CASSIAN AMKEMEA PASTA TON KWA KUPOTOSHA MAFUNDISHO POTOFU EV PASCHAL CASSIAN

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 631

  • @JACKLINEMAHENGE
    @JACKLINEMAHENGE День тому +10

    I've never been attentive to pastor Tony preachings but i think he's so much into celebrities world he loves to associate with those kinds, he maybe be have his valid reasons and i pray that the darkness from that side may not overpower the anointing in him if there is any

  • @musachomoitson2350
    @musachomoitson2350 6 годин тому +2

    Mungu akuzidishe paschal, unaifanya kazi yake vizuri na usione uko pekeako ktk kusema kweli, pambana sana na uovu bila kusita maana MUNGU amejisazia wengine wa kuungana na wewe ktk kusema ukweli... Amen

  • @kingsonkambey1436
    @kingsonkambey1436 4 дні тому +31

    Muonye,mkemee,mkaripie waziwazi bila kuogopa kitu chochote Paulo anamuagiza Timotheo kufanya hivyo Amen!!

    • @ruthmuja7792
      @ruthmuja7792 3 дні тому

      Amina Amina

    • @RwidhiaRichard
      @RwidhiaRichard 3 дні тому

      MKOMBOZI MITIMINGI HERBAL CLINIC UPONYEKE NAWE UKAFANYIKE SHUHUDA KWA WATU WENGINE TUNA DAWA ZA ASILI ZA TIBA MBALI MBALI ZILIZOTHIBITIKA KUWEZA KUTIBU MAGONJWA MBALI MBALI KAMA VILE :kina dada
      huyo HAPA MITIMINGI TRADITIONALCLINIC
      Anatibu fangasi sungu ukeni na U.T.I sungu
      (2)P. I . D .Maumivu wakati wa tendo la ndoa na halafu mbaya ukeni .
      (3) Mirija ya uzazi uliolegea .
      (4)Maumivu ya tumbo chini
      ya kitovu na changu
      (5)UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
      (6)BAWASIRI AU HEMORRHOIDS )
      BAWASIRI YA NDANI NA NJE
      (7)PRESHA ,SUKARI NGIRI N.K
      (8)LIFE CARE;dawa ya asili yenye uwezo wakuboresha kinga za mwili ni msaada pia kwa wenye virusi vya ukimwi _dawa zote zina kibali cha wizara ya afya kitengo cha tiba mbadala
      WASILIANA NASI KUPATA DAWA piga 0673060366 WhatsApp ♥

    • @jenifferjasper1369
      @jenifferjasper1369 3 години тому

      Wewe na familia Yako mtakemewa waziwazi mpaka mshangae

  • @dh-bioproducts8205
    @dh-bioproducts8205 День тому +6

    Hukumu ni ya Bwana. Sisi yetu ni kuitangaza na kuifunua kweli ya Kristo Yesu

  • @AmyeSanga
    @AmyeSanga 4 дні тому +31

    Kanisa la Sasa tunashindwa kutofautisha mhubiri na inspirational speaker.kisa Kuna kamstari ka Biblia tunadhani ni mhubiri .Hakika Mungu atupe macho ya kuona maana tuna macho ya kutazama tuu huku fahamu zetu zikiwa zimefungamana na kutazama

  • @isdommushi9536
    @isdommushi9536 10 годин тому +1

    Ubarikiwe na Bwana Yesu Mch. Cassian kwa kufanya kazi ya mhubiri wa Injili. Mtumishi wa Mungu hapaswi kuwainua watu wenye roho ya Mpinga Kristo, watungao na kupenda nyimbo zenye uwezo mkubwa wa "mind & spiritual pollution", kuwainua katika madhabahu ya Kristo ni jambo la upotofu. Watoto wamemezwa na nyimbo chafu, vyombo vya habari, vyombo vya usafiri, kila mahali, "mind pollutants are at work", sasa hata kanisani kwa watumishi wa Mungu jamanii?! Hapana. Mambo haya ynapaswa kukemewa kwa neno la hekima.

  • @Godlovesyou1857
    @Godlovesyou1857 2 дні тому +6

    Thank you, God, for this Revelation message 🙏🏾 it’s 1:28 am 7/7/2024 watching this beautiful message… Ubarikiwe sana Mtumishi
    🇺🇸

  • @andrewmwakabela8686
    @andrewmwakabela8686 3 дні тому +19

    Kwanza n kosa kubwa sana mbele za mungu kuimba nyimbo za dunia madhabahun haiwezekan kinywa ichoicho kitoe maji masafi na machafu. Enhe mola tusaidie

  • @user-ru6ct4rh3t
    @user-ru6ct4rh3t 3 дні тому +15

    Mtumishi wa Mungu Asante nashukuru. Naomba uniwezeshe kuchanga chochote kwa kazi hii ya mtumishi wako.

  • @user-gj2gc4en3t
    @user-gj2gc4en3t 3 дні тому +23

    Pst ton alijificha nilimutambua mwaka mumoja uliopita kashajichanganya kitambo, but wewe mtumishi mungu Akulinde na tunakuombea na tunakupenda sana sana niko Mombasa kenya

  • @kelkel4483
    @kelkel4483 3 дні тому +14

    Kuwataja Hao aliwataja aliwataja katika angle ya kumaanisha kwamba Hao wasanii wanauwezo wa kumrudia na kumtumikia Mungu sema basi tu ni kwamba hawajui,maana yesu alikuja kwa wenye dhambi kwa hiyo na Hao wasanii Wana nafasi ya kubadilika,na pia kama wanaweza kushawishika wakatunga nyimbo ya kumsifu Mungu haitokua na shida yoyote,so wakati wa mungu ni wakati sahihi so anajaribu kuwashawishi wake kundini like kuwin their soul.. so ulitakiwa uanze mwanzo wa kongamano mwanzo mwisho,sasa kama atakua amekosea labda kwa angle za level za kitumishi kwenye vyama vyenu huko..,so shida sio Nani kaimba ila ni nini kimeimbwa,ndio maana rahabu kahaba nae alitumiwa kufanya kazi ya Mungu,so it's possible kwa uelewa wangu mdogo

    • @Samsonnoahndagw
      @Samsonnoahndagw 3 дні тому +2

      Afadhali umekiri kwa uelewa mdogo

    • @user-ll6pj1lg3e
      @user-ll6pj1lg3e 3 дні тому +1

      umenena vyema

    • @sigimwangombola5915
      @sigimwangombola5915 18 годин тому

      Bora ungenyamaza tu

    • @gitongaz
      @gitongaz 18 годин тому

      Mimi hungojea sana mungu anifunulie wahubili wa uongo, tena na wale wa ukweli , kabla ya kutaja mtu, Kisha niedee hizo kondoo hizo simepotea ,Dunia inahitaji unabii wa mungu Ili injili ikubalike bele za mungu

  • @user-dq1ss2uq6u
    @user-dq1ss2uq6u 4 дні тому +14

    Asante mtumishi ..ni hatari kuizoea madhabahu

  • @prophetjohnmasso186
    @prophetjohnmasso186 4 дні тому +15

    Umeongea ktk ukomavu sana kiimani Mungu akutunze akufiche mikononi mwake

  • @user-yz3rl8pd6q
    @user-yz3rl8pd6q День тому +5

    Barikiwa sana mtumishi,
    Endelea kuwakosoa watumishi wa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Wengi ni matapeli kwa sasa, wamepotosha asili ya Neno la Mungu. Wamekalia mafanikio, sio Neno lakweli la Mungu. Wanaendelea kupoteza utakatifu wa Tanzania katika uso wa Mungu.

  • @tujajackson8142
    @tujajackson8142 4 дні тому +33

    Nimegundua mtu kukosa unyenyekevu mbele za Mungu akiwa madhabahuni huwa kuna kujisahau na kwenda nje ya mstari wa kweli aloo.watumishi tujifunze kumentain annoint bila hivyo ni hatari tutaongea ya kwetu.hongera paskali kws hapo nakupongeza

    • @piusbaruhuwundi8987
      @piusbaruhuwundi8987 2 дні тому

      Hii imewakuta hata manabii wengi. Wapo waliofika sehemu wakajisahau na Mungu akawakataa

    • @AmyeSanga
      @AmyeSanga День тому

      @@tujajackson8142 ni kweli Mungu akimutambulisha mtu kwa watu badala ya kumuachia Mungu utukufu anaupokea yeye Mungu anakaa pembeni tunaanza kuona madhaifu yake maana aliyemsitiri anaondoka

  • @ellymtenga8127
    @ellymtenga8127 День тому +4

    Mungu akubariki sana Paschal unahubiri injili ya kweli be blessed man

  • @keruboirene
    @keruboirene 3 дні тому +9

    You make me cry 😭 every i listen 👂🏾 your preaching 😭 i hope my kids will never leave my teaching 😢
    Eeh MUNGU saidia watoto wangu.kwa jina la YESU KRISTO naomba 😭🙏🏾🙏🏾🙏🏾Amena

  • @user-cw8zn2dn6m
    @user-cw8zn2dn6m 3 дні тому +5

    Ww kweli ni mtumwa wa Mungu. Hakika ww ni nuru. Hakika. Paschal uinuliwe juu Mbinguni. Amen.

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 4 дні тому +31

    Huyo mpuuzi tangu alipojiunga na ma charlatan kina Ubert angel, kina Bushiri waabudu mashetani ndio amepotezwa kabisa. My Brethren, kanisa limevamiwa na mashetani mbwa mwitu wakali. Pasipo maarifa ya kiroho umekwisha na kuangamia kabisa.

    • @adelinaruhiye8904
      @adelinaruhiye8904 4 дні тому +2

      Tru

    • @adelinaruhiye8904
      @adelinaruhiye8904 4 дні тому +1

      True

    • @rosemarinawiliam3289
      @rosemarinawiliam3289 3 дні тому +7

      Ni kweli kabisa alipojiunga na ubert Angle basi ikawa mwisho wangu wa kumfuatilia, wale wana mikataba na shetani ili kuwapoteza wengi. Alianza vizuri sana lkn mmmh

    • @apostle_AngazaGN
      @apostle_AngazaGN 3 дні тому +3

      Alikuwa kijana mzuri sana Tony, sijui nn kimempeleka kubadili mafundisho yake

    • @mariamswedi1140
      @mariamswedi1140 3 дні тому

      ​@@apostle_AngazaGNpesa

  • @user-tw9td1qy6l
    @user-tw9td1qy6l День тому +4

    Watching from Kenya,tuweni makini maana hatujui siku wala saa ya kuja kwake Yesu 🙏 tunaweza sema mmoja ni mkweli kuliko mwengine lakini siku moja yaja😂😂 hukumu itamkuta kila mtu..lets be wise 🙏

    • @GraceMuthoni-nz3fh
      @GraceMuthoni-nz3fh День тому

      Apo umenena

    • @kelvinmbogela4718
      @kelvinmbogela4718 День тому

      Kuwa makini haimaanishi kutosema kweli ya Kristo. Acha aseme kilichosahihi kwani yeye hayuko responsible kwako bali kwa anayemtumikia

  • @user-dt5wp5qo4n
    @user-dt5wp5qo4n 2 дні тому +3

    Nabarkiwa kwa mafundisho yako mchungaji pascal,mungu akupe maisha marefu,

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 4 дні тому +9

    Paschal YESU akutunze tu.nakwel hatuchangamani.

  • @EnockMatembele
    @EnockMatembele 2 дні тому +4

    Mungu akubarik sana mjoli wa Bwana,, akupe nguvu na maono Zaid amen

  • @ruthhamisi2902
    @ruthhamisi2902 4 дні тому +21

    Yesu anarudi jamani, tusaidiane, ukiona mwenzako anaenda tofauti na maagizo, na amri za mungu ,tuonyane sisi kwa siku,Mungu baba anatupenda sanaa

  • @Franckmulaj-Officiel
    @Franckmulaj-Officiel 4 дні тому +13

    Ni mapepo muchafu inawaongoza awa wantu, brother pascal,ayifayi kumwita ule kijana pasta,asistahili ,kwitiwa pasta.

  • @EvarineMdaki
    @EvarineMdaki 3 дні тому +3

    Pastor Casian. Be blessed. Endelea kuihubiri KWELI.

  • @PeterSimoni-th2re
    @PeterSimoni-th2re 6 годин тому

    Kifupitu mtumishii miniko nanyimbo zako zotee napenda sana unachokihubiri kupitia njia ya nyimboo Mungu akubarikii

  • @bahatadof5543
    @bahatadof5543 4 дні тому +12

    Hivi Toni ni mtumishi wa Mungu au inspirational speaker ili baadae awe Mwana siasa

    • @ShawnBeatz
      @ShawnBeatz 4 дні тому +1

      umeona mbali sana! religion sikuizi ni stepping stone tu!

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 4 дні тому

      Mwanasiasa yukoje na muhibiri yukoje,siasa ni kuleta Maendeleo kwa watu bila kuumiza wengine na kutaza kufanya mabaya hali kadhalika dini ni vivyo hivyo

    • @mshindimpangala731
      @mshindimpangala731 3 дні тому +4

      Man of God,kama humuelewi mtu anae sema yeye ni mtumishi wa Mungu kwa kukosa mafunuo,nyamaza usiseme vitu huna uhakika.....laana nyingne zinaepukika

    • @SisterDuu
      @SisterDuu 2 дні тому +2

      Uko busy kujadili maisha ya mutu wakati maisha yako mwenyewe ya nakushinda unaacha kushuulikia ndoa yako au watoto wako wewe uko busy kujadili mutu

    • @obbytouchez_pro9430
      @obbytouchez_pro9430 2 дні тому

      🤗​@@SisterDuu

  • @ZakayoKalinga-nq5qy
    @ZakayoKalinga-nq5qy День тому +1

    Ubarukiwe na Mungu sanaa MWalimu @Cassian

  • @theonestrenatus954
    @theonestrenatus954 3 дні тому +4

    Mungu akubariki sana Cassian umenena vyema sana, sasa wahubiri wanaangalia pesa tu

  • @Pendopasilika
    @Pendopasilika 4 дні тому +10

    Amen ameni tena ameni nabarikiwa mno MUNGU wa mbinguni akutunze baba

  • @ruthhamisi2902
    @ruthhamisi2902 4 дні тому +5

    Mungu anatumia watu wake, kuonya na kurekebishana ili sote tuende mbinguni, hapendi tuanze vizuri na tumalize vibaya anaumia sana mungu baba, sababu anatupenda saaaana kama baba

  • @alicejohn2567
    @alicejohn2567 2 дні тому +6

    hello handsome😂 kabla hujasema zaidi kuhusu PT naomba pitia shuhuda za siku ya alhamisi😊 ubarikiwe mtumishi

    • @RyanElias1
      @RyanElias1 2 дні тому +1

      God Bless you my Sister……………. They dont understand what we learn Yet

    • @alicejohn2567
      @alicejohn2567 День тому

      @@RyanElias1bado hawajajua jmn natamani wapitie mafundisho ya PT mimi yamenibadilisha maisha yangu kwa asilimia zote kabisa maana yeye anafundisha mtu ujielewe na ujue kujiombea na kuweka imani katika kila unalofanya… watu wengi wanapenda mambo ya miujiza ya kuwekewa mikono lakini sisi watu wa mkuyuni tunaamini katika kufunga na kujiombea wenyewe katika kila tunalofanya

  • @princenelsonsinko5237
    @princenelsonsinko5237 3 дні тому +7

    2Wakoritho 6:4 bali katika kila neno tujipatie sifa njema, kama watumishi wa Mungu; katika saburi nyingi, katika dhiki, katika misiba, katika shida;
    14 Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza?
    15 Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye asiyeamini?
    16 Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.
    17 Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha.

  • @ev_abediespoir490
    @ev_abediespoir490 4 дні тому +2

    Ameeeeen!!! Mtumish wa Mungu, lihubirini neno, Onya, karipia na kukemea pia. Natumai Mungu wa mbinguni yupo pamoja na ww

  • @jovettedenise2591
    @jovettedenise2591 3 дні тому +9

    Mungu akupe uvumilivu na mwoyo mugumu manaa hiyi kazi ningumu sana❤️❤️❤️

  • @PastorVitalisSheshe
    @PastorVitalisSheshe 4 дні тому +12

    Pastor tonny haowatu achananao.Kama umeshindwa kuwahubiria injili ya kuwaleta acha

  • @Loyalnaxhon
    @Loyalnaxhon 22 години тому

    Amenii mpendw fanya kazi ya MUNGU Na ss watumw wa mungu tunaomb mungu atup nguv ya kuijua kwel

  • @jelemiamkudiso4660
    @jelemiamkudiso4660 3 дні тому +2

    Amen barikiwa Sana mtumishi wa Mungu. Ni sahihi kabisaaa Mungu atusaidie sana tupone

  • @anordchaula3458
    @anordchaula3458 4 дні тому +4

    Ubarikiwe mtumishi. naona injili za Paulo zinarudi Mungu wa Mbingu na nchi amrudishe huyo pastor kwenye mstari naona waz anaptea

  • @alexandernyambo7739
    @alexandernyambo7739 3 дні тому +4

    MUNGU AKUBARIKI BRO CASIAN.... WEWE NI POLISI WA KIROHO. NAKUOMBEA SANA NA NAKUPENDA SANA KWA UKWELI WAKO WA 100%

  • @tulimwaipopo-eq3be
    @tulimwaipopo-eq3be 2 дні тому +3

    Baba Mungu akukumbuke hatuwezi kufanya ibada pamoja sio kwelivijana wetu walianza vizuri wanamaliza vibaya

  • @zubedagadson2220
    @zubedagadson2220 День тому +1

    MUNGU akutunze mno baba umeongea ukweli kabisa😢💯

  • @linahchrissy7574
    @linahchrissy7574 День тому +1

    Mungu akubariki sanaa

  • @SuzanneMyles
    @SuzanneMyles 5 годин тому +1

    😢😢😢😢God katikati ya ghadhabu kumbuka rehema😢❤

  • @GloryLubango-tv4hd
    @GloryLubango-tv4hd День тому +2

    Hubirini injiri, msikae kukosoana, Nan kasema nn au kafanya nn, tunamuda mchache Yesu yukaribu kuja, na Kama mkristo mwenzako kakosea ungemfata binafsi na sio kutuhubiria sis kumuhusu, unapohubiri ww hubiri kweli ya MUNGU watu wamjue MUNGU na wajue kupambanua kila mmoja Kwa binafsi yake kupitia Roho mtakatifu, mfate umwambie Kwamba ndugu yangu Hapa unakosea

  • @hanagango6922
    @hanagango6922 23 години тому

    Amina mtumish wa mungu 🙏 MUNGU azid kukutia nguvu ya kukemea wanaopotosha neno la mungu

  • @dnewztz
    @dnewztz День тому +1

    Akiwa mbishi amuulize Godluck Gozbert na ule wimbo wake wa amenyoa Denge.
    Baada ya pale kila akijititutumua hola.
    Mungu sio wa Utani

  • @JohnMfundo
    @JohnMfundo 3 дні тому +3

    Mungu akubariki sana mtumishi pascal casian

  • @BEATRICE-ge7ff
    @BEATRICE-ge7ff 3 дні тому +2

    Hii ndiyo injili sasa mbarikiwa sana mtumishi wa mungu

  • @SophiaThadei-hx4wd
    @SophiaThadei-hx4wd 3 дні тому +4

    Asante Sana maana me mafundisho anayoyafundisha huaga siyapokeagi vzur roho yangu inakataaga kabisa yani

    • @mslady5824
      @mslady5824 День тому +1

      😂😂😂Ukiona hivyo ujue hakuna ujumbe uliotumwa kwa ajili yako kupitia yeye.

  • @phillipowwilliam1131
    @phillipowwilliam1131 День тому +1

    Acha kuponda watumishi wewe siku ya mwisho ukifika mbinguni hautaulizwa uliwaponda watumishi wangapi utaulizwa, how many souls have you win so sir I respect you go and win souls, achana na watumishi maana haujui wamewekewa reveletion gani

    • @stevenalex9121
      @stevenalex9121 День тому

      Wewe revelation ya Paschal unaijua? Je kama hicho anachokifanya ndio revelation yake

  • @eliyakabuje9522
    @eliyakabuje9522 5 годин тому

    Ubarikiwe sana mtumishi yaan Asante sana YESU nisaidie 😭😭😭

  • @user-ep9by3ui1v
    @user-ep9by3ui1v 2 години тому

    Pôle na kazi kaka 🤝🙏

  • @user-gr9wc7bc2m
    @user-gr9wc7bc2m 4 дні тому +62

    Hawa vijana wana siri kubwa sana mwanzo alianza vizuri sasa hivi amejifunua enyi mliohama tag eagt holiness klpt rudini haraka mnapotea watoto wetu

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 4 дні тому +5

      Sana yaani walidanganya wenginila sasa YESU KAWAUMBUA

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 4 дні тому +6

      Wapentecost nao siku hizi ni wajanja wajanja tu,wanavaa kama wadunia na vibinti malaya malaya ndiyo viimba choir,

    • @estermathias8354
      @estermathias8354 3 дні тому +1

      ​@@FridayMwassani kweli kbs.lkn sio wote ila wengi wao mmhhh

    • @jemedalimwakalundwa3520
      @jemedalimwakalundwa3520 3 дні тому

      Ko eagt irudi kwa tag

    • @user-tt7cu2et1x
      @user-tt7cu2et1x 3 дні тому +3

      Kwan jamn pastor ..kapola kavamiwa na roho chafuuu.. wallah alkua mzurii saana at maandiko...na alkua anasema ukweli..saah ameshakuwa naye Christina shusho dah😢😢😢😢

  • @joannekesa1835
    @joannekesa1835 4 дні тому +2

    Amen amen ubarikiwe mtumishi wa MUNGU

  • @UswegeRichard
    @UswegeRichard 5 годин тому

    aty mzee wa wachaw 😂😂😂 nani mwingine kasikia hili neno😅 gonga like

  • @cydrahope5251
    @cydrahope5251 20 годин тому

    Wewe unayedhani umesimama angalia ......... I respect anointing ya Kapola God keep you man of God 🙏 hata Yesu alikosolewa sana na mafarisayo 😅

  • @EliasGervasMahega
    @EliasGervasMahega 17 годин тому

    Mungu akutunze nakukutetea katika huduma nuru yakoizidi kung'aa

  • @loveandrew9694
    @loveandrew9694 2 дні тому +3

    Kwani Tony ni pastor!mi namuona kama motivational speaker.....anachohubiri sio Habari za wokovu na kwenda mbinguni....

  • @peterclaud-fm2ty
    @peterclaud-fm2ty День тому +1

    nabarikiwa

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 4 дні тому +2

    God continue exposing the bad apples 🍎 to the body of Christ. Too much love of money is root of all evil. God you never fail to me by ashamed my anemias, thank lord for answering my preyer, mtawajua kwa matendo yao.yangu macho, asante kwa kuinua watu kuongea on my behalf. Inua wengine ili jina lako lisije likatukanywa.

    • @Maryc2G
      @Maryc2G 4 дні тому

      God never fail me. Correction on my abave statement 😅😅😂😂😂 yangu macho na maombi👀👀👀👀

  • @ukweliwanenokatikahili7526
    @ukweliwanenokatikahili7526 День тому

    Shida Sana , Mtumishi Mungu akutunze

  • @EstherYoram
    @EstherYoram 4 дні тому +6

    Nia yake iliyojificha inajitokeza taaaaaratibu ,na tabia ya mtu ijifichayo nikama spring ilijibana,kwahiyo kadiri muda ukisogea hujiachia.

    • @user-tt7cu2et1x
      @user-tt7cu2et1x 3 дні тому

      Cha MUNGU kinaonekana tu..at kma kitachelewa vilevile n ibilis kaz yake itaonekna

  • @zaralsham3257
    @zaralsham3257 День тому

    Mungu tutie nguvu safari ya mbinguni ni Ngumu sana Mungu atusaidie tuanze na roho tumalize na roho😢,, niwengi walianza na roho ila sas wamejikuta wanamaliza na mwili😢

  • @alinependo-bk4jj
    @alinependo-bk4jj День тому

    Kweli shetani yupo kazini Mungu tusaidie

  • @user-ep8ob5ty3e
    @user-ep8ob5ty3e 7 годин тому

    Roho ya bwana iko juu yako mtumishi wa Mungu

  • @user-zj9op4fb7w
    @user-zj9op4fb7w День тому

    Sijui Yesu akirudi itakuaje? maana watu wanaanza vizuri badae wananichanganya vibaya mno...Mungu akulinde Casiani

  • @user-oc9gb6jv6o
    @user-oc9gb6jv6o 3 дні тому +1

    Ukweli tupu pastor, mungu akubariki.

  • @salima2658
    @salima2658 4 дні тому +10

    Pasta tonny alianza vizur lakini asa iv kabadilika

    • @priscillahpolepole8427
      @priscillahpolepole8427 3 дні тому +1

      Baada ya kuja ubert angel naona ndipo alipoangukia na anamwita baba yake wa Imani.

    • @annewanjiru818
      @annewanjiru818 3 дні тому +2

      True, mimi nilimskiza pastor Tony first time in 2020, na alikuwa mnyenyekevu sana, na alihubiri kwa spirit. But nikajikuta sina hamu tena kuskiza mahubiri kutoka kwake🇰🇪

    • @user-sb7lz9xp4v
      @user-sb7lz9xp4v 3 дні тому

      Ameanzaa kulewa sifa ndio maana

    • @veeJesus
      @veeJesus 2 дні тому

      Acha inafiki ujawahi kumskiliza tony. Watu wa tony hawajawahi kuhama​@@annewanjiru818

    • @BenMudy
      @BenMudy 2 дні тому

      Mbona wengine tunamuelewa na tunafata mafunzo yake mazuri na tunaacha mabaya yake cus hakuna aliyekamilika

  • @user-cl5yq6ne3q
    @user-cl5yq6ne3q День тому

    Ubarikiwe sana kasiani kwa kytufichulia haya masheta pia yashindwe kwa jina la Yesu na huo upumbavu wao

  • @zyonhopefaith3692
    @zyonhopefaith3692 3 дні тому +13

    Daah Ila mafundisho ya Pastor tonny.... Huwa nayapenda hunipa ujasili Sana...... Hasa kwenye Biashara Huwa najiamini na kuwa huru....

    • @veeJesus
      @veeJesus 2 дні тому +4

      Naomba nikushauri. Mfuate Pastor Tony usiwaskilize hawa mbweha wanaacha kuhubiri injili wanamuubiri Tony

    • @AnnaJackson-zi3xe
      @AnnaJackson-zi3xe 2 дні тому +3

      @@veeJesusyaniiii seriously mtu anaandaa sermon kumcritisize mwingine🙌🏾🙌🏾🙌🏾did God sent these men to judge other ni huzuni kwanini usiplay nafasi yako , ubiri injiliii eeeeeiiiiiiiiiiiiiii looking at this fyuuuuuu

    • @upendoryobafrancis98
      @upendoryobafrancis98 День тому +1

      Naona ameandika pastor Tonny ili apate viewers alafu atangaze kununua vyombo. Maana kwenye ufalme wa Mungu ni kuutangaza ufalme sio kumkandamiza mmoja ili wewe ujiinue Yesu hakufanya hivi.

    • @teklaagustino
      @teklaagustino День тому +1

      Alafu muwe mnasikiliza kitu mwanzo mwisho ndio muwe mnalaumu mtu akikosea Kwan Ni vibaya kumkosoa

    • @kelvinmbogela4718
      @kelvinmbogela4718 День тому +1

      ​@@veeJesuskuna spiritual understanding ukikosa huwezikujua kipi sahihi na kipi sio. Usiite watumishi mbweha ikiwa kiroho chako hakijakomaa nakushauri tu mpendwa

  • @suzanalucasemanuel7006
    @suzanalucasemanuel7006 3 години тому

    Mungu atusamehe sana

  • @debyqueen1
    @debyqueen1 18 годин тому

    Mungu afungue macho ya roho jmn Mambo yanatisha.

  • @daudsospeter-zd3iy
    @daudsospeter-zd3iy 6 годин тому +1

    Ur need An extra Capacity and revelations kuelewa PT ameitwa kwaajili ya nani na kwaajili ya nini, and by the way Kwa muda Ambao nmemfahamu na kumfatilia, I have no ubishi, The man is Blessed 📌📌
    Wale mnaoanza kumfahamu Leo Acha muendelee kubishana Huku mitandaoni😅

  • @hopekatemba7861
    @hopekatemba7861 4 години тому

    Yesu aliufia ulimwengu mzima,Tony uzidi kwenda mbele

  • @user-gr9wc7bc2m
    @user-gr9wc7bc2m 4 дні тому +4

    Huyu pascal ameletwa na Mungu

  • @neemawasha8080
    @neemawasha8080 3 дні тому

    Mungu akulinze mtumishi Paschal.Mungu alikuleta duniani na kukuacha hai kwa ajili ya nyakati hizi ili Uonyeshe njia bila kupepesa macho.

  • @tajilimtoto5009
    @tajilimtoto5009 День тому +2

    Nikweli wanamakosq ila ungewaombeq wawe kama wewe au zaidi nasio kuwasema bila kuwaombeq anaeukumu ni mungu tu nao wewe🎉❤

    • @stevenalex9121
      @stevenalex9121 День тому

      Nini maana ya kemea, karipia onya?

    • @tajilimtoto5009
      @tajilimtoto5009 8 годин тому

      @@stevenalex9121 nani sasa Mungu au wewe usie kuwa na mbingu?

    • @AngelMyinga
      @AngelMyinga 7 годин тому

      Hajahukumu anakemea

  • @katarinaJ
    @katarinaJ 4 дні тому +7

    Watumishi wa baali.....wamejaa kila kona 😢

    • @Bambagatz
      @Bambagatz 3 дні тому

      Aisee sio mchezo, hayo ndo madhara ya kujichanganya na yale mataifa Mungu aliyokataza.

    • @clarissengeni8885
      @clarissengeni8885 День тому

      Wamejaa kweli ila Pastor Tony sio mmoja wao.

  • @fridberthahaule9489
    @fridberthahaule9489 День тому

    Hawa akina Natasha, christina shusho, pastor tony, libido ya wachawi na wengineo ndio wachungaji wa dini moja mpya ya dunia nzima nayoitwa chistislam, msishangae,unyakuo umekaribia sana wateule mzidi kujitakasa na wadhambi acha tu wazidi sana kuzitenda

  • @ndojes711
    @ndojes711 День тому +2

    Kukosoa sawa ila kusifia Aaaaaaaaaaah........ WATU TUMEOKOKA, TUMEACHA POMBE, SIGARA, Hutukuti Kidimbwi, hatukeshi COUNTER, saiv tunakesha LEADER'S CLUB kwa MUNGU hamuon hlo. MAN of GOD fundisha neno, acha kufundisha kupitia mifano ya huduma za watu 😢😢,. Ingia CHEMBA MUOMBEEEE KAM UNAHC ANAKOSEA,. Utakuw hauna tofauti na MAFARISAYO sas

  • @leontinebinlydi9459
    @leontinebinlydi9459 4 дні тому +1

    Mungu hakubariki sana mtumishi wa BWANA

  • @user-ru6ct4rh3t
    @user-ru6ct4rh3t 3 дні тому +3

    Hakika tunamtaka bwana na nguvu zake.

  • @mahomamahoma775
    @mahomamahoma775 3 дні тому +9

    Ukipata nafasi piamsikilize Mchungaji Abiudi na Ev Daniel kwa kweli utakuwa kiroho,utumishi wa kwelii ni kukemea dhambi,kuhubiri kuhusu toba na msamaha,Roho Mtakatifu na kumrudia Mungu.

  • @barakaMlay
    @barakaMlay 3 дні тому +2

    Ujamckiliza vizuri ukapata concept yake!!!..angalia uckute unapita apo nawewe update jina..

  • @siamuchunguzi
    @siamuchunguzi День тому

    Naam mtumishi wa Mungu aliye hai

  • @RamadhaniMusa-jg2cu
    @RamadhaniMusa-jg2cu 4 дні тому +5

    MAHUBIRI YAKIWASHINDA ,MSIHONE HAYA ;HACHENI .
    USIWATUMIKIYE MABWANA WAWILI ENYI WAGALATIYA ,...NANI KAWAROGA.😢😢😢😢😢😂😂😂😂
    AMAKWELI MUNGU ANACHEKA.

  • @user-tt7cu2et1x
    @user-tt7cu2et1x 3 дні тому +1

    Ton.anaanza kusifiaa wasanii wa dunia kma nabii mkuu no dev kisongo Arusha wanamsujudia kma mungu wao..na wakiweka nyimbo za Amonais na wengne wengi..wakicheza madhabahuni....n nabii wao

  • @aron2346
    @aron2346 4 дні тому +3

    umenena vyema safi sana

  • @waleedbahar5275
    @waleedbahar5275 3 дні тому

    Amina PST kuonyana c thambi ubarikiwe Sana mtumishi

  • @linahchrissy7574
    @linahchrissy7574 День тому

    Ee mungu nijalie mwisho .wema waokovu wangu 😢 Ameen

  • @wemasanga142
    @wemasanga142 День тому

    Na nyi mnamsikiliza huyu taila 🙄🙄🙄alie toroka freemason ya uongo 😂😂🙌

  • @EditingTrial01
    @EditingTrial01 3 дні тому +2

    Napenda unavyo pambania injili ya kweli

  • @yvonnewitandaye1873
    @yvonnewitandaye1873 3 дні тому +1

    Watu hawa mujui Yesu; Yesu arikuwa ni Mungu kati ya wanadamu •

  • @Madina-u5g
    @Madina-u5g День тому

    Amen kbs iko kwel unaongea

  • @neemamsanga253
    @neemamsanga253 3 години тому

    😭😭😭 Kwa Sasa hata Mimi simuelewi baadhi ya ma pastor wanapotosha sana watu😭😭😭

  • @JohnsonAzaliya
    @JohnsonAzaliya День тому

    Ni Kweli Huenda anakosea Lakni Inapaswa Kumuombea Na Kumuonya Wewe Na Yeye Ila sio Kumuonya Ivi public Sio Jambo La Upendo Wa kiMungu Anayotaka Uyo Ni Mtumishi Mwenzio Wa Mungu Then Usihukumu Usije Ukahukumiwa Kikubwa ni KUWAOMBEA Hawa Watumishi Ili Waje Kusimama Kama Wewe 🙏

  • @user-xj8jq7ne8r
    @user-xj8jq7ne8r 4 дні тому +5

    Uyo tony amepotelea kwenye utafutaji wa pesa, mungu amusaidue

  • @NnalaNsangalufuMwangati
    @NnalaNsangalufuMwangati 3 години тому

    Yes is true pastor