Salama JABIR Alimchana Mwana FA kwenye Planet Bongo na FA alimind, ilikuwaje? Tazama Hapa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 сер 2016
  • Hii ndo list ya ngoma 5 kali alizochagua Salama kwenye The Playlist, Aug 20. 2016
    1. Malome - Cassper Nyovest ft Mahotela Queens
    2. Love on the brain - Rihanna
    3. Messing Around - Pitbull x Enrique Iglesias
    4. Me Myself & I - G Eazy x Bebe Rexha
    5. Inde - Dully Sykes x Harmonize
    The Playlist ni kila Jumamosi Kuanzia Saa 6 hadi Saa 8 mchana kupitia 100.5 Times FM na Omari Tambwe (Lil Ommy).
    Star wako anashuka kubonyeza ngoma 5 kali anazozikubali na mastori kibao. info zaidi follow @LilOmmy kwenye instagram na twitter na make sure una SUBSCRIBE channel hii ili uwe wa kwanza kunasa interviews zote za kibabe. #thePlaylist #TimesFM 100.5
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 127

  • @annastaziaramadhani2666
    @annastaziaramadhani2666 8 років тому +19

    salama ni mdada mwenye maono ya mbali mno akunagana kama huyo mtu hapa tanzania zaidi ya yeye mwenyewe love u salama

  • @arnoldnicholaus3835
    @arnoldnicholaus3835 6 років тому +11

    What I will take from this interview.
    1. Hakuna kitu kibaya kama mtu kukuchukulia poa kisa mnapiga story.
    2. Ukitaka kutoka, toka mlangoni na usipitie dirishani.
    Salama you is a L E G E N D.

  • @damiankimaro8919
    @damiankimaro8919 3 роки тому +2

    Wale wa buku 2 tukae humu#two genius in da house

  • @fofomohammed6253
    @fofomohammed6253 6 років тому +3

    Nawapenda Sana Hawa watu wawili God bless you guys

  • @zaudatmakula3454
    @zaudatmakula3454 7 років тому +19

    love you Salama hujawahi niangusha ommy ahsantee

  • @bossomar8090
    @bossomar8090 6 років тому +1

    2018 kila nikipata time naangalia interviews zote ambazo sikuwahi ziona...Tambwe unajua Sana..am a big fan of u..tokea pande za 25flow..Kizazi Sana!

  • @salymahsaleh2988
    @salymahsaleh2988 7 років тому +4

    From Kenya luv u much daa Salama

  • @tanzanianqueen384
    @tanzanianqueen384 7 років тому +5

    I love you Salama

  • @yasserabubakar6167
    @yasserabubakar6167 8 років тому +4

    i love salama coz yuko real na anajijua ....

  • @GeorgeNyamboOnline
    @GeorgeNyamboOnline 7 років тому +7

    kuiga jambo zuri si kitu kibaya,na tusiogope kuigwa cha kuzingazitia unapokuwa unafanya jambo is to tune the highest level of uniqueness to be different

  • @yusufbakari6807
    @yusufbakari6807 5 років тому +1

    Salama J.... Like everything bout u since 2004...2005.. 2006... Na kipindi planet bongo... Mkasi pia... Great... Ile wee tomboy sana dah!!!!!!!? 🙈

  • @tinajoe4
    @tinajoe4 7 років тому +5

    Salama uko vizuri sana Mungu akufikishe mbali aisee

  • @jumaramadhani5861
    @jumaramadhani5861 8 років тому +1

    Maswali mazuri sana aliyokuwa anayajibu salama,thanx Ommy nakikubali sana kipindi chako

  • @bintirashidantybaby8146
    @bintirashidantybaby8146 7 років тому +9

    Dada salama regesha mkasi plzzzzzzzzzzzz

  • @hechihechie5558
    @hechihechie5558 7 років тому +7

    Salama nakupenda unajielewa Mungu akutunze my

  • @ahmedalminshad1211
    @ahmedalminshad1211 8 років тому +3

    Mashaallah, lovely Salama

  • @samwelmahanyu3363
    @samwelmahanyu3363 8 років тому +1

    salama nakukubali sana cos ww sio mnafki unasema ukweli kabisa hongera dada salama

  • @Umuuahlaam
    @Umuuahlaam 7 років тому +1

    Nakupenda sana da salama nitakupenda zaid ukirehesha kipindi cha mkasi

  • @samgaya
    @samgaya 6 років тому +3

    brazq wewe ni maana ya mtangazaji unaweza bro keep it up

  • @latifamohd6891
    @latifamohd6891 6 років тому

    I love u habbty kwel unajuwa hmn kitu kizr km kuwa mkwel na liwazo nakupenda sana salama

  • @doreenmkingi3117
    @doreenmkingi3117 7 років тому

    salama we sio wa nchi hii aisee ww n next level myn nakupenda ajabu.

  • @daeaglechams9182
    @daeaglechams9182 8 років тому +3

    nakupenda xan salma jabu😍😍😍😍😍

  • @ndundetommasz9158
    @ndundetommasz9158 7 років тому +5

    salama jabir i love you sooooo much dear ,you are one of the best of the best ladies in tanzania .kenya tunakuskiza hata kama kiswahili hatuelewi we keep on following you

  • @hassankayla4076
    @hassankayla4076 8 років тому +1

    Salama your the best big up sana, Ommy we ni nouma sana

  • @mwinyishughuli7198
    @mwinyishughuli7198 8 років тому +1

    video classic audio DOPE......big up ommy

  • @justinendaki4158
    @justinendaki4158 8 років тому +1

    Best interview ever, big up salama.

  • @josephvictormlapon9568
    @josephvictormlapon9568 7 років тому

    lilommytv nimekukubali aide we ninoma unauliza maswali vizuri kabisa kiasi ambacho hats msikilizaji au mtazamaji hujiskia furaha sana kufuatilia kipindi big cup sana bro lililililil ommyyyyyyyyy

  • @elymsagala
    @elymsagala 8 років тому +1

    nimejifunza mengi toka kwa salama
    ubarikiwe

  • @victoriambala2769
    @victoriambala2769 8 років тому

    nakukubali sana salama mungu akuweke...kutoka 254

  • @joasionesmo6963
    @joasionesmo6963 7 років тому +1

    love it...

  • @blesskitasabongasa4030
    @blesskitasabongasa4030 7 років тому

    namuita sj daa washikaji wanatambua mchango wake kwanza huwa napenda interview zake yupo na confidence ya khali ya juu big up couse iknow kule tulipotoka kwenye ala za roho up to now its imazing

  • @billyzokah5410
    @billyzokah5410 8 років тому +3

    salama nimekubali na hiyo point yako.ukitaka kutoka tokea na malangoni usitokee na dirishani.ili ukitaka kuridi inakuarahisi kukaribishwa tena.

  • @irleensalim4559
    @irleensalim4559 8 років тому +1

    Salama unajibu maswali vizuri ongera sana

  • @abdulyabduly8453
    @abdulyabduly8453 6 років тому +2

    ece jay..nakuelewa sana

  • @ezrakaganda4510
    @ezrakaganda4510 6 років тому +1

    Nakukubar saana dada yangu.

  • @emmanuelluiso4872
    @emmanuelluiso4872 8 років тому +1

    nice interview I like it...keep it up lilommy nkkbali....

  • @nurumasunga6079
    @nurumasunga6079 8 років тому +1

    salama, ur mult talented

  • @mohamedosman6356
    @mohamedosman6356 7 років тому +2

    Interview nzuri sana,

  • @shadrackjafety6028
    @shadrackjafety6028 6 років тому +1

    Salama in this life time, I will love you alone, I will never change

  • @nassorozawiya406
    @nassorozawiya406 8 років тому +1

    i like u #eceyjay.. u sound gud points n all dat

  • @joycezawadi1952
    @joycezawadi1952 5 років тому +1

    I wish I see u my salama jabir

  • @nasibumuhibu3470
    @nasibumuhibu3470 7 років тому +1

    salama uko good sana my..

  • @ashahaji4936
    @ashahaji4936 7 років тому +3

    love u Omiy

  • @athumanchato3217
    @athumanchato3217 7 років тому +1

    salama love u

  • @vonkale8565
    @vonkale8565 8 років тому +2

    cool 😎

  • @jabirshakh6457
    @jabirshakh6457 8 років тому +3

    jabir

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 5 років тому +1

    Tambweeeee!!!! Love you bro

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 6 років тому

    Kizazi sana lilomy

  • @saimonmgeta5239
    @saimonmgeta5239 5 років тому

    Thanks

  • @Kathren-ed7xb
    @Kathren-ed7xb 7 років тому +1

    Penda sana ommyyy

  • @viganjainc2023
    @viganjainc2023 8 років тому +1

    yo d beast man

  • @patriciaemanuel3252
    @patriciaemanuel3252 7 років тому +1

    perfect salama😍😍😍😍😍😍😍😍

  • @chazdenis7820
    @chazdenis7820 7 років тому +1

    lilyommy upo vizur kaka

  • @ramadhanmwinyi5605
    @ramadhanmwinyi5605 7 років тому +2

    penda ww Sanaa salama

  • @yasminkituku3875
    @yasminkituku3875 7 років тому +1

    nakupenda salama

  • @ashahaji4936
    @ashahaji4936 7 років тому +1

    uko pw sana broo

  • @luischonjo1558
    @luischonjo1558 6 років тому +1

    om tem plz ...hyo kofia alikupa salama
    bhnd de inteviu

  • @ericharmony7386
    @ericharmony7386 7 років тому +1

    Salama Jabir...

  • @annastaziaramadhani2666
    @annastaziaramadhani2666 8 років тому

    nice!

  • @mohamedimpunda8440
    @mohamedimpunda8440 8 років тому +1

    guuuuuud

  • @jewelsjewels5376
    @jewelsjewels5376 7 років тому +1

    sawa

  • @irleensalim4559
    @irleensalim4559 8 років тому +1

    ongera brazaaaaa

  • @beautyibrahim8428
    @beautyibrahim8428 6 років тому

    Nampenda salama

  • @tracejeezy8917
    @tracejeezy8917 8 років тому +1

    Full Swaggs... Kwny hii show yaani

  • @shobomodo7308
    @shobomodo7308 6 років тому

    oyeaah

  • @anwarbabas2032
    @anwarbabas2032 8 років тому +1

    yap yani iko pooa sana.

  • @sweetbartcloud2787
    @sweetbartcloud2787 7 років тому

    aiseeee namkubari sana uyo mwanadashost ongela sana

  • @joasionesmo6963
    @joasionesmo6963 7 років тому

    réal like 4 shoo....

  • @rinnionnTV
    @rinnionnTV 7 років тому +3

    @lilommytv very great show bro lilommy you are killing it with this show. Does anyone know what song plays at 5.12 (the song after paranoid) . Big up

  • @ibrahimzuberi1029
    @ibrahimzuberi1029 5 років тому

    big brain salama 7

  • @juliasmagembe4055
    @juliasmagembe4055 7 років тому

    good

  • @ngallakisoma8753
    @ngallakisoma8753 6 років тому

    la kizazi sana

  • @kassimabed7921
    @kassimabed7921 7 років тому +1

    Salama nakubal sana ur so cul sister

  • @adamrenatus4235
    @adamrenatus4235 3 роки тому

    💥💥💥💥

  • @theoniyonkuru6423
    @theoniyonkuru6423 5 років тому

    salam am from burundi ningependa nikuowe

  • @gladnesskimati
    @gladnesskimati 4 роки тому

    💯

  • @d-manb-free3478
    @d-manb-free3478 8 років тому +1

    kidume???

  • @mwebesafrank2127
    @mwebesafrank2127 7 років тому

    nice interview

    • @samiamtanga1311
      @samiamtanga1311 7 років тому

      Mwebesa Frank
      Salama jabili kafili mkubwa Sana mungu amlan zaidi ya hapo

  • @androeciumboy6033
    @androeciumboy6033 7 років тому +1

    amin kwamba

  • @mamapekupekupilipilimuwash9016
    @mamapekupekupilipilimuwash9016 7 років тому

    miguu juuu salama asi kwambie mtu

  • @lovenaagervaa8749
    @lovenaagervaa8749 6 років тому

    Oyeee

  • @chazdenis7820
    @chazdenis7820 7 років тому +1

    maisha ya gazeti hayatakiwi

  • @erickaemba2815
    @erickaemba2815 7 років тому

    salama ❤

  • @mamapekupekupilipilimuwash9016
    @mamapekupekupilipilimuwash9016 7 років тому

    😘😘😘😘😘😘😘

    • @bennmarcom8787
      @bennmarcom8787 6 років тому

      salama jabir unajicho kali saaan kweny music kiukwel unaijua game saaan interview ya 2016 leo 2018 v.money tunamuona kweny leval zingine mnooo nakukubali saaan salama iko vizuri sis

  • @u-feyephy7460
    @u-feyephy7460 7 років тому +3

    penda sana wewe salama j

  • @calvinfikirini1728
    @calvinfikirini1728 5 років тому

    Bombay

  • @siseharunantaguzwa9667
    @siseharunantaguzwa9667 7 років тому +1

    Singeli sio mziki mziki gani

  • @esthernyokabikimiti5128
    @esthernyokabikimiti5128 8 років тому

    what a beautiful interview. she's an inspiration.

  • @halfanimurua579
    @halfanimurua579 7 років тому

    oyee oyee ndo nini sasa

  • @luischonjo1558
    @luischonjo1558 6 років тому

    tem men... abt hyo kofia

  • @blacknature7637
    @blacknature7637 6 років тому

    Mwanaume ao mwanamke ? Ndo kwanza namuona huyu ila nimempenda Sana anavyo zungumza kistarabu

  • @goodluckminja7990
    @goodluckminja7990 7 років тому

    we jamaa napenda Sana kukusikiliza joh

    • @esthersariah4964
      @esthersariah4964 7 років тому

      Naamini salama unachangia vema katika sana rekebisheni na muwashari wasanii wetu wasiige mambo ya nnje wabaki na mitindo na dhana za kiafrika.

    • @soudmohamed2274
      @soudmohamed2274 7 років тому

      Goodluck Minja

  • @ramakamole100
    @ramakamole100 6 років тому

    Kizungu jamani, kimekuja nanani.

  • @rmimy
    @rmimy 4 роки тому

    ommy don't keep moving your head too much its soooo disturbing to the viewer, good interview though

  • @alaintoriteka6905
    @alaintoriteka6905 7 років тому

    Salam, just sounds as talkative as just other females. Though she acts masculine.

    • @vevo3130
      @vevo3130 4 роки тому +1

      she ain't acting...she is real...that's her...

  • @adenmapala4751
    @adenmapala4751 8 років тому +4

    shoo nihatari ile mbaya coz binafsi nimekipenda

  • @gileadkajiru2399
    @gileadkajiru2399 7 років тому

    Huyu csta Salama namkubali balaa any way ingawa hanijui!!!!!

  • @mckt8824
    @mckt8824 6 років тому

    I can mi yu _______🤐

  • @nunilivingstone4521
    @nunilivingstone4521 6 років тому

    Genius Sana salama

  • @AbilahSalumu-qx1cb
    @AbilahSalumu-qx1cb 3 місяці тому

    Tunaenda Afu Weumezeeka😂