Eeeee Mungu mwenyezi naomba uzidi kumpa nguvu na Afya Mwl huyu na hekima yake nabusara na maarifa vizidi,Pamoja na Familia yake na Watenda kazi pamoja na yeye🙏
Tangu nianze kufuatilia Masomo yako mwalimu maisha yangu yamebadilika kabisa. Nilianza na somo la uponyaji kwa moyo uliopondeka na nikapona kabisa roho, mwili, na mifupa. Lol! Mwanzoni sikutakaga kabisa kusikia masomo yako na sikuwahi kufika kwenye seminar zako. Lakini sasa ni mfuatiliaji makini kwasababu nimedhihirisha kuwa Wewe hakika ni mtumishi wa Mungu aliyehai
29 Mnapoambiwa kuwa, "Ikiwa shule ya uchungaji ni ya shetani, basi mtu anawezaje kuwa mchungaji, mtume, na kadhalika ...?" " Mtasema kuwa ni nabii mjumbe tu anaye teuwa na kuweka wakfu huduma za wakati wake. Kuhani hajawahi teuwa kuhani mwingine. Na makuhani hawawezi kuwekwa wakfu na kuhani mwingine kwa kuwekewa mikono kama inavyoonekana makanisani. Ni nabii mjumbe ambaye huteua watumishi wa Mungu wa wakati wake. Hii ndiyo njia ambayo Mungu ameweka. Ni Musa ndiye aliye teuwa ukuhani kulingana na Mambo ya Walawi 8 bila shule ya uchungaji. Na ikiwa wewe ni mtumishi wa kweli wa Mungu, utakuja kwa Musa kama Yethro, kuhani wa Midiani. Ilikuwa ni Yohana mbatizaji aliye teuwa Apolo bila shule ya uchungaji. Ilikuwa Paul ambaye aliye teuwa Tito, Timotheo ... bila shule ya kichungaji na leo, ni Kacou Philippe ambaye aliye ni teuwa bila shule ya uchungaji kwa sababu kama nabii, aliona zawadi hiyo ndani yangu. [Ndr: Kusanyiko linasema: "Amina! »]. Nanyi enyi Wakatoliki, Waprotestanti, Wainjili na Wabranhamisti, mkilipa zaka kwa mtume, mwinjilisti au mchungaji na yeye hajalipa zaka ya zaka kwa kuhani mkuu ambaye ni nabii mjumbe wa wakati wake, kuna kiunga kilichokosekana, kwa hivyo ni mbaya, ni kashfa. Kwa sababu kupitia nabii mjumbe gani Mungu alikufanya uwe mtume, mwinjilisti au mchungaji? [Ndr: linasema: "Amina! »]. 30 Wanadamu lazima wajue kwamba, kulingana na Yohana 9: 5 na Yohana 6: 28-29, wakati unamkataa nabii aliye hai wa wakati wako, Yesu Kristo unayemwabudu siyo mwingine ila shetani. Makanisa ya Kikatoliki, ya Kiprotestanti, ya Kiinjili na ya Kibranhamisti pamoja na misioni na huduma zinamwabudu shetani kwa jina la Bwana Yesu Kristo. Ulimwengu lazima ujue kuwa funguo za Ufalme huwa duniani daima na mtu ambaye ni taa iwakoyo na nuru ya ulimwengu. Humuwezi kufanya kazi ya Mungu isipokuwa mnaamini na kuwa mnenaji wa yule aliyetumwa na Mungu. Hata kama unyofu wako unazidi ule wa Kornelio, Mungu hatakufanya chochote isipokuwa kukuongoza kwa yule ambaye ana funguo za Ufalme duniani kwa wakati wako. Funguo za Ufalme zimepita kutoka kwa Yohana Mbatizaji kwenda kwa Yesu Kristo, kutoka kwa Yesu Kristo kwenda kwa Petro, kutoka kwa Petro kwenda kwa Paulo na kisha kwa Ireneo, mtakatifu Martin wa Tours, Colomban, Martin Luther, John Wesley, William Branham , kwa Kacou Philippe leo na zitakuwa na mtu mwingine siku moja wakati Kacou Philippe hatakuwepo duniani tena! [Ndr: Kusanyiko linasema: "Amina! »]. Wakati Israeli iliomba mfalme kwa Mungu, Mungu aliwapa mfalme, lakini funguo za ufalme zilibaki kwa Samweli nabii aliye hai. Funguo za Ufalme wa Mbingu huwa na nabii aliye hai duniani. Na itakuwa hivyo daima hadi mwisho wa wakati. [Ndr: Kusanyiko linasema: "Amina! »]. #Prophetkacouphilippe
Asante MUNGU kwa Mtumishi wako amekuwa baraka Sana katika maisha yetu hakika tunapata nguvu Sana ya kuwa karibu na MUNGU wetu AMINA
We baba was Mbinguni tunashukuru kwa kutupa huyu Mwl anayetulisha Neno LA Maarifa na kujua namna yakukuishi na kujua kanuni za kuishi Ameen
Ubarikiwe sana mtumishi unanipa nguvu pale nipoyasikia mafundisho yako mungu akupe maisha marefu amen
Namshukuru mungu anaekuwezesha kuinenena siri ya ufalme wa mungu zidi kubarikiwa sana baba
Amina mwl,Mungu akubariki akuongezee mafuta ya ualimu,
Asante MUNGU kwa kutupa zawadi ya mtumishi
Amen 🙏🏾 zidi kubarikiwa Mwalimu na huduma nzima ya Mana Ministry
Nampenda Sana huyu Mtumishi Wa Mungu aliye hai,Mungu akutunze mpaka mwisho wa uhai wako baba( wewe na familia yako
Eeeee Mungu mwenyezi naomba uzidi kumpa nguvu na Afya Mwl huyu na hekima yake nabusara na maarifa vizidi,Pamoja na Familia yake na Watenda kazi pamoja na yeye🙏
Ameeen
Ameniii, ubarikiwe mtumishi wa Mungu, asante kwa kutuelimisha.
Umefanyika baraka kwangu,Mungu akubariki kwa huduma yako nzuri
Yesu wewe ni mwema our hearts are filled with endless praise.
Ubalikiwe sna mtumish mungu akulind na aendelee kukup mafunuo mapy
Asante mwalimu mungu azido kukubariki na kukulinda uzidikutupa nuru ulimwenguni hapa
Najiungamanisha na madhabahu hii amen
Barikiwa sana sana mtumishi Wa Baba
Nimebarikiwa sana kwa haya mafundisho. Ubarikiwe sana Mwalimu 🙏🙏
Mungu akupe uzima milele baba .
Be Blessed Daddy 🙏🙏🙏
Nai enjoy mafundisho yako sana nikiwa apa Saudi Arabia
Asante sana
Mesere,swai
Amen napokea kwa jina la yes kiristo
Amen Glory to God....
Ubarikiwe mtumish wa Mungu
Mwalimu (Teacher)
Kweli ww ni mwalimu, barikiwa sana.
Ninakushukuru MUNGU kwa ajili ya mwalimu upako wa kifalme ufurike azidi ndani yako na family Amen
Glory to God, Mungu na azidi kukuvika ujasiri na nguvu na mafuta mapya kila siku!
Sifa kwa Mungu kwa mafuta mabichi juu ya mtumishi wako Mwakasege👏👏👏💪
Tangu nianze kufuatilia Masomo yako mwalimu maisha yangu yamebadilika kabisa. Nilianza na somo la uponyaji kwa moyo uliopondeka na nikapona kabisa roho, mwili, na mifupa. Lol! Mwanzoni sikutakaga kabisa kusikia masomo yako na sikuwahi kufika kwenye seminar zako. Lakini sasa ni mfuatiliaji makini kwasababu nimedhihirisha kuwa Wewe hakika ni mtumishi wa Mungu aliyehai
Glory to God
BWANA akubariki Babaya'ngu 🙏
Bwana Yesu asifiwe sana
Shalom. Hiyo Heading inabidi isomeke kuhani mkuu *MELKIZEDEKI* kwa ufasaha zaidi. Ahsante.🙏🙏
29 Mnapoambiwa kuwa, "Ikiwa shule ya uchungaji ni ya shetani, basi mtu anawezaje kuwa mchungaji, mtume, na kadhalika ...?" " Mtasema kuwa ni nabii mjumbe tu anaye teuwa na kuweka wakfu huduma za wakati wake. Kuhani hajawahi teuwa kuhani mwingine. Na makuhani hawawezi kuwekwa wakfu na kuhani mwingine kwa kuwekewa mikono kama inavyoonekana makanisani. Ni nabii mjumbe ambaye huteua watumishi wa Mungu wa wakati wake. Hii ndiyo njia ambayo Mungu ameweka. Ni Musa ndiye aliye teuwa ukuhani kulingana na Mambo ya Walawi 8 bila shule ya uchungaji. Na ikiwa wewe ni mtumishi wa kweli wa Mungu, utakuja kwa Musa kama Yethro, kuhani wa Midiani. Ilikuwa ni Yohana mbatizaji aliye teuwa Apolo bila shule ya uchungaji. Ilikuwa Paul ambaye aliye teuwa Tito, Timotheo ... bila shule ya kichungaji na leo, ni Kacou Philippe ambaye aliye ni teuwa bila shule ya uchungaji kwa sababu kama nabii, aliona zawadi hiyo ndani yangu. [Ndr: Kusanyiko linasema: "Amina! »]. Nanyi enyi Wakatoliki, Waprotestanti, Wainjili na Wabranhamisti, mkilipa zaka kwa mtume, mwinjilisti au mchungaji na yeye hajalipa zaka ya zaka kwa kuhani mkuu ambaye ni nabii mjumbe wa wakati wake, kuna kiunga kilichokosekana, kwa hivyo ni mbaya, ni kashfa. Kwa sababu kupitia nabii mjumbe gani Mungu alikufanya uwe mtume, mwinjilisti au mchungaji? [Ndr: linasema: "Amina! »].
30 Wanadamu lazima wajue kwamba, kulingana na Yohana 9: 5 na Yohana 6: 28-29, wakati unamkataa nabii aliye hai wa wakati wako, Yesu Kristo unayemwabudu siyo mwingine ila shetani. Makanisa ya Kikatoliki, ya Kiprotestanti, ya Kiinjili na ya Kibranhamisti pamoja na misioni na huduma zinamwabudu shetani kwa jina la Bwana Yesu Kristo. Ulimwengu lazima ujue kuwa funguo za Ufalme huwa duniani daima na mtu ambaye ni taa iwakoyo na nuru ya ulimwengu. Humuwezi kufanya kazi ya Mungu isipokuwa mnaamini na kuwa mnenaji wa yule aliyetumwa na Mungu. Hata kama unyofu wako unazidi ule wa Kornelio, Mungu hatakufanya chochote isipokuwa kukuongoza kwa yule ambaye ana funguo za Ufalme duniani kwa wakati wako. Funguo za Ufalme zimepita kutoka kwa Yohana Mbatizaji kwenda kwa Yesu Kristo, kutoka kwa Yesu Kristo kwenda kwa Petro, kutoka kwa Petro kwenda kwa Paulo na kisha kwa Ireneo, mtakatifu Martin wa Tours, Colomban, Martin Luther, John Wesley, William Branham , kwa Kacou Philippe leo na zitakuwa na mtu mwingine siku moja wakati Kacou Philippe hatakuwepo duniani tena! [Ndr: Kusanyiko linasema: "Amina! »]. Wakati Israeli iliomba mfalme kwa Mungu, Mungu aliwapa mfalme, lakini funguo za ufalme zilibaki kwa Samweli nabii aliye hai. Funguo za Ufalme wa Mbingu huwa na nabii aliye hai duniani. Na itakuwa hivyo daima hadi mwisho wa wakati. [Ndr: Kusanyiko linasema: "Amina! »].
#Prophetkacouphilippe
Ameen
MWALIMU (TEACHER)
Mungu akutunzee mwl!!
Napokea kwa jina kuu la yesu
Amen
Aminaa
Ameeeen saaaana
Tunabarikiwaaaa sana
Ninashukuru kwa mafundisho
Ameeeeen and Ameeeeen
Barikiwa
Ubarikiwe mtumixh
Nuru ya mungu ikuongoze mtumishi !!?
Ameeen
Asante.
Amina sana
Napokea kutoka kwa ROHO MTAKATIFU KUPITIA CHRISTOPHER MWAKASEGE
AMEN
Huu ulikuwa upako wa kipekee.. nilipokea ujazo mpya hapa Qatar 🥰
Amen amen.tumepokea nasi tulioko saudi.mubarkiwe
@@neemasaidisaid1791 vvdgggdsaaddgvvvdfsofovvqq qaa
@@neemasaidisaid1791 goooghoohhohoohohoohhoh
@@neemasaidisaid1791 phphpñnnnhhh
G GG
Glory to God 🙏🙏🙏🙏
Barikiwa mnomno baba yetu
Mungu akutunze kwa utumishi huu tunabarikiwa na kupata ufahamu juu ya elimu ya ki Mungu.
😊
Injili Ya Kweli
Dady
Tumeshukuru kwa mafundisho
A men
Ameen mtumishi
Ameeen
Hekima na maarifa zikuzunguke mtumishi !!?
Endelea kumpa MAISHA marefu,na kumwongezea HEKIMA NA BUSARA TOKA KWAKO EE BABA WA MBINGUNI
We baba was Mbinguni tunashukuru kwa kutupa huyu Mwl anayetulisha Neno LA Maarifa na kujua namna yakukuishi na kujua kanuni za kuishi Ameen
Ameen
Amen
Ameni🙏🙏
Endelea kumpa MAISHA marefu,na kumwongezea HEKIMA NA BUSARA TOKA KWAKO EE BABA WA MBINGUNI
We baba was Mbinguni tunashukuru kwa kutupa huyu Mwl anayetulisha Neno LA Maarifa na kujua namna yakukuishi na kujua kanuni za kuishi Ameen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen