KWA WINGI WA FADHILI Kwaya Ya Mt. Thomas More Chuo Kikuu Mzumbe

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 23

  • @FransiscaLuka-cw7jj
    @FransiscaLuka-cw7jj Рік тому +4

    Hongera sana mungu awaongoze katika utume wake viogozi wa kwaya hii🙏🙏🙏

  • @mjunsylivanus5125
    @mjunsylivanus5125 Рік тому +5

    Alooo,,,, 🎉🎉🎉 chukueni Maua yenu ,,,, Mungu aendelee kuwapigania.❤❤

  • @oliverlugenge6260
    @oliverlugenge6260 Рік тому +3

    Alooo tumwimbie Bwanaa kwa kwer katika roho na kwer mnanikosha sana thomas more mzumbe

  • @elipidiusemmanuel173-hw7ll
    @elipidiusemmanuel173-hw7ll Рік тому +4

    wakuu mnafanya vema adi mnazidisha ongera sana mzidi kumutumikia bwana katika roho na kweli🤝💪

  • @flaviarushunju6609
    @flaviarushunju6609 Рік тому +4

    St Thomas Moore Mzumbe University. 🥳🥳🥳🥳🥳 Good job

  • @paulpnp3239
    @paulpnp3239 Рік тому +5

    👏👏👏👏🔥🔥 congratulations kmtm

  • @Kacimbaz
    @Kacimbaz Рік тому +4

    Mungu ni mwema. Mungu akubaliki wewe unaefatilia kwaya hii

  • @DeogratiusKitebo
    @DeogratiusKitebo Рік тому +5

    Kazi nzuri sanaa Mungu aendelee kuisimamia STM kwa tafakari zinazopatikana kwa nyimbo pamoja na Jitihada za Wote wanaounga mkono utendaji wa kwaya hii
    🤝🤝🤝🤝

  • @nyaki5510
    @nyaki5510 Рік тому +4

    Thomas More wapewe maua yaooo. Mnaupiga mwingi ndugu zangu.

  • @KelvinKamugisha-wq8qp
    @KelvinKamugisha-wq8qp Рік тому +4

    Hiiii imeeeenda ❤❤❤😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @GloriaSilibwa
    @GloriaSilibwa Рік тому +3

    Amazing 🎉❤

  • @MapendoJovin
    @MapendoJovin Рік тому +4

    Hongeren sana kwa unjilishaji kwa njia ya nyimbo. 🎉Mungu awabariki.

  • @loycekitoboi1467
    @loycekitoboi1467 Рік тому +3

    Tunapaswa kumshukuru Mungu..kwa maana fadhili zake n nyng 🙏🙏

  • @judithnzisa-ii7kg
    @judithnzisa-ii7kg Рік тому +1

    Mungu awabariki Kwa kumbariki Kwa nyimbo tamu hata Mimi nabarikiwa

  • @RosePeter-rb9jh
    @RosePeter-rb9jh Рік тому +2

    Barikiwa sana wana wa Mungu kwa utume🥰

  • @adamumanyoni
    @adamumanyoni Рік тому +3

    Hongereni sana wana Thomas more kwa kutoa nyimbo tamutamu 🎉🎉🎉🎉🎉. MUNGU ibariki Thomas more

  • @JOSEPHDUNIA-qi3ol
    @JOSEPHDUNIA-qi3ol 6 місяців тому +1

    MUNGU ATUKUZWE MILELE 🌍✝

  • @magrethmagwizi961
    @magrethmagwizi961 Рік тому +3

    Nice work... I'm blessed hearing this song 💓

  • @SilvesterMikael65
    @SilvesterMikael65 Рік тому +2

    Nitakushikuruje bwana
    Aseee hakika kuna ujumbe mzito.
    Very important hii

  • @LucyMavunje
    @LucyMavunje 10 місяців тому +1

    Kwel.kuimba ni.raha saaana