MAMA AKUBALI USHOGA MAGUFULI ALIUKEMEA EMBU TAZAMA VIDEO HII UONE MAMA KWANZA ALAF MAGU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • follow us join us in mikasatv tz tunawapenda zana watazamaji wetuu tunaomba usubscribe ilikupata update zetu za kila siku#####123332ksubscribe

КОМЕНТАРІ • 267

  • @GodsonLaizer-fx8by
    @GodsonLaizer-fx8by Рік тому +3

    Mungu utusamehe Tanzania tuna hali mbaya tutubuni kwa mungu mana shetani anataka kutufanya mateka kissa pesa

  • @hajiabdullakoba-jz5vj
    @hajiabdullakoba-jz5vj Рік тому +3

    mama unazima kwa sababu yaulipo unatoa amri wafanyane hujapinga inalillah wainalillai rajjiun mungu akurekebishe kauli duniani nimapito kama walitangulia nactutafatia mma mungu akutoe hofu kama kiongozi tengeneza aghera yako bzzinillah

    • @hajiabdullakoba-jz5vj
      @hajiabdullakoba-jz5vj Рік тому

      kwani watu wazima wote hutaka pia huzalilisha na tunackia kwanjia kibao kutiliwa chakulani hataakijitambua mazingira yeshakuwa tayari akipeleka kesi pia atambiwa unakilimtumzima kunahaki apo

  • @adellabitebo2017
    @adellabitebo2017 Рік тому +5

    Mungu akulaze mahala pema peponi baba

  • @habibafeithal4014
    @habibafeithal4014 Рік тому +15

    Huyu mama huyu 'mungu atuletee kiongozi bora kama Magufuli Inshaalah

  • @hamisikisiwa721
    @hamisikisiwa721 Рік тому +8

    Rip mwamba ulisema tutakukumbuka kweli tunakukumbuka.

  • @raymondzindah-tx4sx
    @raymondzindah-tx4sx Рік тому +6

    Raisi ameniumiza sana moyo Wangu,anaongea kana kwamba ufiranaji ni jambo la kawaida

  • @unknownsasha8383
    @unknownsasha8383 Рік тому +2

    Mh tanzania tusimame kwa. Maombi mungu anayo majibu mengi na wala tusitegemee wanadamu

  • @Mastidia-cl6xp
    @Mastidia-cl6xp Рік тому +7

    Hadi aibu,Mungu tusaidie

    • @GraceFundisha-hx9ey
      @GraceFundisha-hx9ey Рік тому +1

      Mungu tubadilishie ihii aina ya kihama turehemu sisi na vizazi vyetu vijavyo ivi vitakuta nchi imekuwaje, ehe mungu tunusuru

    • @balkissMuhammad-sk1ic
      @balkissMuhammad-sk1ic Місяць тому

      Subhanallah astghafirullah 😢😢​@@GraceFundisha-hx9ey

  • @yesunialamayakiama.9013
    @yesunialamayakiama.9013 Рік тому +5

    CCM siku zote inachanganya siasa na mambo serious. Sitaki mtu anishurutishe niamini kwamba kauli hiyo ni ya mtu binafsi tu SSH, bali ndivyo CCM wenzake walivyomshauri. Ndiyo maana JPM alipokuwa anakuwa serious kwenye mambo kama hayo, kesho unasikia CCM wenzake wanamsema eti hataki kushauriwa. Ni upumbavu. Kizazi hiki ni miongoni mwa vizazi dhaifu sana vinavyopenda ubinafsi. Serikali ikiwa tajiri kuliko wananchi basi lazima nchi iwe hivi.

  • @ZUHURAKHALFAN-mc8nd
    @ZUHURAKHALFAN-mc8nd Рік тому +1

    Watanzania tusimameni tumuombe Allah atustiri pamoja na vizazi chetu atulinde na hili balaa Yaarab tunususuru na dhambi hii ilioangamiza umati wa Nabii LUTTI

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 Рік тому +8

    Wakubwa si ndo walezi wa watoto,hiyo ndo nini sasa,kiongozi anatakiwa kutoa kauli imara😮 inasikitisha🤔😭

    • @denisjoel1592
      @denisjoel1592 Рік тому +2

      Aise,hata hatumwelew rais jmn magu atoke wap ?

    • @jeniphafignas381
      @jeniphafignas381 Рік тому

      Ameshasain huyo ndo maana anaongea hvyo

    • @maryjeremiah4867
      @maryjeremiah4867 Рік тому

      Daah lala salama baba tunakukumbuka mno

    • @japhetdaudmaneno8440
      @japhetdaudmaneno8440 Рік тому

      @@maryjeremiah4867 wacha JPM ale tuu

    • @japhetdaudmaneno8440
      @japhetdaudmaneno8440 Рік тому

      @@denisjoel1592 wacha Jembe JPM mzalendo aendelee kulala,Maana alitujulisha,soon tutamkumbuka🤔😳😭😴

  • @eliyakitundu5267
    @eliyakitundu5267 Рік тому +1

    Hii imekuwa laana, subirini tu hukumu kutoka kwa Mungu, ndio maana vitabu vilisema ni laana mwanamke kuwa kiongozi, ni sawa na mwanaume awe malkia, na malkia ajifanye mfalme hii ni tabu kwakweli Mungu tu atujalie Rehema inaogopesha sana.

    • @balkissMuhammad-sk1ic
      @balkissMuhammad-sk1ic Місяць тому

      Naam namimihiconilikusemanga aje mana mumke amekuwa raisi na katikaimani yetusisi wa islam imekatazwa jometokwhosasa subhanallah astghafirullah 😢

  • @GodsonLaizer-fx8by
    @GodsonLaizer-fx8by Рік тому +1

    Hii si sawa, hatutaki

  • @derickcowly6681
    @derickcowly6681 Рік тому +2

    Mama umelikosea Taifa omba msamaha kwa kauli yako ya kuruhusu ushoga kwa kutumia Ekima ya shwetani sina tena imani na wewe Ccm siyo sera zake Magufuli alikemea sana wewe unaleta Ekima za kishetwani

  • @nassormessi-zk5cz
    @nassormessi-zk5cz Рік тому +1

    Funguka wew acheni izo ndo nini Bora Magufuli Respect Respect 🙌

  • @derickcowly6681
    @derickcowly6681 Рік тому +2

    Mama umekosea una kauli nzuri umeruusu kimtindo umuogope Mungu

    • @manilabonalumanula9210
      @manilabonalumanula9210 Рік тому +1

      Hujamuelewa ndg, mama amewatukana kimtindo wale wengine kwa kuwaambia wafanyane wenyewe huko tena amewaita "wakubwa" akimaanisha matajiri

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 Рік тому +1

      Angekuwa na hofu ya MUNGU hata Kidogo asingesema hivyo.

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 Рік тому

      @@manilabonalumanula9210 matajiri si miongoni mwetu? wewe ndio utakuwa hujamuelewa hao matajiri wakituhusiwa kidogo kidogo wanapiga na wasio matajiri. kiuhalisia Rais Samia hakupaswa kusema hivyo alipaswa kukataa kama alivyo kataa magu

    • @christinelihavi4068
      @christinelihavi4068 Рік тому

      ​@@manilabonalumanula9210 kwaiyo kama karuhusu matajiri watoto wako wanasoma na maskini wenzako sio? yeye hapaswi kuruhusu kwa tajiri Wala maskini,hiyo ni sumu itaenea tu

  • @MichaelMbaluka
    @MichaelMbaluka Місяць тому

    Eeee mwenyezi Mungu tunusulu na janga hili
    Eeeee mwenyezi Mungu tunuwulu na janga hili

  • @chritinaphilip7439
    @chritinaphilip7439 Рік тому +2

    😢😢😢Hii ni laanq kubwa ktk nchi tumlilie mungu atuepushe na hili 😢😢😢

  • @ayubumoha6313
    @ayubumoha6313 Рік тому +2

    Mzeee umeondoka nch imekuwa ya hovyo Sana

  • @ashahassan2120
    @ashahassan2120 Місяць тому

    Sisi mama hatutaki ushonga

  • @NasraN-hr5uh
    @NasraN-hr5uh 10 місяців тому +1

    Huyu mbwa anakufa lini

  • @LusajoMwajeka-tf1nj
    @LusajoMwajeka-tf1nj 11 місяців тому +1

    Sasa mama Samia unavyo sema wakubw kwa wakubwa wafanye hujui utakuwa unaluhusu vitendo hivyo maana watoto wetu wanafwata tabia za wazazi si na hizi wataiga tuu

  • @shinjekalamu7957
    @shinjekalamu7957 Рік тому +1

    Yuda 1:7 imewekwa kuwa dalili Yesu anakuja
    Warumi1:20...... Wanaume kwa wanaume wameacha matumizi ya asili wakawakiana tamaa unabii unatimia uovu mkuu uliokubuhu umeanzia USA mataifa ya Afrika yanaletewa nayo yanakopi loooh Ombeni na kaa karibu na familia yako Tenda mema dunia ilishawekwa akiba kwa ajiri ya Moto!!

  • @suzanalucasemanuel7006
    @suzanalucasemanuel7006 Рік тому +1

    Mungu tunaomba utusaidie peke etu hatuwez jaman

  • @jacilygabriely6840
    @jacilygabriely6840 Рік тому +1

    Huyo JPM Daaaa kumpata mpaka dunia iishe

  • @shaabanbaiya4033
    @shaabanbaiya4033 Рік тому +2

    Huyu bibie anamaanisha Kwa wakubwa Haina shida tatizo ni Kwa watoto. Inasikitisha Kwa kiongozi mkubwa

  • @user-dq1lm2be2u
    @user-dq1lm2be2u Місяць тому

    Mungu akusamehe kwa kauli yako dini zote zinakataza hicho kitendo yarabi inusuru nchi yetu

  • @balkissMuhammad-sk1ic
    @balkissMuhammad-sk1ic Місяць тому

    Subhanallah astghafirullah😢😢😢

  • @michaelwanyanga
    @michaelwanyanga 7 місяців тому +1

    Kwa kweli Mzee Magufuli ulisema kweli kabisa. Ng'ombe na wanyama wengine hawakosei halafu sisi binadamu tunakosea...duh...kweli dunia hadaa...

  • @abdallahmwanyende2208
    @abdallahmwanyende2208 Рік тому +5

    Dahh mama atupoteza kwa kauli yake, inna llillahi wainna ilahi rajiun

  • @dorambaga2667
    @dorambaga2667 Рік тому +2

    Hapo umekosea Mama Samia suluhu , usiruhusu ushoga,Kwa kufuata mikumbo ya ulaya hao Wana kiama Chao siku siyo nyingi, unawatoto na wajukuu ,tumia nafasi uliyopewa Kwa kupitisha mambo ya Mungu siyo shetani tafadhali.

    • @saadiramadhani4190
      @saadiramadhani4190 Рік тому

      Mama huyo hatufai wala hala hakuna haja ya kupana mafuta na mgongo wa chupa

  • @benarddickson1326
    @benarddickson1326 Місяць тому

    MUNGU AKUBARIKI BABA MAGUFULI KWA KUMTUKUZA NA KUKATAA USHOGA TANZANIAHUKO ULIKO MUNGU AKUSAMEHE MAKOSA YAKO YOTE

  • @salamawadh6150
    @salamawadh6150 Рік тому

    Mama nakuombaaaaa weka sheria Kali juu ya wabakaji wa wtt wadogo wakiume na wakike
    Naomba wahasiwe wabakaji woteeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @idrissamohamed1100
    @idrissamohamed1100 Рік тому +1

    Msikilize Umuelewe achana na Chuki

  • @williamreuben4866
    @williamreuben4866 11 місяців тому +1

    Kwa hiyo wewe kila kitu ukiambiwa kuwa ni haki yako unakichukua?Daah?

  • @user-ry4kx9hg7o
    @user-ry4kx9hg7o Місяць тому

    Kwaiyo wakubwa wandelee, kufanya, ndiyo kauli ya mama.

  • @SaleheRashidi
    @SaleheRashidi Місяць тому

    Nipo tayari kufa au kuuwa ila sipo tayari kukubali ujinga wa ndoa za jinsia moja anko magu sasa ndo tunakukumbuka

  • @kabayesankula7895
    @kabayesankula7895 Рік тому +1

    Hatuja elewa msimamo wako mama Watanzania tuna taka msimo wa selikali sio mafumbo Ushoga hatu utaki toweni msimamo

  • @luqmanajmalhiqmal4540
    @luqmanajmalhiqmal4540 Рік тому

    Magufuli bhana dah umeongea vizur sana

  • @allysaidy1965
    @allysaidy1965 Рік тому

    Hizii ndy madhara ya Kupokea Misaadaaa.......

  • @user-io1qu5ns6d
    @user-io1qu5ns6d Рік тому +1

    jmn mbona celew embu basi awe na msimamo karuhusu ama la maana naona simuelew

  • @user-gp9xr8ws8u
    @user-gp9xr8ws8u 8 місяців тому +1

    Duh uyu mama, ko ushoga sio kosa mpaka hapo😢😢

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 Місяць тому

    Huyu mama kashapotea siku nyingi kukopa kopa lmemchanya Sasa ndio anatuletea shida ktk taifa letu kwa nn waliomzunguka wanaakili.kubwa Sana kuliko yeye na ndio washuri wake wakubwa ni shida tupu

  • @mafurumatijo8803
    @mafurumatijo8803 Рік тому +4

    Mama karuhusu wakubwa tu! Hajui mbuyu ulianza kama mchicha!.

  • @NasraN-hr5uh
    @NasraN-hr5uh 10 місяців тому +1

    Yaani nyinyi ccm acheni kutetea upumbavu

  • @sellahmwakabuta8246
    @sellahmwakabuta8246 Рік тому +1

    Mungu msamehe

  • @ZawadyKaoneka
    @ZawadyKaoneka 14 днів тому +1

    Huruma viongozi wetu hawa

  • @ramadhaniyahaya7286
    @ramadhaniyahaya7286 Рік тому

    Mama samahani umepotokwa hapo sikufagilii hata kidogo

  • @andrewisaya3382
    @andrewisaya3382 Рік тому

    A you soleus for that ensu

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw Рік тому +1

    Tatizo muelewa MTU anaongea nini ni shida hebu mjifunze Kiswahili vina na misemo utamuelewa mama lakini ukikurupuka.

  • @javanjacko2838
    @javanjacko2838 Рік тому

    Mwenyezi MUNGU ampuzishe kwa amani!hila yametukuta!hatuna chetu

  • @adildewji
    @adildewji 7 місяців тому +1

    May he rest in eternal peace.

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 Рік тому +1

    Dah Acha jpm awe jpm, huyu mwanamke bogas tu

  • @rehema5765
    @rehema5765 11 місяців тому

    Huyu ni mjinga kweli😏😏😏

  • @richardhezron2588
    @richardhezron2588 Рік тому

    Mmm naumia ninalia na ulimi kama hujui kutunza ulimi watu watakushangaa

  • @shehamasai788
    @shehamasai788 Рік тому +1

    Huyu mtoa posti hii ni mjinga sana,Mama samia si km karuhusu hapo kaongea kiakili maana haya mambo yapo na yataendelea kuwepo kwa sababu hii ni nchi ya kikafiri,kwa vile haya mambo yapo basi kuzuia kwa nchi hii si rahisi sasa basi km wakubwa mnafanyana hivyo fanyeni nyinyi kwa nyinyi tu basi mpaka watoto mnawabaka

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 Місяць тому

    Matunda ya uhuru hayo ndio uchumi wa kati huo mulikwisha ambiwa uchumi munao lakini mwaukalia

  • @EvaSadala-vv8jn
    @EvaSadala-vv8jn Рік тому

    We mama unafikiliaga au wanaume wakubwa ndo wasagane au co

  • @BernadetaJack-se6ib
    @BernadetaJack-se6ib Рік тому

    2025 uondoke mama Kila nikitazama hiyo kilki ni aibu tu.

  • @saidswalehe4236
    @saidswalehe4236 Рік тому +1

    Laaana tullaahi kwa kukubalisha ushoga alaaniwe kabisa

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 Рік тому

      Harafu wengine mtajilani wenyewe kwa kumnenea maneno mabaya mkuu wenu wa nchi hata maandiko hamsomi mnatamkatamka tu mimaneno mibaya mtalaaniwa nyie watu Mungu haziakiwi mm kwa uelewa wangu sijaona serikali ya tanzania au mama samia kuruhusu ushoga ila loho ya kukosa adabu ya kudharauzarau viongozi duniani ni nyingi mama kipindi linafumuka mama samia alikuwa amefunga jamani tumuogope Mungu misifasifa hiyo bila kufikilia itawaponza wengi Yesu tufundishe tupo chin ya jua hatujakamilika

  • @TumainiMkondya
    @TumainiMkondya Рік тому +1

    Baba umeondoka lakini maneno yako Yana ishii lakini jamani tukicheza tuta angamia Kama sodoma na gomora jamani tumurudie munguu

  • @MichaelMbaluka
    @MichaelMbaluka Місяць тому

    Mungu shahidi wa haya yanayoendelea

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 6 місяців тому

    Huyo KURA YANGU ATAISIKIA TU . laanakum

  • @sullecom
    @sullecom Рік тому

    Mbona huna msimamo

  • @HenryNdaigaTanzania
    @HenryNdaigaTanzania 24 дні тому

    Magufuli tunakukumbuka raisi wangu. Wewe ndioraisi wangu sikukuzote

  • @msatibongonyuzi14
    @msatibongonyuzi14 Рік тому

    Dah hakuna mtu hapa

  • @froma3732
    @froma3732 Рік тому +1

    Tatizo kuelewa unavotaka na ukiwa fahamu yako ndogo Rais Samiha kasema wapi kama amekubali

  • @samirazuberi186
    @samirazuberi186 Рік тому

    Yaani huyu rais atatuletea matatizo siku za mwishoni.. Hafai na wala hana sifa ya kuwa rais

  • @tunduruonlinetv
    @tunduruonlinetv Рік тому

    Mwandishi Acha kupotosha umauti

  • @EstomiKimambo-cz3sq
    @EstomiKimambo-cz3sq Рік тому

    Yaaan li laaniwe hili limtu c muislam huyu na dini hairuhusu duh jembe letu mungu atuletee mwingine 😢

  • @machaggechacha243
    @machaggechacha243 Рік тому

    Huyo Samia Suluhu rais wa Tz kapewa $60 milioni Ali pats kutoka kwa makamu wa raisi wa Marekani K Haris ili akubali ushoga. Shenzi type!! Ndio maana hawakutaka waandishi wa habari kuuliza maswali.!! Ghana na Zambia walimwambia K Haris hawataki usenge. Afunge vyombo arudi Marekani kwenye wasenge wenzake.

  • @yakoboaizack1473
    @yakoboaizack1473 Рік тому

    Kwaiyo wakubwa kwa wakubwa hakuna madhara

  • @AngelManeno-sv9oi
    @AngelManeno-sv9oi Рік тому

    Tobaaaa

  • @nassirsaid7434
    @nassirsaid7434 Рік тому

    Weka sheria shoga auawe km korea kusini

  • @abdallahmangayamba1510
    @abdallahmangayamba1510 Рік тому

    baba etu mungu akulaze mahar pema pepon

  • @zechariahshilla8837
    @zechariahshilla8837 Рік тому +1

    My God!!!

  • @PastorZakariaTzTV
    @PastorZakariaTzTV Рік тому +2

    Waisilamu bhana

    • @YussraYussuf-wl9hv
      @YussraYussuf-wl9hv Рік тому +1

      hapana sio waislam kila anae pingana na Amri Ya Allah basi yy sio muislam na uislam wa mtu haupo uson bali upo myon n kery kufa kuliko 😔haya innalillahi wainna ilaiyyhi rajiun AllahuAkbar Allahu ahad

  • @ObadiaAnderson
    @ObadiaAnderson Рік тому

    Kiukweli inasikitisha san

  • @salimalaquimane3077
    @salimalaquimane3077 Рік тому +2

    Kwahiyo wakubwa ni ruksa sio daaaaaah

  • @rashidalmas3792
    @rashidalmas3792 11 місяців тому

    Huna akili fikra zako ziko kidini hapo huelewi kipi kwa mama Hali yakua ana pinga ushoga achaa kupotosha umma mkataba alio sign uko wapi

  • @ligwalambakondeo5199
    @ligwalambakondeo5199 Рік тому

    Marehemu alikemia kivipi? Wakati kipindi makonda ana deal na Mashoga serikali ikamkana na kusema anachofanya makonda ni masimamo wake sio msimamo wa serikali na wizara ya mambo ya nje ikaandika mpaka barua. Acheni mama afanye Kazi, acheni uzushi

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 Рік тому +1

    Huyu mama hasara

    • @GodwinKayinga
      @GodwinKayinga Рік тому

      Jaman jamani huyu mama watanzania tumbe toba kwa Mungu hajuwi alitendalo

  • @ibrahim5824
    @ibrahim5824 Рік тому

    Magufuli Mungu akurehemu

  • @allyntunda963
    @allyntunda963 Рік тому +1

    Shetani anatutesa kwakwel

  • @DianaShayo-io1pz
    @DianaShayo-io1pz Рік тому

    Mmmmm mama unaenda wapi😭😭😭 Mungu tusaidie

  • @kassimualli1755
    @kassimualli1755 Рік тому +2

    Wasenge nyie media,wapi mama karuhusu ushoga?

  • @mjuba_tz
    @mjuba_tz Рік тому

    Samia Tena 🤣🤣 kafika uko Bora nihame nchi ii

  • @alfredrutaguza7506
    @alfredrutaguza7506 Рік тому +1

    Sasa asipofanya hivyo misaada itatoka wapi? Je nani hakutegemea hayo?

  • @philomenastephen3364
    @philomenastephen3364 Рік тому +1

    Hivi, watu akili zao zimepotelea wapi? Kwa maana hao Wanaume baadae lazima afya zao ziharibike

  • @stevenngota6400
    @stevenngota6400 21 день тому

    😭😭😭😭

  • @mudhihirugara8845
    @mudhihirugara8845 Рік тому

    Magufuri pumzika Sasa mama anasema wakubwa kwawakubwa raisi mzima unaruhusu badara yakukemea hiiinishida

  • @yohanamoikan7709
    @yohanamoikan7709 Рік тому +2

    Lisemwalo lipo na Kama hilipo laja???? Samia kwaanzia mwanzo alipo apishwa hotuba yake ya kwaanza unasadifu yaliomo nafsini mwake ????? Alafu kiongozi akiwa Mtumishi mpumbavu mpenda fedha subiri matokeo yake???? Manake kiongozi huyo atasain mikataba ya ovyoo sana , Tanzania saivi Kuna mikataba za kihuni Sana ndoo inayo sababisha wizi, ufisadi, na Saivi Tanzania tumesha uzwa bado kitambo kidogo tuwe small state ??? Ukitaka kujua tazama mapokez ya Kamala Harris , na hata Ivo ushoga haikuanza Saivi Tanzania ulikua kitambo tu na si Tanzania tu ????? Ushoga ni program ya Freemason na ukitaja Freemason unamtaja mzung??? Swali ni kwamba je Nani atakaye pona hatutakuwa sodoma na gomora?????

  • @user-xd5fb8nf9w
    @user-xd5fb8nf9w Рік тому

    Mama unashindwa kujenga taifa vizuli tena ukiwa unanguvu ya kukataza ushoga ila wew ndy unalikazania lewe alali sisi kama watanzania tunakupinga kwa swala lako..😮😢😢😢

  • @vincenthussein1311
    @vincenthussein1311 Рік тому +1

    Mama unatupoteza

  • @AhmadaTahir-cu8se
    @AhmadaTahir-cu8se Рік тому +1

    Jamaniiiii..mama hajaruhusu ushoga na wala hajamruhusu mtu yoyote juu kufanya ujinga huo. Mama hamujamfahamu kaeni pembeni acheni maneno maneno yenu ya ovyoo. Sisi tulomfahamu tushamfahamu vizuri sana alichokikusudia. Mama anakusudia wale woote wanaowashawishi watoto na kuwalaghai wakiwa ni watu wazima iwapo wanahisi kwamba hili suwala la kubakana wanaume kwa wanaume ama wanawake kwa wanawake basi wafanye wao tuu kama ni zuri na sio kuwalaghai na kuwashawishi watoto wetu jamaniiiii. Hamujamfahamu mamaaaa au muna lenuuuu.

    • @abdulburaheze9582
      @abdulburaheze9582 Рік тому

      sasa anaposema fanyaneni wakubwa kwa wakubwa nn maaana kwaiyo wakubwa wakifanya wadogo wnapata elim gani acha izo wewe siri ya ushogo huijuwi wewe akatae aone kama dunia haijamuangusha yeye alitakiwa kutoa kauli moja tu kama raisi sitaki kuskia abari za ushogo ktk nchi yangu na wala sitaji ushoga ktk nchi hi naitaji mashoga washukhulikiwe vikali aseme hivyo uone kama anaweza hiyo kauli aliweza magufuli na kumtuma paulo makonda nakuifanya kazi na kazi ikafanyika ikapunguza sasa hivi kudadeki mishoga ipo hadharani mchana kweupe

    • @hassanimngetege2904
      @hassanimngetege2904 Рік тому

      Ebu tuambie yeye amemanisha Nini maana unaona wengine hawana akili kama zako

    • @AhmadaTahir-cu8se
      @AhmadaTahir-cu8se Рік тому

      @@hassanimngetege2904 Sikiliza mjombaaaa...kila mtu ana akili zake hata wewe unazako pia. Sasa wewe amini hivyo ambavyo akili zako ndio zinakuambia kwamba uwamini na Mimi nitaamini vile ambavyo akili zangu zinaniambia niamini na mwengine kadhaalika. Tumemaliza mjadala.

    • @AhmadaTahir-cu8se
      @AhmadaTahir-cu8se Рік тому

      @@hassanimngetege2904 Kwa sababu mama Samia ndio keshazungumza tena kazungumza mbele za watu(Jahrannas). Wakati anaongea mama kulikua na watu wengi sana na Mimi naamini kila mmoja wa watu alifahamu kwa mujibu wa akili yake ilivyomtaka afahamu. Kuna waliomfahamu mama Samia kama ambavyo Mimi nimemfahamu na kuna waliomfahamu mama kama ambavyo wewe umemfahamu na wengine walivyomfahamu. Tumalize mjadala mjomba.

  • @callmelwizz553
    @callmelwizz553 Рік тому +1

    Hakuna cha wakubwa wala watoto huyu mama vp inshu ni kwamba hatutaki ushoga yeyote anaejihusisha na homosexually weka ndani sio et mkubwa kumfanya mdogo ndo haifai kwa maana hiyo kwa wakubwa iwe ni sawa hatutaki ushoga

  • @jumajuma3337
    @jumajuma3337 Рік тому +1

    hapo hajakubali ushoga jamaniii

    • @mudhihirugara8845
      @mudhihirugara8845 Рік тому +1

      Kasema wafanyane wakubwa kwawakubwa siyowatoto karuhusu wewe ulitaka asemeje?

  • @faithfaith-zr6gz
    @faithfaith-zr6gz Рік тому +2

    Dah! Kwahiyo watu wazima ruksa!? Nimeshangazwa na kauli yako!

    • @faridafaki4927
      @faridafaki4927 Рік тому +1

      Haswa samia ilo shungi l nini Huna ata maana kwenda uko njaa zisienee

    • @faridafaki4927
      @faridafaki4927 Рік тому +1

      Mungu akurehem mahuful kw kauli yako iwe ndio futio l dhamb zak

    • @ashabakary1462
      @ashabakary1462 Рік тому

      Hamfahamu kiswahili nyiee msiklizen vizur

  • @Veni584
    @Veni584 11 місяців тому

    Mh!

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 Рік тому

    Huyu mama usemi huu atakuwa Kasaini hizo misaada sasa cha msingi anasema fanyeni nyie watu wazima mungu ana msikiliza ana wajukuu nae sasa mungu ampe wale wawe wakubwa alafu wafanye hizo mambo tumuone atachukua hatua gani? Maana kitu kimfike mwenzio unakuwa mwepesi kulisema vibaya haya mungu yupo yetu macho nae ana wana