NABII MALISA AMSIMAMISHA DADA HUYU KATIKATI YA IBADA NA KUMTABIRIA MAZITO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • NABII MALISA AMSIMAMISHA DADA HUYU KATIKATI YA IBADA NA KUMTABIRIA MAZITO
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 61

  • @MaryJasely
    @MaryJasely 6 місяців тому +2

    Mulio nje mungu awasamehe hamjui musemalo😢

  • @PetroMdede
    @PetroMdede 2 місяці тому

    Amina nabii ubarkiwe sana

  • @NeemaMashauri-s3u
    @NeemaMashauri-s3u 7 місяців тому +1

    Ndio mara ya kwanza kukuangalia wkt unaomba nilikuwa nimelala kifudifudi nikisikiliza pitia simu yangu.ghafla mkono wangu wa kushoto ukaanza kutetemeka sana. Naamini Mungu amenitendea jambo kwenye ulimwengu wa roho na litaonekana ktk ulimwengu wa mwili.

  • @KhamisOmar-kt4kz
    @KhamisOmar-kt4kz 7 місяців тому +5

    Manabii wa uongo wapo wengi ila kuna siku Mungu atawatia mkononi shenz kabisaa

    • @YustoMlay-cv4zb
      @YustoMlay-cv4zb 7 місяців тому

      We acha tu Mungu anawaangalia tu watubu wabadilike wamfuate Yesu

    • @nanaritho6850
      @nanaritho6850 7 місяців тому

      Mungu akusamehe hujui ulisemalo

    • @prophetgervasebenard7486
      @prophetgervasebenard7486 5 місяців тому

      Umefungwa akili yako haya mambo hayakuhusu ni ya watoto wa Yesu Kristo!😅😅😅

  • @alexchungu6263
    @alexchungu6263 7 місяців тому +4

    Hii filamu hata mm naweza kuigiza

    • @jeremyamos535
      @jeremyamos535 3 місяці тому

      anza maigizo sasa ukauze sinema zetu🤣🤣

  • @merymosha8423
    @merymosha8423 5 місяців тому

    Ameen papaa

  • @josephatjordan2150
    @josephatjordan2150 7 місяців тому +3

    MIMI COMMENT YANGU ITAKUWA TOFAUTI SANA!!!
    MIMI NAMUAMINI MTUMISHI WA MUNGU NA WALA SITOMSEMA YEYOTE NITAKAA KUCHAMBUA NENO LA MUNGU NA MUNGU ATANIPONYA!!NENO LA KWELI LIPO KWA YULE ANAEAMINI!!MUNGU AKUBARIKI MTUMISHI WA MUNGU

  • @MoriceMasonda
    @MoriceMasonda 7 місяців тому

    Asante yesu kwa uponyaj

  • @merymosha8423
    @merymosha8423 5 місяців тому

    Ameen Papaa

  • @rehemankya1720
    @rehemankya1720 6 місяців тому

    Ameeen

  • @FelisKapaya-kl5mc
    @FelisKapaya-kl5mc 7 місяців тому +1

    imeandikwa msiwe na mashaka mioyoni mwenu.....Kwan hapo uongo uko wapi ad mseme Ni unabii wa uongo??

  • @BarakaPeter-r4x
    @BarakaPeter-r4x 7 місяців тому +1

    Yesu anasema mwisho wa dunia watatokea manabii wengi wa uongo kwahyo yeyote anaejiita nabii au mtume hao ni waongo kabisa

    • @prophetgervasebenard7486
      @prophetgervasebenard7486 5 місяців тому

      Nabii wa kweli nioneshe!!😅😅 We maneno matupu Sisi tunafanya kazi ya Yesu Kristo!

    • @jeremyamos535
      @jeremyamos535 3 місяці тому

      @@prophetgervasebenard7486 yan kuna mijitu sijui ina akili gan hayasomi maandiko kwan
      waliambiwa watakua wauongo pekeao

  • @SmilingCaterpillar-yy3jc
    @SmilingCaterpillar-yy3jc 6 місяців тому

    Kwa Imani yako utapona

  • @martinmuthuri4357
    @martinmuthuri4357 7 місяців тому

    God is good 🙏🙏🙏🙏💪

  • @chany9950
    @chany9950 7 місяців тому

    Mungu awasame jmn

  • @merymosha8423
    @merymosha8423 5 місяців тому

    Naamin papaa

  • @QueenethNcube
    @QueenethNcube 7 місяців тому +1

    Akuna unabii kama uwo utapeli mkubwa jamani jamani jamani ulaaniwe wewe Nabii ni muongo sana akuna Roho wa Mungu ktk unabii kama uwo shetwani mkubwa wewe ulaaniwe wewe Nabii feki

    • @jeremyamos535
      @jeremyamos535 3 місяці тому

      kwenda uko na usipoangalia utapigwa mpk uokoke, nabii feki wakweli alietokea kwenu yuko wapi🤣🤣

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 7 місяців тому

    Enyi watumishi nisikieni chezeni na kila kitu msicheze na Mungu namsiwe mnawaingiza na watu wasiyo na ufaamu juu ya dhamira yenu nikweli ajira hakuna ila usicheze na Mungu

    • @jeremyamos535
      @jeremyamos535 3 місяці тому

      wewe umekaa tu na unamchezea shetani au😆😆

  • @HusseinLimbe
    @HusseinLimbe 7 місяців тому +1

    Wakristoo nawasalimu sanaaa 😂😂

    • @hassanhancha1413
      @hassanhancha1413 7 місяців тому

      😅😅😅😅😅

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 7 місяців тому +1

      😂😂😂😂tunakuitikia ndugu na manabii kazi wanaifanya vyema 😂

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 7 місяців тому +1

    Alhamdulillah nakushukuru sn Allah kw neema hii ya UISLAMU na neema ya akili yan kuweza kuyaangalia mmb na kuyatathimini haya mengine n maigizo ya wazi tena comedy kabisa😂

  • @Boaz22
    @Boaz22 7 місяців тому +2

    Ameambiwa hakikisha unakaa mbelembele ili nikuone vizuri nikusimamishe usimame😂

    • @syliviakente9460
      @syliviakente9460 7 місяців тому

      Hahaha

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 7 місяців тому

      Hahahaaaaa yaan hii dunia jaman mmh mungu bado ni mwema kwetu imagine mtu anafanya hivo tena bila aibu na watu wanamwamin

  • @timetravellor5367
    @timetravellor5367 7 місяців тому +1

    Amini amini nawaambieni hii ni biashara na kila atakaeamini ndio mteja wenyewe, Toeni sadaka patri apate Range 😅😅😅

  • @abdullahally5479
    @abdullahally5479 7 місяців тому +1

    Hawa watu wachukua sadaka tu hiyo ndio deal yao

    • @prophetgervasebenard7486
      @prophetgervasebenard7486 5 місяців тому

      Sadaka inakuuma?? Hukumu ya adhabu inakuhusu usipotubia uovu wako huo wa kukashfu mambo matukufu ya YESU Kristo.

  • @FilbertHabashi-zn1qu
    @FilbertHabashi-zn1qu 7 місяців тому

    Yan psychology say it all. Type amen.

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 7 місяців тому

    makanisa yamekuwa nyumba za WAGANGA wa kienyeji na wapiga ramli!!

  • @RenathaElias
    @RenathaElias 4 місяці тому +2

    Imeandikwa usihukumu usije ukahukimiwa

    • @ShukraniPetro-f5i
      @ShukraniPetro-f5i 2 місяці тому

      Pia imeandikwa,manabii wa uongo watatokea nakufanya maajabu mkubwa

  • @rassanleezedon6861
    @rassanleezedon6861 7 місяців тому

    ila dada umeshindwa kumpanga vizuri, kuna majira anashindwa kukupa ushirikiano vizuri, anasahau sahau, kiboko mwamposa hapo dada kila likitajwa jina la ndugu yake anajifanya kushangaa kwa kujilusha juu

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 7 місяців тому +1

      😂😂😂😂 Dah mtiani wallahi Allah atuongoe

  • @endrumtweve4559
    @endrumtweve4559 7 місяців тому +1

    kinachofanyika apo ni uganga wakienyeji cyo injili ya yesu kristo ila wanatumia mwamvuli wa jina la yesu

    • @prophetgervasebenard7486
      @prophetgervasebenard7486 5 місяців тому

      Hivyo viwango ni vya juu zaidi Kiroho! Umualike mganga unayeendaga kunywa dawa zake uje Naye kanisani hapo,uone kama hutoaibika! "Makristo wa uongo"hawaamini nguvu za Roho mt.bila kubadilika jehanam huiponi!😅😅

    • @prophetgervasebenard7486
      @prophetgervasebenard7486 5 місяців тому

      Hivyo viwango ni vya juu zaidi Kiroho! Umualike mganga unayeendaga kunywa dawa zake uje Naye kanisani hapo,uone kama hutoaibika! "Makristo wa uongo"hawaamini nguvu za Roho mt.bila kubadilika jehanam huiponi!😅😅

  • @chany9950
    @chany9950 7 місяців тому

    Pyuuuuu🥺

  • @Ba63828
    @Ba63828 7 місяців тому +3

    Serikali piga marufuku hizi dini danganyifu

    • @pastorgodwinchengula7848
      @pastorgodwinchengula7848 7 місяців тому +1

      Wee ndio uliotegesha hiyo uchawi chooni muleba Nini...mtu anapewa msaada unasema dini danganyifu...unachezea uchawi wewe ngoja ukupate ndio utakimbilia ulipopatukana.

    • @Ba63828
      @Ba63828 7 місяців тому

      @@pastorgodwinchengula7848 dawa ya danganyadanya yenu inakaribia kuiva mnaishi kiujanjajanja lazima mshughulikiwe tapeli nyie

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 7 місяців тому +1

      ​@@pastorgodwinchengula7848😂😂😂 ndugu yangu hata km kusoma hujui ila picha iangalie vzr huu n uchuro ktk kujitafutia hela yan km comedy mana mm apa nacheka tuuu

    • @prophetgervasebenard7486
      @prophetgervasebenard7486 5 місяців тому

      Kwani wewe Naye Si ni Serikali ??? Zuia tuone!!! Jinai Iko wapi hapo? Au wivu mbaya unatesa Moyo wako! Acha watu watabiriwe na waombewe kwa jina la Yesu Kristo! We endelea na waganga wako Ili muungue vizuri siku ya hukumu! Mda Bado upo OKOKA UPONE!!! 😂

  • @juliusmagunila6308
    @juliusmagunila6308 7 місяців тому

    Hivi unamchukua mtu unamuuliza maswali unampelekea mkuu wako anamuingia mtoto wa mtu mwenye shida anamuuliza maswali ya kitapeli unajipatia utukufu hii mbingu hii😮

  • @amamlen3731
    @amamlen3731 7 місяців тому

    Ole wachungaji mnaoharibu kondoo za malisho yangu na kuwaaribu......

  • @rosemkude4804
    @rosemkude4804 7 місяців тому

    Unasubiri au unapiga ramli?????

  • @robsondalink6206
    @robsondalink6206 6 місяців тому

    Muonekano wako hausadiki acheni uongo

  • @estherlucas7233
    @estherlucas7233 7 місяців тому

    Yesu alisema kwa jina langu mtakemea pepo watatoka wewe unatumia maji ya kuoga kuondoa giza na sio kukemea, hayo mambo mbona hata mitume wale hawakufanya walikemea pepo likatoka, mtume paulo aliamuru tu kwa jina la Yesu simama uende. Watu wengi wanapotoshwa na haya mambo usipokuwa msomaji biblia utapotoshwa sana kama wewe mkristo biblia inaelekeza mengine mnafanya mengine na kama mnatumia maandiko, biblia ilitahadharisha siku za mwisho kutakuwa na manabii wa uongo wamejivika ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwa wa mwitu. Washirikina watupu, msiwe wajinga Mungu ni wa wote ukitubu dhambi na kuacha mtu yeyote anawezwa sikilizwa na Mungu, Yesu alimpa kila mmoja mamlaka ya kupoza wagonjwa kwa jina lake, Tubuni Dhambi ili izo ishara mzishuhudie muweze kuwaponya wagonjwa kwakumwomba Mungu mtu binafsi na sio kwa kudanganywa na Mafuta hayo ya upako yatawapoteza wengi, Mathayo 24, na pia kitabu cha ufunua kimeelezea manabii wa uongo, jihadharini, msije mkadanganywa badala ya kuponywa mnapotea kinyume chake.

  • @KTothemoe
    @KTothemoe 7 місяців тому

    😂😂 wasafi wana Kanisa

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 7 місяців тому

    Shenzi kabisa😂😂

  • @FelisKapaya-kl5mc
    @FelisKapaya-kl5mc 7 місяців тому

    imeandikwa msiwe na mashaka mioyoni mwenu.....Kwan hapo uongo uko wapi ad mseme Ni unabii wa uongo??