Yes.......bravo bravo wana familia, hakika mmetisha sana Thomas More, Mungu Awaongoze katika utume wenu huo NB:Wimbo huu kila nikiusikiliza kuwa unanitouch sana.............Hongereni
Mambooo ni motoooooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 hii sasa ndo Thomas moreee, mkuuu nyaki, mkuu kitebo, mkuuu elpidius, mkuuu ndanga, mkuuu Adidas, mkuuu wenslaus, mkuuu dayana, mkuuuuu ambaye kila video yupooo MENRADOOOO wakuuu wote wanamoreee mungu awabariki sana tena sana, Mkuuu Shimanyi, mkuuu Mdete, mkuuu Duke na CGEN PRO nzima mungu awabariki sana quality kali sana🙏🙏🤝🤝🤝
Thank you so much, may the Lord God grant you all necessities! keep on praising him and we are much a proud of you people of GOD keep on visiting our account as we are still uploading our works. 🙏
wow! wanakwaya..na mbinguni tutaimbaaa.. Tomas More mmetisha sanaa..hongeren sana na Mwenyez Mungu awape iman ili kuimba kwenu vizur kukamtukuze bwana daima... Awaongezee..Iman..Matumain na mapendo thabiti ili mdumu katika imani yenu..Amen❤
Asanteni sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi nzuri yenye kujenga katika maisha yetu yote Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za Roho Mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina.
Waooo hakika vijana munaendelea kuthibitisha ni vijana wa namna ganiii kwa kuendelea kupiga injili kwa njia ya nyimbo kongerini nyingiii sana wana St. Thomas more
Ni wimbo mnzuri kwa kweli na sauti zilizopangiliwa zenye kuleta utukufu, hongereni sana. Mungu azidi kuwapigania katika ipawa chenu kuieneza injili yake🙏🙏🙏
Hooray Thomas More Choir! Jina la bwana lihimidiwe na neno lake lienee kwa mataifa kupitia utume wenu na kazi nzuri mnazofanya katika kuinjilisha kupitia nyimbo nzuri kabisa hizi! Thomas More Choir forever 👍❤
Kazi ya mikono ya wanakwaya Wote na jumuia ya Mt.Thomas More
Bwana Mungu na Aithibitishe daimaa na mafanikio katika masomo
Waooo! Hongereni sanaa wana Thomas Moore kwa kazi nzuri!
Waooooh hongera kwa utume nyimbo ni nzuri xana
KAZI nzuri ajabuu hongereni sn na Mwenyezi Mungu azidi kupewa sifa daima
Wimbo Umenibariki sana Hongereni sana Vijana ,
Asee nimefurahi sana😊😊 Mzumbe
Mungu awabariki sana sana
Na Mwalim Robert
Namwona Edina❤❤😊
Big up saaaana,be blessed ndg zangu kwa kaz nzuri🙏🙏🙏👍
Hongereni wanakwaya wote na big gap kwa mtunzi🌷🙏
Mbarikiweee sanaa Wapendwa na Mungu Mwenyezi awainue zaidi katika Utumee wenu 🙏🙏
MUNGU aibariki zaidi kwaya MT.THOMAS MORE
Kazi hii irudiwe asee. Ninzuri Sana Mwenyezi atutie nguvu zaidi
Yes.......bravo bravo wana familia, hakika mmetisha sana Thomas More, Mungu Awaongoze katika utume wenu huo
NB:Wimbo huu kila nikiusikiliza kuwa unanitouch sana.............Hongereni
Kwa kweli mmeimba vizuri sana...lakini Mungu pia awabariki na kuwabariki
Hongereni Sana Kwa Utume 🎶🎶🎶
Hongereni sana nyimbo ni nzuri
Hongereni sanaaaa ndugu zangu, MUNGU azidi kuwaongoza ktk utume wenu
Hakika ukimtumaini Mungu hautatikisika kamwe. Ujumbe mzuri kwa watu wote.🎉🎉🎉🎉
kazi nzuri ya muda wote
Hakika inapendeza kumtumainia bwana.barikiwa sana wainjilishaji kamwe hamtatikisika🙏
Kaz nzuri... Mungu awabarik🎉
❤❤❤❤❤Mzumbe yangu, I miss the place
Wimbo ni mzuri unavutia kusikiliza, kuona na ujumbe wake ni mzuri, Hongereni...
Hongeren sana Wana Thomas More mzumbe, Hakika mnaendeleza walimopita kaka zenu, Kaz nzr sana, mbarikiwe sana
Hongereni kwa utume wa uinjilishaji hakika mungu awatangulie 🙏🙏🙏
Hongereni sana vijana kwa utume, mzidi fanyika baraka.
Hongereni, kazi nzuri... Mwenyezi Mungu awabariki
Waoooh !! Congratulations God bless them
Mubarikiwe watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume.
Hongeren sana wanakwaya ❤
Kaz nzuriiiii 🔥🔥🔥
Mambooo ni motoooooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 hii sasa ndo Thomas moreee, mkuuu nyaki, mkuu kitebo, mkuuu elpidius, mkuuu ndanga, mkuuu Adidas, mkuuu wenslaus, mkuuu dayana, mkuuuuu ambaye kila video yupooo MENRADOOOO wakuuu wote wanamoreee mungu awabariki sana tena sana,
Mkuuu Shimanyi, mkuuu Mdete, mkuuu Duke na CGEN PRO nzima mungu awabariki sana quality kali sana🙏🙏🤝🤝🤝
Amina Sanaa mkuu ubarikiwe
Mungu atukuzwe daima nikiwa na shida yeyote ya kisaikolojia basi hii ni tiba yangu siku zote
Mmeupiga mwingi hongereni sanaaaaaaaaa.
Congrats Kwa wanakwayaa wetyu 🙏🙏🙏🙏
Hongera Sana jmn Mungu aendelee kuwabariki
Nazi nzuri...Mungu awabariki San kwa utume
I love this song, I have listened to it uncountable times. The melodies are uplifting and soothing to the soul.
Thank you so much, may the Lord God grant you all necessities! keep on praising him and we are much a proud of you people of GOD keep on visiting our account as we are still uploading our works. 🙏
Hongern sana wimbo ni Mzuri Mungu azidi kuwabariki😊
Hongereni sanaaaa,,,,wimbo mzuri sanaaaa🥰
Mungu awabariki sana hii ni fireeeeeeeeeeeeeeeeee
Nyimbo nzuri sana
Mbarikiwe watu wa Mungu
Mbarikiwe Sana. Katika wito wenu wawaimbaji
hongereni sana. mungu awabariki
UDOM tunawapenda sana all the best 💗💗🎶🎶🎵
Asante Sanaa Jombaaa wanguuu❤❤ Tunawapenda sanaaaa piaaaaaa
Tunawapenda pia asanteni
Hakika wamtumainio bwana ni kama mlima sayuni ambao hautatikisika milele,
Mungu azidi kuwabariki kwa kazi nzuri,,,,, hakika mtafika mbinguni mkizid kumtumainia Bwana ♥️♥️♥️♥️ kama ujumbe usemavyo,,,,,,,, 🎉🎉🎉🎉
Hongereni sana, Mungu awabariki🔥🔥🔥🔥 kazi nzuri
Utume mwema katika Bwana wetu Yesu Kristu.
Pongezi kwenu mungu awabariki
Soso Domi re fa 🎵 mambo fire
Kaz nzr mbarikiwe Sana❤❤❤
wow! wanakwaya..na mbinguni tutaimbaaa..
Tomas More mmetisha sanaa..hongeren sana na Mwenyez Mungu awape iman ili kuimba kwenu vizur kukamtukuze bwana daima...
Awaongezee..Iman..Matumain na mapendo thabiti ili mdumu katika imani yenu..Amen❤
🎉🎉Kama milima, inavyo uzunguka mji wa sayuni 🔥🔥,
Congratulations Thomas More Mzumbe 🙏
Hakika wimbo mzuri sana Mungu yupamoja nanyi daima 🙏🙏🙏
Huu ndio muziki Mtakatifu. Safi sana
Nimependa nyimbo nzur kutoka kwa vijana hawa hakika wamemtukuza Mungu hongereni sana na Mungu awabariki sana
Hakika ujumbe unagusa Moyo mbarikiwe
Hongera sana makubal sana
MUNGU azidi kuwatia nguvu katika kazi yenu🙏🙏
God bless more
Asanteni sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi nzuri yenye kujenga katika maisha yetu yote Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za Roho Mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina.
nice song
Ni fire🔥 🔥 asee bigup kwa wanaTomasi moree 🙏🤲
Hahahah hakikaa ujumbe umefika.
True ❤❤❤ to all members blessed sanaaaa!!!!
Nyimbo iko vizuri sanaa hii ongera kwa utumishi mzuri wana Thomas more🤝🤝kongole kwenu
HONGERENI Sana 🙏🙏🙏😘
Safi Sana MU
May God bless you brothers and sisters,you did a great job.
Hakika wamtumainio bwana ni kama mlima sayuni.
Mbarikiwe sana
Njema sanaa🎉
Waooo hakika vijana munaendelea kuthibitisha ni vijana wa namna ganiii kwa kuendelea kupiga injili kwa njia ya nyimbo kongerini nyingiii sana wana St. Thomas more
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥
Big Respect my family
Mungu aendelee kuwapa nguvu na wepesi katika utume 😍
Hongera Sana kwa Kaz nzur,,,naomba kupata namba ya mtunzi
Hongereni Sana familia ❤
❤ hongereni sana mungu awabariki
very fantastic and impressive, may almighty God bless Thomas More Mzumbe
Hongereni sana, Kwa utulivu na sauti za kumsifu Mungu. 🎉🎉
Hongereni ndg zangu. Wimbo ni mzuri mmefanya wonders. Mungu AWABARIKI pia mtoe nyimbo zingine pia🙏🙏
🙏
MUNGU awabariki wote mlioshiriki katika kazi hii takatifi na hongereni sana Kwa kazi nzuri mliofanya
Oooh wow mc u
Mbarikiwe zaidi na zaidi watumishi wa Mungu.
Ni wimbo mnzuri kwa kweli na sauti zilizopangiliwa zenye kuleta utukufu, hongereni sana. Mungu azidi kuwapigania katika ipawa chenu kuieneza injili yake🙏🙏🙏
Hooray Thomas More Choir!
Jina la bwana lihimidiwe na neno lake lienee kwa mataifa kupitia utume wenu na kazi nzuri mnazofanya katika kuinjilisha kupitia nyimbo nzuri kabisa hizi!
Thomas More Choir forever 👍❤
Nice song .👏👏
❤❤mbarikiwe zaidi ktk Kaz zenu
❤❤❤❤❤
I see you shining 🤠🤠
Waooooh ! Hongera sn Mwl.wangu Aloice Family kwa utunzi Mzuri uliotukuka mkuu hongeren pia Wanakwaya kwa Uimbaji mzur mbarikiwe sn 🙏
Kazi nzuri mno MUNGU awabariki kwa utumishi wenu🙏
May the Almighty God bless you all who participated in the singing of this beautiful and fantastic hymn..be blessed all 🙏🙏
🙏🙏🙏
Congrats. You have sung like Angels in heaven 🙏🙏
Mungu awabaliki Sana Iko vizur sana
Good work much congratulations
hongeren kazi nzuri , mwenyezi mungu awe nanyi, wimbo mzuri na endleeni na kazi ya kuinjilisha kwan siku zote mungu ni mwenye nguvu kwa wanadamu
🎉🎉❤❤
Pongezi sana kwa mtunzi, walimu na waimbaji wote, nimeipenda sana melody ya wimbo na ujumbe pia
Barikiweni vijana🙏
Congratulation kwa ujumbe mzur
Wimbo unanibariki😍😍
Blessed sons of God. You did well congratulations ❤❤❤