MWL.CHRISTOPHER MWAKASEGE - JINSI YA KUITUMIA MALANGO YA FURSA KATIKA MAISHA YAKO.
Вставка
- Опубліковано 11 сер 2022
- Endelea kufuatilia vipindi mbalimbali na Mahubiri kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Bishop fj katunzi ambae ni Mwalimu wa Neno la Mungu, Mhubiri wa Injili, Mwandishi wa vitabu na mtafiti wa historia ya Kanisa. Pia amekua akiongoza safari za mafunzo katika nchi za ki-Biblia Israel, Misri, Uturuki na Jordani.
⚫️ SIKILIZA MARANATHA GOSPEL RADIO: mixlr.com/maranatha-gospel-radio
⚫️ VISIT LIVE IBADA: ua-cam.com/users/playlist?list...
⚫️ WASILIANA NA MARANATHA ONLINE TV: ( +255 754 367 826 )
⚫️ Email: faithtrustees40@gmail.com
*** OUR PLAYLISTS***
⚫️ HABARI MCHANGANYIKO: ua-cam.com/users/playlist?list...
⚫️ BISHOP FJ KATUNZI IBADA: ua-cam.com/users/playlist?list...
⚫️ MAFUNDISHO: ua-cam.com/users/playlist?list...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: ua-cam.com/users/playlist?list...
⚫️ UCHUMI: ua-cam.com/users/playlist?list...
⚫️ IJUE ISRAEL NA KANISA: ua-cam.com/users/playlist?list...
⚫️ SIMULIZI ZA KUFUNGULIWA: ua-cam.com/users/playlist?list...
⚫️ IFAHAMU CITY CENTER CHURCH: ua-cam.com/users/playlist?list... SIKILIZA MARANATHA GOSPEL RADIO: mixlr.com/maranatha-gospel-radio
⚫️ VISIT LIVE IBADA: ua-cam.com/users/playlist?list...
Mungu atusaidie Sana kumuuliza kila Jambo tusijichukulie maamuzi yetu, Amen nimepata kitu hapo ubarikiwe Sana Baba.
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu kwa neno zuri.Nimejifunza kitu
Ameeen Halleluyah Nabarikiwa
Utukufu kwa Mungu juu mbinguni.tujifunze na kujizoesha kuuliza
Somo gumu sana hili la kumuuliza Mungu..malezi yetu ktk wokovu yalikosa sana fundisho la kuuliza ili kupata kipi sahihi kwa ajili yako.
Somo hili ni kimo sana kwa wana wa Mungu
Yesu atusaidie sana atupe neema ya kuuliza kila hatua
Ubarikiwe na BWANA Mtumishi, naomba maelekezo ya namnà ya kupata mafundisho yako
BWANA WETU MWOKOZI ANAKUJA
Amina. Nimepokea somo hilo nzuri sana. Mwalimu ubarikiwe.
Amen 🙏 barikiwa mtumish
Mungu akuongezee into mtumishi
Ameeen Baba
Amina sana ubarikiwe sana mtumishi
Amen barikiwa mtumishi wa Mungu.
Mungu azidi kukufunulia
Amen Mungu awape uzima na kuendelea kukutumia. 🙏
Amen mtumishi Kwa kutufundisha ubarikiwe sana
Mtumishi, Mwl Mwakasege, mafundisho yako kwa kweli yananiinua, yananibariki. Yesu ainuliwe siku zote
Kupitia ibada hii naomba mungu anipe ufunguo nikafungue malango yangu Ameen haleluyah
Nimebarikiwa sana na neno hili, Mungu ni mwema.
Nimebarikiwa na SoMo hili mwalimu, namomba Mungu utukufu wake uwe na mimi
Mwalimu ansante
Amen
amenii mwalimu
Amenii Mwalimu🙏
Ameen
Ameen ubalikiwe
Barikiwa sana baba
Mwl Mwakasege hili somo la kuuliza limebeba mafanikio yote
Hey 👋, mbwana awe pamoja nanyi
❤❤ owo alleluia
AMEN
Glory to God our Lord Jesus Christ
🎉Amina nabalikiwa
Mungu asiwapite.
AMINA SANA. PRAISE THE LORD
Mungu azidi kujitukuza
Kushinda vita inayotumia maneno kama.silaha by Mwakasege
Amen 🙏
Amina
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏
Our God is always good.
Kweli nasikia kuitwa
🙏🙏🙏
Glory to God
Yesu juuu
Neema na maarifa zisikukome , mtumishi !!?
navo sikiliz ili neno naiman ime kuwa
Anagomban kutojulikana kuwa Yesu ndiye anaye kusaidia
Amen mwalimu
Uji0 wa lisu
Zidi kuliongoza kundi la Bwana penye malisho, nyuma ya jangwa
Amen
Ameen
Amina
Amen
Amen