HAKUNA NDOA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 чер 2024
  • Jamani wanaume kama hutaki kuoa kwanini upoteze gharama ya kusumbua watu, Hapo hakuna muaji...
  • Комедії

КОМЕНТАРІ • 459

  • @HamisiChipotele-fl8xo
    @HamisiChipotele-fl8xo 2 дні тому +11

    Majemeni mbona nyie wenzangu mnapata likes me sipati 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Kijosh854
    @Kijosh854 3 дні тому +35

    Dada Asha Boko Allah akujalie afya njema InshaAllah

  • @rodgersmwagu239
    @rodgersmwagu239 2 дні тому +28

    Wangapi tumependa. Uyo demu alivotikisa Tako apo getini🤣🤣🔥🔥💯💯💯

  • @eliudmkumbwa5681
    @eliudmkumbwa5681 2 дні тому +26

    Waomba like wangekuwa wanamwomba Mungu kwa nguvu hiyo hiyo wangekuwa mbali vibaya mno, haya naomba like😂😂😂

  • @Abdul_Rashidkibet
    @Abdul_Rashidkibet 3 дні тому +34

    Iko Sawa... Ndoa zifanywe kwa mujib wa dini... Mambo ya Mila Mila nyingi na mambo mengi yanafanya vijana kuogopa kuoa.

    • @bibiswalehemwanyere5493
      @bibiswalehemwanyere5493 3 дні тому +2

      Kweli tena, Mambo mengine Yanaskitisha na ni ya ajabu sana, Joti ametufunza kwa kweli

    • @Abdul_Rashidkibet
      @Abdul_Rashidkibet 3 дні тому

      @@bibiswalehemwanyere5493 Kuna Maisha baada ya hio siku ya ndoa... Me siwezi gharamika Sana hadi niingie kwa madeni mkubwa ili tu nifurahishe watu siku moja na niishi kwa madeni na ndoa zenyewe za siku hizi hakuna uhakika wa kufika hata miaka 5

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 2 дні тому


      💯%🤝

    • @YassinGofrey
      @YassinGofrey 2 дні тому

      😂😂😂pole sana ndugu yangu, waulize wazaz wako walipata vipi ndo uongee​@@bibiswalehemwanyere5493

    • @salhawaziri1668
      @salhawaziri1668 2 дні тому +1

      ..uislam haufundishi hivyo ni haram kabisa na uzushi sasa kazi kwenu kaka zetu kuoa wanawake na familia zinazofata dini na sio Mila ..

  • @EricaBizuru-jp9by
    @EricaBizuru-jp9by 2 дні тому +7

    Doris Doris Doris unautumia vizur uumbaji wa mungu 😂😂😂hapo getini umeweza mama

  • @mheheoriginal9712
    @mheheoriginal9712 3 дні тому +40

    Joti TV NDOO comedy namba moja Tanzania nawa penda SANA from America 🙏🙏💪😁

  • @innocentjohn2142
    @innocentjohn2142 2 дні тому +1

    joti mwamba kweli kweli nakubali kazi zake❤️❤️❤️

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob 3 дні тому +20

    Wapemba nawapendaga hapo tuu, Wana majibu mawili "NO"na "YES"wamemaliza 😂😂😂😂

  • @rodgersmwagu239
    @rodgersmwagu239 2 дні тому +5

    Tulikuwa tunasubili sana joti aigize kama mpemba 💯💯🔥🔥

  • @Shadia544
    @Shadia544 3 дні тому +13

    Leo nimekuwa wa 75 😂😂😂😂😂Harusi tunayoooo 😂😂😂mara HAKUNA HARUSI BIARUSI MWENYEWE MWANA😂😂😂😂

  • @besteva499
    @besteva499 3 дні тому +5

    Yoo mama shereh bure kumbe ndoa hakuna joti bwana😂😂 wangapi mumeipenda hii❤

  • @msolekaonlinemedia
    @msolekaonlinemedia 3 дні тому +6

    sema hiyo mishangazi ya Joti ina balaa😋😋😋😋😋😋

  • @saidmo9250
    @saidmo9250 2 дні тому +12

    Joti talented Kam unaamini like hapa❤

  • @nemesisumbe6840
    @nemesisumbe6840 3 дні тому +5

    Nimefurahi kumuona Dada mwene😊

  • @chrismuganwa8634
    @chrismuganwa8634 День тому +1

    Thank you Mr Joti!! Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮

  • @official_Nanga
    @official_Nanga 3 дні тому +14

    MUNGU TULINDIE HUYU MZEE NI HAZINA YA TAIFA MPE MAISHA MAREFU

  • @PolycarpeMulumba-ef5if
    @PolycarpeMulumba-ef5if 3 дні тому +5

    Nakukubali sana bro you are 💪

  • @JamesReuben-gt8up
    @JamesReuben-gt8up 3 дні тому +10

    Sema joti ni bongo moja la comedian sioo hao wapiga kelele wakina mkojanii

  • @rajabrwambow9660
    @rajabrwambow9660 2 дні тому

    Nimeipenda ya leo hasa hilo vanga limeungurumishwa balaaa❤❤❤❤

  • @HANDSOMEDIA_bukavu
    @HANDSOMEDIA_bukavu День тому

    Congo BUKAVU tunabakubali , hatutafute likes

  • @user-nl3vl4kn9g
    @user-nl3vl4kn9g 2 дні тому

    Wakina dada wa kihindi nao Wana tabia ya taka pesa kwa bwanaharusi Mila na desturi kama kawa wahindi Wana hatari mpaka milioni Wadai uroho wakuta pesa 🥰🥳🎺🎷📯🥁

  • @elishasaidi
    @elishasaidi 2 дні тому

    tumemmisi kipande. hongereni sana team joti

  • @-thegreat-zawadimmasa307
    @-thegreat-zawadimmasa307 2 дні тому

    Napenda sana hili Kundi. From DRC

  • @tumainidaima9879
    @tumainidaima9879 3 дні тому +6

    Hatariii sio hatariii😂

  • @nemesapollo4846
    @nemesapollo4846 3 дні тому +7

    si tushatoa mahali😂😂

  • @hamzaIlunga
    @hamzaIlunga 3 дні тому +12

    From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi kaka mkubwa tupia like zangu apo

  • @MustaphaSwai
    @MustaphaSwai 13 годин тому

    Nice 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉joty fu fundi sana

  • @BundalaShija-yb4vo
    @BundalaShija-yb4vo 3 дні тому +2

    😂😂 kanyinyi, zitto na Nanga hii shooo imewafaaa😊

  • @allybaru
    @allybaru 3 дні тому +15

    Ni uhalisia ambao upo kabisa kweny Jamiii zetu ndoa nying hasa za kiislam huu mtindo upo

    • @salhawaziri1668
      @salhawaziri1668 2 дні тому +1

      Hizo ni Mila wala sio uislam..uislam haufundishi hivyo ni haram kabisa na uzushi sasa kazi kwenu kaka zetu kuoa wanawake na familia zinazofata dini na sio Mila ..

    • @user-sm6yl2ps7r
      @user-sm6yl2ps7r 2 дні тому

      Wao yenyew wamesema Mila nasio dini

    • @thetrailerzone2791
      @thetrailerzone2791 2 дні тому +1

      Hapana hta za kikristo huingii ukumbini mpka utoe mpunga nje

    • @allybaru
      @allybaru 2 дні тому

      @@thetrailerzone2791 hii mambo inakela isee

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 2 дні тому

      ​@@salhawaziri1668sasa mbona wamevaa kiislamu?

  • @chadrackrunogeza3302
    @chadrackrunogeza3302 3 дні тому +20

    Toka drc kalemie wa kwanza naombeni likes zangu 🎉🎉😂😂😂❤❤

    • @OmarSongoro-bp9pn
      @OmarSongoro-bp9pn 3 дні тому

      Kalemie ndani ya soko la katrekwee avenue ngambo ya lukuga

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de 3 дні тому +93

    Wanaume wote mnaoomba like bila shaka hamjakamilika hamna nguvu z kiume haiwezekani dume zima et naombs like ulilazimishwa kuangalia?

    • @pascalgasper403
      @pascalgasper403 3 дні тому +4

      Paula Umenuna 😂😂😂
      Hili Swala Tunatakiwa Tuanzisheni Kamati Tulikemee Kwa Kwelii 😅😅, Au Sijui Ukiwa Na Like UA-cam Wakulipa😂😂

    • @ZandaMelody-cj5te
      @ZandaMelody-cj5te 3 дні тому +4

      Hataaa Mimi Nawachukia Sanaaa....Anqalia Video Like Comment Then Kaushaaa Lakiniii Daaaahhh....Cjui Wanakuaqa Na Nyeqe Za MIK🗯🗯nd💬

    • @user-pw2sw1sk1b
      @user-pw2sw1sk1b 3 дні тому +1

      😂😂😂😂kama misheta

    • @haidarykufakunoga8869
      @haidarykufakunoga8869 3 дні тому

      😂😂😂😂😅😅🤣🤣

    • @KhairatiSulemani
      @KhairatiSulemani 3 дні тому +1

      😂😂😂😂sio kama wakenya

  • @user-nr1hn3er9o
    @user-nr1hn3er9o 2 дні тому

    Patrão Joti, nós cá em Moçambique gostamos do seu trabalho. És muito talentoso. Deus abençoe o seu trabalho 🙏

  • @NTM9320
    @NTM9320 3 дні тому +4

    zito anavyocheza kama ndio mjombaa mwali😄

  • @mwajayhaxxan5507
    @mwajayhaxxan5507 3 дні тому +12

    Mnaomba omba likes,,, kuoga aaaah😂😂😂😂

  • @mtare8942
    @mtare8942 2 дні тому +1

    mambo ya Bara , Hami J haelewi 😂😂

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 14 годин тому

    😂😂 joti hayo mambo kwetu hakuna,, na harusi hakuna😂

  • @rodgersmwagu239
    @rodgersmwagu239 2 дні тому +1

    Babahhh mlewa sheweleeeee 😊😂😂😂🔥🔥💯💯💯

  • @hassansammy1076
    @hassansammy1076 День тому

    😂😂😂😂😂😂😂 joti never disamppoint 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 nakubali wata mleta nyumbani😂😂😂😂😂

  • @SebastianDaniel-mb4nl
    @SebastianDaniel-mb4nl 2 дні тому

    From kumamoto japan naomba like😀😀

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 3 дні тому +2

    Namuona damwene na mzee mbembe raha sana 😂😂😂😂😂

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 2 дні тому +1

    Nimecheka kifala sana. Ila kweli mila nyingine izi zinazingua.

  • @TantineZuzu
    @TantineZuzu 3 дні тому +1

    Joti wewe wanibamba San 😂😂😂😂😂😂😂❤❤🇧🇮🇧🇮

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp 3 дні тому +1

    HAKUNA NDOA HAPA 😂😂 ina maana amuelewii😂

  • @liliansauwa8448
    @liliansauwa8448 2 дні тому +1

    Mjomba alivyosisitiza “laki mbili taslimu, laki mbili taslimu” 🤣🤣🤣🤣 mie hoi 😆

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 3 дні тому +5

    Mmmh kwaiyo Zanzibar ndo hawafichui au mmmh

    • @CholoFaizaan
      @CholoFaizaan День тому

      Niutani😂 tu Tz hatugombani kwautani wala hatugombani kuhusu makabila

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 3 дні тому +1

    Hivi joti Kuna mengine unakuwa umelenga stori ya mtu au yote maigizo😂😂😂😂😂

  • @OmaryShabani-nw1ib
    @OmaryShabani-nw1ib 2 дні тому +1

    Ami pkpk inawaka iyooo😂😂

  • @jordankikoti1045
    @jordankikoti1045 3 дні тому +10

    Joti nomaaa

  • @allysudi4429
    @allysudi4429 3 дні тому +1

    😂😂😂 umetisha Ami Jay. M mwenyewe izo mila za njaa zinaniboaga kinoma

  • @4bod801
    @4bod801 3 дні тому +2

    You are the best 👌

  • @lulupeter-xf9gs
    @lulupeter-xf9gs 3 дні тому

    Joti nimekumis uigizee kiboga napendaga sana yani party hileeee ❤❤❤

  • @abdoolshakuruswalehe546
    @abdoolshakuruswalehe546 2 дні тому

    Ila hiyo sio Vespa, hiyo ni click kwa huku kwetu Zanzibar 😅😅😅😅😅

  • @petrochengula9480
    @petrochengula9480 3 дні тому +5

    Ndio dawa yao mahali ushalipa halafu mambo ya mila na desturi tena nikuacha tu.

  • @Shadadihamis25
    @Shadadihamis25 2 дні тому

    Huwa wanazingua sana na hizo tamaduni zao 😅😂😂nimependa hamiiiiiii

  • @KhalidNa-bn4gp
    @KhalidNa-bn4gp 3 дні тому +3

    Familia zamabiharus mmeshapata somo😂😂 ole msubutu mtawaowa wenyewe joti umeuwa🎉❤❤❤

  • @MkasyswallehsaidSwalleh
    @MkasyswallehsaidSwalleh 2 дні тому

    Chezea wpemba wee,sie tukinuna tumenuna vyooo 😂😂😂

  • @AraphaCheki
    @AraphaCheki 3 дні тому +3

    Nimewahi Leo kidg khaa😂 nilijua wa kwanza mm

  • @Delux698
    @Delux698 2 дні тому +2

    KUNA hili li shangazi lifupi limevaa kijora cha njan0, mwenye namba please😂😂🙏🙏

  • @Petitejollie
    @Petitejollie 3 дні тому +1

    Huyo bibi harusi hapo mwisho kanichekesha sana 😂😂😂😂

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 дні тому

    Asha boko na bb harusi❤❤❤🎉🎉🎉

  • @makawan_Bway5478
    @makawan_Bway5478 2 дні тому +1

    Hilo meno ndo lakujibu Sasa Mimi Sio Muoaji 😂 🙌

  • @hilalihamisi
    @hilalihamisi 3 дні тому +2

    Mjomba kama Mjomba😂😂😂

  • @Jay_Y_Charles
    @Jay_Y_Charles 3 дні тому +1

    Ujui kidole ulichobanwaa hahahahhaha😮

  • @seifmswaki6855
    @seifmswaki6855 2 дні тому

    hahahahah imekaa sawa sana kaka dah! wanazinguaga me mwenyewe nilitakaga kususa ivi iv mala o ela za mashemej hahahahahah😂

  • @harrymakongwa1147
    @harrymakongwa1147 3 дні тому +3

    Joti kawaweza leo 😅😅

  • @salha.d5060
    @salha.d5060 2 дні тому

    Asante joti kwakutuletea wakongwe wenzio keep it up

  • @allykassim1120
    @allykassim1120 3 дні тому +2

    joti ww noma😂😂😂

  • @lvanyDaniel_pw7kk
    @lvanyDaniel_pw7kk 3 дні тому

    Wallah nime furah kumuona asha boko na huyu mwenzie 😂😂😂😂😂😂😂

  • @Dullyman_Classic
    @Dullyman_Classic 3 дні тому +15

    Wa kwanza leo nipeni Like zangu😂😂. Joti hatar sana

  • @fabiandanford3572
    @fabiandanford3572 2 дні тому +1

    Mimi hua nachukia basi tu mtu et naomba like nimekua wakwanza 😂😂😂

  • @user-mo7iq2fd8g
    @user-mo7iq2fd8g 3 дні тому +2

    shughuli ina watu kweli, nawek pending nitaichek usku nikitulia...😂😂😂

  • @user-eo1qy1zh7r
    @user-eo1qy1zh7r 2 дні тому

    Nakubali sana master ❤😂🎉😢😮😅😊

  • @mukandamaakbar599
    @mukandamaakbar599 3 дні тому +1

    Joti Mungu awabariki kua kazi zenu mnazo zifanya

  • @user-mi7yx8ew1k
    @user-mi7yx8ew1k 3 дні тому +16

    Kwan like mnapewa zinakazi gan nyie watu

    • @gynaa2314
      @gynaa2314 3 дні тому +1

      yaaaan au likes zinaleta hela jamn tuambiane mapema kila mtu likes😢

    • @vigezo
      @vigezo 2 дні тому

      Hata mi sielewi mtu unakuta analilia likes

    • @user-bx9we6xo5d
      @user-bx9we6xo5d 2 дні тому

      Wez zjua

    • @user-mi7yx8ew1k
      @user-mi7yx8ew1k 2 дні тому

      @@vigezo 🤣🤣🤣😃

    • @IluMshana-ni8xf
      @IluMshana-ni8xf 2 дні тому

      ​@@vigezohalafu unakuta ni mwanaume sasa😂

  • @h.akarim
    @h.akarim 2 дні тому

    Kazi Kubwa ☝️🇨🇩

  • @mustafampande173
    @mustafampande173 2 дні тому

    ila Mlewa 😂😂me binafsi ananifurahisha sanaa hatumii nguvu 🙌🙌

  • @BIGbone.9422
    @BIGbone.9422 2 дні тому

    "wame bana kidole gani" 🤣 wachache wata elewa 😂

  • @milimaproductions1565
    @milimaproductions1565 3 дні тому +7

    Laki mbili 😮😂

  • @AllyLukwembe
    @AllyLukwembe 3 дні тому +2

    Utanikuta bandari. 😂😂

  • @jacksonfungo9613
    @jacksonfungo9613 3 дні тому +8

    Nimekuwa wa kwanza nipeni like zangu

  • @jumakhaji1620
    @jumakhaji1620 2 дні тому

    kazi ya Uhakika Mollah hawabariki wausika wote 😂🎉❤

  • @BarakaMichael-dm2nx
    @BarakaMichael-dm2nx День тому

    King of comedy ❤❤😂

  • @user-nq2np6de6l
    @user-nq2np6de6l 3 дні тому +3

    Mjomba kakazia laki mbili taslim

  • @user-pw2sw1sk1b
    @user-pw2sw1sk1b 3 дні тому +1

    😅😅😅😅Kawakomesha lk 2 masihara usawa huu ovyoooooo😅

  • @abuu_town_tz7341
    @abuu_town_tz7341 2 дні тому

    nanga kagoma kufungua geti kabisaa😂😂

  • @panchobway3245
    @panchobway3245 3 дні тому +3

    Ila uyo mke inasemekana ni ndoa ya mkeka maana si kwa kutafuta sababu iy ili usiow t

  • @dollardavid955
    @dollardavid955 3 дні тому +5

    Wakwanza leo.

  • @mossesngalomba9961
    @mossesngalomba9961 3 дні тому +1

    Ami J alikuwa anatafuta sababu Tu 😂😂😂😂

  • @langemwepesi
    @langemwepesi День тому

    Leo jamaa wamemkoroga joti kweli😂😂😂 nani ameona

  • @KibweOnlineTv
    @KibweOnlineTv 3 дні тому +3

    Nimekuwa wa 26. Naomba likes zangu please, Lakini huyu joti anajua jamani tumpe maua yake tu 🎉🎉🎉🎉😂😂😂😅😅😅❤❤❤

  • @ambrosenorbert7756
    @ambrosenorbert7756 3 дні тому +18

    wakwanza like 10 tu znatosha

    • @emmanuelsamila1477
      @emmanuelsamila1477 2 дні тому +1

      Zinakusaidia kitu gani hizo likes?? Acheni ushoga bana yaani mwanaume mzima naomba likes naomba likes

    • @lucasAm-mp9sj
      @lucasAm-mp9sj 2 дні тому +1

      @@emmanuelsamila1477 tafuta pesa uache makasiriko

  • @user-kj2xh6bt5y
    @user-kj2xh6bt5y День тому

    😂😂😂😂 pesa noma sana

  • @HawaMkola
    @HawaMkola 3 дні тому

    Napenda sana ubunifu wenu

  • @EricaBizuru-jp9by
    @EricaBizuru-jp9by 2 дні тому +1

    Joti hii "team work" inakufaa

  • @appolonation
    @appolonation 3 дні тому +1

    Hakuna ndoa hapa 😂😂😂

  • @hamisaally968
    @hamisaally968 2 дні тому

    Hii tuliifanya kwa dada anguu😂😂 wee cha moto tulikiona wamakondee waliturushaa kwenyee mavumbii😂 na mke wakambebaa

  • @mwanamisiramadhan4773
    @mwanamisiramadhan4773 2 дні тому +1

    Hii ni tamaduni tu nakufarahia na unaotoa chochote hata buku fresh barida tu 😂😂😂japokuwa sikuhizi imekuwa karaha sanaa mpk kero kwa bwana harusi

  • @saliminimsuya
    @saliminimsuya 2 дні тому

    Una mda sana hujaigiza Babu

  • @frededward7678
    @frededward7678 3 дні тому +2

    Wa 61 jmn😂😂