ZEE CUTE HAKUTARAJIA HILI LITOKEE KATIKATI YA INTERVIEW YAKE, AMFUKUZA SHABIKI ALIYEVAMIA
Вставка
- Опубліковано 31 лип 2023
- ZEE CUTE HAKUTARAJIA HILI LITOKEE KATIKATI YA INTERVIEW YAKE, AMFUKUZA SHABIKI ALIYEVAMIA
www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Розваги
Kwa mara ya kwanza huyu ndio binti pekee mstaarab kwenye hawa wasanii wakike ... ntaangalia na nyimbo zake nimpe viewers ... big up binti ...
Ila zee cute yuko very composed hajafanya uswahili amempokea vizur Tu hajaringa
Aise huyu kaka kiboko anajua kuact Sana big up hivi ni kweli
Hii kali Sanaa rafiki yangu huyu dogo hatari I say 🙌🙌 Unyama ni mwingi pande iyo
Kumbe Zee mpole jamani😍
Watamwambia mzee mtoto wao. Hafanyi kaz🤣🤣🤣🤣🤣r eric🙌🙌🙌
Erik kamfungia mpaka manager😂😂😂😂
Ila huyu jamaaaa anajua kuigizaaa😂😂😂😂😂😂😂
Daah 😂😂😂😂😂 zee cute nimempenda bure ni mpole sanaa
Siku uyo dogo akutane na gigi😃😃😃
Yeah hajuw kuongea
Angejichanganya kwa gigy sema nampenda ze cute 🥰 meneger nipe namba😂😂😂
Amemaliza alipo mtuliza jamaa kwa kumwambia "una-haribu interview!" - 😢😂😂😂😂❤❤❤
Huyu dogo msanii kinomaa 🙌🙌🙌🙌
Anaimba vizuri kushinda Zee
Dada uko vizuri hukupanik sana nimependa
Ila cute you're very calm, kind and ❤️
Huyu jamaa anabalaa kudadek😂🔥🔥
I like your creativity in this show nakupata 💯 from montreal u the 👌 👍
Mo town sanya ni 🔥 hawa watu huwa unawapata wapi?wote wanajuaaa
Erick amenifurahisha kinoma😂😂
Jamaa muigizaji haswaaaa🙌🏾
Hivi ni kwel na Hii imeenda 😊
Motown huyu dogo anajua sana namkubali sana anajua kuwazingua mastar balaa🔥🔥🔥
🤣🤣🤣HATARI
Sanaa
MO huy kaka apew mauwa take 🙏🔥
Cute anaroho nzuri sana
Mon nangoja ya b levoba pamoja Naya kwake Simba lama dangote kwa hamu sana 🔥🔥🔥🔥rfom🇨🇩
Aah sijasema hata ACTION 😂
Pozi ya picha 😂😂 aka huyubdogo mjinga kweli nimecheka 😂😂😂
Umeuwa😂😂😂😂unayaweza matukio,meneja nae njee,ett mfungulie meneja
Erick kamfungia mpk meneja 😂
Sema huyu jamaa miyeyusho sana 😂😂😂😂😂
Nimerudia mara mbili😂😂😂😂😂😂
very humble girl @zee cute ... 🌹
Daa eric kakaza kinoma hatak kuelewa😂😂😂
😂😂😂😁😁😁😁😁❤️❤️❤️❤️huyu msanii remix Mimi na yeye duh
🤣🤣🤣🤣
Nakubali sana ivi nikweli ya leo imetokelezea sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Huyu Dogo namjua kwao kinondoni mahakamani yaani huyu mzinguaji kinoma kuimba hajui hata kidogo yaani huyu bongo movie.
Dah hii Kali sana 😂😂 jamaa umetisha sana
Bonge 1 la show Eric kapatikana zaidi kuliko ze cute
Daaah....huyo msenge anajua sana kuigiza asee😀😀😀😀
Uyu jamaa kuyavagaa tu anaweza 😂😂😂
Sponsor mjanja kampangishia ze cute alafu kaweka mlinz mwanae erick
Erick anasema toka nje Etty watamuambia Mzee mtoto wao hafanyi kazi
Like 100 kwa erick
Aliepatikana zaidi ni Eriki. Huyo ndie amepatikana kuliko zee cute
Kila sehem mweken huyu kaka jaman amazing sana😂😂😂😂
dahhh hichi kibao 08:20
kilivolia sasa hahahhaha 🤣🤣🤣 08:20
Kaka unaboa wew yaanii😂😂😂😂
ila zee cute ana roho safi ❤
Good job
"nisaidie maji chap!" - 😂😂😂
Daaa! Aisee uyo jamaa noma sana
We unaelewa nn kuusu mziki 😂😂😂😂😂
Dah hiki kipindi nooma sana huyu jamaa sanya anaweza na anazingua kweli ujue
Ila jamaa anaweza sana kuigiza 😂😂😂😂
huyo muuni afanye awe hata actor 😂😂😂 anajua kinoma
😃😃😃😃😃 huyu jamaa n noma..et utaaribu interview
MMETUMIA AKILI SANA HAPA AISEE... SIAMINI KAMA MNA SCRIPT... JAMAA ANAJUA NA AMEJUA TENA.
😂😂😂 nime cheka picha una simama kama mgomba hahaha
Unanikataa,Unakazaje sister muun anajua kinom kuigiza 😂😂😂😂😂
Dogo mkali 😂😂😂😂 anasumbua kinoma
Dogo apoi😂
🎉😂😂😂😂 This moDa fvka iz GOOD
16:18 😂😂😂😂 picha unapiga umesima kama mgomba😂😂😂
Sii nipewe hiyo kazi ya sekiurit huyo mtu aje nimtandike viboko
Jamani mpigeni picha tuendeleee na interview, kumbe wenzake ndio wanaendelea na interview bila yeye kujua
Oyaa Sanyaa
Huyu jamaaa wamoto
Erick nae kapambana lakin wapi muhuni aelewi dadeki muhuni apewe mauwa yake aseeeh 70 % za muhuni + 30% za erick
Meneja tulia 😂😂😂
Daaah! Ukisikia ving'ang'a huyu ni wa kupewa tuzo, ila gubu lake duuuh!
Tembea ww ngoja ngoja yaumiza matumbo😂😂
Jamaa anajua sana ku act
"sijaweka hata pozi kaka!" - 😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Zee nimependa hiyo ila huyu jamaa sijapenda mhh😂😂
Daaaah uyuu jamaaa namkubari baro baro
Huyu jamaa ametisha, mpaka Eric amemkomalia tu 😂😂😂
Kiukweli mi sikua namjua huyu msanii kabisa ndonataka kwenda kuangalia nyimbozake
Uyu dogo ame act 🎬 top notch 👌 👏 👍 🙌 🎉😅
Daaa!!! Ilikuwa kalisana
Nembo ya mtaa we ni Nouma your creative
Wasanii mmmh
Uyo mwamba anaweza aiseee😂😂😂
😂😂😂😂😂😂sisumbuii aisee anajua
Binti ni mnyenyekevu sana na huyo jamaa utata anaweza sana
Hahahahahaha kijana hatari sana huyo
Picha imenyooka kaa mgomba😂😂😂😂😂sista eeeeee
Actor kaplay role vizuri
Wasanii wa kibongo kweli noma wanakukataa iviivi
Uyu jama anaweza
Mo town mkorofi piaaah😂😂😂😂
Sijasema ata Action😅
Nimecheka sana😂😂😂
Ahahaha 😂😂 nimechekaa
Eriki ni mnyama 🤣🤣🤣🤣
Eric akaona acha na meneja nae aende 😂
🔥🔥🔥
Kizazi sana
Very humble girl, ❤
😅😅😅m nimecheka kile kikofu sanya aricho mpiga😂😂😂😂😂
Eric kufungulia vichaa kazi huna ,😅😅😅😅😅
Ngoj ngoj yaumiza matumbo in eric voice😅😅😅
Huyu jmaaa tapta mbayaaa 😂😂😂😂😂
Binafsi naona hii prank ilikuwa dhidi ya huyo Meneja maana muhusika mkuu hana mapepe.
Daaah Mawakubaki sana 😂😂😂😂
Nmempenda erick🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣