MWIJAKU AKUTANA NA KISANGA CHA KUMPA MIMBA MWANAMKE / AKIMBILIA POLICE
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- MWIJAKU AKUTANA NA KISANGA CHA KUMPA MIMBA MWANAMKE / AKIMBILIA POLICE
www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Anajua kuingiza huyu dada,sasa mwaijaku polisi wa nini❤❤❤❤🎉🎉
huyu dada ni mwigizaji mzuri sanaaa aendeleze kipaji chake
Alafu izi siku unauwa Sana Sanya kama unakubali Gong link apa love from🇧🇮
Motown mwambie mwijaku apunguz ujinga anaoufanya kwawatoto wakike .naitwa saidi hamissi from rwanda
Kitu napenda kuhus mwijaku he’s always proud of his wife Mashallah 🥰
Dada ang VING’AST wote ndyo style zao dada ang ILA huyu yuko REALLY kwa MKEWE .
Always proud of his wife or proud of her money?!!
Is a good man ❤❤❤❤
anaajiosha tu, si ndiio alimdhalilisha dada wa watu
Kbs yan hat hakiwa malaya ila mkewe❤❤mbele kwa mbele
Dada ni 🔥🔥🔥anajua anajua na anajua tena
Masha Allah
Kaka anajielewa sana Mwjk Allah akuongoze zaidi
Ahahahhahaahha hatimayee kapatikana😂😂😂😂😂😂😂😂
Alafu dada mrembooo check miguu yake🔥🔥🔥🔥
Huyu dada ni actor mzuri sana…apate pa kufanya aseee
Jaman na mm sija chelewa sana kipindi cha leo nipeni like zangu
Kwani ulikuwa umetupa tukuekee hizo "like" unazodai
@@makenaOG Watakao towa watatowa Kam we unaona vp kausha
@@saidseleman2829 basi twambieni mwazifanyia nini coz kila mmoja "nipeni likes zangu"
yaani mwanaume unaomba like hata aibu huna ?
like unazipeleka wapi kenge wewe ?
acha ushamba 😏
@@makenaOG nambiee my
Mwijaku is a good Actor😂😂😂
😁
Mko vizuri kuigiza jama mpo serious kama kweli vile😂😂😂😂
😂😂😂 Mdada yuko vizur alafu pia mzuri na sauti nzuri
Mwijaku kasema hawezi, kumuanglia sababu hjajistir 😂😂😂ikabid avue miwani
Ila mwijaku😅
Yote tisa huyu dada anajua kuigiza bongo movie wamuone jamani😂😂😂😂
Sanaa
Sanaa
Hahahahaha mwijakuu DC umepowaaa umaepatkaa
Ila mwijaku ana akili nyingi.. kama umeona mwijaku ameupiga mwingi weka like apa
Dada apo unatakiwa ujiengeze ndio ushajulikana usipoyeze nafasi iyo ❤❤❤
Ahahhahaa
Hivi kujulikana kunakusaidia nini?,Kutaka umaarufu Dunia lkn mbinguni hamna anae kujua inasaidia nn?
Interview ni Ile TU Moja ambayo mwijaku kwa mara ya kwanza kufanya exclusive na wasafi but hii interview sio hit kama Ile
😂😂 huyu jamaa leo kanichekesha kuliko siku zote dah Mwijaku
Hivi ni kweli nimeipenda sana uwaga naalia anytime
Kama na wew umegundua motown Sanya kashindwa kuwa serious kwa mwijaku gonga like tujuanee😂😂😂😂😂😂
😅
Tatizo mwijaku ana chamba sana ndo maana Motown sanya akawa hayupo serious
Mzee kwa mwijaku ni muongeaji sana Kisha ni mtangazaji anauzowefu sana, anaemuwez ni Babalevo tu😅, wa
like unazipeleka wapi kenge wewe ?
acha ushamba 😏
Mwijaku kalamba maziwa ya papa 😂😂😂😂😂
Kwakweli Sanya nakubali mwijaku umemuweza kabisa😂
Loool Mwijakuuuu pole sana, Leo umepatikanaaa
Mwijaku anaogopa msimuache peke yake. Acje akaolewa. 😂😂😂😂😂
Mzeee Barton anapenda sana Polisi asee 😅😅😅
Na pochi lako la bei rahic😂😂😂😂 mwijaku ❤❤❤❤❤
Mwijaku unapenda kufunga dah😢😢😢😢😢
Demu anajua 😂 ira na mwijaku yuko vizuri kujitetea
Talented Sanya
Maisha ya mwijaku huyu bhana, ni kama wavuta bangi kabisa!
Napochi yako ya bei rahisi mwijaku 😂😂
Kwl Content ya Leo mmekwama Wakuu Gar wakat mwanzo wakufungua Kipind Mo_town hamkuwona Gar ilo gar la mwijaku kule mwisho mkatoa Mmechomaa hii 😅😅😅😅😅😅😅😅
😂😂Sanya alivyo chungulia simu ya mwijaku sasa😂😂😂
Mwijaku shehe wa mchongo😂😂😂😂
Eti yeye hawezi kuonana na nguo ya uchi lakini hao anaohangaika nao ni uchi mtupu
Oya saiv unaua sana hii imeenda kwa ukubwa mno😂😂😂
Mi town ni creative sana
Nimeceka kwasauti mwijaku mungu anakuona😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
sikuwahi kujua mwijaku uko smart sanaa
AAahahahaah Mwijaku ni Profesa! apewe maua yake
This nigga mwijaku is a comedian ....this shit is funny asf 😂
😂😂😂😂😂
Mamae leo mwijaku kapatikana
dada mzuri huyu kuliko mkeo mwinjaku,sema unafanya vizuri kweli kumsifia mkeo
Huo mbichwa kwenye t-shirt😂😂😂😂
Mwijaku leo kapatikana ni cheka nyiyeeeeee😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤niipenda sana
😂😂😂 Hapa Nina nini in mwijaku's voice 😂😂
Hahahaha
Wakuanza leo yani mwijaku 😂😂😂😂
Alivo wahi simu kupigia police na kanzu yakooo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
Nataka nikutie ndani, namtia ndani, nataka nimtie ndani, watu kama wewe wanatakiwa watiwe ndani😀😃😁😆
Ni mwendo wa kutiwa tyu
Mwijaku hapo unakirungu 🤣🤣🤣🤣 basi imetosha
Watching you frm Kenya nawapenda wasafi group
Mwijaku yupo cloud fm
😂😂😂😂ule msemo wa diamond umeingia cha kike 😂😂😂😅mwijaku nae kashaingia°°°🤣
Hatari mwijaku
Nipeni izo like za kumuwahi sanya jaman
Mwinjaku umefelii leooo
hongera kwa kipindi umetengeneza vizur
😂😂😂😂Ety hapa nina Alama gan mwijaku bhna huyu dada anajua kuigiza kuliko fahima
Napenda sana kipindi chenu! Nimecheka sana 😅😅😂
Dada yuko vizurii hebu Juwa kalii na Huba" wamuangaliee😂😂😂🙌 vipaji vipo vya serious kweli, Mwijaku kaingia cha kike" Sanya fanya nyengine tafuta mtoto umpeleke kwa Baba Levo Ajifanye ni mtoto wakee alimzaa nje ya ndoa kisha mtoto Akaze nakulia😂😂😂😂
Ata Mimi naona ivyo
Duh chakike
Hahahqh mwijaku fara kweli hapa nina nini 😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
Dada muongo sana😂😂😂
Nice....!🎉
Mwijaku 😂😂😂😂😂 amepatikana amecheza kiyeye amekimbia katumwa 😂😂😂😂😂
Noma sanaa
Wakwanza leo jamani nipeni like zangu
Kapatikana Leo mwijaku 😂😂😂😂😂
Aisee mo sanya ni 🔥🔥🔥
Siku hizi mnaigiza tu. Mo!! Binafsi siku hizi sioni kama kitu kipo ni serious. Naona mnapanga kwanza
M mwenyewe siwaamini ni scripted hii kabsa
Nimeipenda iyoo
Huyo dada mzuri kinoma daah
Aisee mwijaku anafurahisha eti vidume sita dada anarekodi eti chagua hapoo🤣🤣🤣
😆😂😂😆😆 mamae chezea mwanamke wewe hatari sana
Mwijaku itabidi utuambie una nn apo😂😂
Sikuhz uhalisia unapungua inaonyesha kabisa kuwa mnaigiza na watu wanapangwa..uhalisia unaanza kupotea
Hivi n kwel .Mo Town sanya. 🔥
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka sana nyie mwijaku kapatikana
Amekazaaa mwishoo kaingia cha kike yani wakitikiswa kidogo wanakimbilia polisi😂😂😂😂
Mwijaku amekiri kweli amekamatika😂😂😂😂😂😂😂😂
Tulokua hatuna kaz kumbe ndo tunafatilia .maana kipind kipo siku zote. Iweje mwinjaku asishtuke au hafuatilii haya mambo.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mtoto kama wangu kazaeee😂🤣🙌
Mwijaku ni pumbe sana ni mwanaume Asiejielewa 😂😂
so creative 😅😅🤣🤣
Daaaah mwijaku so bravo 🔥🔥🔥🔥🔥
HAHAAA MWIJAKU KAKAMATIKA HADI UNAKIMBILIA POLICE IMEKULA KWAKO
Kali sana next week noma
Noma
Mwijaku ehee kanasaaa
Dads hapa ameweza kuigiza ameweza
😅😅😅😅😅😅😅 dada wa watu mzuri hv alafu mwijaku analeta mdm
😂😂😂❤❤❤ mwijaku mtu WA Dini hawezi
Kaka mwijaku hii 😂😂😂ulipatikana ujanja wako wote 😂😂😂😂
Mwijaku apa unamsimamo nimeipenda
Mwijaku bhana mara mm msafi mara natembea na wanawake expensive inamaan sio mwaminifu
Dada anasauti nzuri nimeipenda shogaangu 😊
Hapo una nyweleee😃
Safi sanaaa
Mwijaku umepatikana babu ujuwaji kando.
Wanaoamini kuwa hawa hawajui kuigizq gonga Like hapa
Nikuwa naisubiri kwa makini sana 😂😂🥹
Hahahhaha mwijaku ako smart sana anajielewa