HIZI NI DAKIKA 8 ZA MANJONZI KWA KILA MWENYE IMANII

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 кві 2023
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

КОМЕНТАРІ • 46

  • @salem9874
    @salem9874 Рік тому +3

    Mashallah Alfatah Mungu Awajazie pale palipokuwa na Pungufu

  • @izdihaarsleyum3643
    @izdihaarsleyum3643 Рік тому +4

    Subhanallah! Allah awafanyie wepesi

  • @OmanCom-ky8tn
    @OmanCom-ky8tn Рік тому +2

    Mashaallah alifataa allah awajaalie maisha marefu

  • @zaitunisinamenye1799
    @zaitunisinamenye1799 Рік тому +2

    Subhanallah

  • @adamaliali2206
    @adamaliali2206 Рік тому +1

    Kiukweli tatizo Hilo ninatibika maalim hata baba yangu mzazi alitibiwa mkoa wa pwani na kapoa alhamdulilah dah!mtihani yanatuliza sana hayo mambo

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 Рік тому +5

    Mtihani mkubwa huo masikini kuwa masikini mupo wapi zanzibar tukipata kitu tuwatumie mtihani nitawambia warabu wangu oman kama watakubali watotowa ishaalah rais hawezi kuwapa chochote ni mtihani hii mungu atawasaidia ishaalah

    • @nailamohd7693
      @nailamohd7693 Рік тому +2

      Asiwape kitu rais basi hata huduma ya afya kuiweka vizur mtu akiumwa awe na amani ya moyo kuwa napata matibabu lkn mpk matibabu watu waombewe misaada jamani hee mtihani mkubwa huu mana baada ya kusaidia mengine usaidie matibabu tutasikia kuna maendeleo uchumi wa blue mtihani mkubwa huu zanzibar

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 Рік тому +1

      ​@@nailamohd7693ah kwa kweli mtihani tu huko kwetu hakuna chochote kinafanywa na serekali ambachi kinawafaidisha wanannchi

    • @nailamohd7693
      @nailamohd7693 Рік тому +1

      @@shamsahaji6202 wallahy mtihani nchi nzima inanuka njaa na umaskini nani atamsaidia mwenziwe hayupo na watu bado wanatoa misaada lkn maskini ni wengi hakitoshi mbali na umaskini kuna michango ya wagonjwa sasa hapo sasa basi hata afya serikali kuweka mazingira mazuri aibu kubwa ah Allah anarehma zake.

  • @mwanaidatkhamis5310
    @mwanaidatkhamis5310 Рік тому

    Mashallah Allah azidi kuwapa nguvu alfatah ili muweze kusaidia watu wasio jiweza😭😭😭inasikitisha kwa kweli Kuna hizi Hali.

  • @ummuhafswa8980
    @ummuhafswa8980 Рік тому

    Wallah kwakila aliejaaliwa mali n akazibania sikuya qiyama anamengi yakujibu. Inasikitisha sana

  • @adamaliali2206
    @adamaliali2206 Рік тому +1

    Allah akulipe maalim mambo unayo yafanya ni makubwa sana

  • @rashidomar2771
    @rashidomar2771 Рік тому +1

    Pamoja na waislam wote lakini wenye mamlaka wayaone haya,,niaminivyo mimi hayapiti bure haya lazima watakwenda ulizwa siku ya kiama,,,wao wamejimilikisha neema kubwa kubwa wao na jamaa zao ,,lakini umma uliochini yao unateketea kama hivi,,wamejifungia maofisini na viyoyozi wakizungukwa na wafanyakazi na walinzi wengi wa kila aina ,,
    Kamwe hawazukuru kutafuta shida za watu kama hivi,,basi ndio yapite tu hivi hivi ,,imani yangu inaniambia pasingelikua na mantiki ya kuishi,,kama mmoja iwe haki yake kuneemeka,,na mwengine iwe ni haki yake kudhulumika,,hapana lazim Allah atayahukumu kiamani inshaallah

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 Рік тому +2

    Subbuhanallah 😓

  • @rahmambarouk7613
    @rahmambarouk7613 2 місяці тому

    Allah atafanya wepesi inshallah 😥

  • @stonetown578
    @stonetown578 Рік тому +1

    SubhanaAllah

  • @husnaali1610
    @husnaali1610 Рік тому

    Asalam alekum nnimeguswa sana aowatoto yati maombakujua.nikijiji Gani naombanijue

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 Рік тому +1

    Allah Akbar

  • @aminarama1633
    @aminarama1633 Рік тому

    Maalim Allah akuzidishie

  • @abuuhafswamunsheedu5790
    @abuuhafswamunsheedu5790 Рік тому +2

    Subhaanallah

  • @salamaali4726
    @salamaali4726 Рік тому

    Subhallah allah awape wepes ila je ni sehem gani hii ndg mtangazaji inafaa uwe unatuambia sehem

  • @adamaliali2206
    @adamaliali2206 Рік тому

    Sheikh Rashid salim Allah akulipe

  • @jumamohamed4808
    @jumamohamed4808 Рік тому

    Mashaallah mashaallah

  • @abdallahsaid8157
    @abdallahsaid8157 Рік тому

    Subhanallah!!!!

  • @adamaliali2206
    @adamaliali2206 Рік тому +1

    Sisi tunaona juhudi yako Ila ndugu yako Bado Niko kwenye masomo nahitaji kusaida lakini nashindwa kutoka na mazingira

  • @sheikhanasser4714
    @sheikhanasser4714 Рік тому

    Allah awafunike kwenye mikono yake

  • @ramadhantahila9131
    @ramadhantahila9131 Рік тому

    subhana Allan

  • @husnaali1610
    @husnaali1610 Рік тому

    Husna Ali said.kutoka Oman imenigusa sana naomba nambazao

  • @ashurakiswamba7085
    @ashurakiswamba7085 Рік тому +1

    Asalaam aleiykum sehem Gani huko jamani

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 Рік тому

    Subhanalha naomba namba zao hili niweze kuwasaidia

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 Рік тому +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @fauziyaomar7090
    @fauziyaomar7090 Рік тому

    Maskni

  • @aminaramadhan3815
    @aminaramadhan3815 10 місяців тому

    Mbona amtuonyeshi nyumba aliyo jengea

  • @ummuhafswa8980
    @ummuhafswa8980 Рік тому

    Mbona hamjaacha namba z cm japo za ndugu wa huyo mzee.?

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 Рік тому

    🥺🥺

  • @salumjabir813
    @salumjabir813 11 місяців тому

    Watu wako kutukananana kuhusu barzanji..wengne wako kutafuta maskini wawasaidie....pepo wataiona watukanananao?

  • @mudathirrashid8503
    @mudathirrashid8503 Рік тому +2

    alfatha mnapokwend sehem tunapend kujuw ni wapi piya ni sehem gani

    • @nailamohd7693
      @nailamohd7693 Рік тому +2

      Hawataki wenyewe wanafanya siri 😮

    • @alhudhaify7810
      @alhudhaify7810 Рік тому

      @@nailamohd7693 siku nyengine wanapitikiwa tu , kwn video ngp wanazitaja sehemu

    • @juma2979
      @juma2979 Рік тому

      Gamba

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 Рік тому +1

    Duuh

  • @amoursaid3190
    @amoursaid3190 Рік тому +2

    Ni katika kijijini gani hicho kipo wapi

    • @juma2979
      @juma2979 Рік тому

      Gamba mkoa wa kaskazini A

  • @zaitunisinamenye1799
    @zaitunisinamenye1799 Рік тому +1

    Subhanallah

  • @aminarama1633
    @aminarama1633 Рік тому

    SubhanaAllah