SIRI YA FICHULIWA UONGO WA MIUJIZA WANAYO IFANYA EV PASCHAL CASSIAN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 кві 2023
  • #0766998994#call0688199370 #0688199370 #

КОМЕНТАРІ • 394

  • @user-uc1fj9wg6n
    @user-uc1fj9wg6n 8 місяців тому +6

    Mungu hashindwi na chochote ,kinyonge ndicho chenye nguvu,fahari za dunia tutaziacha,bila kuiponya roho sio mwili Mana mbinguni Kuna vzr kuliko vya duniani,mwenye masikio na asikie,Mungu anaongea na watu kupitia watumishi wake wa kweli,Mungu azidi kukulinda na kuokoa nafsi za watoto wake watiifu nakukubali Sana Sana ,huto kufa kwa Muda wa wanadamu Bali kwa muda aupendao Alie kupa pumzi ya uhai.🤝🙏

  • @user-hs2vy6ir9i
    @user-hs2vy6ir9i 10 місяців тому +4

    Aise rafiki yangu Cassian Niko nawe sambamba sema kweli Mungu akuteteee kabisaaaa

  • @blessymaureen
    @blessymaureen Рік тому +23

    Only one in spirit will understand this man of God 😢😢😢😢😢😢preach man of God 😢😢😢🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @mediavumbi9243
    @mediavumbi9243 7 місяців тому +5

    Kweli kila Siku inaumiza, ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @FrancoMsangawale
    @FrancoMsangawale 4 дні тому +1

    Mungu akutangulie kaka na azidi kukutangulia katika yoote.

  • @mwamrasahamaro8473
    @mwamrasahamaro8473 Рік тому +14

    MUNGU wetu tunamwombea mtumishi wako huyu pamoja na wengine wa KWELI uwalinde dhidi ya manabii wa uongo.Amen

  • @maryeer6392
    @maryeer6392 Рік тому +8

    Amen barikiwa sana mtumishi, huo ndio ukweli,nafasi yanehema bado iko aje atubu Mungu anapenda 🇰🇪🇰🇪.

  • @user-yt2lv5en4e
    @user-yt2lv5en4e 6 місяців тому +1

    Cassian jihadhari sana mdomo wako,unafanyia nini Yesu sasa,funga mdomo na ufanye kazi ile unaona ni sawa kwa Mungu acha kumsaidia Mungu,unatafuta pesa,na itakutesa.unachuja nini Mungu ni mpana sana Cassian fanya yako acha vita.

  • @paschalymlangale8964
    @paschalymlangale8964 Рік тому +6

    Heri waaminio kweli maana ufalme wa mbingu ni wao mungu akubariki

  • @loraumuhire4755
    @loraumuhire4755 Рік тому +6

    Usiogoke Yesu Kristo yupo na wenye wanamwamini, tuko karibu kwenda nyumbani , sema ukweri Mungu atakubariki, atakupa taji rako.

  • @eligiusmapunda81
    @eligiusmapunda81 11 місяців тому +2

    Mpaka machozi yamenitoka jinsi mtumishi wake anavyo pita katika ukweli wa biblia ili watu tuijue kweli! Wapendwa , tusipo yashika haya, amini tutadaiwa mbele za MUNGU , ubarikiwe sana mtumishi

  • @dinairenge
    @dinairenge Рік тому +6

    Achakuhukumu watumishi wamungu kkangu mungu apendi kuzungumuziawatumishiwak kwanini munapenda ongea maisha ya wenzio sisitunaamini mungu wamwamposa kwasababu tunaona mukonowake nahatutachoka kwenda kawe

    • @user-qf4ok3wl2x
      @user-qf4ok3wl2x Рік тому +1

      Sasa kama yéyé haamini kama mungu iko siache kuwasengenya wezake huu jama ni mwivu wala sio mtumishi wangu huu

    • @eliasmyamba4767
      @eliasmyamba4767 4 місяці тому

      Mungu awasaidie maana naona teyale pepo limewakamata ndomana kweli linawaumiza.

    • @FestoYohana-ll4wk
      @FestoYohana-ll4wk 4 місяці тому +1

      mbona hatuon ukiombea watu watu wakipona ww kaz kuponda watumishi wenzio

    • @WitnessSamson-qc9ie
      @WitnessSamson-qc9ie 3 місяці тому

      Sema ukweli Hawa wote wanaokusengenya wamepofushwa ufahamu wao

    • @LovenesyMhame
      @LovenesyMhame 25 днів тому

      Acha kumusifia mung wa mwamuposa unajua anamutumikua mung gan sif n za mung wa mbingn tu​@@user-qf4ok3wl2x

  • @adriannebatakanwa6904
    @adriannebatakanwa6904 11 місяців тому +2

    Cassian Mungu Akulinde. Nilifanya kazi na GD nikatofautiana naye kwa misingi ya kimungu. Tuendelee kumuombea. Adui amemsahaulisha jinsi safari yake ilivokuwa. Alianza vizuri tu. Mungu Amrehemu.

  • @user-pv1ze9ht4e
    @user-pv1ze9ht4e Рік тому +1

    Keki ya upako..mafuta ya upako..hivyo vitu vyote nivya kishetani ,,,watu wametekwa ufahamu na nguvu za giza....uponyani wa Mungu unaweza pokea hata kwa kusoma Neno la Mungu sio mafuta wala keki ya upako..nguvu ya Mungu haipitii kwenye vyakula....waambie ukweli usipepesi macho..safi sana

  • @noelmbosa2736
    @noelmbosa2736 Рік тому +2

    Mungu atusaidie YESU yuko jirani mnoooo!Tudumu katika maombi peke yetu hatuwezi tuombeane wapendwa dunia imekwisha

  • @user-oq8zj2py7e
    @user-oq8zj2py7e Рік тому +2

    Mtumikie Mungu na imani ni muhimu sana .jua kila mtu amepewa kipawa chake na imani inafanya matokeo unayoyaona kwa imani hata kivuli kinaponya . Wewe sio Mungu hubiri neno ulilojaliwa kulijua. Mungu anajua uongo na ukweli . Usihukumu au kukaa nafasi ya Mungu .

    • @StephanoChalesi-or5ol
      @StephanoChalesi-or5ol Рік тому +1

      We're ndio muongo pia umepungukiwa mwanadamu utasubiri ziki kuu inakuja Maana munaamini manabii wauongo mtakanyahishwa mafuta nakulishwa mkate

    • @sheilamaziku5980
      @sheilamaziku5980 Рік тому

      ​@@StephanoChalesi-or5olamen

  • @rowenalilie993
    @rowenalilie993 Рік тому +4

    YESU,MUNGU ROHO MTAKATIFU WOTE PAMOJA NA MALAIKA WAKO HAPO WAMEKUZUNGUKA!VITA YETU SI YA DAMU NA NYAMA BALI YA ROHO NA MAJESHI YA mapepo wabaya!YESU NDIYE NA MWISHO TUNAUJUA,jehanamu ipo na MBINGUNI IPO.
    Mungu atuokoe!hapendi Kifo cha mwenye dhambi.
    Ubarikiwe sana mtumishi Paschal!

  • @sarahwanjiku4891
    @sarahwanjiku4891 Рік тому +3

    God bless you man of God sasa watu tuombe sana MUNGU atupee roho mtakatifu atuoneshe ukweli

  • @issakisalu9237
    @issakisalu9237 Рік тому +1

    Mungu YESU Kama mnavyomwita atakaporudi watu hawatamuona kwa sababu wakimuona watakufa kwa sababu wanadhambi hapo ndio utajua hujui, na hao aliokutana nao mwanzo huyu Mungu Yesu mnayemwita aliishi nao vipi hawakuonana.
    Au mnamzungumzia wa Tongaleni.

  • @ChrisantEmanuely27
    @ChrisantEmanuely27 9 місяців тому +2

    Mungu akulinde zaidi nakufatilia sana

  • @adamjulius9782
    @adamjulius9782 Рік тому +5

    Amina mtumishi. Yani mpaka kieleweke. Nibora kumwaga damu kama wanyama kuliko kunyamaza ezekieli 3:17-20

  • @JaneWaweru-hn7tp
    @JaneWaweru-hn7tp 2 місяці тому +1

    May God raise you up to another level

  • @dinairenge
    @dinairenge Рік тому +2

    Akuna mutu mwenye ashaka ona mungu mwache kukua napotoshawatu mungu ni roho

  • @SalomeSuleman-uz8kd
    @SalomeSuleman-uz8kd 8 місяців тому +1

    Hongera kwa kutafuta ukweli Wa mungu nakuelewa sana baba Chungaji

  • @christinasebastian9546
    @christinasebastian9546 8 місяців тому +1

    Mungu akufunike akutunze uendelee kuihubul kweli ya mungu

  • @adamjulius9782
    @adamjulius9782 Рік тому +8

    Tumekalibia nyumbani, sema tena kwa sauti kuu tumekalibia nyumbani 💪

  • @user-lk3tp5cj3q
    @user-lk3tp5cj3q День тому +1

    Amina barikiwa Mtumidhi

  • @polycarpwingira9487
    @polycarpwingira9487 Рік тому +6

    Amen mtumishi wa mungu endelea kutuelemisha

  • @shadraachshadinho
    @shadraachshadinho Рік тому +4

    Wewe ni kati ya watumishi ambawo Sina mashaka nawo hata kidogo hakika mungu anakutumia vema

  • @kobylwaho3191
    @kobylwaho3191 Рік тому +2

    Mungu akulinde usiku na mchana akufunike ulinzi thabiti shetani asikudhuru hata kidogo

  • @JaliwaMbembela
    @JaliwaMbembela Місяць тому

    Mungu anawaona hawa manabii
    Mungu akubaliki baba huenda kuna watu wanaelewa hiki unachokifanya

  • @lowasameliyo4027
    @lowasameliyo4027 Рік тому +2

    Hongera Sanaa ukweli naungana na wew kusema geordavid sio nabii wa kwelii, kwanza anajisifiu Sanaa hadi anadiriki kusema Mungu wa jeodevid ndio amekuponya na sio yesu, kumbe hyu jamaa ana Mungu wake anayemjua yey mwenyewe

    • @emmyrouchy647
      @emmyrouchy647 Рік тому

      mbona mnasema Mungu wa Yakobo... elewa mantiki.. huwezi kula kwenu ukashukuru kwa jirani.. ata wewe ukiomba jambo kibinafsi nalikatiki unahaki ya kusema Mungu wako ni mkuu..sidhani kama inamaana unayowaza

    • @BarakaMazengo
      @BarakaMazengo Рік тому

      Umeona eee huwa anajisifu af et anaitagwa Baba nawaumini wake

  • @marryezekiel
    @marryezekiel Рік тому +2

    Amen mtumishi wa mungu, biblia inasema uwe mwaminifu mpaka kufa

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 11 місяців тому +1

    Jamani IPO kazi duniani,,, MUNGU nisaidie na nipe macho ya rohoni,,,,,,, barikiwa mtumishi wa BWANA 🎉

  • @dickson6684
    @dickson6684 Рік тому +3

    Mwandishi wa habari ukitoka hujaokoka hapo mmmh injiri ya uzima inaunguruma Mungu azidi kukutia mafuta ya kiroho mtumishi wa Mungu Pascal

  • @LovenesyMhame
    @LovenesyMhame 25 днів тому

    Amen watu saiz wanatok kweny makanis yao kis kuskia miujiz tu wanatak kuombew baada y kuomb mung atusaidie

  • @severinaseverinanyoni707
    @severinaseverinanyoni707 Рік тому +1

    Mimi nakukubali sana kwanza hakuna binadamu wa kumuona Mungu kwa dunia ya sqsa ukimuona Mungu lzm ufe

  • @wakayakaya6
    @wakayakaya6 Рік тому +1

    Kwa Hilo ni Siri ya Mungu .Kwa hio watu wateseke na magonjwa huyo ndie Mungu. Kama watu hupona nawapone atajua mwenyewe alietuumba

  • @selinamrikaria6143
    @selinamrikaria6143 4 місяці тому +1

    Mungu akushindie vita vyako

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani Рік тому +1

    Tofauti ya manabii wengi wa uongo ni kutumia vitu vya mwilini, Na Nabii wa Mungu wa kweli anatumia Neno la MUNGU,.Yeremia 23:28-29.

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 Рік тому +3

    Ukiwa mkristo unayeamini neno la Mungu, usifuate miujiza. Jiamini kwa nafasi yako. Muombe Mungu akuokoe kwa changamoto unazopitia kwa maisha yako. Naye atakutetea.

    • @obinasimbeye1750
      @obinasimbeye1750 Рік тому +3

      Weglngine Mungu amewapa vipaji vya kuponya na SI Kila mtu anaponya so hata kama mkristo tunazidiana vipaji.

    • @WitnessSamson-qc9ie
      @WitnessSamson-qc9ie 3 місяці тому +1

      Kila mtu anapaswa kuomba pindi unapopata shida Mungu anasikiliza maombi ya Kila mwanadam sio kwamba Kuna baadhi ya wanaoponya hata wewe ukiomba Kwa uaminifu Mungu hataacha kukusikiliza sema tu watu wengi Hawana ukaribu na Mungu hata akipata shida anataka aombewe

    • @ErickLazaro-vo8uz
      @ErickLazaro-vo8uz 6 днів тому

      Wana wa Israel waliokolewa kwa MIUJIZA MINGI pasipo miujiza hakuna wokovu ingekuwepo sasa??wewe kaa useme uombe Mungu akuokoe .utazunguka ukuta wa yeriko muda mrefu sana

  • @rogersndaiga5832
    @rogersndaiga5832 Рік тому +39

    Wakati wa sasa MUNGU anachekecha kanisa lake ili kupata mchele safi yaani watu safi. Cassian endelea kupiga kelele usiache, paza sauti kama tarumbeta, maana ukiacha utadaiwa.

    • @user-pf3ft9qf9q
      @user-pf3ft9qf9q 9 місяців тому +3

      Pole baba Cassian songa mbele upo ushindi 15:40 15

  • @madubimabombe25
    @madubimabombe25 Рік тому +4

    Mk 16:17-18 SUV
    Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya; watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.

  • @nkalugiradio8140
    @nkalugiradio8140 2 місяці тому

    Exactly Mtumishi wa MUNGU, mimi yalinikuta na watumishi wa mafuta , naelew unachokiongelea ,dunia imeisha niwakati wakusali kabisa tena kwa kulia sana

  • @dinairenge
    @dinairenge Рік тому

    Auwezifanya vitu vyenye mwamposa anafaaka atutaacha kuomba mungu wamwamposa kamwe dunia anamungu mkbwasana mungu wamwamposa anatenda mungu wamwamposa anaponywa mungu wamwamposa anajibu mahitaji sasa sisi mutatuchukia bure kwasababu tunaamini mungu wamwamposa aishimilele tuna mpenda mwamposa mungu amulide amuepushe na nyinyi watu wakumuongea vibaya siovizuri kilamutu abakie na himaniyake na maleziake na mwamini mungu wamwamposa sana

  • @jaribuchussy4496
    @jaribuchussy4496 Рік тому +1

    Jamani mafundisho hayo ni sahihi kabisa, ubarikiwe sana mtumishi.

  • @richardsangano6592
    @richardsangano6592 6 місяців тому +1

    Mungu azidi kukuinua

  • @medsonsanga4813
    @medsonsanga4813 Рік тому +2

    AMEN. Mungu wetu mwema Kila wakati 🙏

  • @adorateurpaulbukuru6864
    @adorateurpaulbukuru6864 11 місяців тому +2

    Amen Man of GOD......
    GO on, we bihind you Sir🖊️✌️

  • @bahatimodestus9604
    @bahatimodestus9604 Рік тому +1

    Hongera sana mtumishi MUNGU akubariki sana

  • @user-hi4gd5io1w
    @user-hi4gd5io1w 2 місяці тому

    Barikiwa mtumishi wa Yesu ni ndiye Mungu pekee Yohana 8:24

  • @marylineboola4236
    @marylineboola4236 Рік тому

    Usiogope anaye ua mwili peke yake bali muogope anaye ua mwli na roho simameni pamoja na mtumishi wa Mungu Katekela muitetee injili ya Bwana mbarikiwe sana

  • @jameskenzedex
    @jameskenzedex Рік тому +2

    Nmeishi kufutilia mhubiri yako kwa mua Sasa wa mwaka n yote unayoyasrma n kweli na Mungu akubariki

  • @williammasesya2363
    @williammasesya2363 Рік тому +4

    Mtumishi wa Mungu Alie Hai yaani Yesu Christo Mimi mwenyewe niliwai kumuona unabii Kwa shs laki mbili Na hamsini Na sikupokea chochite tulipewa unabii ambao haukutimia

    • @oscanyakunga
      @oscanyakunga Рік тому

      😂🤣🤣😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣 uenda amkuwa na imani

    • @aaronswai6935
      @aaronswai6935 Рік тому

      Duh! Pole sana. Mungu akusaidie sana; muujiza huwa haubadiliishwi na muujiza wa Mungu

  • @emmyrouchy647
    @emmyrouchy647 Рік тому +1

    Mtumishi naomba kujua kwaio walio muona Yesu wakati Yesu yupo duniani ilikuwaje... nawao si walitakiwa wafe pale pale maana ni walimuona Mungu au...nimekuelewa vibaya, pia umenichanganya umesema Musa hakuwa na dhambi alafu pia umesema Mungu alimwambia Musa kuwa hataweza kumuona maana yeye anadhambi

    • @ErickLazaro-vo8uz
      @ErickLazaro-vo8uz 6 днів тому

      Aisee hawa wanataka kufifisha Nguvu ya MUNGU ili watu waumizwe zaidi na mashetani,,mbona yeye haoneshi miujiza ya ukweli ya Mungu wake sasa.Watuoneshe namna ya kufanya Miujiza kumshinda shetani sasa,,Anamaanisha kuwa Shetani tu ndiye anaweza kufanya Miujiza?Eeeh.

  • @LokieLokie-ei8yz
    @LokieLokie-ei8yz Рік тому +1

    ❤Ameen mtumishi wew uko sahihi San Mungu akupiganie

  • @RebeccaFrancis-tb3we
    @RebeccaFrancis-tb3we 17 днів тому

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @user-cp6uj8pr6q
    @user-cp6uj8pr6q Рік тому +2

    2Nyakati 20:20 waaminini manabii wake ndivyo mtakavyofanikiwa

  • @Mamantontine
    @Mamantontine Місяць тому

    Unasema kweli Mungu akupe nguvu.manabii wa uwongo wanadanganya watu sana.

  • @nsabimanaalice5847
    @nsabimanaalice5847 Рік тому

    Usipime kukanyagisha miguuu pale ao maali ali kuanda riya. Hakuna zaidi yayale anasikiya usiku na mcana ukiubiriya. Apo utakuwa una muasi Mungu. Kama anataka kutubu akukutanye kwenye weye uri andaaa
    Asante

  • @user-me8qk9gu2y
    @user-me8qk9gu2y 6 місяців тому

    Amina mtumish hawa wanagusa shida za watu na magonjwa ndio maana Wana kundi kubwa hasa wanawake ndio wengi Mungu tusaidie

  • @Yohanakilamiani-yn1pb
    @Yohanakilamiani-yn1pb 6 місяців тому

    kwekweli mungu akubari maana Mimi sijawai kuamini awa manabii wa uwongo mungu yupo pamoja na nami nimewatoa watu wengi sana kwa manabii wa uwongo

  • @immahkisuke1564
    @immahkisuke1564 Місяць тому

    Amen,,,Mungu akubark sana

  • @jumamwanza8909
    @jumamwanza8909 Рік тому +2

    Call it a pure word of God,, I love it🙏🙏

  • @hezekimwakipesile610
    @hezekimwakipesile610 Рік тому +1

    Nakubar umeongea ukweli sana tena amekuful kusema yenye ni nabii mkuu wakati nabii mkuu ni yesu tu hakuna zaidi ya yesu

    • @batashqiraa9936
      @batashqiraa9936 Рік тому

      Huyu hapa anasema yesu ni nabii mkuu, mwengine anasema yesu ni mungu, jee yesu wapo wangapi, maana ninavyojua mimi ktk imani Mungu ni mmoja ambaye ameumba mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake kama malaika, majini, wanadamu, wanyama, wadudu, miti, upepo, jua mwezi, bahari, samaki, Mungu ni muumba, hakuzaa wala hakuzaliwa, lkn yesu amezaliwa na Mariamu, yesu ni nabii wa Mungu sio Mungu, yesu ana damu lkn Mungu hana damu, ni vipi yesu awe mungu hlf atokee mtu aseme damu ya yesu imfunike caspian, na damu kitu kimeumbwa, jee mungu anaweza kuwa na damu???

  • @muriukigeoffrey4199
    @muriukigeoffrey4199 Рік тому +2

    Hii ndio injili ya kweli MUNGU akubariki

  • @ClemenceMakutu
    @ClemenceMakutu Рік тому

    Chapa injili ya kweli mtumishi, Mungu akubariki kufungua watu macho.

  • @user-bx3ko9ft5t
    @user-bx3ko9ft5t 7 днів тому

    Mungu akutunze mtumishi

  • @ochidovictor9531
    @ochidovictor9531 Рік тому +3

    Amen be blesse man of God

  • @ephraimndelwa4073
    @ephraimndelwa4073 9 місяців тому +1

    Miujiza ya Mungu ni ipi? Au Mungu ni mnyonge sana hana miujiza? Nakushauri pambania karama yako uliyopewa na Mungu usipambane na karama za wenzako..

  • @Chekakidogo2
    @Chekakidogo2 Рік тому +4

    Nabarikiwa sana Mtumishi wa Mungu

  • @sarahnambuya5818
    @sarahnambuya5818 Рік тому +1

    Uko sawa mtumishi nakuunga mkono

  • @EsterBernardoVumo
    @EsterBernardoVumo 8 місяців тому

    Mungu Azidi Kuwafunuli aWatumishi WaMungu.NaMungu Awarinde.Mikononi Mwa Adui.

  • @saidmwatenguri4951
    @saidmwatenguri4951 Рік тому

    Pastor muongo sana sasa ikiwa watu zamani waliomuona mungu utuambie mmoja ambae alimuona mungu

  • @jacquelineblessing6879
    @jacquelineblessing6879 Рік тому

    Be blessed Baba🙏🏾🙏🏾 , tunakusilizaa

  • @kisasigala
    @kisasigala Рік тому +1

    Mungu akiwekee sana wengi tuongoke Amen

  • @pastorjanekanini6204
    @pastorjanekanini6204 Рік тому +2

    Naomba kukuzaidia tu wachana na wao ambao wamejichanganya maana yesu alisema wacha mangungu na ngano zimee pamoja mungu atawahukumu mwenyewe , ambia watu ukweli ule unajua kuhusu biblia wacha kujisumbua na waaubiri wa uongo mungu anawajua .

    • @happnesskitumbo5713
      @happnesskitumbo5713 Рік тому +1

      Acha awasaidie kwani ni kundi kubwa wanalolipotosha yawezekana wapo ambao wanaweza kusikia wakamgeukia Mungu wa kweli kabla Yesu hajarudi.

  • @user-dg6im8uw5q
    @user-dg6im8uw5q 4 місяці тому

    Mungu akusaidie mbaka mwisho

  • @machindafadhili3186
    @machindafadhili3186 Рік тому +1

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @Vantende
    @Vantende 10 місяців тому

    Rezemos para esses irmãos que o Espírito Santo ilumine os seus corações.🇲🇿🇲🇿

  • @chazyyohana
    @chazyyohana Рік тому +4

    ingekuwa vyema kama wewe mwenye nguvu za Mungu uponye watu maana watu wanashida

    • @stanleywaweru1714
      @stanleywaweru1714 Рік тому

      uzima wa milele ni wa maana kuliko mwili wa kuisha

    • @stanleywaweru1714
      @stanleywaweru1714 Рік тому

      miujiza ni ya muda lakini ufalme wa Mungu ni wa milele

    • @furahachungu6802
      @furahachungu6802 Рік тому

      Naamini nimkristo kamili soma biblia utajua harafu muombe mungu akupe macho yarohon

    • @ErickLazaro-vo8uz
      @ErickLazaro-vo8uz 6 днів тому

      Atapataje sasa NGUVU kama anaipinga??

    • @ErickLazaro-vo8uz
      @ErickLazaro-vo8uz 6 днів тому

      Biblia inasema mtakeni BWANA MUNGU NA NGUVU ZAKE.yeye hataki.anamtaka MUNGU na udhaifu wake😅

  • @yusufbarkari2333
    @yusufbarkari2333 Рік тому +1

    We are in the New Testament dispensation. So don't mix the two samani mungu hakukuwa amemtoa mwanawe Leo hii asha mtoa na yesu huwa anawatokea watu kama vile anawatokea kina mariamu na hata wafuanzi wake nafikili urundi kwa bibilia. Yesu alipatia wafuazi wake nguvu ya kuponya wagojwa katika mathayo 10:1-3

  • @fabiolamassawe6528
    @fabiolamassawe6528 Рік тому +1

    Wewe Nikichaa,kwani Yesu akuwatokea wanafunzi wake,au

  • @issakisalu9237
    @issakisalu9237 Рік тому

    Hivi ndugu zake huyu Mungu yesu kama mnavyomwita waliozaliwa na bikira Maria walikufa ote

  • @madubimabombe25
    @madubimabombe25 Рік тому +2

    Mungu akupe ujasiri ufunuo zaidi ili tuujue ukweli wa miujiza pia.

  • @SaimonMwatwabana
    @SaimonMwatwabana Рік тому +2

    Bwana akuhifadhi mpendwa wa Mungu

  • @gracepaul5901
    @gracepaul5901 7 місяців тому

    Paschal you're very right, some who opposes will one day agree with you

  • @pauloropian2367
    @pauloropian2367 Рік тому +1

    Amen ubarikiwe.

  • @alicerugaitika1687
    @alicerugaitika1687 Рік тому +1

    Musa alikuwa na Dhambi pia umesahau alivyoua kule Misri!!kingine Musa alikuwa na hasira sana ni kwamba Mungu wetu ni upendo anatupenda Sanaaaaa ni kwa rehema na neema zake

  • @daudinyello4033
    @daudinyello4033 7 місяців тому +1

    MUNGU HAMUOMBI YEYOTE SABABU YEYE NDIO MKUU ALIYEUMBA MBINGU NA ARDHI,VIUMBE HAI NA VISIVYO HAI. YESU SIO MUNGU KWASABABU ALIOMBA CHAKULA TOKA MBINGUNI, ALISINZIA,ALITESWA NA KUVULIWA NGUO ILA MUNGU HAJAWAHI TESWA NA KUVULIWA NGUO, ALIKUFA ILA MUNGU HAJAWAHI KUFA NA HATAKUFA MILELE, ALIZALIWA ILA MUNGU HAJAZALIWA, YESU ALIKUTA ARDHI NA MBINGU VIMESHAUMBWA, ALIFUFUA WAFU NA KUUMBA UDONGO KWA MFANO WA NDEGE NA KUUPULIZA KUWA NDEGE ILA NI KWA IDHINI YA MUNGU SIO YEYE.

  • @nuruabraham3769
    @nuruabraham3769 7 місяців тому

    Mungu akutunze daima na atusaidie kuepuka moto wa jehanam

  • @ridiajofrey8276
    @ridiajofrey8276 Рік тому +1

    Paschal Cassian na katekela no vijana ambao wametumwa na mungu ph

  • @user-pv1ze9ht4e
    @user-pv1ze9ht4e Рік тому

    Hongera sana mtumishi....kweli kabisa

  • @minanietienne-sz8xu
    @minanietienne-sz8xu 5 місяців тому

    Really appreciate your preaching

  • @AmeldaKavishe-ry9ow
    @AmeldaKavishe-ry9ow Рік тому +2

    Mtapata tabu Sana pia wewe ujui ukweli Ila juaribu kuwakamata watu

  • @ayubutenges9685
    @ayubutenges9685 Рік тому

    ❤asande Kwa somo mzuri sana Mimi natokea Nairobi Kenya naomba unisaidie swali hili je kuanzisha vikundi ya pesa makanisani ya kukopa nakukopesha je hiyo ni ibada ya kishetani Naomba unijibu please 😊😊

  • @azizabuyonde8368
    @azizabuyonde8368 Рік тому

    Amen, ihubiri kweli, Mungu awe nawe

  • @pavlovbienfait6940
    @pavlovbienfait6940 Рік тому +1

    Merci vraiment pour la vérité, Dieu vous bénisse 🙌🙌🇨🇩🇨🇩

  • @doreen2038
    @doreen2038 Рік тому

    Nakuelewa sana,ni kweli muujuza wa MUNGU ni halisi,tatzo tumekuwa wavivu kuomba na kusoma neno,tunafikiri mbingu tutaiendea na miujiza,tumetekwa fahamu

    • @ErickLazaro-vo8uz
      @ErickLazaro-vo8uz 6 днів тому

      Ukiomba na wewe ukapewa hiyo karama ya Miujiza na Mungu wako tukuiteje??unafanya kwa mamlaka ipi?

  • @mussamkalawa2101
    @mussamkalawa2101 Рік тому

    Ameen mtumishi usikate taama Mungu atakushindia