I invite all of you to attend NYIMBO TAMU ALBUM LAUNCH. Date- 4th December,2022. Venue: Consolata Shrine Westlands; Time: 3-5PM, Dial *229*70# to buy a ticket. Ticket=1 album loaded flashdisk. Price= Kshs. 1,500/- To support launch: MPESA +254795457774.
Tunawakaribisha sana kutazama wimbo huu mpya. Ni wimbo unaojulikana na wakristu wengi duniani. Ni zaburi inayotuhimiza kuwa ingekuwa heri leo tusikie sauti yake Mungu na tusifanye migumu mioyo yetu. Ni wimbo uliotungwa na marehemu John Mgandu(R.I.P)na ukaimbwa na Anastacia Muema, Lawrence Kameja na Tumaini swai. Audio na video zawimbo huu zimafanyika ndani ya AFLOB Productions, Arusha-Tanzania. Karibuni sana kwa pamoja tueneze injili ya Bwana. Usisahau Kusubscribe, kuLIKE, kushare na pia kucomment. 🙏🙏🙏🙏 We ❤️you so much!!!
Psalm:95.7-9❤❤🎉🎉🎉 7.for he is our God and we are the people of his pasture, the flock under his care. Today, if you hear his voice, Psalm:95.8 do not harden your hearts as you did at Meribah, as you did that day at Massah in the desert, Psalm:95.9 where your fathers tested and tried me, though they had seen what I did.
Anastacia Muema, Lawrence Kameja na Tumaini swai kweli mumepewa kipaji cha sauti nyororo. Mshukuruni Mungu. Asanteni kwa kutusaidia" kusali mara mbili" kwa njia ya nyimbo hii.
This is beautiful. I am an upcoming Catholic UA-camr. Anastacia and team really inspires me alot. I would wish that you relay or show where the inspiration of your songs comes from eg Ps 23 or Ps 100... Etc, just to aid in your evangelization. Nway God bless you all. On their 11th Sunday in ordinary time 2023. ❤❤❤ xxx
I invite all of you to attend NYIMBO TAMU ALBUM LAUNCH. Date- 4th December,2022. Venue: Consolata Shrine Westlands; Time: 3-5PM, Dial *229*70# to buy a ticket. Ticket=1 album loaded flashdisk.
Price= Kshs. 1,500/-
To support launch: MPESA +254795457774.
your songs are amazing, continue with that spirit and may Good lord bless you
Q
You should organise another concert more often
@@barnabamwacha41291:10
Tunawakaribisha sana kutazama wimbo huu mpya. Ni wimbo unaojulikana na wakristu wengi duniani. Ni zaburi inayotuhimiza kuwa ingekuwa heri leo tusikie sauti yake Mungu na tusifanye migumu mioyo yetu.
Ni wimbo uliotungwa na marehemu John Mgandu(R.I.P)na ukaimbwa na Anastacia Muema, Lawrence Kameja na Tumaini swai. Audio na video zawimbo huu zimafanyika ndani ya AFLOB Productions, Arusha-Tanzania. Karibuni sana kwa pamoja tueneze injili ya Bwana. Usisahau Kusubscribe, kuLIKE, kushare na pia kucomment. 🙏🙏🙏🙏
We ❤️you so much!!!
❤️
Hongera dada anastacia
Vizuri sanaaaa Anne Muema.... #Paul San Mziba & St. Gregory the Great choir
@@st.gregorythegreatchoir843 asante sana🙏🙏
@@Fr.mo.2011 🙏😍
Tempo nimeipenda ndo yenyewe wengine tunaikimbiza ata iyo tafakari atuipati
Asante sana🙏
Congratulations my siz
Thank you so much my brother 🙏🙏😊😊
Mnanikosha san MUNGU awabarik san 🙏🙏🙏🙏
Amina. Mungu akubariki pia 🙏
Kazi safi @Ann ,@Swai,@Lawrence🔥🔥
Shukran sana🙏🙏
Nawapenda Sana, Mungu azidi kuinua vipaji vyenu🙏🙏🙏
Amina🙏
@Anastacia Muema,watching u from Marsabit, keep it up n be blssd abundantly.
Amen 🙏. Be blessed too.
Nabarikiwa Sana. Hongerani ....sauti ala na wimbo mzuri ......
Asante sana. Barikiwa🙏😊
Wooow woow.Nasikia kama nimefika mbinguni 🥰🥰🥰🥰i loooove this.
Amen. Be blessed Immaculate 🙏
If I was given her voice I would never shut up! Hadi majirani wanifukuze!
🤗🤗🤗🤗🤗
Kazi safi wakuu
Asante sana🙏☺️
Barikiwa sana dada
Amina. Ubarikiwe pia
Amina ..sauti za kutoa nyoka pangoni . hongera 👏👏
Nimesa ona vision kwa Rosary yamama Hospitalini kama mgojwa.
Inaguvukweli.
Amaa kweli Mungu akipanga kitu ndani ya mtu ni lazima kitimie, barikiwa sana dada Anastacia
Ushawai imba na waimbaji wa sauti tamu, Nairobi University,,,, u look like a certain lady from that group
Yes you are very correct. I’m part of Sauti Tamu group. Nimeimba sana nao.
@@anastaciamuema waoh! Karibu Kenya tena na tena
@@sunrisecity1212She’s Kenyan. Only that the producers are Tanzanians
Yeah ni yy
Amina 🙏
🙏🙏🙏😊😊
Nawapenda mno nice voices.........AFLOB wana ngoma nzuri mno
🙏🙏🙏💪
Nimependa sauti ya kutoa nyoka pangoni big up mwana wa Mungu
Wow! Jamani usingiz umekata nilikuwa nasinzia na shairi la mwisho limenifanya kucomment 😅 Umeisha Kama unaanza 🔥🔥🔥
Hahaha!!
❤congratulations mom for the beautiful songs ,,,,,, God bless you indeed
Nice 🎉🎉❤😊
Yeah
Psalm:95.7-9❤❤🎉🎉🎉
7.for he is our God and we are the people of his pasture, the flock under his care. Today, if you hear his voice,
Psalm:95.8
do not harden your hearts as you did at Meribah, as you did that day at Massah in the desert,
Psalm:95.9
where your fathers tested and tried me, though they had seen what I did.
Naomba mtengeneze instrumental mimi nitachangia❤
J mgandu , the fafher of melodies... hongera kwa wimbo mzur anne..... tamu sana
Asante na ubarikiwe sana.
Nostalgia.... missing Tanzanian liturgical music! Hongereni sana...
Asante sana🙏🙏😊
Hakika.mungu.atusaidie.tusifanye.migumu.mioyo.yetu.bali.tuyafanye.mapenzi.yake.haleluya.Best
Hakika.sote.tukondoo.wamalisho.yake.👍⭐Best.wamimi
Najisikia hata kulia nyie watu umeutendea haki huu wimbo now in my list
Asante sana🙏🥰🥰🥰
Tusifanye migumu mioyo yetu, MUNGU tusaidie
Amina🙏
Daaah natamani Sana jaman niwe Kama wew Dada anna
Wimbo uliitulia
Asante sana
Nawapenda sana mungu awabariki wote
Great piece
Hakika tusifanye mioyo yetu migumu. Message delivered well kabisaa, Mungu mwenyezi azidi kuwekeza zaidi katika vipaji vya sauti hizi
Amina,Amina🙏🙏
Dah kiukwe mnafanya Kaz nzur Sana hongeren sana sana
Shukran sana 🙏💕
Hongereni jmn Kwa utumishi huo,,
Msifanye migumu mioyo yenu kuwa mingumu kumwimbia mungu wetu
Amina🙏🙏🙏😍
Hongera sana Miss Anne.. You're doing great 👏👏👏👏... Ubarikiwe sana
Amina🙏. Ubarikiwe sana pia
Mashahiri ya huu wimbo nayapenda sana
kazi nzur mungu awe nanyi
Amina. Mungu akubariki 🙏
Very beautiful ❤️❤️... sweet song congratulations Miss Anne
Thankyou so much Reuben🙏🙏😊
Yani mnaimba vizur hadi nashindwa kuelezea
Asante sana Lilian🙏
Hongera sana
Sauti zenu zapendeza mno.
Keep the faith burning.
Brother Luke from Kenya
Asante sana🙏😊😊
The message is well delivered through the heavenly voices. Hii tutasikiza na kurudia hadi mtuombe maji😃❤️
Asante sana sissy🥰🥰
😃😃😃😄maji nayo yako kwa wingi!!!!
Am doing so. I have bought new TV, have come a cross this piece, playing it repeated to this midnight.
😁😁
Mungu atusaidie tusifanye migumu mioyo yetu,Mbarikiwe sanasana kwa uinjilishaji uliotukuka,sauti tamu haichoshi masikioni.
@@itsolutionservices6908 thankyou so much🙏
Nafurahia sana kuskiza nyimbo zenu kweli kweli...jamenj hongera sana dada Anna,.. Mungu awajalie mnapo tangaza injili kwa kuimba.....#2021 Narok
Asante sana. Ubarikiwe sana
Kazi muzuri sana, Baba Mungu awabariki sana. Negependa kuku busu sana dada Anastasia pamoja na ndungu. Alphonnse Marie
Asante sana🙏
Anastacia, you are an Ange from Heaven descended to entertain God's people! A Very Big Thank You!
wow nice blending of voices for sure you are talented. May God Bless you always.
Amen🙏. Be blessed too😌
Wwwwwwwoooooooooooooowwww❤️❤️❤️❤️💥kazi safi
Asante sana🙏😍
@@anastaciamuema karibu ✨
safi sana Dada Anastacia Muema kazi nzuri mungu akubariki na timu yako
Asante sana dear. Barikiwa sana pia🙏🙏🥰🥰🥰
My very favorite song 💕💕💕 i watch it all the time "sisi tu watu wake na kondoo wa malisho yake"
Hongereni Sana mungu azidi kuwabariki hongera Sana Anastasia na wenzako hakika mnasauti tamu Sanaa 🔥🥰
Asante sana. Barikiwa sana🙏
Kazi safi madam...heko kwenu🤗👏👏
Asante sana Michael🙏🙏😊😊
Hongereni sana kwa kazi nzuri
Asante sana🙏😊
Njoni tuabudu tusujudu🌹🌹🌹🌹🌹🌹🙌🙌🙌 hio sopranos sauti angani yaskika
Amina🙏🙏😊😊
Jamani Hadi mwili unasisimuka... hongeren Sana kwa utume Mungu awabariki
Amina. Barikiwa pia😊
Kazi safi sana Anne😍
Asante sana Andii Brenda🙏🤗😊😊
A nice psalms I like it continue giving us word of God
I love the voice of Soprano /Alto and that my voice toner is very amazing
Thankyou so much Caleb🙏
Very Attractive really music of silence confession.
Kama kawaida, kazi kubwa!! Hongera xn Ann!! Me ni shabiki !!!🌹
Shukran sana🙏😊😊. Barikiwa
Well done Ann Keep up!
Thank you so much
Jamani tusikie leo sauti yake 🙇🏾♀️🙆🏾❤️
Amina🙏🙏
Anastacia Muema, Lawrence Kameja na Tumaini swai kweli mumepewa kipaji cha sauti nyororo. Mshukuruni Mungu. Asanteni kwa kutusaidia" kusali mara mbili" kwa njia ya nyimbo hii.
Asante 🙏. Amina 🙏
♥️♥️♥️♥️
Nice song. Great voices. Mumeweza 👏👏🙏
Asante sana🙏🙏🥰🥰
@@anastaciamuema You're welcome
Mna sauti tamu, mbarikiwe
@@evarinekanyama1021 Ndio, they have great voices 👏✅
@@giselegiram 0lp
Kwel dada mungu kakujalia saut nzur itumie vizuri ili ikuvushe
Sauti nyororo kwa mungu tu...keep it up..Alice wacharo see this dear.
Thankyou so much Eric🙏. Be blessed😊😊
Hongera sana nawaaminia sana.
Asante sana na ubarikiwe🙏
Hakika Mungu anatukuzwa kwa kazi za mikono yetu. Hongereni sana 💪
R.I.P Master #John Mgandu (Tanzania - Great Musician)
Amina.🙏
This is beautiful. I am an upcoming Catholic UA-camr. Anastacia and team really inspires me alot. I would wish that you relay or show where the inspiration of your songs comes from eg Ps 23 or Ps 100... Etc, just to aid in your evangelization. Nway God bless you all. On their 11th Sunday in ordinary time 2023. ❤❤❤ xxx
Mmefanya kazi nzuri kweli👏🏼👏🏼Tuzidi kumtukuza Mungu🙏🏽
Amina🙏🙏
Daaa!!! Mwanikumbusha mbali sana
Amina🙏🙏
Ama kweli kazi nzuri hii...Such blessed folks, Using that which God blessed you with,Your talents. To win souls to him.
Yuatabasamu am sure.
Asante sana Mike🙏. Amen🙏🙏
Ujumbe mzuri, mziki safi, sauti safi. Mungu atusaidie tusikie sauti yake, tusiwe na mioyo migumu
Asante🥰. Amina🙏
always the best🥰🥰🥰
Mubarikiwe watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume
Amina. Ubarikiwe pia🙏🙏
This music though. Oh oh my...
Thanks🙏
I had to drop a comment without .finishing even one verse
Wow Groly be to God
Nice composition
Thankyou so much and may you be blessed🙏
keep it up Muema
Thank you so much
Wimbo Mtamu sana, sauti nzuri kiukweli nimebarikiwa sana na wimbo Mungu awabariki waimbaji wote
Asante sana🙏. Amina🙏🙏
Wah congratulations nice song
Asante sana🙏🙏😊😊
Zaburi inayoniinua sana na kunipa wajibu wa kumsikiliza na kumfuata Mungu iliyowekewa sauti tamu inayosisitiza ujumbe💚💚🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🎶🎶❤😇
Amina🙏🙏
Waw! Sauti nzuri dada na mungu akubariki sana dear.
Amina. Barikiwa sana🙏🙏😊😊
Ndonya ukwona va sister nienda kwina naku
Siku yangu imebarikiwa na huu wimbo🙏
Amina🙏
A very nice performance Anne.congrats
Thanks Fredrick😊
Mungu awabariki kwa ujumbe
Amina. Akubariki pia🙏🙏🙏
Wawoooh... kazi nzuri sana, well arranged
Asante sana Paul🙏🙏😊😊
Beautifully done ☑️☑️☑️
Thankyou🙏🙏
Well and good work........ Mungu awabariki waandaaji wa kazi hii ....... Inavutia, inafundisha na inabariki......
Asante sana. Amina🙏🙏😊😊
Nimebarikiwa na uimbaji
Nimebarikiwa na wimbo huu hongereni 🥰🥰😆
@@enericapeter2667 asante sana dear🙏🙏😊😊
Mungu awabariki sana. Kelitu ikia vitii viu. Ngai nukuendeea kuunenevya.👏👏
Ni muvea muno mwa my sister🙏. Amen to this🙏🙏
Asante kwa kazi hii nzuri mbarikiwe sanaaa waaandaaji
Asante sana 🙏🙏🙏
Hongera , sauti tamu sana. God bless you
Asante sana. Amen and be blessed too
I love your songs I do follow you especially this lady just makes my day thanks God bless you 💓
Amen. Be blessed too.🙏
@@anastaciamuema thanks 👍
Kazi safi Kabisa 👏👏👏
Asante sana dadangu🙏🙏❤️❤️❤️
Asanteni sana, kwa ujumbe na sauti zenu za kupendeza. Utamu wa kumuimbia, kumuabudu na kumsifu Mungu
Amina.🙏🙏Barikiwa sana😊
Big up Anastasia 👏👏
Thankyou 🙏😊
Superb Dear,keep it up Anne you're going far.say hi to Lawrence
Thankyou so much. I will😊
Tamuuu sanaa👏
Asante sana🙏🥰
Hongereni sana I feel holiness 🔥🔥🔥🔥
R. I. P John Mgandu
Kazi safi kabisa👌👌♥️
Asante sana Sister Cele🙏❤️❤️