LITUKUZENI JINA LA BWANA Kwaya Ya Mt.Thomas More Chuo Kikuu Mzumbe

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лют 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @JOSEPHDUNIA-qi3ol
    @JOSEPHDUNIA-qi3ol 10 місяців тому +4

    Hongereni Sana St. Thomas More Choir kwa Kazi nzuri ya Uinjilishaji, Hakika Mnaifanya Kazi
    Mungu Atukuzwe Milele Daima Ndani ya TMCS Chuo Kikuu Mzumbe.⛪✝

  • @fridoliusrushunju9093
    @fridoliusrushunju9093 10 місяців тому +4

    Hakika jina lake litukuzwe mbarikiwe sana wanathomas kwa Wimbo mzr,

  • @nyaki5510
    @nyaki5510 10 місяців тому +5

    Mambo ni moto Kongole Kwa vijana hawa jamani 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mpewe maua yenu

  • @adamumanyoni
    @adamumanyoni 10 місяців тому +4

    Hakika Bwana ni Mwema Tulitukuze Jina lake siku zote za maisha yetu❤❤❤
    Nimeupenda plus free organ yake Mungu aibariki Thomas More Daima

  • @Misol003
    @Misol003 10 місяців тому +5

    ❤️❣️Yaaan Thomas More hamjawahi kupoa God bless you for the awesome song❤️❣️❤️🤍💕💞🌹

  • @adamumanyoni
    @adamumanyoni 10 місяців тому +4

    Hongeren sana Wana Thomas More Mungu awabariki Mungu abariki utume wenu❤❤❤ Lazima nijiunge nanyi

  • @karolytumaini995
    @karolytumaini995 10 місяців тому +4

    ❤❤ Wimbo mzuri Sana Mungu azidi kuwapa nguvu Katika utume wenu

  • @EmmanuelPeter-lo2mp
    @EmmanuelPeter-lo2mp 10 місяців тому +6

    Mungu atukuzwe milele

  • @Lemishen
    @Lemishen 10 місяців тому +4

    Mungu awazidishie wema na fadhili zake ili kutimiza matakwa ya bwana

  • @ROBERTNYAKI-ce6fy
    @ROBERTNYAKI-ce6fy 10 місяців тому +5

    HAKIKA BWANA NI MWEMA SIKU ZOTE . MUNGU AZIDI KUINUA UTUME HUU WA UIMBAJI. HAKIKA TUNABARIKIWA SANA NA KAZI HIZI NZURI

  • @VeronicaJoseph-g3o
    @VeronicaJoseph-g3o 10 місяців тому +5

    Wow hakika kila mwenye sikio amesikia

  • @Lilian-nd8ih
    @Lilian-nd8ih 10 місяців тому +4

    😍 Amina kwa kazi nzuri 🌹🌹🌹

  • @flaviarushunju6609
    @flaviarushunju6609 10 місяців тому +3

    Litukuzeni jina la Bwana. Bravo

  • @KelvinKamugisha-wq8qp
    @KelvinKamugisha-wq8qp 10 місяців тому +6

    Aminaaa sanaaaa kwa wimbo mzuri mzidi kubarikiwaa

  • @sarambise
    @sarambise 10 місяців тому +4

    So amaizing❤

  • @JosephPaul-qm1gu
    @JosephPaul-qm1gu 9 місяців тому +1

    Hakika jina la mungu litukuzwe milele kwa kuwa ni kuu
    Wimbo mzuri sana na ujumbe wakutosha

  • @DeogratiusKitebo
    @DeogratiusKitebo 10 місяців тому +7

    Wooow, Wimbo wenye tafakari ya wema wa Bwana MUNGU AZIDI KUWATIA NGUVU ili kazi yake itukuzwe milelee😍😍😍

  • @philipokisizi-ps3dw
    @philipokisizi-ps3dw 10 місяців тому +4

    Kazi nzuri

  • @himerymsigwa9665
    @himerymsigwa9665 9 місяців тому +2

    Hongereni kwa kazi nzuri wapendwa ❤❤❤

  • @kelvinjohn2429
    @kelvinjohn2429 10 місяців тому +5

    #in God we trust

  • @carlenfidelis3582
    @carlenfidelis3582 10 місяців тому +4

    ❤🎉

  • @MagrethMwakinda
    @MagrethMwakinda 10 місяців тому +4

  • @irenendanzi6242
    @irenendanzi6242 10 місяців тому +5

    🎉🎉❤

  • @Misol003
    @Misol003 10 місяців тому +3

    📌📌📌📌📌📌

  • @richardmbuna5277
    @richardmbuna5277 10 місяців тому +3

    ❤ 🙏

  • @TheresiaPaul-x6s
    @TheresiaPaul-x6s 4 місяці тому

    Hongereniii saana family from another cap Kwa kazi nzurii Mungu awabariki 🤲

  • @aleinlwamba3207
    @aleinlwamba3207 9 місяців тому

    MUNGU NI MWEMA SANA

  • @Stylishmligo
    @Stylishmligo 9 місяців тому +1

    ❤🎉🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Venance-p7r
    @Venance-p7r 6 місяців тому

    ❤❤❤❤