nakumbuka ilitoka 2002 nikiwa form II, ilifanya nikupende kuwa msanii namba one mpaka leo...huwezi amini nina mistari kichwani ya nyimbo zako za mwanafalsafani...respect you
narudi tena upo sahihi apo f.a unaweza ukatoa nyimbo na msanii mkubwa wa nje ya nchi mwisho wa siku inaonekana kituko tu wasanii ipendeni lugha yenu big up millard ayo
nina mabinti dam dam..hehe....mwana fa "mabinti" was my first intro to him, back in 2003 apo. my fav east african rapper, hehe....luh dat nigga!!!! n he's a kenyan if u ask me, lol, ingawaje twajua ni wa bongo, hehe
Siwaambii msiusie,sisemi zipu mfungue,sisemi muache kuwa wema,ila ujinga usienderee kwamba kila anaye kufa kwa ngoma mkadhani ni kicheche....daah...lakini alikufa kwa ngoma
nakumbuka ilitoka 2002 nikiwa form II, ilifanya nikupende kuwa msanii namba one mpaka leo...huwezi amini nina mistari kichwani ya nyimbo zako za mwanafalsafani...respect you
Mwana FA i look so much up to you.This guy is super cool!!!!! Muhenza wamebahatika kua na mbunge muelewa sana
Silalamiki sina viatu wenzangu hawana miguu thanks for coming br, bG up xn mkuu!
interview nyingi umeweka ila kusema ukweli hii umetutendea haki 100%
shukran sana blaza.
Johnson Meshack from ngaramtoni arusha,,,,Mwana FA uko bie sana,asanten kwa kuja ipo classic ile kinoma
Daah jamaa yuko vzur sana kwny interview......big up FA
umeona eee *Nasser mungu ambariki sana mtu wetu wa nguvu
asante sana mtu wangu wa nguvu naomba utuletee John makin
🙌🙌🙌asante kwa kuja FA
asante kwa ngoma kali
ukweli upo vizuri sana mwan fa😘😘
Kazi nzuri millard
mungu akubarikie kazi yako
Am a fun of Mwana Fa, so humble
Millard upo poa Sana Kaka nakukubali hady kesho
Big up sana bro FA Mr Coundouwn
good broo!
Kati ya wasanii ninao wakubali, my legendary ❤️
Upo vizurii sana Falsafa
I like this!!
Vichwa viwili tu na vikubal tz. FA na blue
nice bro
ahsante millard
narudi tena upo sahihi apo f.a unaweza ukatoa nyimbo na msanii mkubwa wa nje ya nchi mwisho wa siku inaonekana kituko tu wasanii ipendeni lugha yenu big up millard ayo
Nakuelewa sn Millard na kazi zako zinatubariki sn.
That's Great!!!!
Big up Bro.....muite na AY
nice interview
nice bro upo gud
master plan..fa uyu jamaa kiboko bongela intaeview aise
uko vzr
Mwana fa umemsahau dazz baba
very nice
hermy b!
nimemic mwana fa ft jay dee
great interview
Namkubali sana
nina mabinti dam dam..hehe....mwana fa "mabinti" was my first intro to him, back in 2003 apo. my fav east african rapper, hehe....luh dat nigga!!!! n he's a kenyan if u ask me, lol, ingawaje twajua ni wa bongo, hehe
😂😂😂 weweee
Siwaambii msiusie,sisemi zipu mfungue,sisemi muache kuwa wema,ila ujinga usienderee kwamba kila anaye kufa kwa ngoma mkadhani ni kicheche....daah...lakini alikufa kwa ngoma
Now naibu waziri
39:01
ilibidi nipause kwanza nicheke
hata mimi😂😂😂😂
Hapo 10:55 aisee, binamu anajua nyie
Millard nini una angalia on your right.kila video ukiifanya ni hivo hivo
Nice broo
Gwiji FA
😎
aya
umenena bro ngwair hatofananishwa kamwe nyimbo mliopiga ya demu sikiliza duu mlitisha xana
I get around 2023
34:40
diddy kuimba kwenyewe hajui😆😆
Mwana Fa na AY nikama Birdman na Lil Wayne... Story zao ni almost the same
poa
@Millard Ayo mkumbushe @mwanafa hiii
interview imetulia sana
asante sana mtu wangu wa nguvu naomba utuletee John makin
uko vzr