MAMA KARUME ATEMA NYONGO | NITAMUADABISHA MZEE MAGOMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 197

  • @LucknessPeter
    @LucknessPeter Місяць тому +7

    kweli kabisa huyo anatumiwa na watu huyo

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 Місяць тому +2

    Yule Mzee ni Njaa tuu. 😂😂😂 Kumbe kashazoea

  • @TumpeZakaria
    @TumpeZakaria Місяць тому +6

    Shikamoo Mama ❤

  • @Nasibuhelemani
    @Nasibuhelemani Місяць тому +2

    Uyo ayupo pekeyake wako wengi tena ata viongozi wakubwa

  • @user-lo7gu4pi2x
    @user-lo7gu4pi2x Місяць тому +2

    Ss sio watoto msicheze na akili zetu ulikua wapi hukumu ina mwaka sasa leo ndo mzee aonekane mbaya achen hizo kaen myamalize

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 Місяць тому

      Hukumu ina mwaka mbona club aijui kama kuna hukumu mpaka mwezi uliopita wamefatilia wenyewe baada ya kusikia tetesi? Hiyo mahakama aijui yanga inapatikana Wapi? Kwa nini awakuhitumia club hiyo hukumu? Mzee njaa tu sijui km ushamskia akiongea utajua ni njaa tu,, Yanga taasisi kubwa nenda kaungane na huyo Magoma uhone km kitatokea chochote """

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 Місяць тому +3

    Huyo magoma kafanya Nini tena😊

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np Місяць тому +5

    Nimekuelewa sana dadaangu uko sawa sana

  • @JumaGendeye-sv6yl
    @JumaGendeye-sv6yl Місяць тому +4

    Sana mam unaweza 😂😂😂😂

  • @rashidmkomange2278
    @rashidmkomange2278 Місяць тому +1

    Huyo mama karume kaongea wapi sasa nyie nao mizinguo

  • @MayleenDonaldharris
    @MayleenDonaldharris Місяць тому +1

    Nyoooo, mtajibeba Babu Mzee anaongea ukweli

    • @user-yr4pv2vj7m
      @user-yr4pv2vj7m Місяць тому

      Katobwe uko kumamayo Koro wewe hiii yanga kubwa kuriko bibi yako

  • @user-mp6zd2ui7r
    @user-mp6zd2ui7r Місяць тому

    Dada mchana mwenzangu Asante

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Місяць тому +2

    MAMA KARUME UENDE MAHAKAMANI UKASEME HAYO SASA HAPO YA NN HAYO NENDA UKAMSHITAKI MAGOMA MAHAKAMANI. MBONA HAMUENDI?

    • @yakobokuzenza6837
      @yakobokuzenza6837 Місяць тому

      Tumia akili ww.Huyu siyo mama karume.Mwandishi ameamua kula MB zako kiwizi tu.

  • @user-fi6hb3lp5y
    @user-fi6hb3lp5y Місяць тому +9

    Sasa nyinyi wenyewe waandishi ni wa kughushi mnamzulia mama wa Rais wetu wa mwanzo Zanzibar mbona mnatukosea nyinyi

  • @HashimYahaya-hd3zm
    @HashimYahaya-hd3zm Місяць тому +3

    Magoma Yuko vyema

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 Місяць тому

      Inaonyesha magoma anatumiwa na madunduka

  • @chemstry409
    @chemstry409 Місяць тому +2

    Kabla ya kuruka agana na nyonga.... 😂😂😂😂😂

  • @FarajiSinawasa
    @FarajiSinawasa Місяць тому +1

    Huyoo magoma ni shogaaa

  • @SaidiMkome-qq7hy
    @SaidiMkome-qq7hy Місяць тому +4

    Mama karume gani uyo😁😁🏃🏃🏃

  • @hamisihemedi1099
    @hamisihemedi1099 Місяць тому +2

    Magoma wasimkubalie kukaribia.clabu yayanga.wala kuja kucheza.bao hapo clabuni.huyo ni wakumuogopa kama ukoma atawatia wanachama.namashabiki wayanga matatizoniii!!!

  • @user-le6jm2tf5y
    @user-le6jm2tf5y Місяць тому

    Magoma anawapiga mande mamaee😂😂

  • @saidmnenuka7822
    @saidmnenuka7822 Місяць тому +3

    Mama umeongea pointi sana namm naamini akili yake haiko sawa au njaa tu lakini kwa hili sizani kama atakuwa na raha

  • @user-ly2tv5og1n
    @user-ly2tv5og1n Місяць тому +1

    Magoma ana matatizo ya kukosa hekima na busara. Kafilisika kiakili kabisaaaaa !

  • @ramadhanisimon
    @ramadhanisimon Місяць тому +1

    kwelii kabisa katukoseya sana huyo muzee fala kwelii huyo muzee

  • @GabrielMyinga
    @GabrielMyinga Місяць тому +1

    Wazee wangu wa yanga nawaheshim Sana na Nina waamini kwani magoma yy ni nani mpaka achafue hali ya hewa yanga huyo tunamkabidhi kwa wazee wa yanga wamalizane nae.

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo Місяць тому +3

    Magoma yuko sahihi tunazugwa na ushindi. Bodi ya Wazamini imepewa fedha. Haiwezekani wakaingia mikataba ya kimangungo kuanzia miaka 5 Hadi 10, wakati watani wetu hawazidi miaka 3. Kuhusu kwenda mahakamani anakuwa na hoja nzito. Asikilzwe, Jezi zimetoka 25,000/= mpaka 70,000/= huku gawio la timu ni 1,300/= tu.

    • @maclaudismail6606
      @maclaudismail6606 Місяць тому +1

      Kamnunue.chama kwa bukujero ya jezi 😂😂

    • @user-ek3mq5yv4l
      @user-ek3mq5yv4l Місяць тому

      ​@@maclaudismail6606😂😂😂

    • @eliyaraphael
      @eliyaraphael Місяць тому

      Wewe ni kolo,,,, huna lolote na Magoma hapati kitu pale kuwa mpole

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 Місяць тому +3

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

  • @jumannemagawa5095
    @jumannemagawa5095 Місяць тому +1

    Yani hata picha yake kuoona tu popote inaleta hasira sana kwa upuuzi alio ufanya.

  • @MohamediSleyum
    @MohamediSleyum Місяць тому +1

    Kazi ipo hapo yani hatuelewi nani mbaya kati ya wote waloshtaki

  • @stevensosipita
    @stevensosipita Місяць тому +4

    ACHUKULIWE HATUA KALI ZA KISHERIA NA AFUNGWE ILI IWE MFANO KWA WENGINE..

  • @MikidadiKambinda-tr6rl
    @MikidadiKambinda-tr6rl Місяць тому +10

    Asante. Mama. Umeeleweka. Sana. Nyuma. Ya. Magoma. Kuna. Watu. Na. Mnao. Humohumo. YANGA. Wanamutumia. Kwa. Maslilahi. Yao. Binafsi. Kuweni. Macho. Na. Umakini. Unahitajika

  • @dismasfabian2122
    @dismasfabian2122 Місяць тому +2

    Cc tunataka furaha hayo mengine mnayajua ninyi

  • @ibrahimmseti
    @ibrahimmseti Місяць тому +2

    Wazee kama hawa hawafai.
    Itangazwe wazi kuwa siyo mwanachama.
    Ijulikane,ili hata akikutana na" Gen Z " wa Yanga

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 Місяць тому +1

    Mi ni mwanachama niko Mwanza nina machungu sana na huyu zumbukuku....

  • @ramadhanihot1945
    @ramadhanihot1945 Місяць тому +5

    Mzee afukunzwe tuu hapo jangwani mzee jinga sana hiloo

  • @user-eh2tg1ss3u
    @user-eh2tg1ss3u Місяць тому

    Mama Karume tafadhali muadabishe huyu mtu,katumwa huyu kutuvuruga. Si kuadabishwa TU hata bakora apewe za kutosha. Zee zimaa LINAKERAAA. Likapige migoma huko huko!!!

  • @eliudmugendi9619
    @eliudmugendi9619 Місяць тому +1

    Issue ni kuwa anachosema ni sahihi ama sio sahihi

  • @mohammedgulamali8849
    @mohammedgulamali8849 Місяць тому +1

    Huwezi mama huyu kasema ukweli.. na mapenzi na yanga.

  • @AbshirMubaarack
    @AbshirMubaarack Місяць тому

    Magoma pa1 na hii Media iliyoppst jina la Mama Karume wote wachkuliwe hatua za kinidhamu.Mama Karume ni Mtu Mkubwa jmn

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 Місяць тому +1

    Watu kama Magoma wanatakiwa sana watu wasijisahau kupiga hela

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 Місяць тому +1

    Mzee Magoma ana kitu na ana maono ya mbali wacha Awashitaki hamkuwa na Nidhamu nyie

  • @DanielSinavangi
    @DanielSinavangi Місяць тому

    Asant mama kwakutufumbua macho.ukweli tumeupata Sasa kagoma kaingia chakike sana

  • @OsmanSiame-ou8ty
    @OsmanSiame-ou8ty Місяць тому +6

    Mshenzi sn huyo babu

  • @JudyUrio-zy7ri
    @JudyUrio-zy7ri Місяць тому +3

    Asante dada nyie ndio wenye yanga

  • @user-il6rm7cj1g
    @user-il6rm7cj1g Місяць тому +3

    Huyu mama karume niwakufoji

  • @zee-ow2wr
    @zee-ow2wr Місяць тому +1

    Mbona hatoi hoja anachamba huyu mama?? Magoma kama ameghushi hzo saini s sheria zipo? Mamlaka zpo mumpeleke akafungwe?? Bas ni kwl kuna ktu hapa yanga?
    Na ww mwnye page uchwara huyo ndy mama karume? JINGA SANA

  • @papykatoziking2395
    @papykatoziking2395 Місяць тому +2

    Mzee ni njaa iyo yanga msaidiyeni mjengeeni nyumba nzuri basi atatuliya

    • @OS-pf6op
      @OS-pf6op Місяць тому +1

      Hakuna kumjengea chohote! Hata banda la tope!

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 Місяць тому +1

      Waliomtuma wamjengee

    • @EliasNtejile
      @EliasNtejile Місяць тому

      Alikuwa wapi kujega alipokuwa kiongozi wa tawi

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 Місяць тому

      @@EliasNtejile hela zake alikua amefungia kwenye flaiz

    • @HadijaKiwambu
      @HadijaKiwambu Місяць тому

      Anataka ajengewe nyumba angoje nyumba ya mwisho ajengewe ye nyau mtu mkubwa onvo

  • @MajaliwaJuma-c5g
    @MajaliwaJuma-c5g Місяць тому +3

    Anasumbuliwa nanjaa

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 Місяць тому +1

    Huyu mama eti hapa Magoma hela hapati

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 Місяць тому

    Hoja kwa hoja ,,leta hoja😁

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 Місяць тому +1

    Njaaa mbaya kweli

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 Місяць тому +1

    Shkamoo magoma,umewapa adabu Hawa migongo waz

  • @bullekisimikwe3852
    @bullekisimikwe3852 Місяць тому +1

    Kumbe Magoma bwabwa eee

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa237 Місяць тому +2

    Mama huyu anachochea uadui utakao leta madhara makubwa sana kwa mashabiki.
    Mahakama, kwenye wabobezi wa sheria wameona Eng amekosea.
    Eng anaona ugumu gani kukaa na hao wazee wskaongea kama mahakama ilivyotaka?
    Sema tu Magona kalikamua jipu mapema, ila lipo.

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 Місяць тому

      Peka usimba huko umbea tu unakusumbua mbona nyee mlimkataa Mzee Hamisi kilomoni? Na mka muua Mzee wa watu

    • @mutakagoza4759
      @mutakagoza4759 Місяць тому

      Majinga ya makolo yanaangaika

  • @hamisihemedi1099
    @hamisihemedi1099 Місяць тому +1

    Magoma.mfukuzeni yanga.kwa usalama wake amechokoza.taasisi kubwa

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 Місяць тому +1

    😂😂😂😂 Eti huenda ana Katiba yake nyumbani

  • @KhalfanNuhu
    @KhalfanNuhu Місяць тому +1

    Magoma fala tu njaa inampa tabu

  • @FilipoBahava
    @FilipoBahava Місяць тому +1

    Amezoea tunaomba Serikali imwadabishe ni mzee OVYO

  • @JafarOmar-b1u
    @JafarOmar-b1u Місяць тому +2

    anataka kuwatia shida watoto wake

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo Місяць тому +4

    Mungu ndiye anajua kitakachokuja hapo baadaye. Kama yuko sahihi tutashuhudia issue fulani kwa Yanga😂😂😂

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j Місяць тому

      Yanı ndugu nikwamba magoma anataka kəsi na vigogo wa serikali maq kawashtaki kinamwiguru tarıma mama karume saşa magoma anaringia nini😅😅😅😅

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 Місяць тому

    Team ,imeuzwa ,ila wanajificha kwenye mafanikio

  • @jumamnemo8383
    @jumamnemo8383 Місяць тому

    Nyinyi Yanga hamjielewi aliefoji sahihi sio Magoma bali kunamtu ambae ndie aliesema anawawakilisha wadaiwa wengine na sio, mimi nipotayari kuweka dau lolote kama Magoma ataguswa kwa fojari.

  • @maimunaahmed3477
    @maimunaahmed3477 Місяць тому +1

    Mvueni uanachama huyo ni anatumwa.

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania Місяць тому +1

    Kunguru huyooo mangoma

  • @agreykayombo1466
    @agreykayombo1466 Місяць тому

    Tunahitaji kauli ya Mama Karume sio huyu

  • @MayleenDonaldharris
    @MayleenDonaldharris Місяць тому +1

    Washenzi nyieeeeeee😛😝😜🤪

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 Місяць тому +6

    Atafungwa kama pelemende

  • @MohdAliHaji
    @MohdAliHaji Місяць тому +1

    Sasa mbona anashinda kesi

  • @RabeccaAdam
    @RabeccaAdam Місяць тому

    Hogera sana mama

  • @user-cc4jk1ll5v
    @user-cc4jk1ll5v Місяць тому +1

    Yeye amesema mpelekeni ahakamani

  • @muhamedjaffar5653
    @muhamedjaffar5653 Місяць тому +1

    Mahakama sio wapumbav wamejiridhisha wakaona yuko sahihi.na uyu dada anachochea ugomvi kwenye maelezo yake.magoma komalia kwenye haki wataelewa tuu badae

  • @user-vb6zv8ov8v
    @user-vb6zv8ov8v Місяць тому +1

    Mi nadhani asulubiwe hastahili hata kidogo mbele ya jamii

  • @saidmansoury1526
    @saidmansoury1526 Місяць тому +1

    Mm yanga damu magoma kuna ukweli tunazugwa na ushindi watu wanapiga pesa hapo awajibu hoja bali kumshambulia tu sielewi

  • @muhamedjaffar5653
    @muhamedjaffar5653 Місяць тому +1

    Utuliv wa aina gani .achen8 kutetea wapigaji.magoma kaongea facts tupu.

    • @eliyaraphael
      @eliyaraphael Місяць тому

      Katika walio comment wote ww ndo umecomment Utumbo , kati ya Injinia na Magoma MPIGAJI nani hapo kama magoma anasema yeye anataka awe anapewa pesa kdg na wakati anakwambia ada ya uanachama halipi Sasa MPIGAJI nani au we kolo unataka Yanga ipolomoke Ili Upate urahisi Bado miaka mingne minne mbele ndo uwe bingwa

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 Місяць тому

      Wewe ni kolo ndio maana unamtetea magoma

    • @muhamedjaffar5653
      @muhamedjaffar5653 Місяць тому

      @@eliyaraphael ubingwa mnachukua kwa bahasha na marefa na kudhamin team sita .ilo sina shake mtachukua kwa kua wazee wa tigo pesa .

  • @mnolamanyendi4956
    @mnolamanyendi4956 Місяць тому +1

    Musimtishe mzee magoma asikilizwe

  • @user-qo6qv6mc5p
    @user-qo6qv6mc5p Місяць тому +4

    Yule mzee msumbufu

  • @user-hn1ci1xs8p
    @user-hn1ci1xs8p Місяць тому +2

    Mama apewe maua yake magoma chawa tu

  • @user-vg7ph6oc4m
    @user-vg7ph6oc4m Місяць тому

    Gen z malizaneni na huyo babu jamani shabiki wa yanga kutoka 🇰🇪

  • @SultanSuleiman-qf7cx
    @SultanSuleiman-qf7cx Місяць тому +1

    Huyu Mama yupo na akili sana Yani YANGA Ina watu sana

  • @andrewmuya7212
    @andrewmuya7212 Місяць тому +3

    Habari sio sahihi na kichwa Chako Cha habariAcheni uongo online tv

  • @AmosKayega
    @AmosKayega Місяць тому

    We mama magoma Yuko sahihi

  • @ProudNative
    @ProudNative Місяць тому

    Waandishi fanyeni utafiti wa maswali ya kuulza sio kila muda mtakuwa mnawaulza maswali kina Ali Kamwe na Ahmed Ally. Wengne wanaweza kuwapa habari za msingi

  • @MayleenDonaldharris
    @MayleenDonaldharris Місяць тому +1

    Magoma nakupendaa

  • @salimalaquimane3077
    @salimalaquimane3077 Місяць тому

    Tuonyeshen nyumban kwake uyo mzee

  • @user-qg1iy5ov3u
    @user-qg1iy5ov3u Місяць тому

    Magoma anapenda vita aende ukrein huyo si mwanachama huyo

  • @suleimanjokoro
    @suleimanjokoro Місяць тому

    Nashauri tumpeleke Congo huyo Mzee lofa halafu tumwache kwenye pori la waasi wa M 23.!

  • @AllDesigningTZ
    @AllDesigningTZ Місяць тому +1

    Chanel hii ni ya hovyo

  • @shukuluvanda8047
    @shukuluvanda8047 Місяць тому

    Du sister umemaliza yani huyo mzee sijui huko aliko

  • @MohamedyHuseni
    @MohamedyHuseni Місяць тому +1

    Mohamedy ally

  • @AminaMsimbe
    @AminaMsimbe Місяць тому +2

    Hivi kwa nini huyo mbwa hachoki kuiandama team yetu? Huyo ni simba siyo mwenzetu

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania Місяць тому +1

    Ongea mama etuu

  • @julianajeremiah4353
    @julianajeremiah4353 Місяць тому +1

    Acha hawanyosheeee

  • @jamesnyaulingo673
    @jamesnyaulingo673 Місяць тому +2

    Simba huyo

  • @user-le6jm2tf5y
    @user-le6jm2tf5y Місяць тому

    Kadange huko poch manyoya Kwan unafikir mkimua magoma ndo uhai wake mnaongezewa nyinyi Kila mtu ardhi inamsubiri nyoko ww 😂et ndo unaenda kwenye uzee si bib kabisa dooh hutak kuzeeka leta Hilo bunyanga tulisolobeke ukuni mamaee

  • @user-co4dx6lo9x
    @user-co4dx6lo9x Місяць тому +1

    Kwani hoja ni nini we mama nawe ndo wale wale wapigaji wewe mheshimu babako huyo we mama

  • @mohamedymkopi5887
    @mohamedymkopi5887 Місяць тому

    ieleweke kuwa magoma siyo aliesambaza izo taharuki waulizwe hao walipokwenda kuchukua file mahakamani wakati kess haiwahusu then kuanza kusambaza habr hz mtandaoni… ye wala hakuusika straight 🎉

  • @YassinRajabu
    @YassinRajabu Місяць тому +2

    acha kuwajaza ujinga vijana yani awekwe kwenye kiloba kwasababu mmeshindwa kumjibu kwa hoja

  • @rukundorwiza5223
    @rukundorwiza5223 Місяць тому +1

    Magoma sisi yanga tunampenda

  • @madarakamarumbo6102
    @madarakamarumbo6102 Місяць тому +3

    Sasa huyo ni mama Karume? Huyo ni Siza Lyimo

  • @elisonhai9545
    @elisonhai9545 Місяць тому

    Ili maendeleo yawepo ndani ya yanga lazima watu kama magoma lazima wawepo

  • @RashidRajab-oz5ec
    @RashidRajab-oz5ec Місяць тому +2

    Sasa si mko na mwana sheria nendeni mahakamani mka mcahalange ukweli ujulikane tu c kila mtu Ana haki

  • @user-cc4jk1ll5v
    @user-cc4jk1ll5v Місяць тому +1

    Mpenihakiyake