SPIKA DKT. TULIA ATOA TAMKO ZITO SAKATA LA USHOGA, AIPA MAAGIZO SERIKALI"LIMESHAELEWEKA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 193

  • @ramadhanisaidi6955
    @ramadhanisaidi6955 Рік тому +33

    Serikali yetu mko vizuri sana ila kwahili la ushoga wanainchi hatulikubali kabsa japo nyinyi mnalichukulia mzaha sana , japo sijasoma ila mnashangaza sana eti mpaka mjue tatizo nikubwa kiasi gani ndoo mtunge sheria ,kwakati munatunga sheria mtu akiiba afungwe miaka kazaa mlipitia wizi uko kiasi gani au mnatudanganya sisi ili muendelee kufanyanya yenu ,tunga sheria ipite anaefikiria kufanya aache aogope nasio kusema mpaka mkatasimini tatizo kubwa kiasi gani ,kumbukeni watanzania ipo siku watachukia afu mtajua sio wapole hivo mnavyo fikiria ,

    • @sospatrongallaba3252
      @sospatrongallaba3252 Рік тому

      ICAP, SHEDEFA, ( mza). Japaigo Shinyanga na Mza

    • @johnycavishe5207
      @johnycavishe5207 Рік тому +2

      Serkal inazinguwa alaf kwanza tz inapenda misaada Sana ndo Mana rais wetu yupo kmyaa ad sasa Kwan ukuskia wakubwa fanyen waachen watoto hapo unawaza nn tayar rais kashakbal mbn ushoga tz

    • @jamesjkatimbo5549
      @jamesjkatimbo5549 Рік тому +1

      Awa wamekula eka za wazungu waende wenyewe wakazilipe au wapeleke watoto wao wakaliwe nyuma

  • @ransonlema3916
    @ransonlema3916 Рік тому +1

    Ngoja Mungu atakaposhusha ghadhabu ya ukame, matetemeko, mafuriko na vimbunga, njaa ndo mtajua Mungu ni wa kuogopwa kuliko wazungu, tumtegemee Mungu peke yake, tuvune rasilimali zetu kwa ustadi, tufannye kazi kwa bidii, tukataei mikataba yenyee laana hizi, tumhofu Mungu

  • @gasperedward
    @gasperedward Рік тому +23

    R.I.P JPM Mungu akufanyie wepesi huko uliko Mkuu wetu ungekuwepo upumbavu huu usingekuwepo katika hii Nchi

    • @onelovetz7935
      @onelovetz7935 Рік тому

      Wewe ni mzalendo msema kweli JPM asingekubali ujinga

    • @mohamedturanardan8871
      @mohamedturanardan8871 Рік тому

      we chizi kwani wakati wa Magu hawakuwepo mashoga? Mashoga wauwawe

    • @nahashuaka4979
      @nahashuaka4979 Рік тому

      Kabisa

    • @shamaidal6407
      @shamaidal6407 Рік тому

      Kabisa

    • @gasperedward
      @gasperedward Рік тому

      @@mohamedturanardan8871 tumia akili we zwazwa msimamo wa kiongozi mkuu upo wapi hakuwa akiruhusu mambo ya kishenzi kama haya uelewe tabolalasa.

  • @abdallahmbeten
    @abdallahmbeten Рік тому +2

    Tulia
    Uko vizuri sana nashukuru kwa jibu lako nimelidhika ❤❤❤❤❤ sina swali naomba Mungu akujarie kwa kila jambo,,,, inshallah

  • @mustafakimalio9129
    @mustafakimalio9129 Рік тому +6

    Utafiti ? Wa nn ,,,sema lini Sheria ije,,huu utafiti hadi lini au ndio kuwanyamazisha wasiendelee kuongea kwa kusubiri utafiti duh

  • @haidaringugi2734
    @haidaringugi2734 4 місяці тому

    Allah atulinde dhidi ya janga hili la ushoga na adhabu yake

  • @paskaligwangway2597
    @paskaligwangway2597 Рік тому

    Inapendeza sana nchi yetu kukutaa uchafu wa ushoga na kusagana , mungu atulinde sote.

  • @maase2023
    @maase2023 Рік тому +4

    Kwanza huyo joti afungiwe kabisa maana yy anatoa mfano wa vitendo vya wazi kuharibu jamii

  • @EliamaniSarbabi
    @EliamaniSarbabi Рік тому

    Safi mwamba Mbunge Mh Noa

  • @muhammadfadhil9442
    @muhammadfadhil9442 Рік тому +2

    Jamani hichi kitu si cha kujadili ni kuchukuwa hatuwa madhubuti tu

  • @yayananajota5838
    @yayananajota5838 Рік тому +10

    Ukimsikilza huyu mdada unaona kabisa hamna kitu🙄😏😏

  • @ransonlema3916
    @ransonlema3916 Рік тому

    Tunapenda kuheshimiwa na kuheshimiana sana, je Tunamheshimu Mungu ktk janga hili la ndoa za jinsia moja? Mbona dawa ni NO, basi!!!

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 Рік тому +8

    Sipika maelezo mengi toa tamko

    • @sarahkimu1351
      @sarahkimu1351 Рік тому

      Eee mungu kwann uliruhusu magufuli afeee

  • @neemakwanama3370
    @neemakwanama3370 Рік тому

    EE YESU WETU NJOO UTUTETE TUMEISHA BABA

  • @salimkaka1050
    @salimkaka1050 Рік тому +2

    Kwel tanznia hatuna viongoz imara 😢 yaani mnasubie tatizo likue kwa asilimia 80 ndio mjue kuw limekua au kubwa au 😢😢 kwa ilivyo kwa vile hili suala ni tishio kwa jamii zetu linahitaj kauli moja tu hata kma liwe linaanza sasa , nyiny mmejadil sku zote hizo alaf mmeshindwa kuja na jibu la kuelewek kwel dah inasikitisha san hii 😢😢😢

  • @maryammohammed1991
    @maryammohammed1991 Рік тому

    Mungu atuepushe na mambo hayo

  • @frankmayaya367
    @frankmayaya367 Рік тому +1

    Natamani kuckia mchango kutoka Kwa Tundu lissu kuhusu mada ya USHOGA!

  • @chrisbertludovick8908
    @chrisbertludovick8908 Рік тому +4

    Hapa amna kitu kikubwa ni sheria kali nyinyi wa bunge akuna kitu mlicho jadili lolote inahitajika sheria iwe kali mpaka dunia ishtuke mkisema speka kasema amna lolote hapo usanii tuu sheria tunazijua bhana

  • @hilalymaamar6644
    @hilalymaamar6644 Рік тому +1

    Sisi sahv viongozi hakuna ni hiyo laana tuu hakuna kiongozi mwanamke kiongozi mwanamke mwanamme kakaa nyumbani anakuna ndevu subhanallah ni msiba mkubwa inna lillah wainna ilayhi raajiuun

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 Рік тому +1

    Naomba pitisheni sheria hii. Kwenye mtaa kijiji kitongoji akijulikana ni shoga au msagaji. Wananchi waue wachome moto. Polisi waje wachukue mzoga ndio itakua komesha. Hata bibilia inasema mtu atakae muingilia mwanamume mwenzake mwanamke mwenzake. Kinyume cha maumbile anatakiwa auwawe sio aperekwe mahakamani

  • @babuloliondo74
    @babuloliondo74 Рік тому +13

    Mna mungunya maneno sema kauri mojatu kama uganda apa nihapanatu basi

  • @AdamKaponda
    @AdamKaponda 5 місяців тому

    Hatahili unalilionea aibu Kuta
    Mka?ogopeni laana Toka Kwa mungu,kemeeni dhambi achana na siasa

  • @alvinsanga2428
    @alvinsanga2428 Рік тому

    HAKUNA CHA SHARIA JIBU NI MOJA HATUTAKI USHOGA

  • @stephensengo6877
    @stephensengo6877 Рік тому

    Ninyi ni watunga Sheria so mwogopeni Mungu okoeni Taifa kwa kutunga Sheria zinazoeleweka

  • @sarahmgalama3503
    @sarahmgalama3503 Рік тому

    Kwann mnalinyamazia hili?

  • @paulinamoshi8141
    @paulinamoshi8141 Рік тому

    Why linaendelea?

  • @saumjengi8184
    @saumjengi8184 Рік тому

    Namkumbuka Magufuli sna alikuwa hakwepeshi maamuzi

  • @barikiringo6311
    @barikiringo6311 Рік тому +6

    Unafanyaje utafiti angali mnafanya kazi kwa maneno bila vitendo,

    • @starfourbed8341
      @starfourbed8341 Рік тому +1

      Ujinga hauwez ondoaujingamwingine. tunajisahausana ktk kuchaguaviongoz.madharayake ndiohaya

  • @eizerbitz6715
    @eizerbitz6715 Рік тому +1

    Tumesahaulishwa mabiloni ya CAG. Hii nchi ni hatari watu wameseti agenda tumesahau kufatilia PESA

  • @alvinsanga2428
    @alvinsanga2428 Рік тому

    JAMBO GANI MBONA UNAZINGUKA ZUNGUKA HATUTAKI USHOGA

  • @BalkisMakame-kg4nr
    @BalkisMakame-kg4nr Рік тому

    kumbukeni mumebeba dhamna na uta kwenda kulixwa jipnge n mjbu ya kwenda kujibu

  • @seifomar1477
    @seifomar1477 Рік тому

    UNGE TOWA TAMKO KAMA WW KUWA UNALITAKA AU HULITAKI MAANA HIVYO UNAJIBU KISOMI KUWA WW HUNA KAULI NALO

  • @neemapeter4572
    @neemapeter4572 Рік тому

    😂😂😂😂sheria zitaletwa.....

  • @franktangeki9342
    @franktangeki9342 Рік тому +10

    kwahiyo kama watu wanafirana kwa asilimia ndogo waachwe ? du nchi hii tunapigwa pesa kilakukicha na watu wafirwe ?

    • @Hasnspop
      @Hasnspop Рік тому

      😂😂😂😂😂 tumepigwa aiseee kufirana wanaona poa tu

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 Рік тому

      Wanafiriana wapi. Kama ni kwa maficho wako wengi na ni haki yao kama wameelewana na ni watu wazima.
      Kama wanafiriana hadharani,wanapelekwa jela

    • @LinahLinahmgweno
      @LinahLinahmgweno 6 місяців тому

      😂 nakweli waachwe mtu kama kataka mwenyewe

  • @aleckmwakibete8952
    @aleckmwakibete8952 Рік тому +7

    kweli Tanzania tumeingiliwa viongozi hatuna 😢😢😢

  • @allyikuta7572
    @allyikuta7572 Рік тому

    Hakuna budi bunge Kutoa msimamo wake kuhusu mashogo, wasagaji mabasha

  • @adildewji
    @adildewji Рік тому

    I hope this is done ASAP.

  • @yustahyera4288
    @yustahyera4288 Рік тому

    Serikali fanyeni kazi swala la ushoga linaathiri sana watoto na vijana wetyu

  • @HawaHemed-xb4io
    @HawaHemed-xb4io Рік тому

    Wabunge kumbukeni na MABASHA NAO HATARI NDIO WAHARIBIFU WASAKWE MBONA HAMULITAJI KUNDI HILO LA WAFANYAJI WA WENZAOOO

  • @salmaalkarousi8764
    @salmaalkarousi8764 Рік тому

    Huyu spika hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi,, yaan dah mtihani

  • @yohanasafari2526
    @yohanasafari2526 Рік тому

    Sheria Kali iwekwe na bunge ipitishe haraka sana

  • @emmanuelchiza7733
    @emmanuelchiza7733 Рік тому +1

    Napata wasiwasi Hawa viongozi pia watakuwa wanakanyagana sio bure, helmets za ushoga ni kubwa sana miongoni mwao 😎😎

  • @siporajemes773
    @siporajemes773 Рік тому

    Inamaana km litakua ndogo utariacja liendelee?? Mbona mama sijakuelewa nahisi hijawai kuumwa uchingu na hauna vijana wadg

  • @FaridaJames
    @FaridaJames Рік тому

    Hatuna rais hapo muacheni aupige mwingi

  • @ramadhanmakwinya2280
    @ramadhanmakwinya2280 Рік тому

    Kauli ni ya mzee wetu Magufuli hakuna ushoga apa wepeleke kwao ukouko Nchi yetu hatutaki mambo ayo yakifiraun

  • @zainabusadi6469
    @zainabusadi6469 Рік тому

    Yaani tanzania hatuna viongozi kabisa!😢mungu tusamie

  • @jimmy-qk4sj
    @jimmy-qk4sj Рік тому

    Dr Tulia tume ya ninii sheria ni moja ukithibitika ni kifo tu

  • @paulhando6286
    @paulhando6286 Рік тому +5

    Labda likifikia 50% ndo sheria itungwe? Makonda Makonda yuko wapi? Tuliona anavunja haki za binadamu..Sasa yaliyowajuta Dodoma na gomora yamekaribia hats jwetu.

  • @ukweliunauma4570
    @ukweliunauma4570 Рік тому

    America imetoka million 66 tz na Ghana ili kulinda ushoga juzi ndio maana hawawezi kupitisha sheria ya kuzuia ushoga sasa. Rejesheni pesa iyoo acheni tamaa

  • @farajimazengo7332
    @farajimazengo7332 Рік тому

    Hakika tatizo laushoga nikubwa halina kukaa chini mutunge sheria sisi tutawaona mnafanya kazi tulizo watuma kama mnatusikiliza vizuri wananchi tuio watuma

  • @VeneReji-mu1yy
    @VeneReji-mu1yy Рік тому

    Dawnload

  • @OmaryBarua-te7jg
    @OmaryBarua-te7jg Рік тому

    TUSHIRIKIANE KUWAONDOA VIONGOZI WANAOBARIKI USHOGA AFRIKA

  • @MuddyGuy-gy9eb
    @MuddyGuy-gy9eb Рік тому

    Akumbukwe Magufuli kamanda

  • @ratifufuad
    @ratifufuad 8 місяців тому

    jamn kuna mtu anishi ungereza ananitaka kimapez je selekali munaniangaliaje

  • @sixmundleonard2135
    @sixmundleonard2135 Рік тому +1

    Uyu nae anavimelea vya kuunga mkono ushoga yn ww kama kiongozi ungetakiwa kuwa mkali xx ww unakuwa km huelewi kinacho endelea tz

  • @hafidhdrogba3392
    @hafidhdrogba3392 Рік тому

    Tatizo lipo ndani ndomana wanasuasua wanaogopa kutiana aibu

  • @blesshani8380
    @blesshani8380 Рік тому

    What!!!? Nonsense answer ever

  • @sophyodago5062
    @sophyodago5062 Рік тому

    Hatuna spika

  • @shukurumgimba4884
    @shukurumgimba4884 Рік тому +1

    Ndugu sio kila kitu kinataka kufuata protocol, vitu vingine in dharura na inabidi kutatuliwa kidharura hivyohivyo,

  • @TamimuLuhende-mk1pm
    @TamimuLuhende-mk1pm Рік тому

    ko mnataka ili tatizo liwekubwa ndo mtunge shelia acha usiasa linda tamaduni zetu

  • @dingadinga6674
    @dingadinga6674 Рік тому

    Mh.spka nakuunga mkono

  • @habibarashdi2250
    @habibarashdi2250 Рік тому

    Tunataka tuone Sheria ichukue mkondo wake,ili mtutoe hofu sababu tunajua kunaviongozi huko juu ndo wanasimamia ushoga nando walawiti wakubwa

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 Рік тому

    Hamfai kuongoza nchi hii hata dakika moja

  • @abubakarymwagange
    @abubakarymwagange Рік тому

    Tutapamban Hadi ushoga usitawale jaman

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 Рік тому +5

    Unataka ijulikane ukubwa wake ili iweje,semenitu kuwa hili Jambo halina maana,kwenu,lakini niwaambie ukweli wabunge nyinyi mnaotumia Kodi zetu msipo kazana kulisema Jambo Hilo Mungu wa mbingu nanchi atalisema Yeye halafu tuta ona mtakimbilia wapi.

    • @evelyneabdul2785
      @evelyneabdul2785 Рік тому +1

      tutafanywa kama bazil

    • @geofreykashililika9704
      @geofreykashililika9704 Рік тому

      Ht spka anamung'unya tu maneno hamna lolote hamna lolote

    • @geofreykashililika9704
      @geofreykashililika9704 Рік тому

      Ko spika unataka upate mda gan had liwe kubwa et hujui Kama hili Ni janga..kmbk linaweza ht kukugusa mwenyewe ww una ndg na jamaa ujue

  • @onelovetz7935
    @onelovetz7935 Рік тому

    Tatizo kukopakopa mikopo yenye mashaliti ya ushogashoga halafu munasema mtajifikilia wangeanzia kwake aliyekopa yeye asilete laana hapa Tz

  • @FabiaHassaan-wh3lp
    @FabiaHassaan-wh3lp Рік тому

    Uko sahihi mana Muna mambo mengi ya kuwasimamia kuliko kupoteza mda mwingi kujadili jambo Moja

  • @daudimbofu6670
    @daudimbofu6670 Рік тому

    sema Moja kwa Moja usimumunye maneno

    • @alfredmwasandele6922
      @alfredmwasandele6922 Рік тому

      Wewe hujuwi spika unataka lijulikaneje sasa ssitume watuma tungeni sheliya kali kutokomeza mambo hayo yaushoga watoto wetu wata halibika tusisubili wakati ni sasa

  • @ShabaniChande-kn9yl
    @ShabaniChande-kn9yl Рік тому

    Acheni kuuma meno nyie ni wazazi pia tumieni fursa mlizopea na Mungu vizuri

  • @amibeamibe7261
    @amibeamibe7261 Рік тому +2

    SIJAPENDA KAULI YA NENO " KIASI GANI" NDO MAANA HATA KTK MAOFISI UFISADI UNAONGEZEKA KISA AMEONEKANA MMOJA NDANI YA WATUMISHI 500. BILA KUJUA KWAMBA NI HATARI KWA TAIFA.

    • @asteriashios1852
      @asteriashios1852 Рік тому

      Duh hamna kitu hapo Kwa kauli Yako spika hapana inaonekana mlisaini waziwazi kabisa yaani hamna nguvu ya kulikataa kwanini iwe kiasi?

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 Рік тому

    Wnaopiga makofi ninawasiwasi nao,
    Maana hapo naona kama spika anaupooza moto waliouwasha wabunge

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 Рік тому +4

    Tatizo ni kubwa, mtaani mashoga wanapeta waziwazi

  • @gisdenga7740
    @gisdenga7740 Рік тому

    😂😂😂 Raisi amesema wafanye wakubwa tu

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 Рік тому

    Tunajuwa bunge la rangi moja mshakula manoti ndio maana mnapata kigugumiz kuweka sheria kali za kuuangamiza ushoga imeshindkana

  • @sibomanasamary7486
    @sibomanasamary7486 Рік тому +7

    muda mwingine tuwe naakili makumu wa raisi wamalekani alifata nini tz mbona hakwenda uganda au rwanda tuweni na akili

  • @josephmfune9897
    @josephmfune9897 Рік тому

    Na mchere kwetu jaribu sh 5000

  • @salimalaquimane3077
    @salimalaquimane3077 Рік тому

    Spika uja wahi kumungunya maneno lakin leo vp unacho kiongea aki elewek au ndio au bas au lakin bas

  • @PeterSimwinga-y4v
    @PeterSimwinga-y4v Рік тому

    Mbona kama mnakwepa kwepa

  • @pauloropian2367
    @pauloropian2367 Рік тому +1

    Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki viongozi wetu.i think hata na malaika wanapiga makofi juu ya swala hili kule mbinguni ,wakiona wanadamu wakijaribu kupinga hila za shetani kutaka kuwalag'ai wanadamu juu ya swala hili.

  • @florakaria3793
    @florakaria3793 Рік тому

    Anzeni na wabunge tafadhali

  • @ratifufuad
    @ratifufuad 8 місяців тому

    hatutaki ushoga

  • @dadatumaini7423
    @dadatumaini7423 Рік тому

    Shetani Anajua sikuzake zimeisha ,yesu ludi tu

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 Рік тому

    Achen porojo kama ni wakweli tungen sheria kama niwakwel I hamuungi mkono ushoga

  • @selemsigala4771
    @selemsigala4771 Рік тому

    sijaelewa yani mpaka jambo liwe kubwa ndipo litungiwe sheria uo ni utani kabisa.

  • @farihanyngalalangalala8433
    @farihanyngalalangalala8433 Рік тому

    Apo viongozi hakuna yani kutoa tamko moja inashindika

  • @benarddickson1326
    @benarddickson1326 3 місяці тому

    MUNGU ANAKUONA, UTAFITI WA NINI NI JAMBO LINALOKEMEWA HATA NA MUNGU !! WABUNGE MTAJIBU KWA MUNGU

  • @hamadathuman6939
    @hamadathuman6939 Рік тому

    Watu wakifirana kidogo apoo sheria akuna ,,Wazeee Embuu firanenii sana ili bungee litungee sheria

    • @kakanicodemus3632
      @kakanicodemus3632 Рік тому

      Ndugu yangu Hamad jina zur la dini safi ya kiislamu, haki tusisitize vitendo hivyo vifanyike,

  • @kaponasalum3648
    @kaponasalum3648 Рік тому

    Anaeingiliwa atapimwa NA anaweza kugundulika. Je, anaeingilia tutamgundua kwa kipimo gani?

  • @HermanSasuri-tu6we
    @HermanSasuri-tu6we Рік тому +5

    Hapo mheshimiwa spika sijakuelewa, yaani watoto unaowasemea hapo ndo haohao wanaofundishwa mashuleni, kwa hiyo wakati mwingine tungeni sheria za kuweza kulisaidia taifa letu kwa masrahi ya Leo na baadae ,maana tunataka kuishi kwenye nchi ambayo kila kitu kinafanyika hovyo kwa sababu sheria bado hazina nguvu.

    • @nellychamba1507
      @nellychamba1507 Рік тому +1

      Sipika sikia, kuhusu hathali ni kubwa, ukubwa unatokana na kurejea kwa aibu na watu kupuuza Sheria, Jambo la msingi Sheria itungwe kwa haraka au kuboresha Sheria kwa haraka, tunasubiri msimamo wa sherikali Kisha Mambo yatakaa sawa, hatupendi ushoga Tanzania.

    • @edchrisbeatz8976
      @edchrisbeatz8976 Рік тому

      nelly chamba..hapo sheria itatungwa baada ya miezi 3..yani kwanza wachumguze pili itoke bajeti afu ndo itungwe ..asee tanzagiza..huu ushetani utaendele kuwepo na utakuwa zaidi kwa sababu hii nchi inaviongoz.. wendawazmu

    • @lightnessmushi8137
      @lightnessmushi8137 Рік тому +1

      Ina maana mpaka serikali ichungunguze tatizo ni kubwa kiasi ani km sio kubwa!

    • @lightnessmushi8137
      @lightnessmushi8137 Рік тому

      Km sio kubwa waendelee mpaka litakapokuwa kubwa?!!!sasa watoto zimewatia shule kwa sababu ya kufundishwa hayo mambo ,bado sio kubwa!!! Ushahidi wa mwakyembena wengine bado sio kubwa,nimungupeke yake aingiliejambohili.hasira ya Mungu haijawahi kuiwakia Tanzania lakini kwa hili itawaka,na hiihasira itahusu hata sisi wote tusiokuwemo,Mungu ni mtakatifu,hawezi kulivumilia hili jambo,angetuacha km hatujui lakini tunafanya tukijua ni kosa,hasira yake itakomesha viungo vyote vitakuwa majivu,zitakosa vyote ni boratukajirekebisha tujaribu atatusamehe,maana yuko tayari kusamehe km tutatubu kwa moyo wa dhati,huo ni ushauri wangu kwa watanzania.

  • @tinkybellah6634
    @tinkybellah6634 Рік тому

    Weee spika acha siasa
    Hata mshipa waaibu huna
    Huiongopi dhambi basi muogope Mungu wako

  • @hamidusibye5241
    @hamidusibye5241 Рік тому

    IMEBAKIA TU MUKTADHA MUKTADHA......BILA YA KUWEKA SHERIA KALI PASI NA KUZINGATIA UKUBWA AU UDOGO WA JAMBO HUSIKA KIUENEVU,,,,,,,,,KEMEA JAMBO HARAKA KWA UAMUZI WA KUWEKA SHERIA PAPO HAPO..

  • @abbas.h.saydy.3991
    @abbas.h.saydy.3991 Рік тому +1

    Hakika hapo Mheshimiwa Spika umesema jambo muhimu katika utekelezaji, hakika umechukua hatua kali labda upande wa serikali yetu wawe kinyume na maagizo ulio wapa!!

  • @hafidhdrogba3392
    @hafidhdrogba3392 Рік тому

    Kifupi kutakuwa nakubaazi yaviongozi washalibika ndomana kunaugum wamamuzi

  • @fatmamlama-le6oz
    @fatmamlama-le6oz Рік тому

    Mm Apo naona viongoz ndo utumbo kwann mnapenda sana kuiga vitu kutoka marekani???swal mbona magufuli alivyokuwa hai hatukuwahi kusikia et wazuri wa marekan anakuja Tz???? Mnatakiwe muwe Na iman jamon mnaendeshwa hovyo tu Na apa Tz kuna mtu ndo anajifanya anamamlaka sana tena ndo mtu m.baya kbsa kakaa pembeni Na miwani yake

  • @ShabanHamza-qg3wj
    @ShabanHamza-qg3wj Рік тому

    Sipika wa binge usipo piga Vita ushoga na usagaji sijui utatwambia nini

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 Рік тому

    Uko sahihi mheshimiwa Spika,mimi naona hakuna ushoga Tanzania ila kuna wahuni wengi wanapotosha wananchi.
    Wako wapi hawa mashoga na wasagaji au ni upuuzi tu

    • @emmanuelchiza7733
      @emmanuelchiza7733 Рік тому

      Wewe sio bure utakuwa miongoni meso😎😎

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 Рік тому

      @@emmanuelchiza7733 Watanzania badala ya kujadili mambo muhimu ya maendeleo wanajadili uhuni. Hawazungumzii maji,barabara na umeme. Hata namna ya kupata chakula chao cha kila siku.
      Wakizungumzia ushoga utadhani bomu ya nyuklia au uko kwenye nyuso za watu. Hebu endeleeni kubweka ushoga,usagaji na huku watu wanakufa kwa ajili ya njaa na maradhi lukuki.

  • @jamesjkatimbo5549
    @jamesjkatimbo5549 Рік тому

    Atutaki ushogaaa

  • @wakayakaya6
    @wakayakaya6 Рік тому

    Mjue ukubwa wake ili iweje acheni kutafuna bigijii semeni tu jambo Hilo hatutaki watu wakijihusisha ni kunyongwa tu

  • @ELIPHAZAMON-ex9zc
    @ELIPHAZAMON-ex9zc Рік тому

    Maneno mengi suluhu zero maguful alikuwa anapasua hata wanyama huo mchezo hawakosei nyie maneno mengi pont hamna ni pumba tupu

  • @stamaelkept7606
    @stamaelkept7606 Рік тому

    Natamani mutangaze kama alivyofanya makonda wakat wake kuwa watajwe wasagaji na hao wanaume wanaoliwa nahisi Kama itasaidia kiasi flan kwakua watu hao wanafahamika na wanaishi kwenye jamii zinazotuzunguuka