MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE : MAOMBI ENDELEVU UFUNGUA MALANGO YA FURSA KWA MUOMBAJI.
Вставка
- Опубліковано 20 сер 2022
- Endelea kufuatilia vipindi mbalimbali na Mahubiri kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Bishop fj katunzi ambae ni Mwalimu wa Neno la Mungu, Mhubiri wa Injili, Mwandishi wa vitabu na mtafiti wa historia ya Kanisa. Pia amekua akiongoza safari za mafunzo katika nchi za ki-Biblia Israel, Misri, Uturuki na Jordani.
⚫️ SIKILIZA MARANATHA GOSPEL RADIO: mixlr.com/maranatha-gospel-radio
⚫️ VISIT LIVE IBADA: ua-cam.com/users/playlist?list...
⚫️ WASILIANA NA MARANATHA ONLINE TV: ( +255 754 367 826 )
⚫️ Email: faithtrustees40@gmail.com
*** OUR PLAYLISTS***
⚫️ HABARI MCHANGANYIKO: ua-cam.com/users/playlist?list...
⚫️ BISHOP FJ KATUNZI IBADA: ua-cam.com/users/playlist?list...
⚫️ MAFUNDISHO: ua-cam.com/users/playlist?list...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: ua-cam.com/users/playlist?list...
⚫️ UCHUMI: ua-cam.com/users/playlist?list...
⚫️ IJUE ISRAEL NA KANISA: ua-cam.com/users/playlist?list...
⚫️ SIMULIZI ZA KUFUNGULIWA: ua-cam.com/users/playlist?list...
⚫️ IFAHAMU CITY CENTER CHURCH: ua-cam.com/users/playlist?list... SIKILIZA MARANATHA GOSPEL RADIO: mixlr.com/maranatha-gospel-radio
⚫️ VISIT LIVE IBADA: ua-cam.com/users/playlist?list...
Haya Mafundisho Yamenigusa Leo tarehe 16/10/2023.. Nimepata kusikia Neno ambalo litabadili historia ya maisha yangu. Mungu tusaidie sanaa. Semina hii Ilikuwa kwa ajiri yangu na ni kusudi la Mungu kwa ajiri yangu. Nimebarikiwa sanaa
Mungu naoma unisaidie mimi na mume wangu maana kwenye majaribu tunayopitia tumefika mwisho bila msaada wa Mungu atuwezi kabisa ,
Amina Mchungaji Mungu naomba unisaidie nikufuhamu wewe zaidi na niwe mwepesi wa kuomba Toba ili nikawe nguvu ya familiya yangu
Baba unaniongezea Imani Mungu akubariki na akupe miaka mingi
Crabbshakarabakora mandorosharoboshaka katika jina la yesu
Mungu niunulie watu watakaomba kwa ajiri yangu
Barikiwa sana mtumishi ...Mwenyezi Mungu azidi kukutunza utulishe neno
🙏Amen barikiwa mtumishi
Mungu akutunze BAB kupitia masomo yko Kuna viwango tunavushwa na Mungu
MUNGU akulinde sana mtumishi wa MUNGU
Nakupenda mchungaji na mwalimu wangu
Ee MUNGU 🙏🙏 muinue mtumishi wako
Mungu akubaliki baba
In JESUS name AMEEN 🙏
Asante Yesu kunihudumia leo kupitia mtumishi wako. Utukufu kwa Mungu🙏
Amen Mungu anisaidie na mimi niinuke kwa viwango
Ubarikiwe sans mtumishi wa mungu neno hili limenikumbusha baba yangu mzazi mungu amulaze Magali pema
Mungu akutunze BAB kupitia wew Kuna viwango tunavushwa na mungu
Asante MUNGU wa mbinguni nimebarikiwa ameni MUNGU ni mwema sana 🙏
Amin Mungu funguwa lango nivuke salama
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu nabarikiwa na masomo yako mungu azidi kukupa mafunuo
Ninaota mara kwa mara ninazungukwa na maji baharin nakimbia kutoka kunawakat naona nimechoka na maj yanatak kunifurikisha nifanyeje mtumish
Amina Baba ubarikiwe sana
Amen Baba yangu wa IMANI
Asante Mungu kwa kunikutanisha na hili somo
Narúdi kwa bwana mwalimu naomba uniombee ubarikiwe sana🙏🏿
Ameeen Halleluyah Nabarikiwa
Asante sana Kwa kutullisha neno zuri MUNGU akubariki
Amenl
Amen
Mungu akubariki sana mwalim
Amina mungu ni mkubwa ubarikiwe mtumishi wa mungu
Amen 🙏
Amen, Mungu akubariki na kukuinua kila saa
Amen amen mtumishi wa Mungu, ubarikiwe
Mungu akubariki baba
Asante sana kwa mafundisho na maombezi, u barikiwe sana mchungaji na kanisa
Mungu akubariki sana Baba kwa neno zuri
Namshukuru Mungu Kwa neno hili
Baba ubarikiwe San na mungu akulinde daima
Ahsante YESU Kwa ujumbe huu mzuri mno.
Uwena miaka mingi ❤ mtumish,
Ameni barikiwa baba
Amin mungu akutunze
Mungu akutubze baba neno la leo ni kweli na amina
Hakika nimebarikiwa na neno hili sana Amen
Mungu akutumze
Amen thank you for the nice words of god is so wonderful
Muzuri awabariki sana watumishi wa Bwana
Amin
Ahsante Yesu kwa watumishi wako
Jaman naomben mawasiliano ya huyu mwalimu MWakasege ntashkuru sana
Mungu akutunze uishi sikunyingi mafundisho yako yanatusaidiya
AMEEN MTUMISHI
Mungu wa mbinguni akutunze mtumishi wa Bwana
Mungu akutunze mtumishi❤❤❤❤
Ameeen
Hakika YESU ni mwema
Neno lawakati Kwa Hali yangu 2/7/2024
Amina
Asant mungu kwakila jambo
Amina mutumishi
Mungu akuinue sana...
Asante Yesu amena
Utukufu kwa mungu
More blessed a man of god
Amen 🙏 ❤❤❤❤
Mungu akjtunze
Amina baba
Glory to God.
Amen Amen
Hallelujah
Ameeeeen
AMINA BABA 🙏
Amen🙏🙏
AMEN
In Jesus name 🙏
Ameni Ameni
Ameeern MUNGU WA MBINGUNI Nifunulie Nione Kwa JICHO la 3
Amen 🙏
Ameen
Ameni.
Oooooo yes
Huu ujumbe umenibariki Leo 6/6/2024
Amen
Mungu apake mafuta mabichi zaidi mwl ili uokoe hiki kizazi cha leo
Ameeeeeeeen
amen
Amen m
Ameni ameni
HALLELUJAH
GOD bless this work from you man of GOD.Glory to GOD
Ooooooo yes
Roho yangu yafarijika Sana mungu akubari sana
❤❤🙏🙏
Bahati
Amiiiiiina
Ubalikiwe san mutumishi nabalikiwa kupitia ww
Holy Spirit 🙏🏼
Masomo yanatujenga sana haya
BABA MUNGU WA ISRAELI AKUINUYE NA AKUBARIKI SANA KWA MAFUNDISHO YAKO KWELI NIMEBARIWA MAVUNDISHO YALIKUWA YANGU
Amina sanaa
Kwa mafundisho haya nimeona mlango uliokuwaumefungwa kwa muda mrefu