Hakuna muda wakubembeleza mwenye sikio na asikie usije sema huku sikia kama unatenda dhambi acha dhambi tubu na umpokee YESU kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako utaokoka. YESU ndiye njia ya kweli na uzima mtu hawezi kwenda kwa Baba bila kupitia yeye. Usipokubali kuokoka ni jehanamu
Mtumishi wa Mungu unahumbiri vyema kabisa unaongea kulengana na mungu anavyo sema katika Biblia❤❤❤❤❤❤barikiwa sana Pastor Mungu azidi kukupa hekima na marifa zaidi, ambao hawajaelewa waelewe kwa jina la Yesu kristo ❤❤❤❤❤❤❤
Ukweli ni huu amini nawambia saut aitojirudia tena masikioni mwako usiposikia ujumbe huu ukaufanyia kazi utalia na kusaga meno, emen mungu akutie nguv mtumishi
Hata Yesu Bwana wetu alianza kuabudu hekaluni na katika sinagogi baafaye akalijenga kabisa kupitia wanafunzi wake ikiwa ni kazi ya Mungu itasimama tuu katika hari zote ikiwa ni kazi ya shetani itaanguka tuu Ubarikiwe Mtumishi Pascl
Mchungaji Mungu akubariki sana sana unasaidia kuukomboa ulimwengu, watu tunapotoshwa na watumishi wa uongo paka tunakosa tumaini kabisa ila wewe ndie mtumishi wa Mungu wa kweli, unaesema ukweli na kufichua Siri nzito zilizifichika za manabii wa uongo nakupenda sana mtumishi na naikubali sana kazi Yako Mungu akuzidishie Maisha marefu yaliyojaa neema nyingi Ili uzidi kuikomboa Dunia 🙏🙏🙏
Nitaingia MBINGUNI kwa kishindo, hata Dunia nzima irudinyuma mimi siwezi...nampenda YESU KRISTO PEKEE ndani ya moyo wangu....kisu kipite shingoni, lakini MBINGUNI niingie...Dhambi ndiyo kizuizi cha Mwanadamu kwenda mbinguni, kuwa mtakatifu sana mpendwa ...1petro 1:15-16, waebrania 12:14...
Amina mtumishi wa Mungu, unayoyafundisha yanaendana kabisa na anayofundisha mtumishi wa Mungu mwakasege, mfano kuna lile somo la....(mpe Mungu moyo wako auandae kwa yanayokuja)...Mwenye sikio na asikie,Mungu atusaidie,,Wa Kristo wenzangu tuamke
Mungu aturehemu sana. Tayari inaendelea na iko wasi ni Mungu atutie nguvu watakatifu wote duniani tusimame katika kweli yake tusimuasi Mungu. Yote aliyotabiri Bwana Yesu yametimia. Mungu awe pamoja nawe mtumishi kwa kazi hii nzuri.
Nakuunga mkono hakika..maana ni watu wengi wasioweza kufasili habari za mnyama... asante MTUMISHI WA MUNGU ALIYE HAI... ALIYE NA SIKIO NA ASIKIE AMBAYO ROHO AYAMBIA MAKANISA
Mwenyezi MUNGU akutie nguvu mtumishi wake, maana watumishi wengi hawalijui hili japo kuwa MUNGU mwenyewe amesema sana na wateule wake!... Huu sio muda Wa kuangalia dini wala dhehebu, sikiliza ujumbe na kuufanyia kazi muda umekwisha.
Mtumishi wa Mungu Mungu akubariki aweke ulizi juuyako maana maaduwi niwengi unavofichuwa Siri hizo Mungu akubariki na Mungu atufikishe salama huku tuendako!
Mungu akutunze Mtumishi..nakufuatilia sn, mafundisho Yako,tunaomba Mungu akuwezeshe utuandalie Somo la Jinsi ya kulishinda Hilo pambano,tufanye nini kama wakristo,na ikitokea tangazo la dini Moja,tupo makanisani, tufanye nini?tutaabudu wap? tunaomba utuandalie Jinsi ya kulishinda Hilo pambano la mwisho. SoMo la la tangazo la kifo kwa Wacha Mungu limenifungua macho,kweli inaogopesha Mungu tusaidie tu
Neema ya mungu iwe juuyako mtumishi wa mungu tupo vijana wenye kutamani kuujuwa ukweli mungu akupandishe viwango nasi tupate kuelewa zaidi k.t.k jina la yesu
Ndio maana ninapoona wakristo wamejazana kwenye mikutano ya kina Mwamposa ninalia kwamba njaa ya neno ni kubwa sana. Watu wanafuata udanganyifu wa miujuza, njia ya upotevu ni pana na ni wengi waipitayo njia ya mbinguni ni nyembamba waipitao ni wachache
Ubarikiwe mtumishi kwa kweli hizi ipo vita ya ibaada nani aabudiwe kati ya Mungu na. Shetani Tunakoelekea na harakati zishaanza ni kwamba jumapili inaenda kutangazwa kuwa siku maalum ya ibaada na ni lazima ukibisha kifo kinakuhusu Kwann ni lazima: kuna siku ya ibaada ambayo Mungu aliiweka kwetu sisi wanadamu nayo bili kuficha ni jumamos ndiyo siku inayomtukuza Mungu wa mbinguni na kumtambulisha kuwa ndiye muumbaji wa mbingu na nchi Kwa sababu ibilis naye anataka aabudiwe ameweka siku yake kwa wanadamu ambayo ni jumapili na mpaka sasa taratibu zinaendelea jumapili kuwekwa rasmi ni lazima uabudu katika siku hiyo hutaki kifo Lengo ni kuitoa sabato ya kweli inayomtukuza mungu na kubakiza inayomtukuza ibilisi Hizi agenda sasa ni kutafuta sababu mfano kuna agenda juu ya uchumi Kwamba eti watu wanakuwa na siku nyingi za kupumzika hawafanyi kazi hivyo uchumi unashuka iwekwe sasa siku moja ili watu wafanye kazi Ila ukweli sio hoja ni namna tu wapate kukubalika na habari yao ya kusimika jumapili kama siku ya ibaada na nyuma ya hili yupo ibilisi mwenyewe kwa kutumia mawakala wake hasa kanisa katoliki kwa uongozi wa papa.
Kuhubiri unahubili lakini wewe nawe unaisujudia sanam ya mnyama bado upo kundi hilo tuuuh fanya uamuzi wewe kwaajili ya neema uliyo pewa na Bwana ukweli unao uchaguzi niwako usiwendeele kudanganya watu ingali unajua utakinywea kikombe chaazabu Bwana akubariki ufanyapo maamuzi 🙏🙏🙏
Kuna wakati nahisi Yesu alisharudi Ila sasa nikijiona nipo humu na mimi 😢 huwa naogopa sana. Tupambane sana sana maana kuumbe kwa upande mwingine utajiri wa wasiomjua Mungu ni sawa na kumwaga maji katika Gunia.... Hata na mataifa makubwa!
Neema ya mungu iwe juu yako mtumishi wa mungu tupo vijana tunao tamaani kuwelewa haya mungu akupandishe viwango nasi tupate kuelewa zaidi k.t.k jina la yesu
Samahani..mtumishi wa mungu nisamehe kama ntakukosea niushauritu na pia mungu naomba anisamehe pia .unajua kunawachungaji feki wanatumia lugha yaupole hadi wanajikta wamejaza watu kwenye makanisa yao..unaonaje mtumishi wa mungu ukipungza ukali fanya kama unazngmza kwa lugha ya upole nahsi itakuwa njia nzri yakuwaenezea watu ukwer wa mungu wetu alie hai maan naona manabii wauongo wanatumia lugha laini kuwashawishi watu nahsi na ww ungetumia hyo lugha lain nahsi wengi ujumbe ungefka kwa watu weng zaid..nisamehe lkn kama ntakua nimekukosea mtumishi nia yngu nataka huu ukwer uwafkie watu weng kwa haraka..niushauritu mtumishi wangu..
Brooo yesu ajaja kuleta ulegevu maana siku akirudi atawatenganisha wake na wasiowake kama mchungaji anavyowabagua kondoo na mbuzi. We tambua anaeongea ni roho wa Mungu ndani yake juu ya uasi uliokithiri hivyo, sio kinyonge maana Mungu sio mnyonge na mbinguni hakitaingia kinyonge.ubarikiwe.
Kabisa saiz ni kusimama na Ile kweli, mambo Yako spidi Sana , umoja wa manabii uko motooo makongamano Kila ski vikao na wachungaji wetu hawajui Nini lipo nyuma ya pazia😭😭 Mungu utusaidie njia n nyembamba iendayo uzimani
@@regnaldymambaly9880 kanisa ndio litakalo waweka sawa na ndio maana bilblia inasema YESU ALILIFIA KANISA SIO haikusea ukweli HVYOOOO KANISA NDILO HUBEBA UKWELI kalitafte hilo kanisa
Hakuna muda wakubembeleza mwenye sikio na asikie usije sema huku sikia kama unatenda dhambi acha dhambi tubu na umpokee YESU kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako utaokoka. YESU ndiye njia ya kweli na uzima mtu hawezi kwenda kwa Baba bila kupitia yeye. Usipokubali kuokoka ni jehanamu
God bless your brother❤
Unabii huu sio watumishi wengi wanauelewa Mungu akubariki sana bro this massage is so powerful
Mtumishi wa Mungu unahumbiri vyema kabisa unaongea kulengana na mungu anavyo sema katika Biblia❤❤❤❤❤❤barikiwa sana Pastor Mungu azidi kukupa hekima na marifa zaidi, ambao hawajaelewa waelewe kwa jina la Yesu kristo ❤❤❤❤❤❤❤
Ukweli ni huu amini nawambia saut aitojirudia tena masikioni mwako usiposikia ujumbe huu ukaufanyia kazi utalia na kusaga meno, emen mungu akutie nguv mtumishi
Ahsante sana mtumishi.
Mambo hayo yamehubiriwa sana na wasabatho(SDA).ila wengi hawakutilia maanani.
Time will tell.
Hata Yesu Bwana wetu alianza kuabudu hekaluni na katika sinagogi baafaye akalijenga kabisa kupitia wanafunzi wake ikiwa ni kazi ya Mungu itasimama tuu katika hari zote ikiwa ni kazi ya shetani itaanguka tuu Ubarikiwe Mtumishi Pascl
Mchungaji Mungu akubariki sana sana unasaidia kuukomboa ulimwengu, watu tunapotoshwa na watumishi wa uongo paka tunakosa tumaini kabisa ila wewe ndie mtumishi wa Mungu wa kweli, unaesema ukweli na kufichua Siri nzito zilizifichika za manabii wa uongo nakupenda sana mtumishi na naikubali sana kazi Yako Mungu akuzidishie Maisha marefu yaliyojaa neema nyingi Ili uzidi kuikomboa Dunia 🙏🙏🙏
Na huyu pekee ndo anasemaga ukweli hao wengine wanatafta hela na miujiza ya uongo😢😢😢😢
ubarikiwe utalipwa fanya kwa zamu yako ubarikiwe sana mungu ata kuacha
Nitaingia MBINGUNI kwa kishindo, hata Dunia nzima irudinyuma mimi siwezi...nampenda YESU KRISTO PEKEE ndani ya moyo wangu....kisu kipite shingoni, lakini MBINGUNI niingie...Dhambi ndiyo kizuizi cha Mwanadamu kwenda mbinguni, kuwa mtakatifu sana mpendwa ...1petro 1:15-16, waebrania 12:14...
Amina
Mungu akubariki saana mtumishi, Baki na msimamo huo huo Yesu ndiye njia
Amen 🙏
0:24 @@ControlRoom-q1s
Amen Amen
Ni vizur usimame kwenye kweli ingia sabato ili uwe sawa na mitume na mtumishi halali wa mungu
Hmm.. Hallelujah Glory!😢😢
Kwakweli Yatupasa Kama Kanisa Tushikamane Sana ibilisi Asipate Nafasi Kwa Jina La YESU!
Ubarikiwe sana walio wake wanaelewa unachokizungumza ,mungu atupe mwisho mzuri tumlaki mungu
Amina mtumishi wa MUNGU Asante Kwa ukweli huo wahubiri wengi hawahubiri hii enjili ya kweli, mwenyezi mungu akutunze Amina
This is the fact
God bless you
Amina mtumishi wa Mungu, unayoyafundisha yanaendana kabisa na anayofundisha mtumishi wa Mungu mwakasege, mfano kuna lile somo la....(mpe Mungu moyo wako auandae kwa yanayokuja)...Mwenye sikio na asikie,Mungu atusaidie,,Wa Kristo wenzangu tuamke
🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu aendelee kukuinua zaidi BABA
Amen. Ile Jo kweli Mungu akutiye nguvu,
Mungu wangu abariki sana tena sana Mtumishi kwa kweli dunia yote watu wangeishi neno hii kabla kanisa kunyakuliwa!
Asante Mungu baba kwa kutupatia mtumishi Paschal cassian❤❤
Ameen.mtumishi wa Mungu wape watu kwel ya Mungu na utakiwa umefanya sehemu yako
Mungu aturehemu sana. Tayari inaendelea na iko wasi ni Mungu atutie nguvu watakatifu wote duniani tusimame katika kweli yake tusimuasi Mungu.
Yote aliyotabiri Bwana Yesu yametimia.
Mungu awe pamoja nawe mtumishi kwa kazi hii nzuri.
Mungu akubariki Sana kwakusema ukweli, uwe na umli mlefu Mungu akutumie zaidi
Nakuunga mkono hakika..maana ni watu wengi wasioweza kufasili habari za mnyama... asante MTUMISHI WA MUNGU ALIYE HAI...
ALIYE NA SIKIO NA ASIKIE AMBAYO ROHO
AYAMBIA MAKANISA
Mungu akubariki sana binafs nakufuatilia sana pastel pascal ubarikiwe
Ubarikiwe mutumishi wa Mungu Tuna kufata vizuri saana
Piga kelele askari wa bwana ❤❤🙏🙏🤝
Mwenyezi MUNGU akutie nguvu mtumishi wake, maana watumishi wengi hawalijui hili japo kuwa MUNGU mwenyewe amesema sana na wateule wake!... Huu sio muda Wa kuangalia dini wala dhehebu, sikiliza ujumbe na kuufanyia kazi muda umekwisha.
Mungu azidi kukubariki.ayo njo mahubiri tunayo itaji kwa sasa. Abari za baraka zinesha tuchosha🙏🙏
Mtumishi wa Mungu Mungu akubariki aweke ulizi juuyako maana maaduwi niwengi unavofichuwa Siri hizo Mungu akubariki na Mungu atufikishe salama huku tuendako!
Nakupenda kaka Yangu ,God bless you❤
Akuowe bc
Mungu akutunze Mtumishi..nakufuatilia sn, mafundisho Yako,tunaomba Mungu akuwezeshe utuandalie Somo la Jinsi ya kulishinda Hilo pambano,tufanye nini kama wakristo,na ikitokea tangazo la dini Moja,tupo makanisani, tufanye nini?tutaabudu wap? tunaomba utuandalie Jinsi ya kulishinda Hilo pambano la mwisho.
SoMo la la tangazo la kifo kwa Wacha Mungu limenifungua macho,kweli inaogopesha Mungu tusaidie tu
Neema ya mungu iwe juuyako mtumishi wa mungu tupo vijana wenye kutamani kuujuwa ukweli mungu akupandishe viwango nasi tupate kuelewa zaidi k.t.k jina la yesu
Mungu wetu unayajua yeyote yule anayeenda kinyume na maadili ya mwenyezi MUNGU tunaenda kupinduapindua hila za shetani kwa jina la Yesu Kristo.
Safi
Sanamu ya mnyama -umoja au muunganiko wa makanisa
Alama ya mnyama-jumapili
Ubarkiwe sana pastor
Mungu azidi kukutumia katika kutuelimisha na kutufundisha neno la Mungu
Nakukubali sana pasta ,,,,,nakupata inchini mozambiq
Eee Mungu uturehemu Na umlinde mtumishiwako na mabaya yote na umpeujasiri wa kufunua sirihiii iliwatu watubu Na kukujua Yesu,uliyeMungu.
Mungu azidi kukutunza Asante Kwa ujumbe mzuri.
Ndio maana ninapoona wakristo wamejazana kwenye mikutano ya kina Mwamposa ninalia kwamba njaa ya neno ni kubwa sana. Watu wanafuata udanganyifu wa miujuza, njia ya upotevu ni pana na ni wengi waipitayo njia ya mbinguni ni nyembamba waipitao ni wachache
Ubarikiwe mtumishi kwa kweli hizi
ipo vita ya ibaada nani aabudiwe kati ya Mungu na. Shetani
Tunakoelekea na harakati zishaanza ni kwamba jumapili inaenda kutangazwa kuwa siku maalum ya ibaada na ni lazima ukibisha kifo kinakuhusu
Kwann ni lazima: kuna siku ya ibaada ambayo Mungu aliiweka kwetu sisi wanadamu nayo bili kuficha ni jumamos ndiyo siku inayomtukuza Mungu wa mbinguni na kumtambulisha kuwa ndiye muumbaji wa mbingu na nchi
Kwa sababu ibilis naye anataka aabudiwe ameweka siku yake kwa wanadamu ambayo ni jumapili na mpaka sasa taratibu zinaendelea jumapili kuwekwa rasmi ni lazima uabudu katika siku hiyo hutaki kifo
Lengo ni kuitoa sabato ya kweli inayomtukuza mungu na kubakiza inayomtukuza ibilisi
Hizi agenda sasa ni kutafuta sababu mfano kuna agenda juu ya uchumi
Kwamba eti watu wanakuwa na siku nyingi za kupumzika hawafanyi kazi hivyo uchumi unashuka iwekwe sasa siku moja ili watu wafanye kazi
Ila ukweli sio hoja ni namna tu wapate kukubalika na habari yao ya kusimika jumapili kama siku ya ibaada na nyuma ya hili yupo ibilisi mwenyewe kwa kutumia mawakala wake hasa kanisa katoliki kwa uongozi wa papa.
Haaa Mungu wangu kumbee me nimepata kitu ambacho sijawahi elewaa asante baba
Ubarikiwe mutumishi wa Mungu au nom de Jésus Christ de Nazareth 🇨🇩🇨🇩
Mungu akusaidie sana na akulinde na maadui hata wanao kukashifu kwenye hizi comment Mungu awafunue sana
Kuhubiri unahubili lakini wewe nawe unaisujudia sanam ya mnyama bado upo kundi hilo tuuuh fanya uamuzi wewe kwaajili ya neema uliyo pewa na Bwana ukweli unao uchaguzi niwako usiwendeele kudanganya watu ingali unajua utakinywea kikombe chaazabu Bwana akubariki ufanyapo maamuzi 🙏🙏🙏
Amina. Mtumishi
Kwasasa. Hatujui. Ninani. Ndiye. Sahihi. Wote. Mnafundisha. Kuhusu. Mungu
Jesus Christ am with you always 🇰🇪🙋🏼♀️💃🎤iwill never betray you Jesus forever🇰🇪🙋🏼♀️💃🎤
Mungu a kubariki mtumishi wa mungu,huu ni ukweli mtupu.aliye na sikio na asikie
Kuna wakati nahisi Yesu alisharudi
Ila sasa nikijiona nipo humu na mimi 😢 huwa naogopa sana.
Tupambane sana sana maana kuumbe kwa upande mwingine utajiri wa wasiomjua Mungu ni sawa na kumwaga maji katika Gunia....
Hata na mataifa makubwa!
Mungu akubariki sana mtumishi
Barikiwa Sana Mungu tuhurumie
Mwenyezi mungu akutunze mtumishi wa MUNGU Asante Kwa ukweli huo wahubiri wengi hawahubiri hii enjili,❤
Sasa mtumishi umesema utatuambia wanatukamataje lakini hujaseama sabb tumejisajili mtandaoni
MTUMISHI TUFANYE NINI ? WATOTO WATAPONAJE?
Barikiwa sana mtumishi wamungu 🙏
Nakuelewa sana mtumish wa Mungu,Ubarikiwe Kwa ujumbe huuu
Mungu akulinde mtumishi wa mungu hakika napenda wimbo wako fremason nabalikiwa sana
Mungu akusaidie kwani ni wengi wanao kupinga mtumwa wa kristo.kaza imani kwani ni wakati wa kukataliwa na dunia mimi na wewe
Tuamke jamni , tuwaombee Watumishi wa Mungu kama hawa wanatufungua sana
😂😂😂😂
Amina na Amina
Neema ya mungu iwe juu yako mtumishi wa mungu tupo vijana tunao tamaani kuwelewa haya mungu akupandishe viwango nasi tupate kuelewa zaidi k.t.k jina la yesu
Mungu akubariki sana mtumishi 🙏🙏🙏
God bless your man(mtumishi wako)
Mwenyezi Mungu atusaidie tunapoishi katika hii dunia ya dhiki.
Mungu azidi kukutumia ili kufanyika jicho pevu kuerevusha ulimwengu.
Baba tufundishi tupone asa kwa Aya tumeanguka sanaaa😭😭😭 usiache🙏🙏🙏🙏
Mimi ninacho kijuwa ni tunaisha nyakati za mwisho. Yesu christo yu mlangoni
Jamani! Mungu akulinde kaka angu. Nakufatilia tangu BSS 2009. Lkn Mungu amekuinua kwa namna ya ajabu sana.
MUNGU 🙏 atusikie maombi yetu 🙏🙏maana paspo yeye sisi peke etu Hatuwezi
Amen mtumishi wa Mungu,nakuelewa unacho hubiri.Hakika mwisho ndio huu.
Mungu wa mbingu na nchi akutuze ili uendelee kupiga kazi ya mhubiri
Mtumishi huyu anaifundisha iliyokweli, neno halisi la Mungu, Mungu peekee anamlinda
Kiukweli twapaswa kulisoma neno na sio kusomewa wengi wao tunapenda kuaminishwa miujiza kuliko kufuata njia ya kweli na uzima
Amen begakwabega mtumish wa mungu❤
Tumuombe Mungu sana tu tubu na tuombe na bwana atupe maarifa na hekima (Muhubiri1:18)
Samahani..mtumishi wa mungu nisamehe kama ntakukosea niushauritu na pia mungu naomba anisamehe pia .unajua kunawachungaji feki wanatumia lugha yaupole hadi wanajikta wamejaza watu kwenye makanisa yao..unaonaje mtumishi wa mungu ukipungza ukali fanya kama unazngmza kwa lugha ya upole nahsi itakuwa njia nzri yakuwaenezea watu ukwer wa mungu wetu alie hai maan naona manabii wauongo wanatumia lugha laini kuwashawishi watu nahsi na ww ungetumia hyo lugha lain nahsi wengi ujumbe ungefka kwa watu weng zaid..nisamehe lkn kama ntakua nimekukosea mtumishi nia yngu nataka huu ukwer uwafkie watu weng kwa haraka..niushauritu mtumishi wangu..
Wewe shidaako ni nini,unasikiliza sauti ama unasikiliza ujumbe?
Yeye ni mwinjilisti,wao ni wachungaji.Na isitoshe Kila Mtu anawito wake
Hakuna ulele mama kwenye kazi ya Mungu kwa nyakati hizo ni za mwisho bro tumefika mbali 😢😢
Brooo yesu ajaja kuleta ulegevu maana siku akirudi atawatenganisha wake na wasiowake kama mchungaji anavyowabagua kondoo na mbuzi. We tambua anaeongea ni roho wa Mungu ndani yake juu ya uasi uliokithiri hivyo, sio kinyonge maana Mungu sio mnyonge na mbinguni hakitaingia kinyonge.ubarikiwe.
God bless you
Huyu ni kanisa gni mbona Kam msabato
wewe una angalia kanisa badala ya kuangalia ukweli anao usema kanisa halikusaidii kitu
Kabisa saiz ni kusimama na Ile kweli, mambo Yako spidi Sana , umoja wa manabii uko motooo makongamano Kila ski vikao na wachungaji wetu hawajui Nini lipo nyuma ya pazia😭😭 Mungu utusaidie njia n nyembamba iendayo uzimani
@@regnaldymambaly9880 kanisa ndio litakalo waweka sawa na ndio maana bilblia inasema YESU ALILIFIA KANISA SIO haikusea ukweli HVYOOOO KANISA NDILO HUBEBA UKWELI kalitafte hilo kanisa
Amen be blessed man of God
Amina mungu atusahidie maana tayari tumeshaanza kuyapitia
Mungu akubariki mtumishi
Nasisi tulioko nchi za magharibi 😢😢 miaka mi tatu ijayo tutajipanga kurudi Ma kwetu!
Yesu tusaidie tunaomba nguvu zako turemu huku chini ya jua,roho wako mtakatifu atufundishe,
Asante mtumishi wa Mungu. Kuhusu iyi simu ambayo lazma kila mtu awe nayo,tufanye je, ili tusiingizwe ao tusiwe kwenye système hiyo?
Waache tu wawatume masanam inshallah washindwe na walegeee Kwa nguvu za mungu
Asante sana kwa ufunuo huu.
Mungu nirehemu mimi ,,niweze kukukuta mbingun
L
Mungu akubaliki mtumishi wa mungu
❤❤❤❤❤Mungu akubariki
inambindi tukae kwa maombi na tuwe na Imani na tumutumikie muumba wetu
Mungu akusaidia injiri hi ni Adimu Sana miaka hii
Amen, ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Aminaa Mungu nisaidie
Daaaah!!!!htr sana
Duuh Mungu atusaidie watu wa Mungu😢😢
Asante sana kwamahubili mazur waliompaya kristo nadhani mnselewa
Glória Deus!, estamos juntos servo de Jesus amém 🎉🎉🎉.
Barikiwa tu saana mtumishi wa Mungu
Wew mwenyewe kua muisram acha kelele mungu haabudiwi hivyo
twambie baba tupone🎉 Mungu azidi kukuimalisha kwa mafundisho mazuri🎉🎉
Hii tumesoma chuo kabksa tena ilkuwa second Year first semester 😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮
Ubarikiwe sana mt nakuelewe sana
Kweli kabisa mtumishi toboa Siri na Mungu akulinde amen
Ubarikiwe mtujmishi wa Mungu