Madam Rita Afunguka Asili Yake Na Alipozaliwa "Nina Makabila Matatu" | SALAMA NA MADAM RITA PT 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 135

  • @sistersade9039
    @sistersade9039 2 роки тому +8

    Wonderful interview. Wow madam Rita what a wonderful personality you have. Salama u r an amazing interviewer. Well done

  • @yusuphmligiliche8353
    @yusuphmligiliche8353 8 місяців тому +1

    Hongera sana Salama kwa hii platform ya mahojiano. Shukran kwa haya mahojiano na da Rita. Endelea na kazi bora!

  • @Iamcameronboyce
    @Iamcameronboyce 2 роки тому +11

    They’re the Definition of Independent Women ♥️

  • @rashidopakwa6230
    @rashidopakwa6230 2 роки тому +15

    Salama you're one of the best presenters in Africa.👏👏👏. That's why I like your interviews. 🔥🔥🔥✔️🇰🇪👊

  • @davidnchoji
    @davidnchoji 2 роки тому +6

    My favorite show with my favorite Host...I love you Da Salama since then❤️😍

  • @ANASTAZIAMANGU
    @ANASTAZIAMANGU Місяць тому

    Good mother for your child

  • @doreendinamica3473
    @doreendinamica3473 2 роки тому +4

    hii ni exclusive yaani
    ..........big up salama...!

  • @clevermngao7565
    @clevermngao7565 9 місяців тому +7

    Wanaume Mungu anatuona!! Yaani uende kumchukua mtoto wa watu ili umuendeleze Shule kwa sababu ni mdogo na alishapewa mimba akiwa na umri mdogo! Then badala ya kumuendeleza shule unamtia mimba nyingine!!
    Je! Huu ni ukatili au sio ukatili? Pole sana Madam Rita kwa safari hiyo ya maisha uliyopitia!!!

  • @fatmamwalim-ih4ku
    @fatmamwalim-ih4ku 9 місяців тому +4

    Ki ukwe ukweli huyo Mama nanpenda sana sana*Allah ampe umri mrefu

  • @StephenKihula
    @StephenKihula 8 місяців тому

    Your story put me on point to look you in a very special manner. But all in all pole Sana kwa yote uliyopitia to where you're today.

  • @SaidChande-yl3wq
    @SaidChande-yl3wq 11 місяців тому +1

    A pure administrator! All the best 👍 madam

  • @k.d.m83
    @k.d.m83 2 роки тому +6

    Tusisahau kutuma Tip kupitia Mpesa aisee, kazi nzuri wanafanya😁

  • @RuthBenjamin-vk8fd
    @RuthBenjamin-vk8fd 10 місяців тому +1

    God akulinde madam Ritha umeongea nimemuelewa Sanaa Sanaa endelea kubariki vijana wetu

  • @zakiakawese3222
    @zakiakawese3222 2 роки тому +4

    Nakubari sana hizi Interview 👏👏✌️

  • @tumainkitundu1015
    @tumainkitundu1015 2 роки тому +2

    Madam Ritha wewe ni mtu na nusu nakubali kazi yako. Keep it up

  • @LivingMindfullyWithKwizera
    @LivingMindfullyWithKwizera 2 роки тому +10

    She’s a strong woman ! Started from the beginning, she has a beautiful soul ! 😭♥️

  • @maryshirima1234
    @maryshirima1234 2 роки тому +3

    Icon...🔥
    One among my favourite people...♥️
    Thank you Ecejay!

  • @albogastmselejr4583
    @albogastmselejr4583 2 роки тому +14

    Jesca Leo Kabadilisha Nguo Kumbe Ana Kijitako Cha Bunduki 🤣🤣

  • @Iamcameronboyce
    @Iamcameronboyce 2 роки тому +9

    Madam is a whole different person. Her personality is 🔥

  • @florakaria3793
    @florakaria3793 8 місяців тому

    Madam Rita pls naomba niwe rafiki yako ! ❤nitapata mengi kwako

  • @karutomdee3107
    @karutomdee3107 10 місяців тому

    Mada masha allah jamn nakupenda jamn sirias toka zamani sema nafasi nakosa kpzzzzzz jaman nakupenda eee nko mkoa eee

  • @carolineoyugi7771
    @carolineoyugi7771 2 роки тому +7

    Mek up ya Leo mbaya sana madam

    • @masturaabdul1007
      @masturaabdul1007 2 роки тому +1

      😃😃😃😃😃sanaaaa. Mbaya mbaya mbayayaayyaa

    • @wennybarny168
      @wennybarny168 9 місяців тому

      Hiyi make inaitwa "nude" na ndo fashion ya wakati huu

  • @HamadiBwakame
    @HamadiBwakame 8 місяців тому

    Salama twawapenda s punguzen kiizungu

  • @josephgatunzi1670
    @josephgatunzi1670 2 роки тому +2

    Kazi nzuri 👊🏿

  • @neemaalbert2731
    @neemaalbert2731 2 роки тому +2

    Madame ritha mnyamwezi sanaaa🤪❤️

  • @halimalachpat1927
    @halimalachpat1927 9 місяців тому

    Kupungua kwa uzuri inategemea na hali ya maisha ya kila siku ila nampenda sana huyu dada ana huruma sana mpenda watu mchapa kazi j say big up madam🎉

  • @mussakhamis2377
    @mussakhamis2377 2 роки тому +2

    Good interview

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 9 місяців тому +6

    Kuna mambo mengi sikuwahi kuyasikia kwenye interview yoyote aliyowahi kufanya Ritha,ila leo nimepata majibu ya maswali yote niliyokuwa nikijiuliza.
    Umepitia mengi, lakini hukuwahi kukata tamaa pamoja na mapito yote.You are a super women🎉

  • @TaarabChannel
    @TaarabChannel 9 місяців тому

    Mupitie na kwangu wapenzi..sapoti kusapotiana❤

  • @mustafaameir8186
    @mustafaameir8186 2 роки тому +1

    She is a strong woman !

  • @LivingMindfullyWithKwizera
    @LivingMindfullyWithKwizera 2 роки тому +12

    I love the fact she didn’t want to use the words “it was an accident” and changed it to “it wasn’t planned “🙏💯

  • @coneephraim7756
    @coneephraim7756 2 роки тому +1

    Salama...... you ar so good and fit on presenting a sessions with..... to me you ar not boaring in all of ur ukorofi questions....

  • @Mkanani311
    @Mkanani311 2 роки тому +2

    Salama mnoma

  • @bellabakera
    @bellabakera 2 роки тому +2

    Wa kwanza leo

  • @letsgrowwithm4620
    @letsgrowwithm4620 2 роки тому +1

    Thats me loneeeer🙏

  • @LéontineVyizigiro-j9b
    @LéontineVyizigiro-j9b 9 місяців тому +2

    Kizungu jamani warundi hatuerewi

  • @fatmebakar1315
    @fatmebakar1315 Рік тому +1

    Yani nakipenda kipindi hichi San Kwanza mazingira yake uwandaaji wake Yani nimzuri sana

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 9 місяців тому

    Ki King'eng'e kimezidi banaaaa

  • @Youngchimodzi823
    @Youngchimodzi823 9 місяців тому +2

    Wanawake kweli kama maua,yanachanua na baadaye kufunga.
    True with time we decay,urembo wake wote mzuri sana umepungua sanaaa,daah wkt ni ukuta

    • @FiollaIsaya
      @FiollaIsaya 8 місяців тому

      Huyu madamu mara mbili siku tofauti nili msalimia shikamoo alikaa kimya nilijisikia vibaya sana afu nilikua shabiki yake sana

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 Рік тому

    Mwaka 2023 Nakuja Bss Natamani Sanaa

  • @SalmaJuma-xv9qp
    @SalmaJuma-xv9qp Рік тому

    Nzurii

  • @5starsmoviecenter714
    @5starsmoviecenter714 2 роки тому +5

    We call them over thinker they have smart mind, focoused, open minded and always think positive

  • @emmanuelonyangoochola9228
    @emmanuelonyangoochola9228 7 місяців тому

    Apewe heshima yake huyu mama

  • @maidamhanje5993
    @maidamhanje5993 2 роки тому +1

    Tupo wengi tunapenda sana kua pekee yangu nilijua ni ugonjwa

  • @zarayusuf2882
    @zarayusuf2882 8 місяців тому

    Who is madam Rita ?

  • @alawisaid280
    @alawisaid280 6 місяців тому

    salama jitahidi kuwaambia wapunguze kingereza siunajua wa tz tuna hiyo shida😅

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому +3

    My favorite 😘

  • @ZainabuMteti
    @ZainabuMteti 11 місяців тому

    Madam pole ulipitia

    • @halimalachpat1927
      @halimalachpat1927 9 місяців тому

      Hivi mi nauliza ni nani aliwahi kuwa mtoto?nadhanni jibu ni wote usichana,umama,na uzee?je hali si inaenda kubadilika? Mangapi yamemtokea madam?linganisha jani bichi na njano uzri wake .maisha ni safari ndefu.

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 роки тому

    🔥🔥

  • @faithjonathan3845
    @faithjonathan3845 2 роки тому +2

    Am a loner too..na ni kitu kizuri sana...unafanya hata maamuzi kwa iuyafikiria wewe kama wewe. Madam Ritha ni mtu poa sana. Nakumbuka the day I met her akanisifia mpaka nikajisikia raha sana👌😘😘

  • @AlbertShayo-i6v
    @AlbertShayo-i6v 9 місяців тому

    Dada salama.. mimi binafsi naona uongozi ndani yako.. hebu pita kidogo huko alafu kuna watu watakushukuru kwa maamuzi utakayochukua

  • @LunodzoMwinuka
    @LunodzoMwinuka Рік тому +1

    Sauti za jamaa wanaopiga picha zinasikika. Mnaweza lifanyia kazi hilo pia.

  • @rukiachamani1101
    @rukiachamani1101 2 роки тому +10

    Nami ni mmojawapo wa watu wanaotaka kukaa peke yangu muda mwingi.

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 9 місяців тому +2

      Mtoto mzuri wewe, kwa nini ukae mwenyewe muda mrefu? Toa nafasi, nipo

    • @theresiarutagwaba
      @theresiarutagwaba 9 місяців тому

      Even me dear

    • @wennybarny168
      @wennybarny168 9 місяців тому +1

      Mimi ni super loner hadi watu hawanielewi na wanahisi nataka kujiua

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS 9 місяців тому

    Mimi Nina makabila 9 yani sieleweki😂😂😂😂😂kila kits nipo tofauti

  • @tiffanyakramJr814
    @tiffanyakramJr814 2 роки тому

    Me hivyo viti mlivyo kalia , hata sijavielewa kabisaa.. Khaa🤗 ukihojiwa na mtu anaekujua ngumu kuficha ukweli Asante Salama

  • @masturaabdul1007
    @masturaabdul1007 2 роки тому +7

    Pole Madam ila sitaki kuwa mnafiki alokupamba kakuharibu kama hujatambuliswa nisingekujuwa😃 Madam achana na mpambaji huyoo

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 9 місяців тому +1

    MAJIZI GROUP 😅😅😅

  • @ruu6592
    @ruu6592 2 роки тому +2

    I lv madam Rita but she looks very difficult ☺

  • @mtilimsita6675
    @mtilimsita6675 9 місяців тому

    Nimependa mama

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 9 місяців тому +1

    Dada ongea kiswahili bila kuchanganya kiingereza wengine hatuelewi😢😢

    • @yustersimon5104
      @yustersimon5104 9 місяців тому

      Hata hicho kiswahili kajifunza mwaya

  • @asmaathmani440
    @asmaathmani440 2 роки тому

    Madam nakupenda but kuhus age umetudanganya

  • @nereaigogo4442
    @nereaigogo4442 2 роки тому +5

    Ila kiukweli hii ni moja ya interview ngumu sana ambayo salama amewahi kufanya
    Imagine anam interview boss wake na rafiki yake.

    • @wennybarny168
      @wennybarny168 9 місяців тому

      Alishawahi kumhoji kwenye kipindi chake cha zamani yeye Salama kinaitwa MKASI. Hii anamhoji ni mara ya pili.

    • @wennybarny168
      @wennybarny168 9 місяців тому

      Salama alishawahi kumhoji huyu bosss wake kwenye kipindi chake cha MKASI kabla ya hiki

  • @AliySaid-i2t
    @AliySaid-i2t 9 місяців тому

    Alikua anaupenda tu huo mchezo

  • @fatmebakar1315
    @fatmebakar1315 Рік тому

    Yani madam rita story yako kwakweli inaendana Na yangu kabisa

  • @Chapesamedia
    @Chapesamedia 2 роки тому +6

    Huyu mama wange mpa ile nafasi ya Stive nyerere kaleta vipaji vingi sana tena wakali.

    • @saumusalimuhassan2499
      @saumusalimuhassan2499 2 роки тому +1

      True my dear 👍

    • @catenzeki678
      @catenzeki678 2 роки тому +1

      Nakubaliana na ww 100 kwa 100

    • @ngoshachaula172
      @ngoshachaula172 2 роки тому

      Chapesa sikubaliani naww ni tapeli

    • @Chapesamedia
      @Chapesamedia 2 роки тому +2

      @@ngoshachaula172 sawa ila uliwahi kusoma mikataba yao au kujuwa makubaliano yao maana watanzania mara nyingi kusoma mikataba tunauvivu nako sana. Kwahio sote ukweli hatuujuwi tusimuhukumu.

    • @AngelAfrica-w5x
      @AngelAfrica-w5x 2 роки тому

      Kabisa

  • @cobrachristian3685
    @cobrachristian3685 2 роки тому +2

    Kumbe wewe n mtu wa rwanda dada yetu kalibu nyumbani🇷🇼

  • @ebbyramadhani
    @ebbyramadhani 2 роки тому

    jesca leo vipi?

  • @shukurupaul5299
    @shukurupaul5299 Рік тому

    Omg

  • @AngelAfrica-w5x
    @AngelAfrica-w5x 2 роки тому +2

    Kingereza kingi madam vp ? Kumbuka kuna ambao hawajasoma wanatizama kipindi hata hiyo english yako hawaijui so speak national language banaa, all in all uko good jasiri muonyesha njia 🔥

    • @rommelmauma8081
      @rommelmauma8081 2 роки тому +1

      Hakuna ubaya endapo mahojiano yatakuwa kwa Kiswahili au Kiingereza; kuchanganya lugha hizo mbili kunaharibu mazingira ya maudhui ya mahojiano. Chuchumilieni kuongea Kiswahili!!

  • @mazartajmohamed1437
    @mazartajmohamed1437 9 місяців тому +1

    Iron lady very difficult to understand her, genueas and confident this type of lady there are very few in this planet.

  • @karimukalema4613
    @karimukalema4613 2 роки тому +2

    WHERE IS JESICA ????????? WE WANT HER BACK

  • @sumayaishengoma4543
    @sumayaishengoma4543 2 роки тому +1

    Hapo kwenye sura zake mbili nimeziona hiyo sura yake ya kazi unaweza usiamini kama ni the same person 😂😂

  • @tausiabdalla9904
    @tausiabdalla9904 Рік тому

    Kumbe hata kama u unahela mambo ni magumu tu😅

  • @fidelitekarigirwamuyangwa973
    @fidelitekarigirwamuyangwa973 9 місяців тому

    Kama Mimi nimezaa14 nikateseka

  • @LaurenceKagoma
    @LaurenceKagoma 9 місяців тому

    Inawezekana akawa ni mhaya wapenda English.

    • @KhadijaMiteya-hh8xl
      @KhadijaMiteya-hh8xl 9 місяців тому +1

      Amesha kwambia msukuma na mjerumani ujasoma comment?

  • @romanarosemedard2551
    @romanarosemedard2551 9 місяців тому

    Be specific
    Sasa kitambulisho cha NiDa umejaza hayo makabila ya baba zako 3
    Siku zote tunafuata ukoo wa baba
    Aliyeweka mimba kwa mama yako
    Halafu wewe unajulikana kama hata shule umepia
    Huko ni kujikaa Ritha

  • @albogastmselejr4583
    @albogastmselejr4583 2 роки тому +3

    Aisee Mbona Heleni Za Madame Kama Ni Mzigo 🤣🤣 Au Basi Itakuwa Kakata Nyororo Ya Mbwaaa

  • @mack_B.
    @mack_B. 2 роки тому

    Hivi ukisema kua hupend mtu muongo mnafiki sjh nn na nn hiv inakuaje kwa upande wako wewe mwenyew hivyo vtu u didn't get au manake uongo kuuepuka Ni Mara chache Sana same tu unafiki jmn tusiwe waongo katka ilo🤣🤣🤣

  • @amirymdee4259
    @amirymdee4259 Рік тому

    ***Napajua Umurushaka,Nkwenda,Kaisho,Murongo Kona kumi na mbili,****

  • @neemaalbert2731
    @neemaalbert2731 2 роки тому

    Heshma Kwa mama Samia kurudisha wajawazito shulen

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 9 місяців тому

    Where is the camera interviewer is looking away..we see legs n shoes can u be serious

  • @wennybarny168
    @wennybarny168 9 місяців тому

    Jamani hiyo ni fashion ya make inaitwa "nude"
    Naona watu hawajailelewa ila iko namna hiyo
    Wakati prince Harry anaoa mjukuu wa Queen Elizabeth, mtoto wa prince Charles (ambaye sasa ndo king wa uingereza) watu walisema bi arusi hajatumia makeup kabisa, kumbe alitumia makeup ya milioni 30 za kitanzania. Ni make ya nude ambayo rangi zake ziko kimya. Rangi hazi-shout.

  • @prudencemushi6948
    @prudencemushi6948 Рік тому

    The Accent is boring.... juzi tuu the accent was well booom it has changed

  • @mikhitaryankombo9604
    @mikhitaryankombo9604 2 роки тому +1

    Mm binafsi nakubali hiki kipindi lkn kwauchunguz wangu nimebauni wanaongea kingereza Sasa kuliko kiswahili ndio hua siku mbaya ya kipindi

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 9 місяців тому

      Ni lugha ya pili Tanzania kama hujui moja lazima utajua moja huko ndo ukweli

  • @dianerditto
    @dianerditto 2 роки тому +31

    Madam Ritha mimi pia sio mnafki, nikuombe tu umfukuze kazi huyo makeup artist wako aliekufanya hvo uson kwenye interview hii