Watoto wa mama mdogo a.k.a watoto wa kijakazi walishajitenga nasi sio ndugu zetu, ndio maana wanamahangaiko mengi sana kutujadili watoto wa mama mkubwa wao.
Tumefurahi Sana kumuona much. Wetu kujumuika na Ndugu zetu waislam! Tumefurahi Sana Sana Sana, hakika ametuwakilisha vyema. Tuishi Kwa Upendo, Mungu wetu sote!
Huwa namfuatilia sana maongezi yake huwa anachekesha huku akifikisha ujumbe,nikipenzi cha watu,Hongereni viongozi wa Dini kwa umoja wenu wa Dini zote kuwa kitu kimoja hapa Tanzania lazima hiwe na Amani kwani Amani inaanzia kwenye Upendo ndani ya Dini Zetu kupendana na hapa tunaona mchungaji amealikwa.Mungu ibariki Tanzania na watu wake aminaa.
Maasha Allah tabaaraka Allah, jamaa anakwepa munakasha, na anakwepa mpaka mahojiano na chombo cha habari, eti kwa sababu ni watu wa bidaa, wakati huo huo masalafi wanatumia youtube, facebook, twitter, instagram, vyote hivi ni vya makafiri, lakini hawaachi kuvitumia 😂
Hakuna ubaguzi sisi tupo kwenye nyie mpo kwenye Batil Mola tunayemuabudu nyinyi sio mnayemuabudu nyinyi wala hakuna umoja, zisikuchanganye hizo kanzu na vilemba hapo hao wote ni Mashekh wa Bidaa tu (wazushi)
@@NuruSultani-ws1nySasa si mnajulikana nenda uarabuni ujifanye mkristo ndo utajua, na kama kama Kaini alivyolaaniwa kwa kumuua mwenzake ndivyo mtakavyolaaniwa kwa kuwauwa na kujeruh wenzen et mnampigania Mungu, et ni swawabu, mh! Mungu alishakuwa binamu yenu et, subili siku yaja na kila goti litapigwa
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
wewe unaye sema asilimu ili imanishe nini toa kitu cha kujenga sio kubomoa ndio maana watu wanasema shule muhimu usikimbie umande mzee yani kaa ukijuwa mungu apendezwi na dini zetu kwa sababu zina unafki kusengenyana mungu hayupo sehemu yenye dhambi kaa ukijua mungu anapenda jambo moja tu matendo mema kumuelekea yeye na kumwabudu kwa roho na kweli na kusimama kwenye wito uliopangiwa ukiwa mtu wa kulukaluka uwezi kumpata mungu sehemu yako itakuwa jehanamu tu nawapenda wote wanaomwabudu mwenyezi mungu maana neno lake halitaludi bure ila wale wanaoabudu mizimu masanamu tusiwachukie kama tuna upendo alioagiza mungu tunatakiwa kuwaombea mungu awashushie baraka zake na neema wamjue mungu wa kweli .waislamu na wakristo mungu awape maisha ya kumsifu na kumwabudu kwa roho na kweli sio unafki mtazameni mungu msitazame dini zenu ni nzuri kwa sababu sinamwabudu mwenyezi mungu kila mtu aeshimu hekalu la mwenzie mungu awabariki nyote amina
Unakuta anayeongelea mambo ya udini ana machafu kibao na pengine ana demu mkristo😂😂😂 lkn sasa kujifanya anaijua dini,mbinguni unaenda weye na roho yako mpendwa utahesabiwa mema uloyafanya kwa wenzako,uwepo wako Dunian umetenda nini,watu wangapi umewasaidia waenende kwenye njia njema,ayo ndo mambo ya msingi,achaneni na udini
Siku ya kusimama hukumuni kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake! Kwa sasa kinachotakiwa ni kuishi kwa umoja na furaha bila kubaguan! Siku ukifa ndip utajua ulichochagua hapa duniani kama kilikuwa sahihi au la! Je ukifa utaenda wapi???
ukifa unayarudia mavumbi yaani unakuwa hutambui chochote the usubili ufufuo kama ulishika amri za mungu na imani ya yesu utafufuliwa ufuguo wa kwanza wa watakatifu na kama unapuuza amri za mungu bas utafufuliwa ufufuo wa pili wa waovu.
Uislam pekee ndo wenye mfumo mzima wa maisha ya mwanadam ..ubinafsi haupo ila ktk Islam Kila kitu ni ibada naibada hiyo iwe imeamrishwa na mungu nasi binadam kwahiyo ukiona waislam jambo hawalitaki Hilo SI ibada nahakuliamrisha mungu
Allah bless and guide you mch Hananja... mtu wa ukweli... we love you
Napenda sana mafundisho ya mchungaji Hananja ❤. Mungu akutunze
Inapendeza mbele za wanadamu na mbele za Mungu ndugu wakikaa pamoja
Na kwa umojaa 😅
Wajua maana ya ndugu
Hakika
Watoto wa mama mdogo a.k.a watoto wa kijakazi walishajitenga nasi sio ndugu zetu, ndio maana wanamahangaiko mengi sana kutujadili watoto wa mama mkubwa wao.
Napenda mafundisho ya pastor❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mungu awabariki kwa umoja huo YESU anakuja jihusishe
Tumefurahi Sana kumuona much. Wetu kujumuika na Ndugu zetu waislam! Tumefurahi Sana Sana Sana, hakika ametuwakilisha vyema. Tuishi Kwa Upendo, Mungu wetu sote!
Uyu mchungaji anakitu kikubwa sana kichwani kama mtambagua amtajifunza kanisani wala misikitini au mashuleni❤❤❤
Its beautiful TANZANIA LOVELY LOVELY SANA 💕
Huyu mzee nampenda sana sana sana mimi ni muislam ila huyu mzee nasoma mengi sana kwake na hii ndio Tanzania ninayo ipenda ❤❤❤❤
Muslim Daniel Samuel dah!
Mwenyezi Mungu aendelee kutuwekea mkono wake tuendelee kuishi kama ndugu wa baba na mama mmoja.
I appreciate you pastor
Ufalme wa Mungu ukishuka watu wote wanakuwa wamoja maana Mungu wao ni mmoja.
Hakika! Raha sana!
Ila huyo MUNGU siyo Yesu.
@@Tandalesse Yesu aliwakosea nini?😂😂😂
Haswaaaaa
@@MiriusEliudiJibu Kwanza Alichouliza
Amina
Huwa nafikiria ni muislamu pongezi mseto huu wa mawaidha ya kidini.mungu atujalie heri duniani
Nasoma comment za watu wenye kutafuta shari pasi na shari 😮
Tanzania nakupenda sana nchi yangu tunahishi kwa kuheshimiana safi sana wazee wa BAKWATA
hananja huna baya mungu akubar sana ❤
Huwa namfuatilia sana maongezi yake huwa anachekesha huku akifikisha ujumbe,nikipenzi cha watu,Hongereni viongozi wa Dini kwa umoja wenu wa Dini zote kuwa kitu kimoja hapa Tanzania lazima hiwe na Amani kwani Amani inaanzia kwenye Upendo ndani ya Dini Zetu kupendana na hapa tunaona mchungaji amealikwa.Mungu ibariki Tanzania na watu wake aminaa.
Allah atupe mwisho mwema
Kwa kweli Uislamu naupenda sana. Nilipofika Dar es Salaam niliishi na ndugu zetu wa waislam hakika nilipata ukalimu sana. Mungu ubariki uislam
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂uslamu ni dini la kishetani
Shetan n we mwenyewe
@@idiidi-rq5gk mashetan yashaanza kuamka 😂😂
Unasubili nini kajiunge na mashetani
Daah mungu atusaidie sana na viongozi wa dini zote msikubali kuwaingiza waumini wote kwenye njia mungu asiyoipenda
Hapo yale yasiyo jitambua ndiyo yanaleta chochezi
Imani zetu zimuelekee mwenyezi Mungu
Inshaallah Allah akujaalie uwe muislam pastor
Sote ni ndugu , emwenyezi mungu udumishe udugu huu na utuepushe na shetani wabaya , inshallah 🙏
Anaongea point big up broo
Inapendeza sana ndg kukaa pamoja kama hii❤❤❤
Nampenda sana huy pastor wa kweli...hajawah kuikana injili hapa kaanza tu na biblia,saf sana
Mashallah Hananja❤
Safii sana sote twaabudu Mungu mmoja!Tupendane!🙏
Eee ALLAH wahifadh masheikh wetu wa kisalafi na uwaweke mbali na unafiq...... ✍️
Aamiyn
اللهم آمين
aamyn
❤
Amiin yarabi
Kiukwer mungu ibariki tanzaniy nawatu wake🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Barakallahu fih
❤❤❤❤❤
Hananja hana baya mzee wangu
😂😂😂😂😂 Allah akubarik
Mashallah inapendeza sanaaa
Waislamu siku zote hamna baya na mtu,mlitukaribisha pwani sisi wakristo bila hiyana
Nakupenda sana Hananj Allah akujaalie uwe muislam usife katika giza
Wewe ndo usife ktk Giza
Tena jinga la kwanza, we utakufa kwenye taa ubaguzi wa dini mbaya, hakuna dini ya haki we mshezi SS wote tunaabudu Kwa mungu mmoja
Kwel mungu mmoja ubaguz hautakiw
Hadi raha❤
Aliposema wake 1000 nikakumbuka Mazinge😊
Umetisha kaka
Maasha Allah tabaaraka Allah, jamaa anakwepa munakasha, na anakwepa mpaka mahojiano na chombo cha habari, eti kwa sababu ni watu wa bidaa, wakati huo huo masalafi wanatumia youtube, facebook, twitter, instagram, vyote hivi ni vya makafiri, lakini hawaachi kuvitumia 😂
Acha ubaguzinallah apendi
Dini ni lugha tuu ya kuongea na mungu tupendane tushirikiane Good to see this as a Christian
Mungu amjalie Pastor Hananja asilimu
Hayo ndio mawazo ya hovyo.
Achaa bangiii unamanisha Hana mungu bwege weweee
😅😅😅
Kwa hoja ip aslim
Mwenyezi Mungu mbona ni mmoja tu
Safi sana Mungu ni mmoja sisi sote ni WA Moja
Mashalllah
safi sana sina comment ni nasikia Raha tu kwenye nchi yangu kuona tupo pamoja Raha sana najivunia kuzaliwa Tanzania
Mtabaki mnaumana meno waumini lakini watumishi wa dini zote wakikutana ni AMANI tuu. 🤝🤝
Mungu ni Mungu Tu
Nuru ndani ya giza
Kweri❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂
Na mimi nimependa kwa mwaliko huu Ameen
Mungu awasamehe wote mnao tukanana kisa dini
Mchungaj honger 😂😂😂
Love hananja
Halelujah
Tatizo la waisilamu wana udini mwingi sana na ubaguzi" wakati Mungu nimmoja
Hakuna ubaguzi sisi tupo kwenye nyie mpo kwenye Batil
Mola tunayemuabudu nyinyi sio mnayemuabudu nyinyi wala hakuna umoja, zisikuchanganye hizo kanzu na vilemba hapo hao wote ni Mashekh wa Bidaa tu (wazushi)
Kma ubaguz upo hananja ni muislam au ondoa upuuz uliojazwa katika akili yako mwehu ww
@@NuruSultani-ws1nySasa si mnajulikana nenda uarabuni ujifanye mkristo ndo utajua, na kama kama Kaini alivyolaaniwa kwa kumuua mwenzake ndivyo mtakavyolaaniwa kwa kuwauwa na kujeruh wenzen et mnampigania Mungu, et ni swawabu, mh! Mungu alishakuwa binamu yenu et, subili siku yaja na kila goti litapigwa
@@alhajisingano6590
Huwezi jua mpaka utapo kufa mzee
@@YohanaPaul-b3v
😂😂
Wasiojitambua ndio wanataka kuharibu Tanzania yetu ya amani haina ubaguzi safi san🎉
Allah atuongoze
Amen
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Sisi hatutaki kuokoka ,tulikuokoka tumboni .yesu ni mtume wetu kama watume wengine .
Waislamu wanamuamini Allah mmoja tu, na mitume yake yoote.Issa ni mtume na sio mungu wala motor wake
YESU SIO MUNGU WALA MTOTO WA MUNGU, LAZIMA MTU ATUMIE AKILI YAKE VZR
😂😂😂😂Hana njaa mbavu zangu
Maisha ya huyu mchungaji na himani yake naipenda sana
🎉🎉🎉
wewe unaye sema asilimu ili imanishe nini toa kitu cha kujenga sio kubomoa ndio maana watu wanasema shule muhimu usikimbie umande mzee yani kaa ukijuwa mungu apendezwi na dini zetu kwa sababu zina unafki kusengenyana mungu hayupo sehemu yenye dhambi kaa ukijua mungu anapenda jambo moja tu matendo mema kumuelekea yeye na kumwabudu kwa roho na kweli na kusimama kwenye wito uliopangiwa ukiwa mtu wa kulukaluka uwezi kumpata mungu sehemu yako itakuwa jehanamu tu nawapenda wote wanaomwabudu mwenyezi mungu maana neno lake halitaludi bure ila wale wanaoabudu mizimu masanamu tusiwachukie kama tuna upendo alioagiza mungu tunatakiwa kuwaombea mungu awashushie baraka zake na neema wamjue mungu wa kweli .waislamu na wakristo mungu awape maisha ya kumsifu na kumwabudu kwa roho na kweli sio unafki mtazameni mungu msitazame dini zenu ni nzuri kwa sababu sinamwabudu mwenyezi mungu kila mtu aeshimu hekalu la mwenzie mungu awabariki nyote amina
Nakuli Sana pasta
Unakuta anayeongelea mambo ya udini ana machafu kibao na pengine ana demu mkristo😂😂😂 lkn sasa kujifanya anaijua dini,mbinguni unaenda weye na roho yako mpendwa utahesabiwa mema uloyafanya kwa wenzako,uwepo wako Dunian umetenda nini,watu wangapi umewasaidia waenende kwenye njia njema,ayo ndo mambo ya msingi,achaneni na udini
Sahihi kabisa udini hauna maana ss ni wanadamu tunayoelewana tukae pamoja tuyajenge mbora wetu anajua muumba wetu tu.
Sahihi kabisa udini hauna maana ss ni wanadamu tunayoelewana tukae pamoja tuyajenge mbora wetu anajua muumba wetu tu.
Sana kasema kweli Mungu anaangalia matendo
Akuna binaadam alie kamilika kwanza inatakiwa ulitambueilo
😂😂❤❤❤
Nakubali
Yaani wakati mwingine waisilamu waungwana sana hawana mambo mengi safi sana tukiishi walahi Tanzania itafika mbali sana
Hii mzuri sana hii nimeipenda
Ananja yuko ok sana
Up sahihi
Semaaa tu haya yakutekwa wasiojulikana ndiyo yamekuja kutuharibia nchi yetu
Mungu wetu anataka Upendo Na Aman
Nakushukulu tanzania Amani yako imenilea
Siku ya kusimama hukumuni kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake! Kwa sasa kinachotakiwa ni kuishi kwa umoja na furaha bila kubaguan! Siku ukifa ndip utajua ulichochagua hapa duniani kama kilikuwa sahihi au la! Je ukifa utaenda wapi???
ukifa unayarudia mavumbi yaani unakuwa hutambui chochote the usubili ufufuo kama ulishika amri za mungu na imani ya yesu utafufuliwa ufuguo wa kwanza wa watakatifu na kama unapuuza amri za mungu bas utafufuliwa ufufuo wa pili wa waovu.
❤
Ni mtu makini sana aisee....😂😂😂😂
Nimependa sana hii moment dini siyo vitaaa
Mungu Ibariki Tanzania, tuanaishi pamoja bila kujali dini zetu
Mi mwenyewe nimecheka😂
Hekima nyingi Huyu🤣🤣
Mara nyingine wakikualika wabatize kabisah.hao washehee wasio jitambua.
Waislamu wabinafs sana 🙌🙌🙌
Uislam pekee ndo wenye mfumo mzima wa maisha ya mwanadam ..ubinafsi haupo ila ktk Islam Kila kitu ni ibada naibada hiyo iwe imeamrishwa na mungu nasi binadam kwahiyo ukiona waislam jambo hawalitaki Hilo SI ibada nahakuliamrisha mungu
@@ElizabethMchomvu-s2d km hauna elimu na kitu Kaa kmy sio mpaka uchangie mada..lkn pia ukiulizwa uwo ubinafs uwez kusema punguza looh mbaya bibie.
@@mirajiyombe1601 point yako tayary niubinafsi my dear
@@HajiMasmentikama inauma chomowa elimu yangu ndio inaiingizia pesa kila mwezi 😅😅
Hata kumualika huyo mchungaji kwako ww ni ubinafsi?
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🤲🤲🤲 hakuna kama 🇹🇿
Mungu awalinde viongoz wote wa dini
Hakika haya ya kukaa na kutafakari pamoja watu wa imani tofauti ndo mambo tunayoyataka katika Tanzania yetu
Safi mtumishi
Wewe mchungaji unanifurahisha sana lkn Dawa inaingia
Mie hii sijaelewa😢😢😢
hyo inaandaliwa dini moja ya dunia maana hamna ushirika kati ya nuru na giza
Safi
Huyu mchungaji yuko vizuri mno
Maneno mazurisana mzeewangu,Mungu akulipeheri Inshallah
Mimi ni muislamu lakini napenda huu mchungaji Kwa manenyo ya hekima
Silimu basi mchungaji walwahi umependeza Sana kuwa shene
Allah akuongoze
MI SIO MKRISTU ILA NAMPENDA SANA HUYO MCHUNGAJI,,NOMA SANA
Unampendaje kafiri?
@@omarikhalifa9413hahahha
SIPENDI UDINI WAKE,,NAPENDA AKILI YAKE.
@@omarikhalifa9413Kafili mama yako
Ukiona unampenda mtu anayechukiwa na Allah ktk kufru yake nasi na wewe unachukiwa na Allah!!!
Mtu wa mana kbc uyuu😅😅
Fact