Duh Ila okopa Sana viumbe vyakike yan wanaona wakimpa air tym uyo mdada mwenzao kama atawazid k2 duh kumanina zenu waongoz vpnd uyo mdad kawazd uzr had uvaaji
Tatizo Lililopo Hapo Ni Kwamba Wivu Umeingia Ukimuangalia Huyo Mdada Comedian Na Hao Watangazaji Ni Vitu Viwili Tofauti Yaani Ardhi Na Mbingu Ndio Maana Wamembagua
Mnaocomment huyo dada hajaulizwa chochote mna chuki zenu hizo interview zipo 2 zimepostiwa ile nyingine walishampa airtime mnalaumu bila hata kujua non sense
Mwanangu Mtumishi, Talent, Tx mnatusha sana keep up 🔥♥️
❤❤❤Mtumishi ni handsome kuliko wote😅😅
Nakubali kuwaona wote ❤❤
I love this guys they do a very good job🥰🥰
Chaddy talent ,dullah tx na Mr mchumgaji na sister apo ampingiki
Dulla na mtumishi mko poa sana tunajifunza sna ❤❤❤🇹🇿
muwe mnapendana wadada bhx
Nakubali sana kazi zao 🔥🔥🔥💪
From burundin nipeni hizo like
Nawapenda San Mnafanya kazi nzuri sana
Kola ya uchungaji❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nawakubali sana hawa jamaa
Wanyamaaaaaaaa apo oya SIWAPINGI
Nakubar sana mtumish
Watangazaji wadada punguzen ubinafs na hiyo inatokana na huyo mdada kawazid kila kitu😅😅😅mnaona mkimuhoji atawazid plus😅
Yaan tabia mbaya
Amehojiwa huyo mbona
Ndaro n mchekeshaj bana 😅 ila tunawakubali sna
Nakupata rich msafi
Duh Ila okopa Sana viumbe vyakike yan wanaona wakimpa air tym uyo mdada mwenzao kama atawazid k2 duh kumanina zenu waongoz vpnd uyo mdad kawazd uzr had uvaaji
Ukweli mnaweza kuchekesha
Ndaro mjinga sanaa...eti angalie atauungaje
Yaani na hiyo furaha yote wanangu kumbe mko chini ya ulinzi😂
Nakubali mnyama tx
Mnanichekesha sana AAA mtumishi
Wivu huyo dada anaigiza vzs sna
Acheni wivu nyie wadada umumuoni mwenzenu ata swali moja amna adi anajiskia vibaya
Mbona camera za EATV zinaonyesha ukungu alf hiz za EAradio zinauhafadhali
Atakuja kuwa Mtumish kweli
Wanachekesha sana hao watu jaman
@eastafrica radio mfanye mnunue MAIC Bwana hiyo radio kubwa maic moja wana share watu 7😂😂😂
Hii imeenda
Aisee huyu muha huyu 😂😂😂
Naitwa Chita kutoka mitaa ya osterbay Aiseee huyu jamaa anatisha sana atoe ngoma aisee nilikuwa nataman asimalze kila anapo rap,
Hawa jamaaa nawakubali sana
😂😂😂 nacheka kama mazur
Mbona huyo dada hajaulizwa chochote
Huyu dada alisha hojiwa hapo awali jaman hii story ilikua ndefu
Hawa wote ongea yao imebadilika😂 angalia TX
hako kadada kalichovaa blauz nyeupe ni kadhuri aisee
Mbn huyo dada haongei au ni vile anatoka na tx
Kumbe Ile Ni karatasi Shingon ya mtumishi ndio maana inatoka tokaga😅
Mtumishi ansjibu maswali kiufanisi bila kukurupuka
Eti ualimu wenyewe tu unachekesha ila tx dulla😅😅🙌
Mtumishi nimetokea kumkubali
Mkimhoji uyo dada atafaidi ama? Acheni roho mbaya
Amehojiwa
Yule ostazi yuko wapi?
Next please 🎉🎉
Hawa ndo wachekeshaji sasa 😂😂😂
Huyu Tx mjinga sana😂😂
WADADA KWELI AMPENDANI huyo.dada ajaulizwaa swali pakaa sasa kweli yan ko amekujaa kufanyaa nn hapoo😅😅
Kweli mwanamke mwenzao wamembania kumuuliza maswali
Kwakwer yaaan na hii ni wivu
Uwepo wake tu umetosha acheni u hasi😂 hata hivyo ukiangalia part two utafuta hii comment
Ndio ukazan nn Wana chukiana madem kwa madem
Tatizo Lililopo Hapo Ni Kwamba Wivu Umeingia Ukimuangalia Huyo Mdada Comedian Na Hao Watangazaji Ni Vitu Viwili Tofauti Yaani Ardhi Na Mbingu Ndio Maana Wamembagua
Mmezngua EATV ko kumuhoj pink mmeon atafaid sn kobe nyie
Mbn hhyo sister mwenye mapembe ya nywele ana haibu ni mchumba wa nani??😮😮
mapresenter wako field wasengenyaji tu ,inamaana uyo dem hamumuoni au,lesa mkust mkubwa akili kisoda
Kahojiwa
😂😂😂😂😂baba mtumishi ananivunja mbavu
Huyobebeee anaitwa nani ukiachana na lesaaa
Mbona Obama mtumishi na chard talent hawajatajwa, please hizo ni kazi za watu msiwachukulie poa
Uhakik
Ila,walmu wa Maths😂😂😂
Sasa huyo dada kma hapewi mic ajiongeze tu asepe wanawivu nayee
Kahojiwa
Nyie madada ni mamende tu kwahiyo huyo dada hapo kaja kuuza sura?
Kahojiwa huyo
Tx hatar😂😂
Mbon mnarudia watu wale wale na huy dad apo jaman mbonz hamumuuliz maumbwa nyie mnaroho mbaya
Amehojiwa huyo
Bandoo mc mm mkenya msaniii nakufuatilia sana
Obamatz
Mh
nyie mnazingua mbona hako kadada karembo hamkahoji au kwa vile kamewazidi uzuri.
Amehojiwa huyooo
Mnaocomment huyo dada hajaulizwa chochote mna chuki zenu hizo interview zipo 2 zimepostiwa ile nyingine walishampa airtime mnalaumu bila hata kujua non sense
😄 🤣 hawa jamaa bhn
Ndaro c mkubal ata robo