DAMU YA YESU NI UFUNGUO WA KUFUNGUA MALANGO.BY BISHOP FJ KATUNZI
Вставка
- Опубліковано 21 лют 2023
- Endelea kufuatilia vipindi mbalimbali na Mahubiri kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Bishop fj katunzi ambae ni Mwalimu wa Neno la Mungu, Mhubiri wa Injili, Mwandishi wa vitabu na mtafiti wa historia ya Kanisa. Pia amekua akiongoza safari za mafunzo katika nchi za ki-Biblia Israel, Misri, Uturuki na Jordani.
⚫️ SIKILIZA MARANATHA GOSPEL RADIO: mixlr.com/maranatha-gospel-radio
⚫️ VISIT LIVE IBADA: ua-cam.com/users/playlist?list...
⚫️ WASILIANA NA MARANATHA ONLINE TV: ( +255 754 367 826 )
⚫️ Email: faithtrustees40@gmail.com
*** OUR PLAYLISTS***
⚫️ HABARI MCHANGANYIKO: ua-cam.com/users/playlist?list...
⚫️ BISHOP FJ KATUNZI IBADA: ua-cam.com/users/playlist?list...
⚫️ MAFUNDISHO: ua-cam.com/users/playlist?list...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: ua-cam.com/users/playlist?list...
⚫️ UCHUMI: ua-cam.com/users/playlist?list...
⚫️ IJUE ISRAEL NA KANISA: ua-cam.com/users/playlist?list...
⚫️ SIMULIZI ZA KUFUNGULIWA: ua-cam.com/users/playlist?list...
⚫️ IFAHAMU CITY CENTER CHURCH: ua-cam.com/users/playlist?list... SIKILIZA MARANATHA GOSPEL RADIO: mixlr.com/maranatha-gospel-radio
⚫️ VISIT LIVE IBADA: ua-cam.com/users/playlist?list...
Amen amen
Amina Pastor
Asante sana mtumishi
Amina 🙏
Nafunguliwa kwa kweli
Kazi iendelee
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu na balikiwa sana na mafundisho yako na kuongezeka kiimani mungu akubariki sana
Mungu azidi kukutia nguvu Baba mtumishi wa kweli ili tupone ubarikiwe sana
Mungu endelea kuwalinda watumishi wako wa kweli Amen
Asante mtumishi natamani nifike Dar kwenye kanisa lako uzidi kutukizwa
napenda sana mahubir yako mtumish nakuonea wivu na shauku heri ya tumbo lilolokuzaa
AMEN, AMEN, AMEN, 💯💪
Ubarikiwe sana mtumish.Mungu akakustawishe zaid
Barikiwa Baba kwa Ujumbe Mzuri
Milango ya kheri ikufungukie mtumishi
Ubarikiwe sana mchungaji
Bariki wa mtumishi
Amina mtu wamungu
Ubarkiwe sana mkuuu
Ubarikiwe baba yangu
Ameeeen pastor 🙏🙏🙏🙏
Jina la Bwana liinuliwe
Haleluya🙏🙏
Amen pastor God bless you
Amen
AMINA
Mchungaji naomba maombi yako napitia changamoto kubwa
Asante sana mtumishi