AZIMIA NYUMBANI KWA DULLVAN / HUYU AKIFA NIFUNGWE MIMI | HIVI NI KWELI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 сер 2023
  • AZIMIA NYUMBANI KWA DULLVAN / HUYU AKIFA NIFUNGWE MIMI | HIVI NI KWELI
    www.youtube.com/@Wasafi_Media...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 320

  • @mwanasitisalim3606
    @mwanasitisalim3606 Рік тому +33

    Salute Kwa vullivany Kwa maswali yake,yupo vizuri sana kisheria

  • @harounali9057
    @harounali9057 Рік тому +38

    Sisi hasa tuna binaadam mwingi na huruma sana wakati mwengine wema una weza kuku zuru.

  • @ashahassan7414
    @ashahassan7414 28 днів тому +3

    Sema Duli ana roho nzuri pia amefunzwa bhana

  • @tabbygud2333
    @tabbygud2333 Рік тому +9

    Jamani, Mwenyezi Mungu Atulindie Walinzi wetu woi... Kila Kesi mlinzi jamani

  • @RAM7_TZ
    @RAM7_TZ Рік тому +36

    Mwanangu sana Mo town sanya , unawauwa sana , kazi nzuri kaka , HIVI NI KWELI BONGE MOJA LA SHOO❤❤❤

  • @danrappergangamaa1190
    @danrappergangamaa1190 Рік тому +33

    Nimefuatilia hii interview kwa ajili ya mwanetu Aliyezimia Nyau

  • @nurdinjumaa7825
    @nurdinjumaa7825 Рік тому +78

    Wanaopenda kipindi hichi naombeni like zenu

  • @skulstar5955
    @skulstar5955 Рік тому +11

    Ndomana mama hataki nikae mwenywe 😂😂😂😂🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿

  • @rehemamsengo2805
    @rehemamsengo2805 10 місяців тому +6

    Yan Sanya anavyouliza maswal kama sio yeye Allah akupe umri umrefu ila dull daaah kanywea😅😅

  • @januaryjohn2014
    @januaryjohn2014 Рік тому +9

    Mo town Sanya unaweza your are very creative my brother

  • @Smart_jarm
    @Smart_jarm Рік тому +84

    Nipeni likes asee,nimekuwa wakwanza 👆👆👆

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 Рік тому +12

    Eti Haya ni maswali ya police kesi hiyo😂😂😂😂😂

  • @bebebebe5677
    @bebebebe5677 Рік тому +16

    Kama umeipenda hii hayo ndo maswali ya polis gong like apa twende saw😂😂

  • @user-hz6dg3vb6t
    @user-hz6dg3vb6t Рік тому +14

    Best tv shows ever

  • @januaryjohn2014
    @januaryjohn2014 Рік тому +18

    Daaaaaah nimechoka Sana dull kaogopa kinoma ila mshikaji anamoyo😆😆😆

    • @ahmadmohd3771
      @ahmadmohd3771 Рік тому +2

      Kaivaaa uhusika wa mwanamke hadi kwenye maisha ndo maana angalia hadi mikao yake

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 11 місяців тому

      ​@@ahmadmohd3771😂😂😂

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 Рік тому +22

    😂😂😂😂😂Daaah!!!!!!!!! Walinzi tuna kazi Sana Kwakweli changamoto ni nyingi mnooo 😂😂😂😂😂

  • @nmasare9364
    @nmasare9364 Рік тому +4

    Hii ya leo mmezingua inaonekana kabisa mpango mlishaupanga so kama duli alikua hajui alikua anajua sema hii mmeyumba

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 Рік тому +8

    Leo Dull Van kapatikana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Nalitumpaboy-dm4tk
    @Nalitumpaboy-dm4tk Рік тому +13

    Dull umefanana na rayvanny ukivaa mpama😂😂

  • @nimrodmareges3131
    @nimrodmareges3131 Рік тому +8

    Hii kipindi naipenda sana Moo keep it up Unafanya vizuri sana

    • @hawaomary8486
      @hawaomary8486 11 місяців тому

      Karipotini police SS akifa hapo

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 Рік тому +9

    SKUHIZ HUACHI EXCLUSIVE TENA,,UNATUNGA KABISA

  • @Kuluthum-fd3mw
    @Kuluthum-fd3mw 2 дні тому

    Hiv ni kweli au comed

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 Рік тому +14

    Hiki kipindi 😂😂 kizuri kweli lakini kinamazara sana 😂ipo siku tu damu itawagika 😂😂

  • @user-sc4wo5ks8n
    @user-sc4wo5ks8n Рік тому +6

    Mr Nyau umetisha sana my brother you deserve 🫡 bro

  • @Shuu.A
    @Shuu.A Рік тому +9

    Duly leo anavua kofia akivaa tu analiona joto leo😂😂😂

  • @user-wc5vf1pc9e
    @user-wc5vf1pc9e Рік тому +6

    Ila van yuko peace sana

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 Рік тому +2

    ulichokosea kimoja tu Ilitakiwa umpeleke hospitali kwanza.. hata kama kakosea, ubinadamu kwanza mambo mengine badae ...sasa wewe unaongelea ambayo yameshatokea badala ku solve tatizo lililopo

  • @oyay2821
    @oyay2821 Рік тому +12

    Dahhhh!!! Hii na ile ya Dotto ni kali. Dully yuko ametulia kwa maswali yaliokwenda shule

  • @walinaziontime7300
    @walinaziontime7300 Рік тому +1

    Hiyooo imeenda........

  • @kaditokenya6873
    @kaditokenya6873 Рік тому +7

    ISHI MIAKA MINGI HAPA DUNIANI PAMOJA NA FAMILIA YAKO SANYAAA HIVI NI KWELI NAIONA WORLD WIDE

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 9 місяців тому +2

    Dula na ujanja wote kupatikana leo😂😂😂

  • @hassansela1393
    @hassansela1393 Рік тому +8

    Eti nimekujaje 😂 nandege 😂😂😂😂

  • @ManzabaySalim
    @ManzabaySalim 11 місяців тому +2

    Jamaa anapiga pesa wengine wanacheka hio ni nusu nusu Europe

  • @mwantumkombo3014
    @mwantumkombo3014 Рік тому +6

    Dulli kapatikana leo😂😂🔥🔥

  • @teamallyracing1780
    @teamallyracing1780 Рік тому +9

    Ni career guys sio "carrier" hio mloandika maanake ni mide usafirishaji

  • @shemsahemed3577
    @shemsahemed3577 Рік тому +9

    😂😂😂😂😂😂MBA mbavu zangu jamanii

  • @majapelinho
    @majapelinho Рік тому +3

    Kuna muda anasema mama ake ataki akae peke ake😂😂

  • @stelaprompot5180
    @stelaprompot5180 Рік тому +3

    Dula anaroho nzuri sana

  • @BOSSLADY3656
    @BOSSLADY3656 11 місяців тому +2

    Mbona hii prank mwisho mwisho nikutamu jamani😋😂😂😂hadi mm nika cheka😂😂😂😂😂

  • @ummusuley9524
    @ummusuley9524 11 місяців тому +2

    Watching u frm Kenya nawapenda

  • @ashurahatibu5069
    @ashurahatibu5069 Рік тому +1

    Mh mmejitahid wee ila waya wa mac kwa tumbo la mzimiaji umewatohoa😂😂😂😂😂 yani kazi kubwa waya uneharibu

  • @sabrinamkinga901
    @sabrinamkinga901 10 місяців тому +2

    Jamani Huyu si Nyau 😅😅😅

  • @neychuchu_love966
    @neychuchu_love966 Рік тому +8

    Najihisi nimekuwa wa mwisho kwa huu mda😂😂 naomben likes

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 Рік тому

      Zitakusaidia nn

    • @neychuchu_love966
      @neychuchu_love966 10 місяців тому

      @@rosemahenge9071 zitanipa furaha ww je kureplay text yangu umepata nn kenge manyoya we😅😅😅😅

  • @meisahabuo5856
    @meisahabuo5856 Рік тому

    Aya!!! Kakaa kwenye sofa kabisaa😂 here!!

  • @fauziasultanikilewa7602
    @fauziasultanikilewa7602 11 місяців тому +1

    Ana roho mbaya hata qwenye qiti asiqae alafu wanamtoa chooni bila awasaidie anarecod ivi qweli so poa😂

  • @ilhammsaad-oe4lg
    @ilhammsaad-oe4lg Рік тому +11

    He is soo calm jmn😂😂😂

  • @rehemamsengo2805
    @rehemamsengo2805 10 місяців тому +2

    😂😂Dulvan alipatikana wallah

  • @nizaralirashid9581
    @nizaralirashid9581 Рік тому +6

    Sema kuigiza duli kashindwa😅kioa wakati ana smile anajizuia kucheka,mkisapanga hao wasanii waambien wawe serious iwe kama ni kweli

    • @BoscoNtimba-jr2gz
      @BoscoNtimba-jr2gz Рік тому +1

      Hao hawapangwi,huwa wanashtukizwa.sema kinacho tokea ni kwamba anakuwa akirekodiwa yaani katikati ya interview

    • @dunkchainz7237
      @dunkchainz7237 Рік тому

      @@BoscoNtimba-jr2gzsasa kwani wasanii hawamjui Mo town Sanya au hawajui kipindi chake!?

    • @kondoatown8765
      @kondoatown8765 Рік тому +2

      Huo jamaa anaehojiwa mbna Kuna sehemu kakaa kma Yale yasemwayo yanamaana yke aisee ukaaji gani ? Hatuombei ila jamaa kma ni kweli Kuna nafasi ya kujirekebisha unaweza ukajirekebisha tu kwani tabia gani ? Inayoshindikana kujirekebisha

    • @elizabethkunyatila2913
      @elizabethkunyatila2913 Рік тому

      ​@@dunkchainz7237Mo alisema hivi vipindi alisharekodi vyote sasa hivi ndo wanaanza kuvirusha

    • @Swahili14
      @Swahili14 9 місяців тому

      ​@@kondoatown8765unamaanisha nn

  • @margrethamsechu7088
    @margrethamsechu7088 Рік тому +4

    Ila anaustarabu sana

  • @aishayahaya9367
    @aishayahaya9367 8 місяців тому

    Nimeipenda hiyo

  • @user-sh7vv6wd3l
    @user-sh7vv6wd3l Рік тому +3

    Niende jela ama huyu afukuzwe kazi....?

  • @kindambaonetz1949
    @kindambaonetz1949 8 місяців тому +1

    😂😂😂 mwigizaji kakutana na mwigizaji lazima kiwake 🎉😅

  • @meisahabuo5856
    @meisahabuo5856 Рік тому +1

    😂😂😂😂😂 Jamani 😂 ahii! Usanii kazi eti mm na kukubali ivikweli upete kuuliza uliza ukishaonyeshwa undumbukie ndani?

  • @bahatimtatah5680
    @bahatimtatah5680 Рік тому

    Daaah aisee ni hatari sana😄😄😄

  • @ElizaEhsas-op2pg
    @ElizaEhsas-op2pg Рік тому

    Hahaha hayo Ni maswali ya police jamn dullvan

  • @fahidashishi255
    @fahidashishi255 Рік тому +4

    Mbona ana maziwa dulvani

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe Рік тому +5

    The best one😂

  • @user-ri7rg1xx6n
    @user-ri7rg1xx6n 11 місяців тому

    Dahhh noma sana

  • @josephmchumbe4226
    @josephmchumbe4226 11 місяців тому +1

    Piga picha na izo kamera zenu hhhh😂😂

  • @WASAFY_OMY
    @WASAFY_OMY Рік тому +1

    Hii imekua movie😂😂😂😂😂

  • @nlumanga
    @nlumanga Рік тому

    Kali

  • @strawberryrachii12-xh5bq
    @strawberryrachii12-xh5bq 7 місяців тому +1

    😅😅😅😅😅😅😅😅dullah uyoo yamekufika uelewi

  • @nickolaus6188
    @nickolaus6188 11 місяців тому

    Dull wamekuweza sana

  • @TanaMidundo
    @TanaMidundo 9 місяців тому +1

    Hata ungekua wew mo town ungepagawa apo itokee kwako

  • @kilizajumainn826
    @kilizajumainn826 Рік тому +1

    Ubunifu mzur😅😅😅 ila Dili kaza sauti we kidume

  • @mussajaphet-dl4st
    @mussajaphet-dl4st 11 місяців тому +1

    Hivi ni kweli hicho kipind cho mo sanya acha ujinga ww

  • @zenamtembezi4921
    @zenamtembezi4921 11 місяців тому +1

    Mchawi uyo ameishiwa nguvu 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @tanzaleo8670
    @tanzaleo8670 Рік тому +4

    shida mo town sanya ameishiwa content za prank kabla ya ku shoot anampanga mtu atakaye muhoji na mtu kuigiza ili ionekane kua ni kweli haikua planned mi ningeshauri usitafute watu maarufu ambao tayari wanajua unachokifanya kuwa mbunifu kama zamani

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab Рік тому +2

      Bro hizi show zisharikodiwa zote na sasa ndio zinarushwa yaani hazijjapagwa

    • @felicianboss6953
      @felicianboss6953 Рік тому

      Bora umwambie°°

  • @ibrahimsadick6137
    @ibrahimsadick6137 Рік тому

    Nimecheka sana

  • @abbasram2770
    @abbasram2770 Рік тому

    Sullivan Haha jikojea kweli!!!

  • @machariagilbert3475
    @machariagilbert3475 28 днів тому

    Hatari snaa

  • @chidiibrahim6104
    @chidiibrahim6104 Рік тому +2

    Hii story nikama Ile yajuzi zinafanana

  • @jayclassicke8163
    @jayclassicke8163 Рік тому +1

    🔥

  • @malacktweve6012
    @malacktweve6012 Рік тому +5

    Hawa wasanii hawapangwi lakini hata wakipangwa shida nini kama ni burudani tunapata ya kutosha na pia tunaona upande wa pili wa wasanii ambao tulikua hatuujui

  • @SiahCiara-gg3iv
    @SiahCiara-gg3iv 11 місяців тому

    Dulla amejua kabsa hicho ni kipindi mpak anaongea na maik amna kitu hapo 😅😅😅

  • @firdauskarembo7664
    @firdauskarembo7664 Рік тому

    Me naisubiri ya gigy money tu😂😂😂

  • @bennysanga2873
    @bennysanga2873 Рік тому +1

    Duliii, eti Mama hapendagi nikae pekeangu hahahaaa

  • @user-rw8gw3eh4y
    @user-rw8gw3eh4y Рік тому

    Mmetisha saana

  • @PyxWilliam
    @PyxWilliam Рік тому

    Ihi kali😀

  • @hassansammy1076
    @hassansammy1076 Рік тому

    Dullvani pole sana kaka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @JumahamisiOmary
    @JumahamisiOmary Рік тому +6

    Bonge la move 😊

  • @meisahabuo5856
    @meisahabuo5856 Рік тому +1

    Maskini kafazaika kajua maisha Ndio yashatoka umaikini mbaya

  • @bennysanga2873
    @bennysanga2873 Рік тому

    Hahahahaaaaaaaaa jamaa kajua kujilegeza bala

  • @amadancytz3720
    @amadancytz3720 Рік тому +1

    Lakini hivi vitu vimepangwa kapangwa mpka huyo dully

  • @prosperipyana2137
    @prosperipyana2137 Рік тому +1

    Kwisha habali yake😁😁😁😁

  • @nyotajeremia8901
    @nyotajeremia8901 Рік тому +4

    Naombeni like jamani😂😂

  • @bintspeech3868
    @bintspeech3868 Рік тому

    😂😂😂😂😂😂mlizi et umekuja na ndege khaaa 😂

  • @EnickoAlfredy-di7oe
    @EnickoAlfredy-di7oe Рік тому

    Ah movie

  • @mr_reef96
    @mr_reef96 Рік тому +1

    Ila uyo dgo mwambien akaze sat ukike ushaanza kumkaa sasa

  • @shadiathemedshadiathemed8699
    @shadiathemedshadiathemed8699 Рік тому +3

    😂😂😂😂😂😂Nimechek

  • @jrankytz4886
    @jrankytz4886 Рік тому

    Leo kuna udhaifu kidogo Waya wa mic ulionekana

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Рік тому

    Nitarudi hapa, niko busy kwakweli

  • @POCHBONGEE
    @POCHBONGEE Рік тому +3

    😂😂😂😂😂kwishaa jamanii😅😅😅😅💔💔

  • @user-gn6jz4qf7o
    @user-gn6jz4qf7o 11 місяців тому

    Mchaga OG nakucheki kutokea👉🇶🇦

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 11 місяців тому

    Ila we sanya ni muuwaji😂😂😂😂😂

  • @SaoblackSaoblack
    @SaoblackSaoblack 11 місяців тому +1

    Nandege😂😂😂

  • @Halimamaere
    @Halimamaere Рік тому

    😂😂😂😂maskini dull wanguu

  • @AishaHaji-jn7sg
    @AishaHaji-jn7sg Рік тому +2

    Kawezaje kujikausha hivyoo lakini Mimi ningechekaaa siwezi ku fake kuzimia

    • @nyauclassictv805
      @nyauclassictv805 Рік тому +2

      Nilikuwa natamani kucheka ila ndo SANAA nilikuwa kazini

  • @MariamSalim-wd3nz
    @MariamSalim-wd3nz Рік тому

    Hahahahaaa dulvani kanaswaa

  • @femmyalbert7580
    @femmyalbert7580 Рік тому +1

    Uwiii haya ni maswali ya police