Huwa naheshimu sana mtu yoyote anayepambana kuhakikisha wanafamilia wake wana paa juu yao hawapigwi na baridi usiku...nyumba nzuri sana ...Mungu akujalie umalize Insh'Allah
Raman ya nyumba nzur umejitahid mashallah mwanamke kumiliki mjengo hongera zko mashallah mungu akuogezee kipato umalize nyumba yko atufungulie milango na cc inshallah
Huyu Mama mashaAllaah tabaraAllaah apewe eshima yake kumiliki nyumba Ni jambo kumbwa sana sio wakina fulani eti wanatumia milioni 5 kwa siku na nyumba hawana
Ni waongo hawana lolote akipata hela saloon kubadilisha makabati ndani hawana lolote msitishwe na picha za histagram za kina uwoya tena huyo ndio anaishi maisha feki sanana
🇹🇿🇺🇲🥰 Waminshari hasidin idhaa hasad akuondolee Allahu Maa Meen Yaaap Mama Umeweza na umetishaaaa Mnoooo. Saleh mdogo wangu " In my mind" Yaap piga hodi ya Mchumbaaa utajengaaa tu. Ukiwa Na Mkwee smart Km bi star iyo project ya kujenga rahisi Si Unesema Ata kiwanja huna Mdogo mdogo Maokoto yako utaongozwaaa na bi star kupitia Machumo yako ya kazi ukimpata Naaaaa❤
Nakupenda sana Mwanamke wewe unajiheshimu unajijali kibwa zaidi unajijua nini unataka na nini ufanye ili uishi vile utakavyo Congratulations ♥️♥️♥️♥️♥️
Haitokaa itokee tamthilia ka FUKOTO❤BI STAR HONGERA. NYUMBA YA KISASA. ILA SEHEM NI WAPI NMEPAPENDA.,TAMBARARE.napenda kupanda mboga mboga, ALLAH Akupe siha na afya umalize mjengo wako❤
Hivi huyu mtu wenu wa Camera ni kwambaana huwa record Auto au yupo slow kubadili? Hii mwanga inabadilika badilika mala too dark mala too bright, noma sana!
Huwa naheshimu sana mtu yoyote anayepambana kuhakikisha wanafamilia wake wana paa juu yao hawapigwi na baridi usiku...nyumba nzuri sana ...Mungu akujalie umalize Insh'Allah
Kwakweli
Mama wa maendeleo.. good work
Hata kijana yupo vizuri anajua kumuingia mtu bila kubughdhi japo anaongelea vya ndani ila anaaproch nzuri
Raman ya nyumba nzur umejitahid mashallah mwanamke kumiliki mjengo hongera zko mashallah mungu akuogezee kipato umalize nyumba yko atufungulie milango na cc inshallah
Asalam aleikum sumeiya
Mashaallah mma yangu
Anaigizaga mcharuko kumbe mama msitaarab mcheahi❤❤❤
Huyu Mama mashaAllaah tabaraAllaah apewe eshima yake kumiliki nyumba Ni jambo kumbwa sana sio wakina fulani eti wanatumia milioni 5 kwa siku na nyumba hawana
😂😂😂😂😂😂umenenaaaa
Ni waongo hawana lolote akipata hela saloon kubadilisha makabati ndani hawana lolote msitishwe na picha za histagram za kina uwoya tena huyo ndio anaishi maisha feki sanana
@@user-po8hz7xw9j umeona uongo gani kasema
Huyu mam ana maisha yake ya uharisia nimempend Bure najifunza kitu kwa huy mam nimemuheshim San🙏
HUYU HATA AKIKWAMA TUNAWEZA KUCHANGA AAISE MAANA YUPO HALISI KABISA
Aki ata tungemalizia uyo mujengo.amepambana sana
Mama Mwenye NYUMBA
Hongera sana Bi Star, pakiisha patakuwa 🔥🔥🔥. Stay blessed🙏🏼
🇹🇿🇺🇲🥰 Waminshari hasidin idhaa hasad akuondolee Allahu Maa Meen Yaaap Mama Umeweza na umetishaaaa Mnoooo.
Saleh mdogo wangu " In my mind"
Yaap piga hodi ya Mchumbaaa utajengaaa tu. Ukiwa Na Mkwee smart Km bi star iyo project ya kujenga rahisi
Si Unesema Ata kiwanja huna Mdogo mdogo Maokoto yako utaongozwaaa na bi star kupitia Machumo yako ya kazi ukimpata Naaaaa❤
Huyu mama Mashallah hana showoff mungu amzidishie barka
Congratulations mama!!.... You've encouraged me..
Muheshimu sana mtu aliejenga
Hongera sana mama mungu aendelee kukunyoshea huna mbambamba kama wasanii wengine unaishi maisha yako harusi kabisa. Wee ni mwanamke shujaa.
safi sana dada haya ndio mambo yakujifunza sina mengi
Daah hongera zako mama mjengo na bado unasomesha mtoto kirinjiko Islamic same hyoo aweeh htr😘
Tena ada y pale t Mungu azid kumsaidia
Nimependa Sana bi star Hana maisha ya ku fake hongera zake
Dua la mgumba pambee🎉🎉❤❤. I love this lady..
Siku nikihamia kwangu nitafrah mtu kwako raha sana, hongera mama angu❤❤❤
Nakupenda sana Mwanamke wewe unajiheshimu unajijali kibwa zaidi unajijua nini unataka na nini ufanye ili uishi vile utakavyo Congratulations ♥️♥️♥️♥️♥️
Mamaa na mpendaaa huyuu balasa😘 unajuwaa saana kazi yake
Awesome hongera sana mama nyumba zuri tena ikija kuisha mashalllah mashalllah 👌🏽💃
Wallahi nampenda Sana huyu mama ananifurahishaga sana
Congrats to her ila Sanaa ya bongo ngumu tangu alipoanza kuigiza Bi Star Hadi Leo alistahili zaidi ya hapo.
Mashaallh mama nakupenda sana ❤️nyumba nzuri sana inshaallah Allha akujalie uweze kuimalizia
Waoooow! ! ! hongera sana mwanamke mpambanaji, nimependa sana! sana! sana.
Mashallah
Hii inaitwa kujenga kwa jasho langu mwenyewe very nice Allah akujaalie umalize
Mama semen jaman kumbe n mzima kabisa mm nilikuwa namuona Kama alivyokuwa kwenye jua Kal kumbe anaakili
Nyumba nzuri
.Mungu hambariki mama amalizie nyumba yake.napenda sana anapoigiza..anavaa uhusika dhahiri
Hambariki? Duh
Bismilah Mash Allah hongera umefanya kitu kikubwa bonge la mjengo hili .
Nimempenda xan huyu mama yaan anaish maisha ya kiuhalisia kbx, nimejifunz kitu kikubwa xan
Mashallah 😍 bi star Allah azid kukupa Afya
Huyu Mama nI mimi kabisaaaaaa kasoro cherehani❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
😂😂😂
😂😂😂Mbon cherehan
Kumbuka kule ni kazin
Govindaaaaa😂😂😂😂😂mtot wa bibi kikaraa...nakupenda we mam jmn❤..yan anavyoongea mpole mwenyew😂😂mkute kazin had rah..much respect mama❤😂
Unaishi maisha yako kabisaa ❤❤❤❤❤
Haitokaa itokee tamthilia ka FUKOTO❤BI STAR HONGERA. NYUMBA YA KISASA. ILA SEHEM NI WAPI NMEPAPENDA.,TAMBARARE.napenda kupanda mboga mboga, ALLAH Akupe siha na afya umalize mjengo wako❤
Huu anapambana sana nakupenda .mama❤❤
Mashallah ❤ mungu akusaidie umalize nyumba yako mama inshallah 🤲
Hivi huyu mtu wenu wa Camera ni kwambaana huwa record Auto au yupo slow kubadili? Hii mwanga inabadilika badilika mala too dark mala too bright, noma sana!
Aoana hii nyumba inapitisha mwangaza mdani kulee kwa siwa mbona alikuwa light tu
Mashaallah mama etu mungu akubariki sana ❤❤🎉🎉
Woooow😍😍😍 so inspiring
Ivi kumbe unaweza ukaacha kazi fulan ulozoea na baadae ukarudi mambo yakawa sawa tuu BIG LESSON
Mashallah Nyumba nzur m/mungu akusimamie izid kupendeza Zaid🙏
Na Nyama yao anajenga kitaa hiko hiko Maa'shaallah
Nyamayao anajenga naye yupo vizur
ooh kumbe aisee ongera zao
Mashallah hongera sana dadangu nakupenda sana from kenya
Inshallaah mungu akufanyie wepesi umalizie mjengo wako umeweza
Tuletee video kam izi kwa wingi tunajifunza nzuri woww❤
MASHALLAH ameweza.
Masha Allah, hongera mama.
Umewezaaa❤❤🎉
Mashaallah sauti nzuri mama hungera
Anasauti ndhuuli, maashallah
Mashallah hongera sana allah akupe afya njema
Tena yakubidi lamata akurudishe kwa juwa kali uje umpe semene hongera zake anapambania ndowa yake 😂😂😂
Jaman nakupend bule we mama❤❤
Mashaallah , hongera sana mama , mungu akufanyie wepesi umalize inshaallah
Hongeraa ulipofikia japo ni msanii wa kitambo saaan.
Bongo huwa wanawabania sana watu wenye vipajii
Hongera sana umepiga atua kubwa
Mama yuko vizur Mashaallah
Hongera sana na nimejifunza vitu kwa maisha yako
Masha Allah hongera super woman Allah akusimamie🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🌹
From Amerca
Wow hongera sana 🎉🎉🎉
Hongera mama ,kumbe nngekula kwanza maisha nngekuja kujenga hata nikiwa na 40 kumbe sawa tu
Hahahaha tunajikomaza na miaka 23 kujenga daah kumbe watu wanajenga wakiwa 40 sio mbaya tutaongeza nyumba nyengine
Huyu mama Anas Tahiti tuzo zaidi ya moja.
Safi sana dada Hongera bint Ndwangira.
Hongera sana jamna mungu akujalie ufke mbali umalize nyumba yako
Mashallah 👏👏
Hongera mama umejitahidi mno
Hongera zako mama
Mashallah.
Good job❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mashaallah sihaba hudaiwi kodi
Mashallah❤❤❤❤❤
Nyumba nzuri sana
Hard work paid🎉🎉🎉🎉
Nakupenda sana mom big up sana
Hongera sanaa bi star
Hongera sana,
Hongera sana ❤❤ nyumba nzur mno bi star apo ikiisha ya kishua sana 🔥🔥🔥🔥
Hongera sana
Mashallah mwenyewe Ana stara
Maashalah
Ma sha Allah
Mashaallah yuko vizuri
Hongera sanaa bi mkubwa
Salehe kampenda naa😂😂😂😂
Mashaalah tabarakallah mungu akuongezee
Nakupenda sana bi star ❤
Hongeraa🥰
Mansha Allah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Duh nimekupenda bure mama ❤
Hongera sana Mama kipenzi unahaki kuutwa kioo Cha jamii umetoka elimu ya burekwa jamiii pamoja na kukuangalia na umeacha kitu chakujifunza
❤❤❤❤❤dada ongera sana kumbe una bonge house
Ramani nzuri mashallah
Penda Sana huyu mama respect kwake
Hongera kwako❤wakunyunba
Hadi raha yani
Mashallah, hii nyumba ikimaliza itakuwa hatar sana
😊
J
Hongera sana bibstar
Naomba hilo friji la pespi lirudishwe kiwandani haraka sana
Big up Mama ❤
Hongera
Napenda uhalisia wako bi ⭐,kuna maisha baada ya Sanaa
Nilikuwa naenjoy nkiingia pale tandale ccm nikikuta kibisa kimeanza uwanilikuwa napenda kumuangalia anavyocheza ngoma na uwigizaji wakee Allah azid kukubariki mama angu