Pia Mimi nimejenga nyumba zangu zaidi ya milioni 100, ila sasa namuomba Mungu azidi kuniweshesha nijenge gorofa langu nzurii, na miaka 32 I believe in God I will 🙏
Hongera sana Kate, una spirit ya upambanaji. Unasema umekopa vizuri ila sio wote wanaokopa wanatoboa. Pengine unakitu kingine kinachokupatia pesa e.g umeajiriwa unapokea mshahara, child support kutoka kwa baba mtoto..let say mbaba akikupa 2mil kama child support kwa mwezi kwa mwaka una 24mil hata ukikopa nirahisi kuwa na uhakika wa rejesho. Ila kukopa tu bila kuwa na kitu nyuma cha kuku support ngumu
Kweli kaka katika kukopa usiinge ,wengine mkopo umewafanya wawe masikini zaidi unakuta wanadaiwa wamechukuliwa kila kitu ukiingia mkopo uwe nakiri kinachokuingizia zaidi Makopo uliokopa nakatika maisha kila mmoja anautafutaji wake isiige ujui mtu pesa anapata kwa njia ipi Mungu atusaidie
Nimeanza kuja oman mwaka 2017 Na mpaka 2024 Na bado nipo uku Natumwa tu kama punda Lakini nimejenga mijengo ya miwili Kigamboni na Mbande Tambani uko Namshukur Mungu Alhamdulilah watt wangu wanagalauka gauka umo ndani kwao Asante Mungu kwa Rehema Zako 🤲🙏💪😘
Mie mshamba kama Saleh kizunguzungu siwezi kuishi nyumba yenye gorofa kama na naanguka ivi siwezi kwa kweli rabda nikatmbee nirudi basi hongera sana super woman
Wow MashaAllah MashaAllah ziwe sadaka za wapuuzi (wajinga ndio waliwao)😅😅😅 iwe udangajiii iwe unafanya kazi hongera Sana mwanamke wa nguvuuu kabisaa wa shokaaaa congratulations dear sio rahis kwa msichana wa umri wako kuwa na akil ya maisha❤❤❤🎉🎉🎉 Ila Mungu mkubwa Jmn na anajua kuumbua watu Mtt sura copy na Baba Mzee wa mafutaaa 😅😅😅🙌🙌🙌 SubhanAllah
Mpiga picha wako salehe kidogo ajirekebishe si mara moja anafanya hivyo kwa mfano pale ulipokuwa unashangaa kuhusu kitanda hatujaona,badala ya kuonyesha kitu au sehemu unayoongelea yeye anaonyesha sehemu nyingine si kwa ubaya ni maoni yangu tu ili kunogesha kipindi kwasababu tunakipenda ❤
Huyu c ndy aliyezalishwa na Mwamposa au sio huyu na ghorofa kajengewa ama hebu waja nifungueni maana bungeni nimeona story yake chezea Chimbo la East ww😂😂😂
Si angetoa huo mdude awe comfortable kutembea afanye house tour vizur.....kwa mjengo huu mwamposa hawez kumuach huyu wataendelea mpaka kifo😅 yan kiufupi huyu ni nyumb ndog ya mwamposa for life.
Huýo alombeba zuri mmemskia anavojitaftia sifa ety mi ananikubali wengne huko anawaona kama mbwa😂😂😂ila asante mlonisanua kwel anamfanana mwamposa mtoto😂😂
Mama zuri wawatu mwamposa alikupa hela utoe mimba ukakataa ulijua kabisa nilazima mwanao atakubadilishia maisha yako bora ulivokataa leo hii unaishi ndani ya ghorofa iliyojengwa na sadaka za waumini wa kawe na pesa za mafuta na maji hongera sana umeupiga mwingi 🎉 miaka30 na ghorofa Mimi naenda kufunga miaka30 namiliki begi tu la nguo😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Pia Mimi nimejenga nyumba zangu zaidi ya milioni 100, ila sasa namuomba Mungu azidi kuniweshesha nijenge gorofa langu nzurii, na miaka 32 I believe in God I will 🙏
Kumbe mchaga mwenzangu, safi sana, ukiona fursa itumie vizuri, wachaga hoyeeee
Hongera saana dada,,
Ee Mungu naomba unikumbuke na mm nifanyie wepes 😢😢
Hongera kwaupendo kuishi nandugu zako wachache sana wanachukua ndugu zao
Kuna watu wanajuaga mafanikio ni rahis hongera sana umeweza umeweza tena
Katika ndoto zangu kubwa ni kujenga naimani Mungu atatenda hongera sana dada angu
Hongera sana Kate, una spirit ya upambanaji. Unasema umekopa vizuri ila sio wote wanaokopa wanatoboa. Pengine unakitu kingine kinachokupatia pesa e.g umeajiriwa unapokea mshahara, child support kutoka kwa baba mtoto..let say mbaba akikupa 2mil kama child support kwa mwezi kwa mwaka una 24mil hata ukikopa nirahisi kuwa na uhakika wa rejesho. Ila kukopa tu bila kuwa na kitu nyuma cha kuku support ngumu
Kweli
Kweli kaka katika kukopa usiinge ,wengine mkopo umewafanya wawe masikini zaidi unakuta wanadaiwa wamechukuliwa kila kitu ukiingia mkopo uwe nakiri kinachokuingizia zaidi Makopo uliokopa nakatika maisha kila mmoja anautafutaji wake isiige ujui mtu pesa anapata kwa njia ipi Mungu atusaidie
Nimeanza kuja oman mwaka 2017 Na mpaka 2024 Na bado nipo uku Natumwa tu kama punda Lakini nimejenga mijengo ya miwili Kigamboni na Mbande Tambani uko Namshukur Mungu Alhamdulilah watt wangu wanagalauka gauka umo ndani kwao Asante Mungu kwa Rehema Zako 🤲🙏💪😘
Tuseme Alhamdulillah
@@dottohami ALHAMDULILAH 🤲🙏
Hongera kpnzzzzz ngja na ssi 2pambane kusugua hammam za warabu inshaallah nas 2tajenga
@@MaryamMaryam-ru1qt Ahsante kwasote Inshaa llah Kheri 🙏💪
Hongela kipenzi hata mim nimesha pambana nimesha mjengea mama angu asaiv napambana nijenge ya kwangu
Tupongezane hongera sana mrembo usisahau kufanya ibada
❤❤❤❤❤ongera dada ongera sana mungu azidi kuyalinda .mafanikio yako
Hongera sana mdada!!!Mwanamke na nusu ,hongeraaa sana
HONGERA SANA SANA SANA SANA SANA SANA SANA SANA❤❤❤❤ I LOVE IT and pole sana kwakupoteza wazazi wako😢🎉🎉🎉🎉🎉 enjoy mama
Wanawake tunaweza kikubwa tusikate tamaha❤hongera my dear
MashaAllah mabrook hongera sana ZURI ❤ umepambana na sasa umemaliza nyumba yako hongera sana sister ❤❤
Hongera sna ukiona kwa mwenzio unaona rahisi ukijaribu sasa 😂 eeh mungu tusaidie maana sio mchezo
Mie mshamba kama Saleh kizunguzungu siwezi kuishi nyumba yenye gorofa kama na naanguka ivi siwezi kwa kweli rabda nikatmbee nirudi basi hongera sana super woman
Mm hata usingiz sipat
Hongera sana mrembo kujenga siyo mchezo
Mtoto dam ya mwamposa kbs❤ wamefanan
Wow MashaAllah MashaAllah ziwe sadaka za wapuuzi (wajinga ndio waliwao)😅😅😅 iwe udangajiii iwe unafanya kazi hongera Sana mwanamke wa nguvuuu kabisaa wa shokaaaa congratulations dear sio rahis kwa msichana wa umri wako kuwa na akil ya maisha❤❤❤🎉🎉🎉
Ila Mungu mkubwa Jmn na anajua kuumbua watu Mtt sura copy na Baba Mzee wa mafutaaa 😅😅😅🙌🙌🙌
SubhanAllah
Hongere mamazuri you did it🎉👏🏻
Akina Jennifer Lopez wapo cool 😎,,,,, maskini wakipata mmmmh hongera😂😂😂😂😂
Mapazia ya umeme yako slow, wengine tushazoea shwaa shwaaa😂😂😂, hongera mama zuri wa watu😊
Mashaallah kwa walioweza wameweza❤❤
hongera dear , umenipa moyo wa kupambana
Hongera my mdogo
Hongera wengine wanazeeka hata kiwanja hawana mpaka wanakufa kumshukuru Mungu
Mpiga picha wako salehe kidogo ajirekebishe si mara moja anafanya hivyo kwa mfano pale ulipokuwa unashangaa kuhusu kitanda hatujaona,badala ya kuonyesha kitu au sehemu unayoongelea yeye anaonyesha sehemu nyingine si kwa ubaya ni maoni yangu tu ili kunogesha kipindi kwasababu tunakipenda ❤
Tusipende kujua watu wamefanikiwaje, kuna mengine huwa hawayaongei. chamsingi tuendelee kupambana
Kabisa hcho Nd muhimu mana apo anasema tu kucheza michezo na kukopa utacheza mchezo bila kaz😅😅😅
Mashalalh dada umeupiga mwing wengine wanapesa lkn awajafika.hapo ulipo.wanajali starehe
Safi🎉🎉🎉😢
Hongera unasura nzuri unaonaka ni mtu mwny roho nzuri….Mungu akubariki Inshallah♥️
Hongera dear hongera pia kwa mwamposa
kumbeeeeee
mwamposa tena
@@petronilamtei7470ndy kazaa nae
Hongera mdogo wangu umejitahd san❤❤❤❤
Umetisha mama zurii❤❤❤
Hongera sana Mungu akulinde nakupenda
Hongera boss wangu🎉
Mungu awe nawe milele mdogo wangu♥️🙏
Mafanikio sio rahisi haijalishi yamepita njia gani
Na mimi nikifika miaka 30 ntawaita show bizz waje wafanye kipindi kwenye nyumba yangu 😂😂ya ndoto zangu wacha sahv nkatafute kazi kwanza
Hongeara sana mpendwa
I am so proud of this young lady!! It’s definitely no easy feat to do it alone and with a lot of discipline at her age
Hongera dada ake kupambana hakujawahi kumuacha mtu
Hongera sana mdada!!!Mwanamke na nusu ,hongeraaa sana 28:03
Hongera kwake jamani afu ana sauti nzuri
So happy see you glory laswai I miss you girl
Na itoshekusema usitamani maisha ya watu jmni jikune mkono wako unapofikia
Jumba zuri kuliko la mwijaku
Ya mwijaku tuliambiwa ni ghorofa modo😂😂😂
Na Imani katika kupambana kwangu nitapana amin
Salehe upo vizuri sana. Cameramani bado kidogo
Hongera sana unatupa nguvu wapambanaji
Ukimuona mtoto tu huna aja ya kuuliza baba yke nani😂😂😂 buldoza😂
BulddoZa ndio kajenga anatudanganya vikoba
Zuri copy ya baba Mwamposaaa Hongeraaaaa kwa kufanikiwa kumchunaaa mchungaji
Ni bahati yake tumpe hongera sana yake kaweza
Wee kumbe😂😂😂🙌🙌
Nilishataka kuacha kuangalia sasa ngja ni2lie nione huyo mtoto😂😂😂
😂😂😂😂😂 eeeeeee Tena makubwa ngoja nione mwanzo mwisho mbona patamu hapa eee jamani bongo sihami kumamae
@@kamarhelo nikusaidie kimbia mbele mwisho kabsaa ndipo utakwenda kuona hyo copy🤣🤣🙌
Camera man but. Y pamoja na kuambiwa waonyeshe lakini wapiii 😢😢
Saleh upo vizuri lakini mbadilishe cameraman yupo slow sana kujiongeza atakufelisha.Unahitaji cameraman mjanja ndio mtaendana vizuri.
Baada aonyeshe nyumba anaonyesha watu yani mpka aitwe duh
Ivi nyie billion uwaga mnaijua ama mnasema tuu msikatishe watu tamaa kujenga gorofa
😂😂😂Mi mwenyew nimestuka kusikia bilion mmmh🤔
Ebu acheni kumsema vibaya Baba mwamposa pls pls ni mtumishi wa Mungu pls jaman heshima jamani 🙏
Lovely…..
Nakupendaga bure
Mashallah dada angu sina chuki bali nina wivu namuomba mungu anipatie na mimi
Usimuonee mtu wivu muombe mungu akubalik na wew
Mashaallah hongera sana yaaan unanipa moyo sana wa kupambana jamn nami inshallah one day nitajenga inshallah
Pambana. Kitandani na Tajiri msitumie kinga
@@flackomasterbaddest4155😂
Hongera sana dada❤
KWAHIVYO DADA MIKOPO NDIYO UMEJENGA 1. BILLION😮😮😮😮???.?
Mungu unikumbuke na mm kwenye ufalme wko
Huyu c ndy aliyezalishwa na Mwamposa au sio huyu na ghorofa kajengewa ama hebu waja nifungueni maana bungeni nimeona story yake chezea Chimbo la East ww😂😂😂
Hongera kate umeokota dodo kwa Mwamposa
Congrats dr❤
Congratulations mama zuu❤
Si angetoa huo mdude awe comfortable kutembea afanye house tour vizur.....kwa mjengo huu mwamposa hawez kumuach huyu wataendelea mpaka kifo😅 yan kiufupi huyu ni nyumb ndog ya mwamposa for life.
Mpka mtoto kafanana na mwamposa
ajifunze kufanya tour kama ya produce Michael
camera man .. ovyo zaid ya sana
Kwani huyu ndie aliyezaa na mwamposa
@@njuka3515 ndio
Huýo alombeba zuri mmemskia anavojitaftia sifa ety mi ananikubali wengne huko anawaona kama mbwa😂😂😂ila asante mlonisanua kwel anamfanana mwamposa mtoto😂😂
😂😂😂😂
Bora umeona et anawaona mabwa tu 😅😅😅 uchawa mgumu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 salehe anavyopambana kubeba gauni sasaaaaa mi hoiii
😂😂😂😂😂 salehe bwana etiiii hayo hayoo yanajifungaa
Miaka 30 ana ghorofa me 25 hata kiwanja sna 😭
Utapata wala usikate tamaa mdogo wang,
Wakat wa Mungu ni wakat sahihi usikate tamaa alafu huwez jua wenzetu wanapita njia gan
Sema mwaposa asante babbydaddy
Sadaka za watu😅😢
😂kwanza hizi nyumba wanatumia nin kujemga☹️😂
😂😂😂😂 kakope utajua
Kwa faida ya wasioelewa km mimi bezment ndio nini😂
Unanitia moyo sana tu me najenga lakini bado cjamaliza
Ila salehe umekuwa mshika gauni 😂😂😂😂
Ivo ndovitu vya maana ume weza dada wasanii wakubwa hawana ivo
Amzalieko na kengine nyumba vYumba 6 mtoto mmoja, mbona shughuli
Kazaa na mwamposa huyu dada😊
Ookey, it make sense now 😊😊😊
Ndio halafu anadanganya uma eti Oman mh
19:53 19:54 19:55
Mshkaji gauni naye suruali inadondoka😊
😂😂😂
Baba mchungaji mwamponsa umeweza🤭
Yaan mwenzenu nimejua leo😂😂😂
Nakwambia hata mim eee jamani mama zuli kakanyaga mafuta kwa mwamposab😂😂😂😂😂😂😂😂aki mtanivunja mbavu leo
Wivu haulipi kama mtu aliweza kujenga akiwa na 21 ni bidii na nidham achen wivu
We ndo huelewi jambo@@FreeGod368
Kwani tukisema kazaa na mwamposa ni wivu?
baki kuona tu ila usitamani maisha ya mtu mwingine kuna siri nyingi huwa hawezi kuongea
This colour of hair doesn't fitting you should use black wigs
Hilo shela angelivua akabaki na kigauni simple tuu
HUYU NDO MWANAMKE NANGAI, WEWE KACHUKUE MIKOPO UKAWAFURAHISHE WENZIO BAR AU KUWAFANYIA SHUGULI MASHENESTI WENZIO UKIANZA KUDAIWA WANAKUCHEKA
Wa kwanza Leo
Salehe anamleta kate ajichanganye kusema mwamposa kate anachomoa kinamna😂😂😂😂
Ongera mkisema anajiuza kuna watu wanajiuza lakini awana atapakulala kwaio ongera kwa kujenga kikubwa kujuwa thamani ya pesa
Umeona eeee kajipata sana
dahhh, huku kuongeza sifur jaman, mtafanya wengene tusijenge--1Billion kutamka n simple sana
Mwiujiza ya Mwamposa hiyo, kakanyageni mafuta, mtapata hela ya kujenga migorofa
Spa 1 nyumba ya billion kadhaa🤔 mwenzetu biashara yake ina faida 😂
😅😅😅😅😅
😂😂😂😂
Mwamposa anamsapoti sana
Mtu wa camera badala ya luonyesha nyumba/vitu yeye anakomaa kuonyesha sura ya mtangazaji
Kaz ya mwa..... Hiooo sadaq....... 🙈🙈 Hizo taa n hio bei y nyumba huwez sema sadaqa zetu ndo zimetumika apoo
😂😂😂😂😂 lweli
Nyumba kali sana
Msiache kuchukua mikopo msiache kufanya michezo, nyoo shukuru ulipofika hii dunia ina mengi
Eti mikopo elimu darasa la saba nyoo mchezo wafanyazi wa selikali wenyew nyumba zinapigwa mlada
Malaya tu huyu mfanya masaji mwanzo sikuelewa mchezo kumbe ndio huyu mchawi karoga wee atudanganye elimu haina maana mfyuuu😂😂😂
Zuri Mwamposa
Jamani 😂😂😂
Ni Zuri, Boniphance, Gondwini, Mwamposa
Mama zuri wawatu mwamposa alikupa hela utoe mimba ukakataa ulijua kabisa nilazima mwanao atakubadilishia maisha yako bora ulivokataa leo hii unaishi ndani ya ghorofa iliyojengwa na sadaka za waumini wa kawe na pesa za mafuta na maji hongera sana umeupiga mwingi 🎉 miaka30 na ghorofa Mimi naenda kufunga miaka30 namiliki begi tu la nguo😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
😁😁😁😁
Mafanikio ya watu yana siri 😂😂😂 asante kwa kuwasanua mabinti kikubwa wasikate tamaaa ❤
Nimechekaa kwa sautiiii 😂❤
Kumbee asanteee
Mmmm, hili nalo nalijua leo. Mimba tena na mtumishi ,askofu, mtume, prophet. ❤ Mungu tusaidie.
Sikamatik anasema ye ndo a na hela she aone uku😂😂