ZOGO LA MASHA LOVE BAADA YA DALALI KUVAMIA NYUMBANI KWAKE NA MTEJA MPYA | HIVI NI KWELI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лип 2023
  • ZOGO LA MASHA LOVE BAADA YA DALALI KUVAMIA NYUMBANI KWAKE NA MTEJA MPYA | HIVI NI KWELI
    www.youtube.com/@Wasafi_Media...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 337

  • @danielimeshack3712
    @danielimeshack3712 Рік тому +34

    😏😏😏😏🤣🤣😂 wakusoma comments tujuane

  • @kiddybrown7154
    @kiddybrown7154 11 місяців тому +7

    Oya wadau,hii show imenitoa machozi.Masha ni chizi kinyama😂😂😂😂❤️❤️❤️

  • @ibrahimelisha6842
    @ibrahimelisha6842 Рік тому +10

    Masha love analea wadada wenye mimba hongera sana

  • @nimrodmareges3131
    @nimrodmareges3131 Рік тому +9

    Du Moo uko juu nimeipenda hii keep up the good job Man

  • @YusraNassor
    @YusraNassor 10 місяців тому +1

    Masha big up mwanangu yani nimekubali sio kw timbwili hili umetisha kinoma mwanangu one love wanawake lazima tuwe ngangar tusikae kinyonge

  • @NataliaKenny-vb6os
    @NataliaKenny-vb6os Рік тому +71

    Aliemuona mond ukutani kwa masha love tujuane😀

  • @marycelestin6586
    @marycelestin6586 Рік тому +1

    Huyo dalali ungempga na kitu kizito ....ungemuacha aingie ndani anamuonesha mpangaji unafanya yako.......umempenda sana kumfukuzia mlangoni ..Masha ❤

  • @neyney1907
    @neyney1907 Рік тому +3

    ah unaweza kaka 🙌🙌🙌

  • @halimaseiph4641
    @halimaseiph4641 Рік тому +4

    😂😂😂😂Aiseee masha hapo kweli wamekuweza dahhh
    Naic wangekuacha kidiho tuu ungemgawanyisha kichwa mtu

  • @aysherbuhet3875
    @aysherbuhet3875 Рік тому +14

    This is what we call live show..❤

  • @lilianestephanie7881
    @lilianestephanie7881 11 місяців тому +2

    Eti, nikwambie kitu😂😂 niambiee😂😂

  • @djmoviestrailer3574
    @djmoviestrailer3574 Рік тому +2

    Santa Ana anamuoneaga sanaaa mashalove

  • @cwytneyog18
    @cwytneyog18 Рік тому +2

    Masha 😄🙌🙌🙌🙌nampenda

  • @LeonardGeorge-jj4bu
    @LeonardGeorge-jj4bu Рік тому +1

    Si sawa

  • @rerisamba
    @rerisamba 11 місяців тому +1

    Pole sana Masha umepatikana

  • @benymathew4277
    @benymathew4277 Рік тому +5

    Mmmmmmmmmmmhhh!!! Mo hii ha leo mliipanga na Masha alikuwa anajua coz cjaona uhalisia wowote!!!!! Leo mmetupiga na kitu kizito

  • @silvakhan2
    @silvakhan2 7 місяців тому +1

    Bigap kwa mo kwakuweza kumuzuia maana mwanaume ni mwanaume tu bhana duuh😮❤

  • @leonardadd
    @leonardadd Рік тому +15

    MO,NAKUFUATILIA KUTOKA KENYA, SHOW NI KALI VILE TUNAPENDA,,MAMA ANAITAKA NA BABA ANAITAKA PIA👍👍

  • @mwanaidimustapha6621
    @mwanaidimustapha6621 10 місяців тому

    Dalali ameweza sanaaaaaaaa big up

  • @roi2553
    @roi2553 Рік тому +10

    Wangapi tunasubiria party 2 😅😅
    Gonga like apo😊

  • @shanifesto9037
    @shanifesto9037 Рік тому +15

    Akiamka Cha kwanza anapiga mswaki 😂😂😂😂dahh sio kumshukuru mungu Kwa kuamka salama 🙌

  • @marcodaud5089
    @marcodaud5089 Рік тому +6

    Ila Masha mzurii

  • @user-pk1gj5jz7g
    @user-pk1gj5jz7g Рік тому +5

    Nasikia asilaaaaaaaaa😂😂😂

  • @stevenmbosa99
    @stevenmbosa99 Рік тому +4

    Wanapangana hawa before…. Hizi ni movie tu yani attention ya Masha inaonesha tu tayari alishapangwa hamna live bongo…. Ila kazi nzuri mmefanikiwa kuteka attention ya mashabiki👍👍👍

  • @lumerekambalanga2049
    @lumerekambalanga2049 Рік тому +3

    Nakipenda iki kipindi saaana ❤

  • @jofreyzacharia
    @jofreyzacharia Рік тому

    Umepatikana leo ....

  • @binthkhamis8042
    @binthkhamis8042 Рік тому +6

    Apa paa varangati nimeparudia zaidi ya mara 1000 masha wewe umewezwa leo😂😂😂😂😂😂😂

  • @anethamos1233
    @anethamos1233 Рік тому +1

    Sanya umetisha

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 10 місяців тому

    100% kabisa

  • @ramadhanisalum3898
    @ramadhanisalum3898 Рік тому +4

    Masha love utamfukuza kazi dada wa kazi mwenye mimba au muache ajifungue kwanza 😅😅😅😅😅

  • @amissitundula8568
    @amissitundula8568 Рік тому +2

    Masha nikamachine chavita wallah😅😅😅

  • @RahimMacha-ns5gb
    @RahimMacha-ns5gb Рік тому +1

    Kajiona mjingaa😅.. nipen like

  • @nyandusky5666
    @nyandusky5666 Рік тому

    🔥🔥🔥

  • @pizojumanne5942
    @pizojumanne5942 Рік тому

    🔥

  • @zizumacho5147
    @zizumacho5147 Рік тому

    We mooo nakupenda kweli

  • @JeniferSulle-lo1iw
    @JeniferSulle-lo1iw 11 місяців тому

    Pole dada

  • @Runkiller1
    @Runkiller1 Рік тому +3

    Mtakuja Mtiane Presha Mnatangaza hasara Na hizo challenge zenu Mnazo waletea watu 😂😂😂😢😢

  • @zulihanan3589
    @zulihanan3589 Рік тому +4

    Nilikuwa nilisha fahamu,because when she wanted to call landlord the man in a white shirt was refusing

  • @brehimakeita7597
    @brehimakeita7597 11 місяців тому

    ❤❤❤❤ata mimi nikiona nikipindi ulipo mupokonya simu masha 😅😅😅😅😅asimu call mwenye nyumba

  • @bernardmayengo8505
    @bernardmayengo8505 13 днів тому

    Kumbe na wew Star

  • @lovvy854
    @lovvy854 Рік тому +7

    Haswa atamim nilipenda sana hile ya Zuweena Yule jama alivo mzungumzia halafu akatokea apoapo nilicheka ilesijawaii kucheka 😂😅😅

  • @oyay2821
    @oyay2821 11 місяців тому +2

    Masha ana ruka kama mkizi. 😂😂😂

  • @user-nd8qo5ze9x
    @user-nd8qo5ze9x Рік тому

    😂😂😂😂 sijui nimepatia

  • @bakarymahamudu7387
    @bakarymahamudu7387 Рік тому +5

    Mbona anaogopa sana kumuangalia sanya😂😂😂😂

  • @user-wd9tp7eb7j
    @user-wd9tp7eb7j Рік тому +1

    Part 2 pliz😂😂😂😂😂

  • @mnyamweznyaulosso4576
    @mnyamweznyaulosso4576 8 годин тому

    Yani chibu anaroho mbaya sana ugomvi wote yy katulia mikono kichwani😂

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 11 місяців тому

    Yani mbali na usanii wake,Masha sio mzima kiakili.Hyo nimwanamke alietoa fahamu kwenye maisha yke.Uongo mwingi kujikweza kwingi,kujipraudi yy.

  • @Symon_teser
    @Symon_teser Рік тому +7

    Afu Mo asha mzagamua masha 🤣

  • @Paplick9
    @Paplick9 Рік тому +3

    Crietivity 💯🙌🙌🙌

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 Рік тому +3

    Nyie mna gombana mondi ana mwangalieni apo🤣🤣

  • @rahmalovelymakeup-xy1qp
    @rahmalovelymakeup-xy1qp Рік тому +4

    masha sema woyoo 😂😅

  • @mnyamwezijuma1140
    @mnyamwezijuma1140 Рік тому +2

    😂 eti naskia hasiraaaaaa 😂😂😂

  • @farhannahkulishwaburekunam5360

    Huyo dalali amekosea nyumba ina mtu alafu unataka kuingia ndani kwanza hata kusalimia hata kama nyumba yake lazamaishima iwapo jamani nimekuja sasa huyu kalipa na wewe ni vipi mnaeleweshana lakini wewe unaingia tu alafu unataka uende chumbani hujui nani yupo hupo chumbani

  • @steveliker
    @steveliker Рік тому +2

    Mwananguu moooo wewe nihatariii sanaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @lennzow1203
    @lennzow1203 11 місяців тому

    😂😂😂😂 nimeipenda

  • @brianmushi7004
    @brianmushi7004 Місяць тому

    Kuna dada wa watu alikuwa afukuzwe kazii 😂😂

  • @user-rj5we3tf3e
    @user-rj5we3tf3e Рік тому

    Huuu mchezoo nomaaa

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob Рік тому +8

    Mashalove , nikiwa rais wa nchi hii nakupa wizara

    • @murtalla2826
      @murtalla2826 6 місяців тому

      😂😂😂acha ujinga basi faza faka

  • @Rizzyadios
    @Rizzyadios Рік тому +1

    😄 🤣 😂 😆 😄 mmeweza

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Рік тому

    Make kwanza ncheke😂😂😂😂😂

  • @user-te4fi4no7j
    @user-te4fi4no7j Рік тому

    Jamanii😂

  • @janjarochiundu6350
    @janjarochiundu6350 Рік тому +1

    😃😃😃😃😃banda la video wajipange😀😀😀😀😃

  • @kimwamufashion
    @kimwamufashion 11 місяців тому

    Hahaha hii ndio show kali sana ya mwez

  • @essirmalifedha6561
    @essirmalifedha6561 Рік тому +4

    Ame wakaaaaaaa 😂😂😂

  • @hassansela1393
    @hassansela1393 Рік тому +3

    Masha Kimemramba😂😂😂😂😂

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 Рік тому

    😂😂😂😂😂😂 mwijaku kakimbia watu wanawahi police mapema 😂😂😂😂😂

  • @hamadimatano4503
    @hamadimatano4503 Рік тому +2

    mo kipindi kizuri ila uyakuja umiza mtu kweli 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @user-sn8tp9gq5r
    @user-sn8tp9gq5r 10 місяців тому

    Nakubali sana kipindi hiki

  • @mwapachukikombe2083
    @mwapachukikombe2083 Рік тому +1

    Wewe nitakufukuza kazi, boss hahahaaaa

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel Рік тому

    Nyumba zakupanga duuu nizawu sana lawama . Munajishebeduwa mjini kumbe mnaishi maisha yazarawu hivo ? Duu mujenge ili musiendeleye kuzalilishwa

  • @rahmalovelymakeup-xy1qp
    @rahmalovelymakeup-xy1qp Рік тому

    Masha katetemeka 😄😃

  • @harunahussein3505
    @harunahussein3505 Рік тому +2

    Masha love full ugwadu mix upwiru dadeki anafujo kama mpiga debe

  • @catherinemhagama7505
    @catherinemhagama7505 Рік тому +2

    Dalali anataka sifa nanyi wapangaji waangalieni Sana madalali atawagombanisha

  • @barakcarter8567
    @barakcarter8567 Рік тому +3

    😂😂😂😂 ila mwijaku n nyokoo

  • @annamachaki3644
    @annamachaki3644 Рік тому +1

    😅😅😅😅😅nilichukia mlivyomshika nilitaka amng'ate mtu😅😅😅

  • @amanichisso945
    @amanichisso945 Рік тому +3

    ngoja nichukue cm nimpigie polisi

  • @kenyre697
    @kenyre697 Рік тому +3

    MOTOWN unatisha more creativity everyday haya BANDA LA VIDEO wajifunze kitu

  • @XanTitle10.
    @XanTitle10. Рік тому +1

    Wazee twenzetu kwa nagwa….😊

  • @asaadalbusaidi1870
    @asaadalbusaidi1870 Рік тому +1

    Mashaa kapatikana 😂😂😂😂

  • @user-qs7lj7kj1k
    @user-qs7lj7kj1k Рік тому +3

    Subhanallah madarari muwe nahuruma basi 😢😢

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 Рік тому +9

    Masha anawafuga wasichana wa biashara jamani😢

  • @ChristinaOnditi-el3xo
    @ChristinaOnditi-el3xo 5 місяців тому

    Niko tim masha love ktk hili,nimeumia sana

  • @mrsab303
    @mrsab303 Рік тому

    Wow 😂😂😂😂😂

  • @BikyeombeInnocent-vd3pg
    @BikyeombeInnocent-vd3pg Рік тому +1

    Masha kapatikana nishawayi kutumika kila kitu apa duniani 😂😂😂😂

  • @MiriumWajey-lr1tq
    @MiriumWajey-lr1tq Рік тому

    Masha 😂😂🥰

  • @PUGBFORBEGGINERS
    @PUGBFORBEGGINERS Рік тому +1

    Naskiaa hasiraaaaaaaaaaaaaaaaaah 😀😆😆😆

  • @phina8058
    @phina8058 Рік тому +2

    Masha baada ya kugombana unamuona kabisa anamuwaza kwenda kugombana nao😅😅😅😅😅

  • @rahmalovelymakeup-xy1qp
    @rahmalovelymakeup-xy1qp Рік тому

    Kwa mwijaku 😂🎉

  • @ilovejesus666
    @ilovejesus666 Рік тому +1

    Mmh na hao ambao wamevaa shati tu 😂😂😂😂

  • @abimaelelias6461
    @abimaelelias6461 Рік тому +1

    Prank 🔥🔥🔥😂😂jau

  • @giddie_barnabas
    @giddie_barnabas Рік тому +1

    Kama ni ivo bac kuna nyumba za kukosea ila co ya masha yan hapo nikama ubalozi wa marekan io shengesha yake dah😅😅😅

  • @KhadijaAzizah-eg2df
    @KhadijaAzizah-eg2df Рік тому

    Masha Leo wamekuchemsha

  • @bhokesaid3264
    @bhokesaid3264 Рік тому

    Hivi ni kweli huwa hawajui au mnatuigizia

  • @awadhijumaa939
    @awadhijumaa939 11 місяців тому

    Masha kazur

  • @bushsutimeline766
    @bushsutimeline766 10 місяців тому

    😅😅😅😅 nipepatikana na ujanja wangu wote......😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 MO... much respect 🫡

  • @user-pc9rz8oz2m
    @user-pc9rz8oz2m 10 місяців тому

    Hatar sana

  • @philipoedward6980
    @philipoedward6980 Рік тому

    Aloooh ni kweree

  • @HatibuOmary-ec9zn
    @HatibuOmary-ec9zn Рік тому +1

    Dah hii clip imenitoa machozi😂😂😂

  • @jenipherkavusha1661
    @jenipherkavusha1661 11 місяців тому

    Nakupenda Mariam mke wa Ivan hahaha

  • @samehewaliokukoseya2605
    @samehewaliokukoseya2605 Рік тому +3

    Mbona akuna viti muzaa navingine? Kwani masha anakitanda sebuleni?😅