RAIS SAMIA AMUULIZIA DIAMOND "YUKO WAPI HAJAJA? KWENYE SHOW YA HARMONIZE AMSIFIA HARMONIZE JESHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 вер 2024
  • Unaweza kututembelea instagram @bingoonlinetz
    #bingoonlinetz
    #sisisiowepesi #TunakupaKwaWakati
    Ahsante kwa Kuiamini na ku SUBSCRIBE BINGO ONLINE TZ Na kuifanya ifikishe Subscribers Milioni 1

КОМЕНТАРІ • 510

  • @Boyluke-luke
    @Boyluke-luke 4 місяці тому +235

    Kama unampenda harmo nipe like zangu ata 10❤❤❤❤❤

  • @nunniznurcky9724
    @nunniznurcky9724 4 місяці тому +53

    Hongera mama kufika kusfia mwana mapenzi ya mama .❤❤ na umependeza sana mama ❤ much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mizerosalomon-yp7fw
    @mizerosalomon-yp7fw 4 місяці тому +16

    Thank you your excellency Mama samia for blessing Harmonize konde boy we love you from burundi❤🇧🇮🇧🇮

  • @KevinOtucho-ow2xx
    @KevinOtucho-ow2xx 3 місяці тому +18

    Kenya sijai ona rais akiwa karibu na wasanii kama wewe mama...kazi mzuri sana

    • @4mikky
      @4mikky 2 місяці тому

      i was to write this 🤣🤣🤣🤣but umeandika the same thing big up sana kevin kuona ivo. Kenya hakuna support

  • @honeyflower254
    @honeyflower254 4 місяці тому +142

    Natazama nikiwa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kama unaempenda harmonize nipe likes

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 4 місяці тому +21

    Samia hongera sanaaa kwa kusaport vipaji vya wasanii wetu wa Tanzania nichue na mie mie najua sema connection

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 4 місяці тому +50

    Mama leo kapendez km sio yeye khaa. Pongezi sana harmo kweli wew JESHIII

  • @godfreyassenga7671
    @godfreyassenga7671 4 місяці тому +24

    Mama leo kawa pic kali kabisa❤😂

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 4 місяці тому +27

    Mama kapendeza kwa kweli...amani iwe juu yako mamangu....unaongoza vizur xna kwq amani na upendo mamangu....ata hutuba zako na sauti yako... ubarikiwe daima...

  • @ElishamaMulokozi-pi8nm
    @ElishamaMulokozi-pi8nm 4 місяці тому +5

    Rais Samia kama unanipenda harmonize mimi naitwa elishama mulokozi💯👋👋

  • @BarakaPatrick-ue2qz
    @BarakaPatrick-ue2qz 3 місяці тому +2

    Tunapenda sana rais wetu mama samia suhulu hassan kutoka tanzania❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @SwidTaikun
    @SwidTaikun 4 місяці тому +7

    Yah bro harmonize welldone. Njoon wew msanii,mfanyabiashara upate mchongo wa online pesa mbs zako nihela nzuri tu njoo nikufunze

  • @John97kamathe-hx7lr
    @John97kamathe-hx7lr 4 місяці тому +2

    Mungu alibariki TZ kwa mengi bora 💟💟💟💟💟

  • @fredmokamba8386
    @fredmokamba8386 4 місяці тому +5

    hongera sana selikali ya Tanzania.kwa kutambua vijana

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 4 місяці тому +7

    UMEPENDEZA MAMA. UMERUDI MSICHANA KAMA MSICHANA WA CHUO. ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @jackisrael.I.B.E.X
    @jackisrael.I.B.E.X 3 місяці тому +1

    It is very humbling to hear Mama Samia talking about setbacks you might incur while growing from level to level..she is very humble & loving...long live Mama Samia🎉

  • @KassimHanga-xr7rb
    @KassimHanga-xr7rb 4 місяці тому +24

    ❤❤❤❤ wewe ni mama wakweli nimefurahishwa Sana Sana mama kutenga muda wako na kukaa na watoto wako Mw Mungu akujaaliye afya njema uzidi kukaa na vijana wako amin

    • @Hamisi965
      @Hamisi965 4 місяці тому

      Atenge mda wa kukaa na masikini pia

    • @YohaniMery
      @YohaniMery 4 місяці тому

      ​@@Hamisi965aende mtaani kwa maskini ndo tuseme ni mam wa kweli

  • @donricky850
    @donricky850 4 місяці тому +3

    Samahani sana ..kwa kweli nimetafta hotuba ya SM tangia Jana Leo hii ndo nakutana nayo hapa hapa....from kenya ❤❤mama kaongea vizuri bila upaguzi

  • @theafricanphilosopherqueen3032
    @theafricanphilosopherqueen3032 4 місяці тому +5

    A woman and a half indeed...love you your excellency mama Samia Suluhu❤so proud of you.

  • @criseldamasika674
    @criseldamasika674 4 місяці тому +5

    Umependeza sana, Mimi na semeni mwanamke ni watu wawili ohhh❤️👏👏🌹💯

  • @vickynyakio7346
    @vickynyakio7346 4 місяці тому +91

    Yaani Mama samia anajua diamond kama Nassib Abdul❤❤❤...kijana Wake🔥🔥🔥

    • @billionboogiey9909
      @billionboogiey9909 4 місяці тому +1

      Kabisa much luv nipitie namimi please

    • @kingrasdee445
      @kingrasdee445 4 місяці тому

      Naomba namba ako tafadhal vicky.

    • @audaxmlowa9953
      @audaxmlowa9953 4 місяці тому

      Mbona amemtaja omari mmemsikia nasib pekee bongo bana

  • @olamegahararo
    @olamegahararo 3 місяці тому +4

    Kijana Harmonize nakukubari sana ❤❤

  • @MARY-k6q8d
    @MARY-k6q8d 3 місяці тому +3

    No political woman in my country Kenya can speak this fluent swahili ..na kama yupo mtaje unichallenge

    • @EnockKoech-d4f
      @EnockKoech-d4f 3 місяці тому +1

      Umesahau Aisha Juma kakangu eh 😮😂

  • @ganjaligwamatata7140
    @ganjaligwamatata7140 4 місяці тому +3

    Asante mama kwa kuonyesha upendo kwa wanainchi wako kwa kuitikia usiku mama na kujumuika pamoja

  • @WahidaHassan-rt1qn
    @WahidaHassan-rt1qn 4 місяці тому +5

    Jamn mpaka Raha Team konde Oyeeeh 💪💪💪💪💪

  • @DAGYNUMZ
    @DAGYNUMZ 4 місяці тому +3

    Mm ni msani upcoming, lakini nampenda Sana harmonize ,nipe like zako . from KENYA

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 4 місяці тому +1

      Daah mimi simpendi toka amtukane mwenyezi mungu namuona kama lishetani fulani hivi😂😂😂

  • @enoeddyedymay2651
    @enoeddyedymay2651 4 місяці тому +3

    Asante Jeshini kwa kutuelimisha kuhusu ukuu wa Mama. Thx.

  • @jacksondismas4109
    @jacksondismas4109 4 місяці тому +12

    Mama umetisha

  • @DenoOire-uv6rs
    @DenoOire-uv6rs 4 місяці тому +5

    Kondeboy hongera❤❤❤❤🎉🎉

  • @Irenediana-g5b
    @Irenediana-g5b 4 місяці тому +33

    Mama leo umependeza sana❤

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 4 місяці тому +1

      Huyu mama anazingua amekosa kwenda kushughulikia wezi et na yeye anakuja kwenye mipasho

  • @magrethkaheya798
    @magrethkaheya798 4 місяці тому +4

    Hongera sana mama nakupenda sana mama mungu akutangulie kwenye majukumu yako

  • @NecholuosBenjamin
    @NecholuosBenjamin 4 місяці тому +4

    Usijal bingo your the champions

  • @Zanzibarhakunamatata
    @Zanzibarhakunamatata 4 місяці тому +43

    Kama unampenda mama wetu gonga like kibao hapa🎉

  • @BarakaPatrick-ue2qz
    @BarakaPatrick-ue2qz 3 місяці тому +1

    Konde boy hongera sana tena sana❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @Hakuzwe
    @Hakuzwe 4 місяці тому +8

    Mama Mimi ni mukimbizi kutoka kivu kasikazini naishi Zambia.Mama nakupenda sana.Ila kabula sijafa ni ngemuomba Mungu ni kusalimiye mama...ukija uku Zambia ni kuone mama.

  • @shakirashakira-gc2yw
    @shakirashakira-gc2yw 4 місяці тому +3

    Mama wa taifa la tz Alhamdulilahi tupepata mama mwema Allah akuifadhi duniya na aghera raisi wetu kipenzi chetu nakuomba sana sana sana mkowa wetu wa pwani wilaya ya kisalawe tunateseka sana na mkaa tunateseka sana wengine wanamchi wako atuna uwezo na gesi ata kuni nyasi pia tunakatazwa mama yetu kipenzi chutu na kipenzi cha Allah tunakuomba liyangalie hili kwa ajili ya Allah na wanamchi wako mkowa wa pwani wilaya ya kisalawe tuwengalie sana kuusu mkaa na kuni nyasi maskali wanakata sana wanao beba mkaa na kuni

  • @IvanMtatifikolo
    @IvanMtatifikolo 4 місяці тому +24

    Wa pili like zang

  • @Kautharkabanga
    @Kautharkabanga 4 місяці тому +3

    You made it bro umetisha Sana

  • @HidayaMchimilah
    @HidayaMchimilah 4 місяці тому

    Hongera mama kwa kuwajali vijana wetu wape nguvu ili wazidi kuhimarika ki mziki na kisanaa pia , ahsante sn mama Allah akulinde kl wakati.

  • @kamunyakenneth-dx8ns
    @kamunyakenneth-dx8ns 3 місяці тому +1

    Naipenda Tanzania❤❤

  • @dieumerciciruhula
    @dieumerciciruhula 4 місяці тому +7

    Mzazi ni mzazi tu❤❤❤❤❤❤

  • @HajiLondon-w3t
    @HajiLondon-w3t 4 місяці тому +4

    Mama mungu akuweke inshaaalah unaupiga mwingi

  • @ernestgeorge8412
    @ernestgeorge8412 4 місяці тому +6

    Maneno ya kizungu muziki wa kigogo nimeipenda hiyo wagogo oyeeeeeeeeeeee❤️‍🔥❤️‍🔥agweeeeee zauswelooo

  • @Chuma-vk4jg
    @Chuma-vk4jg Місяць тому

    Mama ongera sana Kwa upendo wako wenderee madalakani myaka 10 tena❤❤❤❤❤

  • @ThomasAlute
    @ThomasAlute 4 місяці тому +4

    Mama Samia unaonekana mustaarabu sana lakini unajifanya kama huoni maisha ni magumu unapiga kampeni kijanja na machawa wako

    • @flova7022
      @flova7022 4 місяці тому

      Tufanye kazi.. maishha bilaa kazi magumu Sana.

    • @Userog254
      @Userog254 4 місяці тому

      Kazi tunafanya ila tunabanwa ushuru Kila Kona,
      Hadi kusababisha bidhaa kupanda Bei na tunavyojua watz wengi wamejiajiri na wengine hawana ajira rasmi hivyo Hali kuwa ngumu kwenye jamii huku

  • @revinalibenanga2235
    @revinalibenanga2235 4 місяці тому +4

    Umependeza mama❤

  • @tk-padonniyonsaba
    @tk-padonniyonsaba 3 місяці тому

    Mama Samia much love❤❤❤
    Kioo cha jami na nchi zote africa pia duniani nzima
    Mama wa kazi

  • @dallasmusic6465
    @dallasmusic6465 4 місяці тому +2

    Mama Leo umependeza mara Moja Moja wakuache ujipambe bhana sio Kila saa wanataka uwe sirious hata ww unatakiwa kutenga mda wa kujiienjoy bhana #Kazi iendeleee mama Mungu ibarki Tanzania 🇹🇿🇹🇿

  • @FatumaHassan-l5g
    @FatumaHassan-l5g 4 місяці тому +7

    Wanawake kipo chakujifunza kutoka kwa mama n raisi lakini hathubuthu kuacha kichwa chake wazi havai mawigi leo bint ajulikane tuh wasafi redio kesho utamkuta kajianika uchi mfyu et keshakuwa super star

    • @clarasimon7830
      @clarasimon7830 4 місяці тому

      Umri mzee wew mkeo anavaa shungi au ndio kusema

  • @enoeddyedymay2651
    @enoeddyedymay2651 4 місяці тому +1

    Viva IDM Mzumbe.....viva MU (Mzumbe University). Hongera Mama kwa ujumbe mzito wa kutokata tamaa.

  • @ToutTerain
    @ToutTerain Місяць тому

    nimekupenda sanaa

  • @julianabudigila6023
    @julianabudigila6023 3 місяці тому

    Rais wetu, Leo ndo umenipa maana ya mwanamke ni mtu na nusu. Ahsante sana.

  • @yohanajulius3778
    @yohanajulius3778 3 місяці тому

    Gud job mama, unatuona sisi vijana maana tunateseka kweli, wanawake wapo wengi hapa Tanzania lakini wa kuwaweka ndani hawapo kwa sasa hivi, ndo maana masingle mother ni wengi sio kuwa hatupendi kuoa, ila duuh! Hataree.

  • @NabiisasitaKomesh
    @NabiisasitaKomesh Місяць тому

    Ubarikiwe mama

  • @levygasper7438
    @levygasper7438 4 місяці тому +6

    Tanzania Bada ya myaka 5 pakua hakuna mwanaume wakuongoza nchi watanzania mtajikuta wanawake kihakili kama mtaendelea kuzalisha Kina harmonize mijinga

    • @whitetigerprincy5882
      @whitetigerprincy5882 4 місяці тому +1

      😂😂😂😂

    • @PhinaGeorge-o5m
      @PhinaGeorge-o5m 4 місяці тому +2

      Punguza wivu

    • @MsanangoMwalabu-rx1oo
      @MsanangoMwalabu-rx1oo 4 місяці тому +1

      Asante kwa kulionahilo wasanii wanaendelea kuhalibu watoto wa msikini viongozi wanasapoti kulinda mamlakayao kwa kuandaa watoto wao.kuendelea kuwaviongozi baadayao

  • @eliahmashala5180
    @eliahmashala5180 4 місяці тому

    Asante mheshimiwa rais kwa maneno mazuri,,na pia asante hermonize kwa kutuheshimisha.

  • @amirlehao8945
    @amirlehao8945 4 місяці тому +2

    Mama hapa anaonekana bado under 35 MashaAllah

  • @masaweiddi2278
    @masaweiddi2278 4 місяці тому +10

    Mama samia wangu jaman umependeza sana yaan uko mwaaa😘ukiona comennt yangu naomba unijibu nifurahi dear mama

  • @ericotieno5399
    @ericotieno5399 4 місяці тому +5

    can our president do this ako🇰🇪

  • @bintimohamed2646
    @bintimohamed2646 4 місяці тому

    Asante sana Mama MASHAALAH 🤲❤️❤️😍🔥🔥🇰🇪🇰🇪👏💞💞

  • @GoodluckyKastory-ue9of
    @GoodluckyKastory-ue9of 4 місяці тому +6

    Haya bwana mama naona Mimi haunisifii unamsifia keshi Mimi hunisifii

  • @ElizabethMarwa-t9m
    @ElizabethMarwa-t9m 4 місяці тому +4

    Mama kependeza leo mashallah😊

  • @meshackwarambo9351
    @meshackwarambo9351 3 місяці тому

    Yaani president wa Tanzania anafahami sana umuhimu wa sanaa katika serikali yake? Hongera unafunza wengi.

  • @jawbraker4723
    @jawbraker4723 4 місяці тому

    Hongera mama etu tunakupenda sana sana Allah akulinde mama angu kipenzi sisi ni wanao tuko kwa ajili yako miyaka mengine tena Allah akulinde mama love you ❤️😍😘 Allah akulinde na kila balaa amin

  • @BoniventureJoachim
    @BoniventureJoachim 4 місяці тому

    Good to watch imependeza kiukweli big up

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 4 місяці тому +2

    Hongera sana mama yetu kipenzi mungu akupe maisha marefu

  • @MontyrDfyo
    @MontyrDfyo 4 місяці тому +6

    Aisee mama kalipendezesha vazi,Mungu kambarikia raisi wetu utu,akili na uzuri,sifa na utukufu zimrudie Mungu wetu kwa kutupendelea watanzania.

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 4 місяці тому

      Katupendelea Nini huyu mama kafeli kabisa analea wezi magufuri ndio alikuwa ni mtu sio huyu mama hamna kitu hapo

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 4 місяці тому

    Management ya harmonize iko vizuri SN HONGERA sn harmonize.. ubunifu mzuri sn pambana mdogo wetu

  • @drtobias_
    @drtobias_ 4 місяці тому +1

    Rais Samia u mrembo sana,Ayse

  • @hamisimaningi4758
    @hamisimaningi4758 4 місяці тому

    Mwenyezi mungu akubariki akulinde....mama samia!!!

  • @mutiojunior
    @mutiojunior 4 місяці тому

    Never give up ,,my favourite song💪💪💪

  • @abdallahmdiliko8088
    @abdallahmdiliko8088 4 місяці тому

    MashaAllah mh RAIS SSH UMEPENDEZA SANA KIONGOZI WANGU MAHIRI WA NCHI YANGU TZ

  • @EvansWambia-lh5xu
    @EvansWambia-lh5xu 14 днів тому

    Nice one prezo

  • @LivinMushi
    @LivinMushi 4 місяці тому +4

    Kweli mama

  • @OtavinaMsigala
    @OtavinaMsigala 4 місяці тому +7

    Amependeza mama nimependa

  • @billywilz8753
    @billywilz8753 3 місяці тому

    Nampenda huyu mama sana.... Sauti yake nyororo😊

  • @NeemaKaonja-cc9pm
    @NeemaKaonja-cc9pm 4 місяці тому +1

    Nimeipenda❤❤❤

  • @PavlovBestfriend-fb3kh
    @PavlovBestfriend-fb3kh 4 місяці тому +4

    Congratulations kondeboy🙌🙌🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @NdayishimiyeAbdulkabir-u7c
    @NdayishimiyeAbdulkabir-u7c 4 місяці тому +1

    Mama kama mama
    May Allah guide you mama

  • @henrychacha5592
    @henrychacha5592 4 місяці тому

    Mama leo umependeza sana. I ❤you Mama President

  • @estherwaliaula9132
    @estherwaliaula9132 4 місяці тому +3

    I admire tanzania

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 4 місяці тому +2

    Kweli kwenye maisha usikati tama

  • @muchirifredrick4674
    @muchirifredrick4674 4 місяці тому +1

    Hongera harmonize umekua kweli

  • @jawbraker4723
    @jawbraker4723 4 місяці тому

    Mama ni mwanamke na nusu mashaAllah super women mashaAllah 👏👏👏

  • @Aleckieofficial254
    @Aleckieofficial254 4 місяці тому +2

    Only Tanzania msanii anaandaa show na Rais akaja bila ushauri wa mtu huku kwetu Kenya haiwezi kutokea😂

  • @AbdifatahShire-tv9on
    @AbdifatahShire-tv9on 4 місяці тому +2

    Da uyu mama kama agelikua single tugefunga ndoa na bonge la arusi masha Allah kapendeza

  • @FrankChiteta
    @FrankChiteta 3 місяці тому

    Asate sana mama wetu ❤❤❤❤❤

  • @NashonMangana
    @NashonMangana 4 місяці тому +1

    Stand strong our president

  • @mcsaymediaTz
    @mcsaymediaTz 4 місяці тому +13

    Hamo kajua kutembea na upepo

  • @SaidKanyika
    @SaidKanyika 3 місяці тому

    Hakika Jeshi much love

  • @shimarevo3701
    @shimarevo3701 3 місяці тому

    Mama alikua amependeza kweli kweli hongera sana mama Samia

  • @drcharlestz
    @drcharlestz 4 місяці тому +5

    Mama Samia leo hii Hotuba Nimempenda Alivyoongea, Huyu Mama ana hekima sana.
    Kukosea kupo na Hatujakamilika but kwa hii hotuba hongera mama Una hekima sana.

  • @JamesMuthangya-y8v
    @JamesMuthangya-y8v 4 місяці тому

    Ashanti mama mungu akubariki sana wewe kweli ni mama nanusu asante sana

  • @FarhiyaAli-oi1xw
    @FarhiyaAli-oi1xw 3 місяці тому

    ❤❤ great

  • @MussaSelemane-yz1cj
    @MussaSelemane-yz1cj 4 місяці тому

    Obrigado konde Boy🇲🇿👏

  • @benkym4054
    @benkym4054 3 місяці тому

    Harmonise 100 kwa 100

  • @MuchotalaPlatinum
    @MuchotalaPlatinum 3 місяці тому +1

    🔥🔥🔥

  • @allykisspro4080
    @allykisspro4080 3 місяці тому

    ❤❤❤❤ kweli kabisa mama

  • @NaomiCharles-bb8md
    @NaomiCharles-bb8md 4 місяці тому

    Ongera my dear suruhu nakupnd kipenz changu

  • @pacifiquemuzo7446
    @pacifiquemuzo7446 4 місяці тому +1

    Mama kaupiga mwingi ongerasana KONDE BOY 🔥🔥