hongera dada na mm nitafuata nyayo zako
Money Talks my dear friends
And well done my big sister ❤
Hongera sana dada. Mungu azidi kukupandisha
Hongera dada iwe iwavyo hongera dada yangu🎉🎉🎉🎉
Safi sana unaweza kunielekeza na mm dada
Tumekuwa inspired 🙏Thank you Millard 🙏You are the best
Hongera sana mfamasia wenzangu naomba Namba yako Kwa mawasiliano
Mimi ninaheshimu watu proactive. Ninaomba kuongea nawe zaidi ili kujifunza jambo.
@@kamogesamuel2461 we baki na njaa zako ustegemee utakua Kama yeye😆
Masha Allha hongera sana dada umeweza mpenzi 👌😘🔥wacha na mm nipambane huku🇴🇲
Yani nimempenda mpaka raha, na mwenyewe yupo na furaha ya ushindi, hongera sana
Nmekupenda sn. Asante
Hongera nime tamani kuwa kama wewe dada je nakupataje
Muongopeni mungu sema ukweli kujenga sawa umuli na mda wa kazi hauendani agekuwepo magufuli ulitakiwa ukanguliwe biashara yako acha uongo .unabiashara nyingine umeificha
Ina maana Magufuli alikuwa anakomoa watu au sio ndio maana hayupo leo
Dada muongooo
Ni roho Mbaya, ukichukua maamuzi magumu kila kitu kinawezekana, ni akili tu
Achane roho Mbaya, kwenye biashara inawezekana kabisa, mshahara ni pesa ya kutunza familia
Mwenyez Mungu na akujalie hitaji la moyo wako dada,pia nahitaji ushauri kutoka kwako ,
Classmate🎉🎉 hongera
Sawaa hongera--ila bado uhalisia wamaelezo haujakaa sawa
Hongera sana mdogo wangu nimekupenda na mungu akubariki Sana Sana Sana. Naitaji ushauri wako
Mimi nataka hunisaidie nipo mozambique nakupenda sana
Hongera sana ila ninachojua mm mafanikio ni siri ya mtu
Umesema kweli unaweza ukaanza biashara iyo wewe usitoboe ....watu Huwa hawasemi behind hizo biashara
@@gracekenan4665 ni kweli watu wengi hawasemagi ukweli
Apart from weakness zake nmependa suala la zaka na sadaka i believe for that na naungana nae kwenye hicho
Huyu dada alitaka kunitapeli 1 million ila nilimshitukia huyu ni tapeli kila siku akaunti mpya kumbe ndo pesa zetu unajengea nyumba ukishatuma tu pesa unabrokiwa😂😂😂😂
Hongera sana masipeti..ila kitu kinachonikwaza ni kuweka account private ya instagram..ni bora ungefungua ndio ungepata watu wengi zaidi..Anyway kuhusu jiko la nyumba unasema ni quality sana yes ni zuri ila jiko dogo sana..jiko langu ukiona mamy..its very big..kubwa la kutosha..kibongo bongo umeweza sana..hongera..
Hongera sana,umeweza.
Nimekupenda San dada🥰🥰🥰
Jaman hongera sana mdg wangu
Kweli NGUVU za kiume ni janga aisee namimi soon ntaanza kuuza by the way hongera sana
Safi sana......kila binadamu ni tajiri ni akili ya mtu.
Wohii huyu dada ni tapeli alituita makumbusho melinium tower atupe mchongo wa kujiajiri akatuambia tununue dawa kwa laki 3 tukauze tutapata faida ya laki sita na atatusapoti kupata wateja mweee mweeee sio poa mjoja wetu alitoa hela yake hakupaata wateja wala hakuuza chochote na pale alipo kuwa anasema ndo offisi yake hakumkuta jamani ninacho wambia ninakijua msije mkamtafuta huyu dada ni mwiziiiiii
Axante sana dunia imeisha
Waambie
Dada mi naomba uniwezeshe ninauhitaji wa pikipiki ili niweze kutafuta riziki make kazi ninayoifanya ya kubeba zege imenichosha dada yangu kama waswahili wasemavyo kazi na umri kama itakupendeza nitashukuru sana Kwa msaada wako undugu siyo kuzaliwa bali ni kufaana shalom
positive chanya ndio vizuri, negative ni hasi naona unayachanganya, kikubwa ninachokuunga mkono ni fungu la 10, nimefanya kazi mwaka mzima sikujua mshahara wangu ulipokua unaenda wote ila baada ya kutoa fungu la 10 miezi miwili tu nimeona mafanikio makubwa, hilo nakuunga mkono
Hahaha, positive nyingine nzuri hasa kucheki afya mf HIV test, na magonjwa mengine
Ukitaka kuelewa vizuri positive na negative nenda ukapime Vvu ndy utajua yupo sahihi 🤣🤣🤣
Millard ayo hii interview UMEZINGUA SANA 🤕🤕🤕 Mmetuacha njia panda hamja tumotivate
Seema biashara gan unafanya bas🤣unajisifia mnoo
Hongera Sana na mungu azidi kukulinda hasa katika swala zima. Lamapenzi kwa wazazi na mtoto
Amiina
Izo comments noma 🤣🤣🤣mashallah lkn dda kila atakula kwa urefu wa kamba yke alaaah 💃
Safi sana mass peti mwewe ni mfano wa kuigwa nimeelewa zaka na sadaka
Acha uwongo wewe hakuna MUNGU WA aina hiyo pesa ipo kuzimu kwa mungu ni uwongo tena Romani hapana
Hongera dada
Jaman msidanganyikeeeee. NETWORK MARKETING HIZI HUWA WACHACHE HUTOBOA ILI WAWE AMBASSADOR KUSHAWISHI DAGAA MAANA DAGAA NDIO WANALETA HELA KWENYE MTANDAO
Mbona sijaelewa lengo la hii clip. Ni biashara ya nyumba? au yeye mwenywe?😄 mara anasema yey ni single mother lkn hawez sema kma yupo single.😄
Ujiunge na neolife ndo wanachotaka
wow wow what a beautiful
I'm coming to buy a property in your country
KAMA HUJAELEWA AYO TV ANATAKA NA SISI WAZEMBE TUAMKE NA KUTIA BIDII ILI TUJIKWAMUE KIMAISHA.
Mbona simuelewi kwaza biashala gani anafanya
Dadaaaa nimeipenda sana ulivyofanyikiwa lakini unajisifia sana
Naomba naomba yako kwa ajili ya oshauri mwangu
Jamani huyu binti namjua wakati anaishi boko ni mpambanaji mnooo...hongera my dear..
Anafanya biashara gani?😢
Hongera mpenz
Sema Maisha ya kusema umefanya hiki na hiki naonaga HainA maana na sio Kwa ubaya kozi hatupendani ataekupenda kwenye hii dunia NI mamako Tu lkn hawa WENGINE inabaki Kua NI Vita Kua MAKINI bidada Acha kuanika unavyovimiliki ..NI hayo Tu ✍️✌️
Naomba nisaidie namba Yako mama yangu anaumwa
Uyu dada tapeli mmbwa😢😢
Kupata ni siri ya mtu! Haijalishi una umri gani! Kama umepata ni siri yako! Ulivyo fanya unajua wewe na mungu wako!
TUSIMVUNJE MOYO HATA SISI TUNAWEZA MAADAM HATUJAFA BADO ILA TUCHAPE KAZI.
Lazima atangaze maana ndoa anavyotangazia biashara yake ukajiunge Neolife/GNLD ni network marketing.
Umesema
Umefanya neolife au forever au Asuma izo ndo fursa na kampuni za biashara
Unafanya biashara gani ndo jambo la msingi, maneno mengi bado sijui unafanya nini zaidi ya kusema wewe ni single mother na nyumba zako. Hongera anyhow
Neolife/GNLD ni network marketing
@@Jackmushil hakuna biashara ya namna hiyo hao ni matapeli fungukeni
@@husseingabo5497 kwani nimeandika nini hapo
@@Jackmushil kumbe matapeli wa network marketing
@@Burner_Acc nitapeli kweli mie kanitapeli pesa nyingi sana naona saivi kaja hapa
Zaka na sadaka,asante dada
Siri ya maisha anajua Mungu.
Siri ya maisha nitapeli. Mie kanitapeli milioni moja laki nane sasa mbali watu huwajui
@@Nairathotmail alikutapeli vipi utujuze tusije na sisi tukayavagaa
@@jasminmayumba9421 watu wawe makini sana isije kuwa kuta yalo nikuta mie
Biashara yake Ni ya mtaji mkubwa Ana pharmacy anauza madawa, madawa yanalipa sana faida Ni nusu kwa nusu. Ukieka mia unapata Mia mbili.
True kabis 🤸🤣🤣inapesa chafy
@@zaitunirajabu1317 sanaaa
Very inspiring hiz kaz za medical za kidwanz sana unasoma kwa garama na mda mrefu unakuja kulipwa lak 3😂😂😂😂😂 usipokua makin utaishia kununua kadeti na iPhone tu
Sikujua kumbe ARUSHA ni kijijini 😂😂🙌🏽🙌🏽
Jamani watu wa mkoa wa Kilimanjaro wanajenga hatari jamani wanajenga majumba y hatari wanashindana tokeni mikoani mingine nendeni mkoa w Kilimanjaro mjifunze huko
Dada mdogo mwenyewe pesa nyingi + chief God love tafuta pesa💪
Nipo tayari kufanya kazi hiyo ya biashara mtandaoni naomba sapoti yako
Acha ujinga utapigwa
Na mimi nina fanya mtandao na hayo nimefanya lakini Nimekukubali sana wewe ni mwanamke shujaa ...na una hekima sana sio kuwa na pesa ndio uishi ovyo...hawo mentor wako utakuwa bora zaidi yao ...Nature yao wewe utafanya zaidi
Tuoane best na mm ni single father🤭😉
Hongera Sana Dada kwa kupambana
Masha'allah
Big up Masipeti
Asalaam aleykum huyu dada muongo sana na ni mwizi wallah katuibia pesa huyu dada karibia milioni mbili tulitaka dawa za uzazi na matatizo mengine nasi tukamtumia pesa wallah naapa na Mie muislam huyu dada hatujamsamehe ataenda kutulipa kesho AKHERA in sha Allah Yaani Ata siamini Kama kachukua pesa ekesha haja tutumie dawa kila nikikumbuka roho inaniuma sana Allah atatulipia kwa huyu dada mwizi anaibia watu pesa kuhusu dawa munaongea na Sim uzuri unatuma pesa ekesha hatumi dawa wala nn izo Mali za utapeli nenda uko bonge unanenepa kwa Nguvu za watu looo 😢😢
Pole sana dada, hakika Allah atakulipia
Ni ukweli tapeli mzoefu huyu Kuna rafiki yangu pia alimtumia pesa ya dawa za uzazi kamkalia kimyaaa muongo sana
@@jasminmayumba9421 Ahsante sana ndugu yangu hakika malipo yapo kwa Allah
@@shamimushittindi1418 tena muongo sana huyu dada kwa Kweli Allah yupo atatulipia haki ya mtu haipotei
habari dada samahani naomba kupata mawasiliano yako jmn nami nataka kununua dawa kwa huyu masipeti nisije tapeliwa jaman ,please uuone uu ujumbe bas tuongee daa
Hongera sana
chuo,kazi, biashara,bado miaka 29, tu, majigambo kibao,ila hongera dada
Umakini unahitajika sana unaoowasikiliza the so called motivation speakers 😂😂😂
Congratulations 👏 may God keep bless you 🙏
Ndo miaka 29 mitaa ipewe jina lako na serikali ilikataa na wanaona ujinga huu, halafu ukiona una pesa unajisifu jua kuna walakini
Upo Freemason u so ibishe unadhani sisi hatujui njiazamkato mjingaww hiyonyumba sisi inatuhusu Nini kwendazako Malaya wew
Millard leo umefeli kwa interview hii, yaan uyu ni sifa tu, atoe njia zilizomfanya akafanikiwa, yaan anayemuhoji mwenywe yupo choon hajarud, kamwachia maiki
Duh hongera sana..natamani nikuone ndugu yngu
Jaman mbona unajisifia tuuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona hauitaji hiyo biashara weww unasema tu oooooh! Biashara ya mtandao isijekua mambo ya qnet hayo
Hatareeee Siri anaijua yeye ila kazi yake kashaeleza
Barikiwe sana
Uongooo tu mbn Huwa hamsemi ni BIASHARa gan semeni BIASHARa gn Hy ya mtandaoni
Ongera aisee
Milard ayo umekosea kumpa mic 🎤 aongee mwanzo mwisho ungemuhoji wenye mafanikio wanataja hiyo biashara anayoficha
Ndio hapo,,,,mbn hataji hiyo kazi ili na sisi tujifunze
@@jenifagerald1822 mwizi ndo maana saivi kaja na huku apate kuibiya watu zaidi
Ma sha Allah lkn tambo nyingi kama Haji Manara
Chama cha wapambanaji aka wapiganaji huyu mama nimpambanaji asee namjua vyema
Muongo huyu musikubali halaka halaka kwakazigani mpaka ujenge majumba yote hayo
Dada angu mimi ila sahii nipo oman❤❤❤❤ nimekupenda nitumiye tuongee watsap ata mimi napenda biasharaa
Naomba wazo kijana mwenzako natafuta mchongo wakufanya kwangu mtaji so shida napambana but I need hiyo fursa ya kibiashara
Hongera sana dada
Ajifunze kwanza kingereza 🤣
Mama yangu alipata strock kwa kuwasikiliza hawa washenzi kabisaaaa! Mnapata pesa kwa utapeli wa kijingaaa! Yaaan ni vile tu vita ni ya Bwana ngojq niache
Dada nnashida na wew
Dada naomba niwe nawe nikuoe kabisa twende nyumbani