Mikasa tv
Mikasa tv
  • 72
  • 257 834

Відео

Paul makonda aungana na Raisi DK samia kuukeme ukakasi waviongozi kuonea Raia leo
Переглядів 3,1 тис.Місяць тому
#987k #123k #greenscreen #garenafreefire #music #god #duet
Binti wa Yombo aeleza uchafu wote aliofanyiwa Jamani hii Dunia Haifai
Переглядів 70 тис.Місяць тому
#987k #123k
Raisi Alichokifanya kwa Makonda ili watanzania wasilete Maneno .
Переглядів 3,4 тис.Місяць тому
#987k #garenafreefire #123k #music #greenscreen
Jeshi la Polisi Latoatamko Kuwahusu Vijana wa Tano waliembaka Binti mmoja leo Bado lipo kufuatlia.
Переглядів 2,1 тис.Місяць тому
#987k #garenafreefire #music #123k #god #greenscreen
Sauti solo Aperfom Simba DayAugost 4 huku Simba ikiwatambulisha wachezaji wapya.
Переглядів 128Місяць тому
#987k #m #123k #garenafreefire
Mkuu wa mkoa Paul Makonda Afunguka yaliyompata na Yaliyotaka kutokea Leo
Переглядів 7 тис.Місяць тому
#987k #123k #garenafreefire #god #music #greenscreen
Kauli ya Raisi Samia Suluhu Hassan Kuhusu Makonda Leo
Переглядів 37 тис.Місяць тому
#987k #123k #god #music #garenafreefire
BISHOP NA WATU WAKE WACHIZIKA NA NGOMA BAADA YA UMEME KUKATIKA, KAMA, MISSO MISSONDO.
Переглядів 45Місяць тому
#987k #music #God #123k
Avaa ndala aimba na kucheza kama chizi wimbo wa unabii wenye Jina la( You're Last Say)
Переглядів 1202 місяці тому
#987k #123k #greenscreen
George Acheza mpaka watu washindwa kujizuia kucheza nae na wenginee kushangaa
Переглядів 742 місяці тому
George Acheza mpaka watu washindwa kujizuia kucheza nae na wenginee kushangaa
Wewe ni wa Ulimwengu Upi?
Переглядів 362 місяці тому
Wewe ni wa Ulimwengu Upi?
Chekshia Bishop alivyofrah George Kuimbaa utashangaa angalia vizuri
Переглядів 722 місяці тому
Chekshia Bishop alivyofrah George Kuimbaa utashangaa angalia vizuri
George Msemo ( Unachezaga wapii?) Official is coming soòn
Переглядів 333 місяці тому
George Msemo ( Unachezaga wapii?) Official is coming soòn
Wimbo mpya George Msemo Unaenipiganiaa "(OFFICIAL AUDIO)"
Переглядів 443 місяці тому
Wimbo mpya George Msemo Unaenipiganiaa "(OFFICIAL AUDIO)"
G.M Nisalama ( official lyrics song of Blesses")
Переглядів 234 місяці тому
G.M Nisalama ( official lyrics song of Blesses")
NAULI YAPANDA KUTOKA 600 HADI 1000 MAKUMBUSHO KUELEKEA KARIAKOO WASIKILIZE KONDA NA DEREVA.
Переглядів 164 місяці тому
NAULI YAPANDA KUTOKA 600 HADI 1000 MAKUMBUSHO KUELEKEA KARIAKOO WASIKILIZE KONDA NA DEREVA.
UNANIPA MANENO E MUNGU G.M LIVE IN JCC CHURCH ONAALIVYO IMBA
Переглядів 214 місяці тому
UNANIPA MANENO E MUNGU G.M LIVE IN JCC CHURCH ONAALIVYO IMBA
DAR NDANI YA LISAA MVUA KUBWA YANYESHA HADI WANAFUNZI WA SALMA KIKWETE WASHINDWA VUKA .
Переглядів 224 місяці тому
DAR NDANI YA LISAA MVUA KUBWA YANYESHA HADI WANAFUNZI WA SALMA KIKWETE WASHINDWA VUKA .
TAZAMA G.M AKIIMBA LIVE UNANIPA MANENO MATAMU UNANIFANYA NAENJOY UTASHANGAA
Переглядів 734 місяці тому
TAZAMA G.M AKIIMBA LIVE UNANIPA MANENO MATAMU UNANIFANYA NAENJOY UTASHANGAA
FANYA MENO YAKO YAWE MEUPE NDANI YA WIKI MOJA TAZAMA JINSI YAKUFANYA
Переглядів 214 місяці тому
FANYA MENO YAKO YAWE MEUPE NDANI YA WIKI MOJA TAZAMA JINSI YAKUFANYA
G.M ' Nakupenda xx Amini Official Music"
Переглядів 444 місяці тому
G.M ' Nakupenda xx Amini Official Music"
G.M Unanipa Maneno Mazuri xx Nenjoy (Official Music),
Переглядів 1094 місяці тому
G.M Unanipa Maneno Mazuri xx Nenjoy (Official Music),
MINISTER G.M: GUNDUA NI UDHAIFU GANI SHETANI HUTUMIA KUKUADHIBIA " UKIJUA TU SHIDA KWISHA
Переглядів 285 місяців тому
MINISTER G.M: GUNDUA NI UDHAIFU GANI SHETANI HUTUMIA KUKUADHIBIA " UKIJUA TU SHIDA KWISHA
MINISTER G.M SIRI YA MSALABA NA KWANINI TUSILE NYAMA PASAKA.
Переглядів 305 місяців тому
MINISTER G.M SIRI YA MSALABA NA KWANINI TUSILE NYAMA PASAKA.
MINISTER G.M : JE? NI MUNGU YUPI UNAE MWABUDU ? NYAKATI ZA LEO
Переглядів 165 місяців тому
MINISTER G.M : JE? NI MUNGU YUPI UNAE MWABUDU ? NYAKATI ZA LEO
MINISTER GEORGE MSEMO KIBALI CHAKO KATIKA KILA UNACHOGUSA
Переглядів 405 місяців тому
MINISTER GEORGE MSEMO KIBALI CHAKO KATIKA KILA UNACHOGUSA
HII KWAYA INATISHA ONA WALIVYOIMBA SAUTI YA AJABU KAMA SOUTH AFRICA.
Переглядів 155 місяців тому
HII KWAYA INATISHA ONA WALIVYOIMBA SAUTI YA AJABU KAMA SOUTH AFRICA.
TAZAMA VIONJO VYA WIMBO MPYA WA AGAPE GOSPEL CHOIR " WANAVYOYARUDI
Переглядів 285 місяців тому
TAZAMA VIONJO VYA WIMBO MPYA WA AGAPE GOSPEL CHOIR " WANAVYOYARUDI
TAZAMA GARI ALILOINGIA NALO MWIMBAJI MERCY CHINWO MNAIGERIA MLIMANI CITY.
Переглядів 295 місяців тому
TAZAMA GARI ALILOINGIA NALO MWIMBAJI MERCY CHINWO MNAIGERIA MLIMANI CITY.

КОМЕНТАРІ

  • @hawamrisho-uo4ih
    @hawamrisho-uo4ih 14 днів тому

    Nyie kwann hamumuogopi Mungu? huyo Binti sio kabisa, yaani mnatuletea sinema za Kihindi.., poleni mbona cc watazamaji tunaelewa poleni sana kwa maungo yenu Mungu atadili nanyinyi.

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 17 днів тому

    Hizi ni stori za 🇿🇦. Ni mambo ya kutunga upumbavu . Huyu mtoto ni mdogo sana sharti muelewe kafosiwa aongee uwongo wakati wana mchukuwa na video. Mimi sikatai kama hafanyi mapenzi Kwani bongo ni vitu vya kawaida tu.lakini watu wako makini sana mitaani ndio lazima wangejuwa watu wa.mtaani.

  • @anthonywilliam6510
    @anthonywilliam6510 18 днів тому

    Kwani nyinyi msifanye wenyewe kazi zahapo nyumbani

  • @GeremihJuma
    @GeremihJuma 19 днів тому

    Siwezi kukubali Hiro labuda kapigwa mpaka kaumia Siamini hayo maneno mtoto mwenyewe bado mdogo awe na Wana ume kumi so keli

  • @elizabethchabluma-zw5qz
    @elizabethchabluma-zw5qz 19 днів тому

    Jamani hv mnaona hapo ni kweli huyo mtoto afanyi hivyo vitendo hapo wanataka kupindisha ukweli alafu si walisema sura yake ifichwe ss mbona wamamuonesha hata waseme nini afande na hao vijana wahukimiwe

  • @user-wv5ii1so1c
    @user-wv5ii1so1c 20 днів тому

    Huwo ni uwongo acheni upumbavu wenu , na huyo ni yeye kweli? Na kama ni kweli kwanini mnaendelea kudhalilisha, acheni ujinga, mna faa kushtakiwa kwa kosa kumdhalilisha kwa maneno na kumrekodi,

  • @NeemaMwita-h2y
    @NeemaMwita-h2y 20 днів тому

    Jaman duniya imeisha mm dada was kazi bsi sitaki

  • @verrynicemushi2563
    @verrynicemushi2563 21 день тому

    Hawa vijana wauawe pamoja na huyo afande aliyewatuma

  • @georgedemsemo02
    @georgedemsemo02 23 дні тому

    ❤❤❤❤❤😊😊😊🎉🎉

  • @CostaAntino
    @CostaAntino 24 дні тому

    Jamaan jamaan achen kumuladhimisha mtoro wamwenzen hivi kweli

  • @CostaAntino
    @CostaAntino 24 дні тому

    Hikichombo chahabali kchukuliwe hatuwa

  • @CostaAntino
    @CostaAntino 24 дні тому

    ACHA UJINGA K7WA NAAKILI MSMDHALILISHE

  • @georgedemsemo02
    @georgedemsemo02 25 днів тому

    ❤❤❤❤🎉🎉

  • @ChristinaTemba-m9e
    @ChristinaTemba-m9e 27 днів тому

    Mbona mnaladhimisha kusema? Acheni ujinga huyo ni mtoto alitakiwa awe darasani sio kazini.hata ww baba unaemuhoji huyo mtoto umeshamkula ndio maana unamkazia maneno ili asikutaje.

  • @lugeshadaudi
    @lugeshadaudi 27 днів тому

    Mshamba tu muoga wewe

  • @AllyFeruuz
    @AllyFeruuz 27 днів тому

    UMESAIDIWA PESA ZA KUJIKIMU UNASEMA RUSHWA HUNA FADHILA

  • @AllyFeruuz
    @AllyFeruuz 27 днів тому

    NA NDIO ALIEKURUDISHA NCHINI LKN KAKULIPIA MARIBABU

  • @GilgariMinistryTanzania
    @GilgariMinistryTanzania 28 днів тому

    Mh waziri mama Doroth kamata hao wote waliomlekodi maana huyo ni kama mtoto wanamzalilisha aelewi mama yangu fanya jambo Kwa waliolusha hii video

    • @jasmintanga2474
      @jasmintanga2474 16 днів тому

      Wazazi wa huyo binti hawana akili km jambo hilo wameshiriki lkn pia huo ni uzalilishaji kwa waliomrekod huyo bint wakati yeye sie aliefanyiwa vitendo hvyo wachukuliwe hatua tu na hawa

  • @user-he7ht6mj4f
    @user-he7ht6mj4f 28 днів тому

    Mbona nyinyi hamsemi mnavo mtesa mtoto wawatu 😢

  • @user-of3rx4wk7w
    @user-of3rx4wk7w 28 днів тому

    Dhambi sana

  • @user-ju4mi1qx5b
    @user-ju4mi1qx5b 29 днів тому

    Kweli kabisa

  • @gabrielbonday7780
    @gabrielbonday7780 29 днів тому

    Hawa wanaomuhoji na wao waadhibiwe mtoto ni mdogo

  • @georgedemsemo02
    @georgedemsemo02 29 днів тому

    😢🥹🥹🥹

  • @elizabethkalinga0822
    @elizabethkalinga0822 29 днів тому

    JAMANI JAMANI huyo Mtoto ni Mzima kweli? Ana Matatizo sio Bure Hayo Mambo makubwa yote kayatoa wapi? Na Machafu na yakutisha, kweli Dunia ni Tambala Bovu Uwiiiiiii 🙆🙆🙆🙆

  • @MligoSelemany
    @MligoSelemany 29 днів тому

    Af mmekua wajinga sana tena mkome kutwambia habar za uongo

  • @rosejohn8494
    @rosejohn8494 Місяць тому

    wamemlazimisha kusema

  • @songeza
    @songeza Місяць тому

    Yaani ukweli kabsa atusalimie tu Kwa bashasha zake tumemiss ooh Mungu okoa mtumishi wako

  • @yusufulimo5737
    @yusufulimo5737 Місяць тому

    Hii Ni kimdhalilisha hjatumia busara na hekima. Mnamrecord nyiempo nyuma ya kamera Hilo ni kosa pia.

  • @SeljusiMalambo
    @SeljusiMalambo Місяць тому

    Uongo acheni ujinga naushamba mnamlazimisha washamba wa camera hapo ni police au nikwako

  • @williammilamo6645
    @williammilamo6645 Місяць тому

    😂😂😂😂 mweee mungu tuepushe

  • @manjaugodwin7834
    @manjaugodwin7834 Місяць тому

    Yu wapı kk yangu? yu wapı mtumıshı wa Mungu? yu wapı mtetez wa wanyonge?Yu wapı Raıs wangu mtarajıwa?

  • @ishaRamadani-m2e
    @ishaRamadani-m2e Місяць тому

    Jamn nyie at kusom hamjui n at picha hamuon uyu siyo bint aliyolawitiwa angalien pich vzur cy mnakutupuka tu

  • @lutiak7618
    @lutiak7618 Місяць тому

    Kabint mnzuri ilibidi awe shule jamani

  • @happygombe1969
    @happygombe1969 Місяць тому

    Hivi nyie mnao mchukuwa video upo sawa kweli kichwani

  • @glorycheyo1081
    @glorycheyo1081 Місяць тому

    Mimi siamini huyu mtotokama niyeye yote kayafanya naona kama amelazimishwa aseme hvyo ili asiteswe

  • @ZawadyKaoneka
    @ZawadyKaoneka Місяць тому

    Huruma viongozi wetu hawa

  • @sonicaghendewa9886
    @sonicaghendewa9886 Місяць тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂Aiseeeeee kama ni kweli ningekua mimi nimekula duh ningejitapishaaa sijui😢

  • @IddySimba-fp2cc
    @IddySimba-fp2cc Місяць тому

    Mamake Sina nyongo apa

  • @Mista.Bee56
    @Mista.Bee56 Місяць тому

    Kwan akilizake azina akili uyu dada

  • @user-sj7kf5ep3u
    @user-sj7kf5ep3u Місяць тому

    Huyo mtoto ni mdogo mle sana hayo mavi wavivu wakubwa nyie

  • @magrethdaniel8441
    @magrethdaniel8441 Місяць тому

    Mh we baba nawe ni mshenzi tu Sasa unamrekodi unatupostia ili Nini Sasa huyo si mtoto mdogo kabisa Sasa na huyo mkeo ana kazi gani kama mtoto anafanya kazi zote hizo nyie wenyew matendo yenu machafu tu angekua mwanao ungemrekodi ungemuuliza maswali ya aibu hivyo mbwona mnaona kama vile nyie ndyo mmezaa alafu wenzenu wametapika na pia hata kutapika ni mauvu pia hamna hata hekima hapo wajinga sana

  • @georgedemsemo02
    @georgedemsemo02 Місяць тому

    Yaan nikweli wanaoungana. Na mimi nipeni like zangu

  • @EsterGaoga-i4c
    @EsterGaoga-i4c Місяць тому

    Ww bint huy mshenz kuen makin jaman na wafayakaz mbn hana adab bint mdog anafirwa na anawanaume kum had mamv yaallah watt wa 2008 hawaa😂😢 so sad wallah

    • @magrethdaniel8441
      @magrethdaniel8441 Місяць тому

      We unaamini Hilo jiulize huo uhuni anafanya mda gani na kazi za nyumbani anafanya mda gani na bado ni mtoto mdogo huyo

    • @aishafahdi8355
      @aishafahdi8355 Місяць тому

      Hapo sas my saa ngapi anafanya kaz? Na saa ngapi anakua na hao wanaume na huyo mama mwenye hao watt muda wote anakua Yuko wapi Hadi huyo Binti ana fanya uchafu huo? ​@@magrethdaniel8441

  • @AbuuAyubu-t7c
    @AbuuAyubu-t7c Місяць тому

    We unomhoji ni chizi na huyo mama ako hapo pembeni chizi mwenzio

  • @AbuuAyubu-t7c
    @AbuuAyubu-t7c Місяць тому

    Yan hii nchi kama tupo mzimuni serikali ipo wapi

  • @ConfusedBalkhHound-on2mx
    @ConfusedBalkhHound-on2mx Місяць тому

    Dunia Haina shida ila sisi binadam ndio tunaifanya Dunia iwe mbaya

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba Місяць тому

    Acheni uvivu ata maji ya kunywa binti wa kazi,,namke yupo,, mtakula sana uchafu,,kwanza mchukuliwe hatua uzalilishaji uo,,

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba Місяць тому

    Uyo binti mnatishia tu,,amna tofauti na askari wanao tushiaga mtu anasema kitu ambacho hakioo,,wewe baba acha sifa kwa mke,,kazi ya mke ni nn uvivu tu wa kulea,,mwacheni mtoto wa watu

  • @JanethSanga-lv8pv
    @JanethSanga-lv8pv Місяць тому

    Iih ndo maan halisi ya binadamu afi kwa uchafu 😂😂😂😂

  • @JanethSanga-lv8pv
    @JanethSanga-lv8pv Місяць тому

    😅😅😅😅😅😢😢😢😢uzuni lkn daaah