CASSIAN ATUWA KENYA KWENYE MAANDAMANO IKURU RUTO EV PACHAL

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 чер 2024
  • SHALOM TUNA KUOMBA KILA MTU AMBAE UNAPENDA HUDUMA HII IENDELEE TUSAIDIE KUCHANGIA VITENDEA KAZI TUMEPUNGUKIWA KATIKA MAZABAHU HII CAMERA NX100 SON
    NA CENONI MAK3
    NA KIFAA CHA KURUSHIA MATAMGAZO LIVE
    PA MOJA NA SITENDI
    JUMLA TUNA HITAJI MILIONI 16 KUFANIKISHA LONG HILI UNAWEZA KUTUCHANGIA KUPITIA NO MPESA +255766998994 JINA PASCHAL CASSIAN MALIYATABU
    AU WATSAP NO 0688199370 MUNGU AKUBARIKI*

КОМЕНТАРІ • 176

  • @user-si9hq3rb9q
    @user-si9hq3rb9q 11 днів тому +13

    Actually I am a Kenyan and politics isn't just physical but more of spiritual, so as a Christian, going for riots and maandamano in the streets isn't for Children of God, we overcome hardships by the blood of Jesus, prayers , Holiness and being submissive, however much maandamano can bring changes but there is a better way to handle this economy issue, imagine if we all Kenyan could cry to God to come for our rescue without destroying people shops, and using vulgar/ sinful language to President Ruto, I believe the result would be better, BUT THIS MAANDAMO IS MORE OF SPIRITUAL THAN JUST PHYSICAL, spiritual Battles are won spiritualy.

    • @sallymumia8425
      @sallymumia8425 5 днів тому

      This is very true, whatsoever a man of GOD is doing it must be for the glory of Jesus Christ,the same way Jesus Christ,was rejected by majority that is what will always happen to those who stand for the truth,am not surprised,this is spiritual battle this young are being used for sacrifice,not by the government of kenya but by some specific people,.......be watchful...........whoever shall not turn to our lord jesus christ will perish,there is great wrath from jesus against the city of nairobi.............

  • @stellamgao547
    @stellamgao547 10 днів тому +5

    Yunawaombea Kenyan ndugu zetu Mungu awavushe salamaa

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 10 днів тому +7

    YESU WANG jmn RUTO baba ang MUNGU akusaidie sana..

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 10 днів тому +4

    Sijawahi jua kama wakenya tunakuanga wengi kwenye hii platform. Ruto katajwa mmeinuka na kupanda hasira kweli kweli. Tuiombee Kenya yetu ibadilike.

  • @redemtamkemwa6067
    @redemtamkemwa6067 4 дні тому +1

    Hakikaa hii ni injili ya kweli one day Mungu anijalie NAHITAJI kuisaport hi inijili ya kweli ❤🎉

  • @user-rj2sh1hg4f
    @user-rj2sh1hg4f 11 днів тому +6

    Mchungaji kumbuka inch yetu kwenye maombi, our youths wafunguke macho ya rohoni

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 10 днів тому +6

    Waafrica tunachezewa na maghalibi na wanajua vichwa vyetu hatujitambui umaskini ndio zambi namba moja

  • @HalenBahati
    @HalenBahati 6 днів тому +1

    Mungu Baba na YESU KRISTO tusamahe na uingilie kati uiokoe taifa letu, barikiwa sana watumishi wa Mungu alie na masikio na asikie

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 10 днів тому +8

    Mkimuuwa RUTO uso wa MUNGU utaondoka KENYA

    • @getrudeliyayi8050
      @getrudeliyayi8050 9 днів тому +1

      Wewe wewe toka huko RUTO SI YESU,atakufa siku ikifika ,akuna kitu itachange please ,WACHENI Kuchezea YESU kwa tamaa za mwili zenu

  • @StevenMutale-xt9yj
    @StevenMutale-xt9yj 6 днів тому +1

    Mungu akubariki sana naa Mungu amulinde ruto Kumbukeni wakenya kwamba Mungu alisemaa eshimuni fiongozi wenu

  • @danifani7899
    @danifani7899 4 дні тому +1

    Shalom Kenya shalom prophet shalom Israel ❤

  • @josykogei7647
    @josykogei7647 11 днів тому +3

    MUNGU asaidie kenya watu wamrudie bure vujana wetu watakufa kwa upanga mwanzo hii ni ghadhabu ya mungu ju ya nchi ya kenya

  • @henrysizya239
    @henrysizya239 9 днів тому +1

    Kumekuwa na salakasi nyingi sana katika Zama hizi, kenya kulikuwa na mtu anajiita yehova wa NYONYI ambae alifariki, leo kuna mtu anaitwa Eliud Wekesa majina aliyopewa na wazazi wake ambae sasa anajiita "yesu wa TONGAREN" pia kuna mtu anajiita yohana mbatizaji ambae yuko kenya pia, pia Congo kulikuwa kuna mtu anaejiita "yesu wa afrika" Mungu atusaidie sana

  • @user-ci6js4yt5q
    @user-ci6js4yt5q 9 днів тому +2

    Ukweli kabisa pasta be blessed

  • @gaspercharles2244
    @gaspercharles2244 10 днів тому +3

    Mm nasikiliza kila kitu lkn ongezeko la vijana Wasio na kazi kwa kasi lazima shida itakuwepo Kuna wimbi kubwa la vijana wasomi na hawana chakufanya hata Tanzania tujitafakari kesho yetu nchi za Afrika kwani shida ni nyingi

  • @simonmdune9066
    @simonmdune9066 10 днів тому +3

    Wewe cassian nakupenda sana nakueshimu kma mtumishi wa Mungu wa kweli hila apa kumtetea ruto unajishusha sasaa au wote mnafanya kazi pamoja???! Huyu sio mtu wa Mungu ruto n shetaniiii kwa nn useme wakenya tunapnda shetani tunaacha Mungu wakti ruto ndo anaauwa watu ,ivi mtumish wa Mungu yupi anaependa kuona watu wake wakikufa njaaa ? Subutu kufatilia maaandamano ya kenya na kuyakashfu

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 10 днів тому +1

      @@simonmdune9066 exactly aneropokwa leo huyu. Amezoea kusifia viongozi hajui nini kinaendelea bora anerekodi video apate views. Apana . Injili ya kukemea dhambi hapo sawa lkn kutetea ruto huyo freemason mkuu wacha hizo.

    • @getrudeliyayi8050
      @getrudeliyayi8050 9 днів тому +1

      ​@@alicejumaa89very true kwa RUTO eti ni wa YESU atoke hapo kabisa,RUTO anafanya revenge na MUNGU MWENYE KUHUMBA MBINGU NA INCHI,

    • @yvonnewambui2799
      @yvonnewambui2799 5 днів тому

      Kabisa

  • @newchemchem5251
    @newchemchem5251 3 дні тому

    Mungu amfunike mtumishi rutooooooo

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 10 днів тому +2

    Hapingi ushoga

  • @Joelchalale
    @Joelchalale День тому

    Pastor i love you more

  • @ShabaniBukuru-vw4px
    @ShabaniBukuru-vw4px 6 днів тому +1

    Ubalikiwe mtumishi

  • @geraldmakalala6091
    @geraldmakalala6091 10 днів тому +1

    Mungu wa mbinguni akubaliki sana

  • @beatricechepkurui9161
    @beatricechepkurui9161 9 днів тому

    Amen 🙏🙏🙏 this message is very powerful to me God help me to know more done i know you

  • @gaspercharles2244
    @gaspercharles2244 10 днів тому +3

    Achana na mdomo wako Pascal mdomo sio maono ww fanya kazi ya Mungu achana na siasa

    • @annmuriithi1701
      @annmuriithi1701 9 днів тому

      Unasema hivyo sababu hujawai soma bibilia ujue vile kulitabiliwa na manabii inaanza na sisi wakenya Mungu twakuoba utusaindie

    • @desirengenerwasobanuka9015
      @desirengenerwasobanuka9015 8 днів тому

      Kijana #Gaspercharles# ,wewe hujui unachokisema. Maana katika
      Hosea 4:6 Mungu anasema hivi : watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
      Sasa wewe kosa sio lako ila inaonekana huna maarifa ndo sababu umesema hivyo.

    • @jovitusiinnocent7534
      @jovitusiinnocent7534 5 днів тому

      Pumbavu zako

  • @Leongr2109
    @Leongr2109 5 днів тому

    muongo wa kenyan wame andamana kwasababu ruto ametuma majeshi wake inchini Congo DRC

  • @beatricekhangayi-qh5ny
    @beatricekhangayi-qh5ny 5 днів тому +1

    Kapisa 🙏🙏🙏🙏

  • @TatuOmar001
    @TatuOmar001 4 дні тому +1

    👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @kenyanboy1839
    @kenyanboy1839 5 днів тому

    I wish waezajua rangi ya mwenye unatetea, heri utumie hekma utulie na umuangalie ruto kwa maneno na matendo yake

  • @alicejumaa89
    @alicejumaa89 10 днів тому +1

    Naipenda nguvu ya wakenya. Mnyanyasaji atendewe haki. Proud to be a kenyan. Wacheni kusingizia mungu vitu hazimhusu ..plz mungu hapendi dhuluma yenye ruto anafanyia wakenya.

    • @annnyambura8005
      @annnyambura8005 10 днів тому

      Which god r u talking about here

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 10 днів тому

      @@annnyambura8005 Jesus Christ.. he is againist corruption, oppression, LGBTQ which ruto legalised againist our will, stealing gov't funds and lands, overtaxation and many shit done by Ruto the devil worshippers and a muderer of Kenyans.

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 9 днів тому

      @@annnyambura8005 Jesus Christ who is againist corruption, LGBTQ which ruto legalised againist our will, and killing innocent gen z who are full of depression..

  • @josephmaduka-xv8yp
    @josephmaduka-xv8yp 5 днів тому +1

    Hats Libya walimuua Gaddafi Ila Leo wanamlilia

  • @user-fx4gf5yw9w
    @user-fx4gf5yw9w 10 днів тому +1

    Amen amen baba

  • @Estherm309
    @Estherm309 9 днів тому +1

    😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 LORD JESUS CHRIST remember mercy on us oh my Redeemer remember mercy on us

  • @faithwaswa1619
    @faithwaswa1619 9 днів тому

    True ,emen may God have mercy for Kenya end protect William Samuels ruto the president of Kenya

  • @user-ii1qk9xn9z
    @user-ii1qk9xn9z 10 днів тому +20

    Kama kuna taifa limekamatwa na ibilisi ni kenya. Kizazi cha nyoka kwa wingi kimezaliwa katika nchi yangu ya Kenya.
    Vituko vyote kenya ni kwamba kenya ndio yenye madhabau kubwa ya kutoa kafara za kishetani. East Afrika yote inakutana kenya na wachungaji wengi na Maaskofu hawapo walifanya mapatano na shetani kitambo.
    Wakenya wamesahau kwamba uchumi wa kenya haupo mikononi mwa Rais bali upo mikononi mwa Mungu. Hivyo basi kumlilia Ruto au Kuandamana hakutasaidia ila kuingia magotini kumlilia mwenyezi Mungu awezaye yote.
    Ni ishara za kurejea kwa Yesu.... ndio zimeanza kenya.
    Ubarikiwe sana mtumishi 🙏
    Ndugu zangu wakenya tumrudie Mungu sana.

  • @PraxidesNelima
    @PraxidesNelima 7 днів тому

    Mungu akubariki mutumishi wa mungu na akutie nguvu

  • @geoffreyazivelwa9568
    @geoffreyazivelwa9568 9 днів тому +3

    Rais wetu ruto tutamshikilia Kwa maombi mungu amlinde kweli

  • @user-tz8zu2gt6u
    @user-tz8zu2gt6u 10 днів тому +1

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mjungaji si wote tunaungaaa haya maandamano tunayakishifu sana juu huyu ruto ana mwono kwa hili taifa letu

  • @esthermoraa9701
    @esthermoraa9701 3 дні тому +1

    Alikua amekubali mwanzo ushoga alikuja kukataa nyuma wakati wanainchi walipinga kama sio wanainchi walikataaa akaipika angekubali

  • @obedimunguachiza8434
    @obedimunguachiza8434 10 днів тому +2

    Hongera mpendwa kwa madhabahu hii, ila nitoe ushauri kulingani na Nembo, naona unaweka msalaba ambao unaonesha Yesu Kristo kuwa msalabani, ungaliuacha huo msalaba tupu bila picha ao sanamu ya Yesu Kristo Bwana wetu.
    Alifufuka hayuko tena msalabani.
    Asante.

    • @user-ef4dh2gg3j
      @user-ef4dh2gg3j 10 днів тому

      Hata msalaba haifai kuwa kanisani huwe una Yesu ama uko bure badala ya msalaba weka maandishi Kama kifungo Cha neno la mungu.msalaba Ni sanamu pia Ni machukizo kwa Mungu Wetu Yesu Kristo wa Nazareth.kwa kudhibitisha ninalolisema Google satanic symbol utaona na misalaba hapo

    • @obedimunguachiza8434
      @obedimunguachiza8434 10 днів тому

      @user-ef4dh2gg3j thank you for your contribution 🙏

  • @ElieSivyavugha
    @ElieSivyavugha 6 днів тому

    RUTO Ana sapoti kagame katika Ku ishambuliya DRCONGO

  • @user-dz8qh6yb2x
    @user-dz8qh6yb2x 10 днів тому +1

    Amen Amen mtumishi

  • @user-og4ox5jb4v
    @user-og4ox5jb4v 5 днів тому

    Madhabahu mbona Ina alama ya Fremasony msalaba wa Papa?

  • @apstsilasbulimo8745
    @apstsilasbulimo8745 10 днів тому +1

    Nyinyi manabi wa huongo muna aribu kenya tabirini kwenu

  • @user-ii1qk9xn9z
    @user-ii1qk9xn9z 10 днів тому +2

    Umesema kweli Mtumishi... Rais Ruto ameteuliwa na Mungu, na anapigwa vita na viongozi wanaokubaliana na ushoga na usagaji...... hiyo ndio sababu kuu inayofanya vijana wafuate kichinichini kumpinga Rais bila kujua wanauzwa na wanatumikia shetani.
    Hapo ni Roho amenena. Ubarikiwe sana Mtumishi

    • @emmanuelbulimo3447
      @emmanuelbulimo3447 10 днів тому +1

      Kama ruto mwenyewe ndie alitia saini LGBTQ.sasa mnasema eti Mungu, acheni kulitumia jina la Mungu vibaya

    • @annnyambura8005
      @annnyambura8005 10 днів тому

      ​@@emmanuelbulimo3447you just speak carelessly but u don't know u r blind n lost

    • @getrudeliyayi8050
      @getrudeliyayi8050 9 днів тому +1

      ​@@emmanuelbulimo3447huyu ni SIJUI kwa nini wanatumia mmumba vimbaya juu tamaaa zao za mwili zimesababisha RUTO KUmjukia YESU Sana Kama mtu ana Hamrisha NJESHI LIMEIA WATU eti mungu

    • @user-ii1qk9xn9z
      @user-ii1qk9xn9z 8 днів тому

      @@emmanuelbulimo3447 don't judge so that you will not be judged. Ushoga umeenea sana bali tuombe tuukatae na Mungu atatupigania. Lakini kusema alisign na haukumuona ni mbaya machoni pa Bwana.

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 7 днів тому +1

      Rais wa Kenya ameteuliwa na Mungu..Kama mwanadamu anaweza akakosea lakini haiondoi alichokifanya Mungu Kumteua kwa ajili ya kuongoza nchi yangu ya Jirani

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 11 днів тому +1

    Ruto anamsaidia kagame kuleta vurugu Congo, Mungu alipae kisasi kamlipa na bado apo ni mwanzo.

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 10 днів тому

      Ruto ni free mason anakandamiza wakenya vibaya kongole gen z

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa 10 днів тому +1

    hapo ni kwenye kampeni Mbona ameenda marekani. Kisha kapewa misaada mingi ili akubali ushoga

  • @SUCCESSUNITY
    @SUCCESSUNITY 10 днів тому +1

    Hongera

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 10 днів тому +1

    Ruto Mungu akusaidie

  • @Deboraclementgm
    @Deboraclementgm 10 днів тому

    Amen amen ubarikiwe sana na nikweli

  • @PetronilaWekesa
    @PetronilaWekesa 11 днів тому +1

    Amen 🙏🙏 mtumishi

  • @JaphethMbusya-ld4xc
    @JaphethMbusya-ld4xc 5 днів тому

    Ruto wa wakati wa kampeni sio Ruto wa sasa....Yesu akasema ,,ole wake atakayetumika kumusalitu mwana wa Mungu....Ruto amekuwa kama yuda...ni wakafi wake kukinywea

  • @lucydarcy4515
    @lucydarcy4515 5 днів тому

    Yeye ndiye aliwakubalia mashonga kenya baada ya kuingia mamlakani.
    Mauaji mengi nchini kwa kuwa analipiza kisasi

  • @KokoloLambinguni
    @KokoloLambinguni 10 днів тому +2

    MUNGU ni MUNGU wa kuokoa na njia za kutoka mautini zina yeye wakenya mwamini MUNGU msiogope

  • @donatusmlowe7378
    @donatusmlowe7378 10 днів тому +1

    Mahubili yako ni yakimwili kuwatesa watu ni halali ruto atakufa lakini sheria mbovo zitabaki haya maisha hata

  • @IssahBusilili
    @IssahBusilili 11 днів тому +1

    Link zangu hata kumi tu

  • @user-me5xj1cp2e
    @user-me5xj1cp2e 10 днів тому +1

    Awa mafirimason unasema wamechaguliwa na MUNGU apo nakataa wengine unawambia ukweli wakina Joe Devi ilakwapo nakataa ruto ni Atari kuliko ruto na shetani ni mtu na mdogo wake acha kudanya magu alikusanya ushuru na anatujengea barabara maendeleo twambie ruto amefanya nini

  • @ndayizeyeconsolatte
    @ndayizeyeconsolatte 10 днів тому

    Kweri kabisa habiwezekani mwanamuke ku mwanamuke mwanaume ku mwanaume nop kwajina la yesu

  • @JoyceMmari-rc9yv
    @JoyceMmari-rc9yv 10 днів тому +1

    🙏

  • @beatricekhangayi-qh5ny
    @beatricekhangayi-qh5ny 5 днів тому

    Ata sio😂😂

  • @BerylSeer1
    @BerylSeer1 10 днів тому

    Kwa kuanza si utumie tu simple camera, kuna za dollar mia tatu.. Umeanzia mbali Sana....

  • @Mwasame_Official1
    @Mwasame_Official1 5 днів тому

    Tafathali cassian usiongee usicho kijua sis ndio wakenya na ni sisi tunajua ubaya na uzuri wa kila kiongozi,,,mimi ni mkenya siwezi kumujua vizuri sana rais samia suluhu kuliko wewe mtanzania Tafathali nakuomba tuheshimiane tuache😢😢😢wakenya tumiumizwa sana na huyu mtu anaitwa ruto kwa miaka mingi,,, haujui unachokisema wewe cassian nakubanda lakini haya unaniuzunisha kama mkenya 😢😢yakwenu ni mazuri fwateni hayo ,,,,,,ya kwetu ni mabaya tuachieni sisi 😢😢😢😢heri nyie

  • @user-xf6oh2dx4c
    @user-xf6oh2dx4c 2 дні тому

    Ni mwongo then alikuwa amekubali

  • @user-uy3uk2ul5b
    @user-uy3uk2ul5b 7 днів тому

    Wewe mchungaji, mambo ya siasa mjona akemei tena.

  • @getrudemusimbi6115
    @getrudemusimbi6115 3 дні тому

    Hujui kitu bana just shut

  • @LumiereAmisi
    @LumiereAmisi 10 днів тому

    Tukumbuke Malako asante

  • @ministerwillan
    @ministerwillan 6 днів тому

    Cassian we si mungu stop breaching ruto breach gospel

  • @beatricekhangayi-qh5ny
    @beatricekhangayi-qh5ny 5 днів тому

    Ata uyo rosemuhando 😅

  • @user-fu5iv7gf2g
    @user-fu5iv7gf2g 9 днів тому

    Samahani kaka naomba uniambie ni wapipameandikwa ukiomba kwajina la baba na mwana na mutakatifu utapokea niwapi maana niwachungaji wengi wanaomba hivyo Kwa maandiko hakuna

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 9 днів тому

    Alikusaidia ww

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 10 днів тому

    Umesema kwel baba ang cku hizi ni za mwisho jmn

  • @eunicewamathioya8030
    @eunicewamathioya8030 5 днів тому

    God is not a lie Ruto n muongo na amekubali ushoga hapa Kenya

  • @HermaniDaudi-yp8pf
    @HermaniDaudi-yp8pf 11 днів тому

    Amen

  • @user-ub2vn5vt3o
    @user-ub2vn5vt3o 3 дні тому

    Lakin kwa nn huyu paschal yy kila mtumish anasema ni mashetani ina maana Mungu hana watumishi wake kweli? Jizz

  • @user-zx6wx2fc3b
    @user-zx6wx2fc3b 8 днів тому

    Wewe hujui la kusema kaka ama mchungaji gushi. Ruto sio mkisto vile anavyojitupa kama mkristo. Ruto tapeli mkubwa mpaka UHURU akamsema.

  • @user-kt7nu7lu9e
    @user-kt7nu7lu9e 9 днів тому +1

    Wewe sijui unaona gani kwa giza,wewe hujui ruto mdomo mtamu but hatimizi kile anachosema.

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 7 днів тому

      but it doesnt rule out that God had handpicked him to rule the country of Kenya

  • @user-zz9gr1vd9h
    @user-zz9gr1vd9h 11 днів тому

    Machafuko inapokuwepo wote mnaangamia hata wasiyoku na hatia niabu pia kumbukeni kuna watoto wenu kuna wazee hapo wanaponaje jamani

  • @furahamwatwinza9560
    @furahamwatwinza9560 7 днів тому

    Ni agenda ya shetani100% ni vita ya kiroho

  • @kazinaimwishehe-ec3xu
    @kazinaimwishehe-ec3xu 6 днів тому

    Uyu mchungaji kalewa e mtu anachukua pesa anakod ndege na kod anapandisha apo unataka wakenya wafanyiwe nn? Kalewe mbele unapiga kelele tu

  • @Masterplan696
    @Masterplan696 11 днів тому +1

    Kwa hiyo mtumishi MUNGU anapenda Africa tuwe maskini ndo maana analeta viongozi wezi?

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 10 днів тому

      Huyu hajui anasema nini. Tumejitolea kupinga unyanyasaji

  • @user-eq9pw6cu5e
    @user-eq9pw6cu5e 10 днів тому

    Mimi naamini Mungu siye anayeweka marais ila Mungu anaruhusu, kwa sababu hiyo itapingana na Biblia kwa kumbuka Shetani alipomjaribu Yesu Kristo akampandisha juu ya kinara akamuonyesha ulimwengu wote akasema tazama hii yote hiko kwenye mamlaka yangu nampa nimpendaye nisujudie nami nitakupa Yesu akukataa kwamba Shetani ndiye anaye milki falme za Dunia ila Yesu alisema imeandikwa Msujudie Mungu Yeye pekee. Mimi ndio naamini Ruto anayo hofu ya Mungu kidogo ila kuna ajenda ndani kwa sababu kama Ruto rafiki wa ndani wa Marekani ambaye ndiye wakala wa pili wa Shetani kutoka Vatikani ambao wanasapoti Ushoga kwa asilimia100%Na wameaidi kuweka bezi kubwa ya Jeshi Afrika Mashariki ya Nato. Hapo kuna ajenda, lakini rais si amewaita wazungumze, Yeye amejaribu kuiga Magufuli lakini Magufuli hakwenda kupiga Magoti kwa wazungu aliamini Mungu kwa asilimia kubwa Ruto hana ubavu wa kukabiliana na wazungu. Magufuli hakujua Adui zake vizuri, aliowaamini akijua wana Mungu swala Korona wakampiga wazi viongozi wa dini aliotumaini, hapo hakusutuka. Yule mnyama waliwadanganya wakubwa kwa wadogo, Tajiri na maskini na Wafalme wa dunia. Sisi tuwaombee Amani ili Bwana Yesu Kristo atulize dhoruba. Kwa Bibi Arusi wa Bwana Yesu Kristo Yupo duniani, maana wakiondoka kutakuwa kilio na kusaga meno. Hiyo na mimi napingana na Ushoga hata Mwenye akili timamu lazima apinge isipokuwa uwe chizi, maana utajua kuwa mimi si kuzaliwa na mashoga ilihitajika mwanamume na mwanamke Kuzaa na kuongzeka.

  • @josykogei7647
    @josykogei7647 11 днів тому

    Yesu wa tongareni

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u 10 днів тому

    Dunia uwanja wafujo itazaa nini? ?

  • @felixmugambi2237
    @felixmugambi2237 5 днів тому

    Huyu hajui tufauti ya mungu na satan,nikuropokwa tu

  • @MichaelNkungu-on1ub
    @MichaelNkungu-on1ub 3 дні тому

    Unatafuta kiki umeacha ijili unaingia kwenye siasa za nchi zawatu wakat nchi yako yenyewe inamatatizo hayohayo basi jiunge na chama uiseme na nchi yakopia

  • @alicejumaa89
    @alicejumaa89 10 днів тому +5

    Mtumishi kuja uishi kenya na usome hio finance bill wala sio kupiga mdomo na kutafuta kiki ukitaja Kenya. Pambana na tz yenu. Shida sio ruto ni finance bill.

    • @sirpaza8513
      @sirpaza8513 10 днів тому

      Shetani ni mjanja haji kwa njia rahisi

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 10 днів тому

      @@sirpaza8513 baadhi ya wachungaji ndio wale waliopewa pesa na ruto wakati wa kampeni ili kusambaza propaganda na kampeni zake saai ndio wanaoliliwa na wananchi.. ju ya wizi na unyanyasaji wa serikali.. huu mchezo shetani alijichukulia maksi kutumia hawa wachungaji wasiojua kwaendelea nini. Ndio maana hatuwaskizi tena ni waongo na watetezi wa wakora.

    • @helencyprian8745
      @helencyprian8745 9 днів тому

      Asante

  • @MauBonde
    @MauBonde 7 днів тому

    Huyu jamaa ametafuta kiki kaipata hana jipya.

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 9 днів тому

    In east Africa kenya has got good president but they don't value

  • @jamescarloss9671
    @jamescarloss9671 9 днів тому

    $2500 USD
    Tz ni 6,642,500.00 TSH
    $1300 USD
    Tz ni 3,454,100 TSH 😂

  • @alicejumaa89
    @alicejumaa89 10 днів тому +1

    Na bado tutapindua huyu mjinga ruto. Km mungu anapenda wanyang'anyi ni uongo. Shetani ni ruto acheni kudanganya watu.

    • @simonmdune9066
      @simonmdune9066 10 днів тому

      Umesema ukweli

    • @annnyambura8005
      @annnyambura8005 10 днів тому

      Wewe mtakatifu nackuona sana

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 10 днів тому

      @@annnyambura8005 ukipinga ufisadi na unyanyasaji unakuwa mtakatifu. Ok no worries tuko wengi hapa kenya na hatuna shida na hiyo utakatifu tunatakasa Kenya yetu against the freemasonic Ruto. . Nyinyi devil worshippers munatumia jina ya mungu vibaya sana we are sick of you and your nabii Ruto.

  • @paxomnibus3598
    @paxomnibus3598 10 днів тому

    Hii mambo ya EQUALITY -HUMAN RIGHTS, lakini lengo kuu ni HOMOSEXUALS , WAMEIPELEKA TAYARI KWA MATAIFA YA AFRICA, WANAITAJI MAJIBU YA WAZI NA INGIIYE KWENYE SHERIA ZA NCHII.
    NAMIBIA TAYARI WAMEKUBALI , KWA HIYO UKIWA NAMIBIA, UKAO MWANAUME, BASI NYIE WENTEWE NDIYO MTAJUA NANI MKE NA NANI MME....
    BOTSWANA ILIKUWA IMEANZA HAPO MWANZONI.......WAO IMESHAKUWA KAWAIDA.
    NA SHERIA HIUO IMELETA UGOMVI KWELI, WANAWAKE KUPIGANA SABABU YA WANAWAKE, WANAUME KUPIGANA SABABU YA WANAUME...
    SASA SIJUI KAMA KENYA WATAKUBALI ILI MISAADA( aids/ assistance ISI-SIMAMISHWE....
    RAISI WILLIAMS S. RUTO AMEKATA HADHARANI NA HAWAKUFURAHI WAZUNGU NI KWELI KABISAAA

  • @getrudeliyayi8050
    @getrudeliyayi8050 9 днів тому

    Toka hapo mtumishi ,2CORT 4 :4, usidakanye watu eti RUTO ni wa YESU TOKA HAPO ,njooo soma John 8 :44 ,ajawai so fanya hivi wachana na kenya ,ACCOUNT YA RUTO INASOMA HII PESA 900 BILLION SHILLING,RUTO ANAFANYA revenge juu kwao alisema ni masikini,Ayuko kufwata YESU, tokeni kwa YESU na tamaaa zenu za mwili

  • @alphadreammedia
    @alphadreammedia 10 днів тому

    Lakini mbona kama inasemekana kuwa wameshapandisha bendera na Rais ndo kakubali au ni propaganda

  • @beatricekhangayi-qh5ny
    @beatricekhangayi-qh5ny 5 днів тому

    Kwenda uko junga yatanzania wewe mutu washenzi wewe wajana nakenya 😂😂😂

  • @cristianoprincegabrielles3951
    @cristianoprincegabrielles3951 4 дні тому

    Man Of God Ruto alipinga ushoga kwa mdomo tu ila kapokea 16Billion kutoka kwa Mke wa Rais Biden, Na Mahakama ikasema haitakiuka haki ya mtu yeyote na Walipopitisha hilo, Mashoga walianza uwawa mmoja baada ya mwingine... Ruto ni hypocrite

  • @jovettedenise2591
    @jovettedenise2591 10 днів тому

    Mungu akubariki sana🎉🎉🎉🎉

  • @carolinederi5690
    @carolinederi5690 11 днів тому

    Shda ni kanisa la Kenya limelala sana wanafundsha kutoa tu basi

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 10 днів тому

      Sio kutoa tu. Ruto ni mnyanyasaji wacheni unafiki na ujinga. Wakenya tuko sahihi na wachaneni na sisi maana hamjui msemalo.

    • @annnyambura8005
      @annnyambura8005 10 днів тому

      ​@@alicejumaa89wewe ndiye mnafiki mkubwa....kanisa la Kenya limelala wewe ukiwa mmoja aliyelala

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 10 днів тому +1

      @@annnyambura8005 umelilaza wewe unayelamba matako ya viongozi ili upewe nini labda. Omba huku ukipigania haki yako my friend. Eeh Nehemiah was armed and fighting at the same time building the temple. Eti maombi mingi bila actions.. ni upuzi sio maombi.

  • @user-sf4hf1my3m
    @user-sf4hf1my3m 10 днів тому

    Huwa sikosi kufaidika kitu nikufuatilia Mungu akulinde zaidi

  • @jorambranchofmud6299
    @jorambranchofmud6299 11 днів тому +2

    Mtumishi wacha kumtetea unadhani ufisadi ambao anafanya unampendeza MUNGU hapo shughulika na Tanzania na uhubiri YESU KRISTO wala usiigilie siasa

    • @user-ol4my2mx1u
      @user-ol4my2mx1u 10 днів тому +1

      Wa Kenya wenzangu tumrudie mungu kwa toba siwakati wakunyosheana vidole ni mungu Tu anawesa kutusaidia tumpingeni shetani nae atatukimbia please peace in the mighty name of Jesus Christ

    • @user-ii1qk9xn9z
      @user-ii1qk9xn9z 10 днів тому

      Bado uko gizani my friend rudia Mungu.

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 10 днів тому

      Huyu mtumishi anadhani mungu anapenda ujinga ya ruto. This man ruto ni devil worshipper mnyanyasaji mkuu wacha apambane.

    • @user-ii1qk9xn9z
      @user-ii1qk9xn9z 10 днів тому +1

      @@alicejumaa89 nyie ndio mmefungwa Macho na shetani. RUTO akitoka nakwambia mtalia. Ombeni Mungu awape fahamu ya kujua kinachoendelea katika ulimwengu wa roho.

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 10 днів тому

      @@user-ii1qk9xn9z naomba atoke leo arudi uhuru na raila wale wa mwanzo maisha ilikuwa vizuri.. huyu mpuzi aliyeiba kura ndo atulize. Wewe unatoka nchi hebu acheni ushamba ya kujifanya wakristo kama ruto alivyofanya. Amkeni mungu hapendi dhuluma.

  • @SadokizeTz
    @SadokizeTz 3 дні тому

    Anahubiri waumini wako wapi, naona uko peke yako hapo mbele

    • @SadokizeTz
      @SadokizeTz 3 дні тому

      Alafu unasema tukuchangie, tuchangie nini sana

  • @simonmdune9066
    @simonmdune9066 10 днів тому +1

    Hujui vile tumesinywa

  • @user-wv5dx5pg2r
    @user-wv5dx5pg2r 5 днів тому

    Mukristu Gani ule ? Munafiki mukubwa.