Part1: Fid Q amefunguka jinsi Beef lake na Rado lilivoanza, kuingia MJ, Baucha mpaka Bongo Records.
Вставка
- Опубліковано 7 вер 2024
- Hii ndiyo List ya Ngoma 5 alizochagua Fid Q kwenye THE PLAYLIST 100.5 Times FM March 04, 2017
5. Raha tu rmx - AY ft Complex
4. Asanteni kwa Kuja - Mwana FA
3. Salio la verse - Juma Nature
2. Zamu Yangu - Shaa ft Fid Q
1. Mabundi - Big Jah Man ft Fid Q
THE PLAYLIST ni Show kali ya weekend inayowashusha mastaa kibao ndani ya Studio za 100.5 Times FM kuchagua ngoma 5 kali wanazozikubali na kupiga mastori kibao kuhusu Music, Fashion & LifeStyle, Gadgets & all that.
Show inaruka kwa hewa kila Jumamosi, Saa 6 - 8 Mchana kupitia frequency ya 100.5 Times FM chini ya Presenter Mkali, the Baddest boi, Omary Tambwe aka Lil Ommy.
Subscribe, Watch, Share.
Niguse kwenye social networks:
/ lilommy
/ lilommy
www.lilommy.com for more interviews, hot news, exclusives, music, videos, artists profiles, gossip etc.
Fid q all best kama unamkubali gonga like hapa Tisabway
True Hip Hop Legend ndani ya TZ....
The best hip hop lyricist in the world
The Badest omary tambwe
Mtu awezi kuchoka kutazama intervew yako
mala zote upo tofauti katika uulizaji wa maswali
na kipindi chako kipo mbio sana
namaanisha kimechangamka sana
nakubali hii interview kwangu this is the best with the best hip hop artist and radio presenter lilommy salute
james chanja 👊👊👊
h mbizo
Yes
Interview 🔥🔥🔥 mzee ni knowledge tosha
Fid Q level up Legend ❤
Salute ma man Tambwe ..You inspire me BIG time bro..
great interview, well done man, I real enjoyed it
the real fid q the man who is craetitivy ....hip hop is realness of reality.... much respect big up omarry tambwe
Ngosha is always some steps ahead
Mayila Shega true dat
One ov the best interview kwa mwaka huu.... Every day lazima niichek
Mashairi ya gosha hayafananish na yangu mwingineJamaa anaumiza kichwa sana hivo namkubali toka FD q Mapaka sasa mean that toka mwazo alivo azagemu tl now. He is true hip hop 🎤🎤. 👏👏
Lil ommy fanya iZo ngoma anazochagua msanii usiweke kwenye caption vizuri tumsikie mwenyewe iwe suprise
One of my best interview of all time 2019
Together,
Host with passion + emce with good altitude with passion
Fid Q real Hip Hop King watu ni awa true men Yap
m.v.p big up kazi yako unaotendea haki coz interviews nyingi nimeziona zimetulia
Legendary lyricist ✊🏾💥
Best Interview of all time
good xna lilommy nice interview #bestrepresenterintown
Mlete majani basi nice
legendary!
Salute to you lilommy..for sure u are the best presenter and the interview is very hot..keep it up bro.
Karim Dusabe 👊
The genius of raper
yeah umekamilika sn fid q
@ LilOmmy mlete professor jay kwenye show la kibabe. safi sana fid q
Respect 🙌🏽
Fid Q pia ni Triple konki 😂😂😂🙏🏾 Blessed up to yourself Partner #fidq konki konki Konki Master 😀
Two artists (Fid-Q and Rado) with high IQ cannot be friends for a while due to overthinking approach and advanced awareness of the principles of nature. Life is a special race, the one who runs faster while considering time wins it. Love from Congo🇨🇩
rado is not
Ikiwa interview kama hii mtu umeshindwa kufoward cdhan kama kuna nymb hata moja yakufoward kwny hy album mpya ya Fareed. He is the best Ever ....
Jamaa anajua sana kufanya interview pia amekutana mtu wa hip hop
Aiseee Ni nomaaaaa
Niko nafata muziki za uyu Fid Q , kwa kweli ana chuwa saaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaaaaaaaaa ani saaaaaaaaaana saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....
majani ndo mm 💪🤝🤝🤝
Fid Q balaaa sana
the legendary of HipHop Ngosha
Bless
salute lilommy nakuelewa sana. heeeee
Legend
Naheshimu, nakuheshimu ni hatari wa kila ufanyalo ktk hip hop💪
Duuuuu lil omy shikamooo baba kw kuafatilia mambo ww n xhida akuna ucchojua abut bongo music ww
kweli hili show la kijanja zaidi nimekubali
Nakubali umetisha fid q
safi fid
oya mzee baba liommy fanya mpngo mdondoshe rado namuelewa sana
Big brain....aminia kwa Fid_q..He is a real king...Evans chapa ilale toka kenya nimesema
Hajui msingi ya hip-hop mbele anapigwa shaba
bro uko vizuri mno maashaa allah ... u knw wat u r doin u knw wat ppl want.. big up saana buh pls dont upload videos in a part form.. jus like u did on dis... upload full bwanaaaaa unakatisha utamu... den big up kw fidq he iz so damn smart man.. namkubal n hii interview mmeuwa
Taghlib Ramadhan oi Show nzima ina Saa 1 na Dakika 10 hivi so huezi eka yote ivo thats y kuna part 1 na part 2.
fid ni big brother
mi naimba lakini nataka nianze kuchana nikimaliza masomo yangu tu...lazima niingie studio,...nakukubali sana Fid q..
👏👏👏👏
Huwa najiuliza. Fid Q kapatawapi ujasili wakuongea point kila interviews why
I real appreciate dis man, lkn msanii wangu WA Hip Hop WA muda wote ni prof Jay wamituringa
Professor mwenyewe
Kumbe huyu king of Hiphop Muongeaji hivi
King /Suka sana
Salut ommy kwa show ya kijanja halaaaaa
Fd ni mtu poa Sana coz Hawa watu hip hop ni wachache Sana lovely hip hop
Wise talk fid
04/12/2022 PAMOJA SANA
fid ni rapa bora kwangu kwene hii dunia
Nakukubal big
"Tucitokee dirishani "by prof. Fareed qubanda.
Toa movie story yako fid q
Bwna misosi ft hard mad nitoke vipi
hawa ndio watu tunaotaka kuwasikiliza ni mziki tu sio kina wale drama tu na mademu plus bifu za kiboya ili wapush mziki wao wa wenye promo gunia uwezo kijiko
Sawa qfid napenda mistari yake maana nasumbukaga kuijua
Usikose diwani ya maalim
hiphop king
kizazi Sana
Hata ujifanye field marshar vitani utabainika tu siku yako iko njiani😅
Hahaha nmeinjoi
King of HipHop/Mtaa_ologia
Fid Q wewe ni nani, ebu tuweke wazi unajua nini.....una zaidi ya raper alafu nimefatilia kazi nyingi ya wanamuziki wa bongo wana makosa mengi ya lugha lkn kiswahili chako kimenyoka
Wayback Lil Ommy you were much really
huyu Lilomy yuko wap jaman,anahoji hiv jaman,dah saafi kabisa kumsikiliza jaman
FID Q JOMAKiNi MUrisho mpoto Tanzania afirika tumependerewa tumetunikiwa bgp
Fid Q ni hip hop bana
Leo nimejua rado yuko sahihi ww fid una shida mm mtu mzima najua
Najutia kusomea kitengo cha afya ya binaadamu maana ninapo fuatilia interviews zako tambwe naona mimi ningekua mtangazaji mkubwa tu maana napenda unachofanya nipo BURUNDI
Ngosha Nikiboko wa maraper
Fid hapo uliyumba
Ulimkunjia Rado
Kama alichelewa ulipaswa kupigia cm,
Fid q
Nimetoka chuga napenda chuga hip hop lakini ujamaa ni shida
Fid He Is No rado
fid
He is no where better than Nas, Juelz Santana...ooh wait even J.Cole? really? hapo mmempa sifa asizostahili aisee..japo yuko vizuri kwa level yake na especially kwa wasanii wetu wa hipop bongo and maybe Africa with exception of Cassper, Sarkodie, Major League...kila la heri
Zenith Lazarus fdq
king fid q
we cio mtu bali ni nusu mashine
Now Nash mc
Bongo acheni kudanganyana😂
kma hta kpaji hiki si kitu we unaona BASI wewe ni mtu tofauti sana UNAISHI kwa ulimwengu wako mwenyewe Mkuu
Huelew kitu kchwa pumbu
Fid copy ya the late Guru 😎😎
Wewe Uwez elewa
Fid q ni janga na balaa usimfananishe na vitu vya kijinga
joh makini he is much better than Fid q, I do love fid q but majani he was exaggerating but he cannot be better than Nas jones that is not fair ......Majani hapa kazingua
Dickson Magabe joh makini hawez kuingia kwa FD acha ushabiki huyu jamaa another level
Mnh wa wap ww ...!!!
Dickson Magabe majority ndo wameamua fid ndo mkali sio mbaya tumeona mawazo yako ila kama utaweza kubishana na majority good luck
Ushabiki maandazi hujui hip hop kaa kimya, joh makini ni rapa na lyrics zake nyepesi
Everyone is entitled to his/her own opion he said that.usilazimishe kweli yako iwe ya kila mmoja.
👏👏👏👏
👏👏👏👏👏