SOMO: NINI MAANA YA UNYAKUO BY MCH ABIUD MISHOLI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 тра 2024

КОМЕНТАРІ • 46

  • @GestinaKuya-xv6qy

    Kwa kweli Mungu tuhurumie sisi wanawake pamoja na huyu mchunga kukemea rasta na wigi kwa wanawake lakini roho ya uangamivu haiyuachilii maana hatusikii. Eee Yesu nijalie mwisho mwema hata kama mimi ni mwanamke

  • @nyiranico

    nimepata kubadika kiima kutokana na kufuatilia maubili yako mtumishi ubarikiwe sana

  • @rodgersanyembe

    Amen Mhubiri, nafuatilia kutoka Kenya, umekua wa baraka tele kwa mahubiri na nyimbo, endelea mbele Mhubiri.

  • @lydiabenjaminmgalula6189
    @lydiabenjaminmgalula6189 19 годин тому

    Mungu akubark sana mtumishi wa Mungu tunapata badiliko sana kuptia mahubiri yako🙏🤝🤝

  • @newbornhaule

    Nikamskia juzi Baba yangu ask Mtokambali anasema kanisa basi hata kila ibada uwepo mda maalumu wa maombi maana hatuombi kabisa hatuna mafuta zimejaa ruturujia kwenye makanisa yetu NAOMBA UNISAMEHE...

  • @samuelgakuru1492

    Amen barkiwa nikiwa kenya

  • @denisbongore3098

    Huu wimbo nitaupata wap

  • @pastoreigon9612
    @pastoreigon9612 21 день тому

    Kweli Amen 🙏🙏💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @user-sc7sn1tb9c

    Amen Mungu azidi kukutunza Baba Yetu wengi tunapona maana nimejikuta tu nasikiliza adi mwisho nimependa Sana

  • @nyiranico

    ubarikiwe mtumishi numekuwa na mabadikiko baada ya kuwa nafuatilia maubili yako

  • @user-rv7nm5ep4p

    Mtumishi wa Mungu, unatubariki sana kwa mafundisho mazuri, unaisema ile kweli ya Mungu, Mungu akulinde Baba.

  • @ApostleJOHN-zl4nw

    Asante pastor

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 21 день тому

    Ameeeeeeeeeeen

  • @AugustineMutua-ee8po

    Niko Kenya but I wish ningefika tz tuonane Hana kwa Hana mtumishi nakupenda Sana.

  • @adammjomba5814

    Nina Barikiwa sana mtumishi wa Mungu KWA mahubiri yako nikiwa hapa European 🇸🇪

  • @AnodNzunda

    Ameen

  • @Nerialulambo

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu kwa kutukumbusha kuwa Yesu yuaja na tuwe tayari,Mungu uturehemu

  • @MusaWilliam-oy5mq

    Namshukuru Mungu kipindi hiki kikiwa kinarushwa kila siku jumapili. kitatusaidia sisi wa mbali. nawashukuru mchungaji na viongozi wa kanisa kwa maono haya nawaomba msisitishe. niko Dar huku niliko ni shida sana kupata kanisa linalosema kweli. nimesoma iyunga kila jumapili nilikuwa nahudhuria hapo kanisani nilikua sana kiimani

  • @user-lx3bw1uk3e

    Hata kama nina dhambi ninaomba uni SAMEHE.🙏😭🙏🙏🙏😔

  • @atuganilemsomba3028

    Asante sana baba kwa injili hii tunayoihitaji sana katika nyakati hizi hakika twahitaji msamaha wake Kristo