MISAADA YA WAZUNGU CHANZO CHA USHOGA TANZANIA | MBUNGE AFICHUA NJIA WANAZOTUMIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • Mbunge Wa Jimbo la Tarime Vijijini Mhe. Mwita Waitara leo Mei 17, 2024 Bungeni Jijini Dodoma amesimama kuchangia hoja kwenye bajeti ya makadirio ya mapato na2 matumizi ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ambapo Katika Mchango wake Mhe. Mwita Waitara amegusia suala la ushoga ambapo amehoji kwa nini Waziri Dkt. Doroth Gwajima katika Hotuba yake wakati anawasilisha hajazungumzia suala hilo.
    Mhe. Waitara amesema suala hilo sasa ni changamoto na yeye yupo tayari kumshughulikia mtu yoyote ambaye anafanya vitendo vya ulawiti.
    “Hatutaki Ushoga Tanzania, Wazungu waelewe kama ni misaada wanaleta wakome waache kabisa, Tusichekeane kama ni misaada Kateni, Hii ni vita kama ilivyokuwa vita ya ukombozi wa bara la Afrika” - Mbunge Waitara
    #youtubeshorts

КОМЕНТАРІ • 26

  • @lukiogospelmusic3252
    @lukiogospelmusic3252 3 місяці тому +1

    Barikiwa sana Mh Mwita.
    Ushoga ni ushetani wakupigwa na kila mtu mwenye hofu ya Mungu ndani yake.
    Na viongozi wetu msipepese macho kwenye hili mmepewa dhamana na Mungu tumieni nafasi zenu kuupinga na kuulaani ushoga kwenye taifa letu la Tanzania.

  • @HafidhKhamis-ph8qg
    @HafidhKhamis-ph8qg 2 місяці тому +1

    Maashallah hongera sn mbunge msimamo uo uo tunakuelewa sana misaada ya wazungu tuikomeshe

  • @khamisikhamisi2501
    @khamisikhamisi2501 Місяць тому

    Safi sana waitara mungu akutie nguvu hatutaki ushoga

  • @user-pl4ju8du7j
    @user-pl4ju8du7j 2 місяці тому +2

    Waziri Gwajima ajiuzuru hatufai kabisa yeye ndio chanzo kikubwa cha ushoga Tz anataka hadi WA latiwe watoto zake ndio achukuwe hatua ujinga gani ktk Taifa letu,

  • @JamilaMtundu
    @JamilaMtundu 2 місяці тому

    Mungu akupe ujasirii kulisemea hili

  • @ahangfaith1180
    @ahangfaith1180 3 місяці тому

    Asnt mbunge hongera kwakweli serekal yetu inatuuza wawo kwaajili ya maslah yao

  • @JamilaMtundu
    @JamilaMtundu 2 місяці тому

    Hakika tusimame watu wA mungu tuombe nakuombolezaa

  • @kellysmith4095
    @kellysmith4095 3 місяці тому +1

    Ushonga si swala,ambayo inafa kuachiliwa,imefanya mathara.ya kijamii ilipotoka,amerikani,hivyo wazidi kuupinga

  • @mohamediabady
    @mohamediabady 2 місяці тому

    Uyu ndio mbunge wa kweli ,

  • @user-zd3tk2qs8b
    @user-zd3tk2qs8b 2 місяці тому

    ❤❤🎉

  • @surylinetv4677
    @surylinetv4677 3 місяці тому

    Nachukia sana ushoga,, Tanzania tukatae ushoga hadharani

  • @LukazakayaMlaiza-zo1wi
    @LukazakayaMlaiza-zo1wi 2 місяці тому

    Mimi sina muda na mashoga,mtu yeyote akimrepu mtoto wangu hajalishi mwalimu,dakitari,mbungu,nitamuwa

  • @SileIsmail
    @SileIsmail 2 місяці тому

    Hata kama serikali haitaki kutunga sheria kali kwa kuwanyonga wanaolawiti watoto sisi tutachukua sheria mkononi ya kuwaua wote wanaofanya hivyo

  • @MabulaNdilanha
    @MabulaNdilanha 3 місяці тому

    Ni kweli kabisa mheshimiwa

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 2 місяці тому

    safi sana Mwita tunataka watu kama wewe

  • @avitjosepht498
    @avitjosepht498 3 місяці тому

    Hii hoja ni nyeti sana, gov intervetion urgently needed

  • @imhotepheru436
    @imhotepheru436 Місяць тому

    Pan Africany or Perish,, Samia ameuza Tanzania 🤔🤔🤔

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 2 місяці тому

    ALIPEWA FEDHA HUYO WAZIRI

  • @victorphilipo
    @victorphilipo 3 місяці тому +1

    Achani kutudanganya huwezi kuwa omba omba usitimize matakwa. Yao reo mnatudanganya hao hao ndo munapiga makofi to umechoka mnakula hera tu

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela Місяць тому

    USHOGA UNAPASWA UKOMESHWA KISHERIA SIO KUONGEA2 SERIKALI ISILIFUMBIE MACHO

  • @user-fw3jq3ff5s
    @user-fw3jq3ff5s 2 місяці тому

    Tamaa ya viongozi wetu kutaka utajili wa haraka haraka ndiyo chanzo cha kupewa mikopo kwa masharti ya ushoga huku familia zao zikilindwa kwa pesa za wananchi katalieni hilo kwa vitendo ingawaje machawa wao watalinda kauli hizo kwa nguvu

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 2 місяці тому

    Feliyer national lmbarasing leadership ot exelence president Samia sluu Hasan lmbarasing such move but waitara you have been cruch opposition complain saport Samia sluu Hasan leadership and say lf you don't saport Samia sluu Hasan leadership gat out from palament this is rizalt ashem on our nation vary lmbarasing difend green uniform now you have been harvest rizalt of difend green uniform in the palament house

  • @shabanimataka8418
    @shabanimataka8418 2 місяці тому

    Mwita uko ndo kujitambua

  • @IbrahimuKapelula
    @IbrahimuKapelula 2 місяці тому

    Wewe ndo mbunge pekee unasema point wengine ndo haohao,

  • @salimualmasi7944
    @salimualmasi7944 3 місяці тому

    Hapo kila Mauwa yako.Serikali Haitaki Kukanusha Nakula nitakupigia kwa Muda

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 3 місяці тому

    Achen ujinga hao wabunge wanao lawiti wanatumwa na wazungu? Humo humo bungeni kuna mashoga na wenyewe wame fundishwa na wazungu? Mwaka jana kuna padri amelawiti mbona hamkupiga kelele alipo achiwa bila kushtakiwa? Jinga kabisa