Part1 - Mwana FA - Wasanii wengi Bongo wanakiki kuliko Mziki wao! Amzungumzia ROMA na Mastori KIBAO.
Вставка
- Опубліковано 18 сер 2017
- THE PLAYLIST - Monday to Friday on 100.5 Times FM,
Time: 2pm to 6pm.
Host: Lil Ommy.
Subscribe, Watch, Share.
Niguse kwenye social networks:
/ lilommy
/ lilommy
www.lilommy.com for more interviews, hot news, exclusives, music, videos, artists profiles, gossip etc. - Розваги
Tambwee nakukubali kaka mkubwa sema somo yangu fa dah c mchezo hicho ni kichwa kimejaa madini nimejifunza mengi kupitia mziki wake na interview zake salute
Nice show brother LilyOmmy nikikosa kucheki kipindi chako Dah nitaumwa good job bro your my role model katika tasnia ya utangazaji. Heshima kwa Mwana FA majibu yake yako mia mia
Hivi Mwana FA Ulijifunza wApi Kuongea Point Kwa Mda Mrefuu
Asee Mwana FA siku ukiacha mziki nashabikia hata maisha na mawazo yako tu 😂😂😂😂😂😂
much respect to this guy!True bongo flava legend!
Lilommy muhoji na Jaymoo. Mo techniques
Role model Tambwe doing what he does best...Big up best Entertainment Presenter....Nice to see Mr Lil Ommy!
Nairobi, Kenya.
Engel Stan Pamoja sana
Kwel we ni mwanafalisafa
from 254 always tuned in
Mwana FA is one of the conscious hiphop artist in Tz, he is so real! No wonder he became an MP.
broo uko vizuri sana intervew ilikuwa nzuri sana nimeipenda kiukweliii
Ana akiri sana jamaa uyu iii ni aya nimemkubari mungu kafundisha kupitia mtume muombe dua utajiri uwe wa kheri kwkua kupata mtihani kukosa mtihani pia dua muhimu
Nakupata Lil ommy I real like kipind chako cha Playlist
Malawi tunakusikiliza saaana
Now ths my fav artist since back in the day Mfalsafaa FA! #Gangsters don't dance they..... 👻👻👻👻👻
Noma sana wajina
saanaa mzaz liliommy nice
Tambwe nakupata kutoka Germany 🇩🇪 big up Brother
ADAM KATET 👊👊👊
LilOmmyTV ONE ☝️ LOVE BROTHER
mi ni subdcriber wa show, nice stuff brother
Lily ur Good presenter in tz never seen before lengend anajibu kwa Busara sana
Nakukubali sana mwana
Safi sana Quality kali , Big Show
nice interview
Binamuuuuuuuu...nakukubali sana
the playlist ndoo kipindi changu boraa
Fa the best
Mwana fa fundi sanaaaa
Nawakubari sana majembe
Naenjoy show zako sana Lil, go hard. Much respect from Rwanda
Kigwisi Mulindwa Clemo Pamoja sana 🙏 sema inabidi nije uko one day
Karibu sana mkuu
Yaani wewe ndugu yangu una akili sana mungu akulinde sana unaufahamu kweli mungu akuliwezeshe
Tambwe all the way from Toronto 🇨🇦 we get u broo ur afternoon show is 🔥🔥🔥🔥
said muhine appreciate that... 1 luv 👊👊👊
LilOmmyTV love it
Wadau leo ni tarehe 27/01/2020 naomba mnijuze hii beat ya back ground ni wimbo gani?
Nakupata Vilivyo bro nipo Accra
Basaga Bernad Pamoja sana
Big up falsafa....shout out to Lil Ommy...All the way frm Kenya I like ur show. Napenda venye unachambua ngoma mstari baada ya mistari
March/19 favourite interview all time Yote sababu ya Binamu Falsafa Aksntee NyingNying Zikufikie Tambweeeeeeeee
Lil ommy inteview zako azichochi daah sijuwi itakuwaje kwenye wcb
Hiki kichwa kingne kabsaaa, Interview zake darasa tosha, hutamani neno hata moja likupite
Binamu mzee wa busara
daaa hii kali sana broo saloot sana
Huwez kuchoka ukiwa unaskiliza Fa anachokiongea salute braza Hamiss 😂😂 mwenye falsafa yako...
Karibu darasani#mwana fa ndo professor wangu
faaaalsafa
Omary Tambwe nakukubali sana
Pamoja sana
Naishi New York nafuatilia kipindi chako mungu aendelee kukuzidishia more blessings my big brother. I wish I can meet one day
kulwa ngatigwa pamoja
Huyu kijana ni mwingi wa busara kweli
Lily Omy rudisha hadhi hizi, jisikilize Sasa na jisikilize nyakati hizi, ukitaka utaelewa!!
👌👍👍👍👊👊
Mbona umechelewa kuipandisha youtube hii ommy
Ndefu sana ilibidi tuikate mara 2, so Part 2 inakuja.
LilOmmyTV pa1 man nimekusoma..
Ni mfano wa kuigwa anaeleza maisha halisi alikotoka.il ike it
iko poa
pamoja sana mzaz👊👊
Wewe Presenter hatari sana. Unajua kuhoji sana maswali.
254pamoja sana bro. Interview.dem!
Nice uploading friend thanks for watching my livestream
Tanga boy my broo unabusaraa saanaaa
safi sana
Mwana f a fund nakbar Kama unaamn hro qonqa rike aenjoy mwamba
Vizuli juu ya vizuli (fa)
Tambwe!!? Jina ya asili yangu, ya kbmb
Tambwe
FA apewe Heshima zake_KING
Respect FA
Killing bro Fa is fire
Critical thinker
Uko sawa Sanaa lakini upande man u maumivu unayo
Chezea fa wewe daaa tisha mbaya hawa ndio wanamuziki
Nasubiri sn interview ya #Jumajux
#lilommy
Apo kwenye investment kaongeaa ukwelkunakutik na kukataa
24/12/2019
Hamis long time una nikumbusha mbali sana sometimes hua nskumbuka hom boy nakimbuka wakati niko na mamu daa poa lakini one day
Kama kuna mafanikio kupitia kiki nanyi muige wasanii wengi wa zamani mmefeli kutojiongeza muziki kama mpira unaanzwa kuchezwa nje ya uwanja kiki zinafanya mashabiki wakae atension
Maisha ya binamu hayana utofauti na mm
Kila neno la FA ni kitabu cha mafundisho ya maisha
P
𝐅 𝐀... 𝐌𝐩
naitafuta nyimbo yako inayoitwa wakati umelala
G
Tambwe najua kuwa the best song to you ni mfalme ujakosea broo ni bonge la ngoma....