Binafsi Dr sule nilikua nishakutoa maana Lakin jana na leo kwa elimu hii uliotoa wallah nakuvulia kofia wakiristo acheni kiburi wallah nakwammbieni msimtumikie mzungu kila mmoja anaenda kaburi pekee acheni jeuri dini ni uislam acheni ubishi huo
Skiza mada, quran iwazi yesu alikufa, na hakuna mahali inasema hakufa. Sasa mnakufuru peupe? Mnapinga allah na maneno ya ubishi tu? Ama labda allah ni muongo tuwaamini.
To follow religion without intellectual understanding....you will be lost. Islam is a snake in grass, or islam are grasses which hides a venomous deadly snake--a viper
Basi leo nimeona mtu anajiuliza swali hua najiuliza...ni nini inawafanya wakose kuelewa vitu ndogo ndogo kama hizo??? Alafu hua nacheka nikiskia mafunzo ya huyo dactari bandia 😂😂😂
@@feiswalislam8465 mhammad ni mchokozi kawatukana wakristo sana kwenye kitabu chake cha quran kawaita makafiri ili kujitukuza yeye aonekane ni mtume wa kweli kuliko mitume wengine wote walio mtangulia nakwambia wakiristo na wayahudi ni makafiri na kwamba vitabu vilivyo tangulia vimehalibiwa ila kitabu chake tu cha quran ndio kipo sahihi yani eti kajitukuza kumshinda hata yesu ili wafuasi wake wamuone yeye ndie mtume wa kweli kuliko Yesu
Ndacha Mungu ndie mwenye kukuumba tena akakupa kipaji Mungu akulinde ubarikie unajua sana hakuna kama wew
MashaLLAH mwamba mwenyewe huyo Dr ALLAH AKUHIFADHI
MaashaAllah Masheikh ALLAH Awajaziye kheri na hata mada iloanza tamu na wakristo wameelewa Kuwa Muhammad njo wakufuatwa na ulimwengu mzima
NDACHA AKIACHWA NA SULE PEKE AKE ANAMUBATIZA ASUBUHI MAPEEMA😊
😂😂😂😂😅
Docta sulle weye ni docta kweli ❤❤❤
Dr sule allah akuhifadhi hao wakristo hawakubali ukweli.
Dr Sulle Siyo tafsiri zako towa andiko Yesu hakufa ! Mwlm Ndacha ametowa maandiko aca tafsiri zako
Anakuaga na explainations za kitoto sana 1:13:20
Hawajui kitu hawa waislam
Wewe sule hujui ndacha anakuambia alitii na kujnyenyekea unaudited hoja ya jana we eleza wp hakufa Yesu
Hi kuweni mnasema tarehe za iyo mijadala
Ndacha wew ndio dawa ya mashelk
Ndacha mwamba
Huyu ndacha kasoma kweli..na anafaa kuitwa mwalimu..waislam hamtamuweza kabisa
Ndacha upo vzr cna wape elimu??
Binafsi Dr sule nilikua nishakutoa maana Lakin jana na leo kwa elimu hii uliotoa wallah nakuvulia kofia wakiristo acheni kiburi wallah nakwammbieni msimtumikie mzungu kila mmoja anaenda kaburi pekee acheni jeuri dini ni uislam acheni ubishi huo
Didi haikupeleki pepon mjomba mjue yesu upate faida
Skiza mada, quran iwazi yesu alikufa, na hakuna mahali inasema hakufa. Sasa mnakufuru peupe? Mnapinga allah na maneno ya ubishi tu? Ama labda allah ni muongo tuwaamini.
Sule kashindwa waziwazi
Sulle leo kapatikana aisee
Mwenzetu umekubal kuwasikiliza warabu na dini walivyo kuletea hutaki ya wazungu hutaki unataka ya warabu hahaha
Waislam hamna chochote paspo kulalamika
Sis atuwez kumfuata yesu uo Uzma wa milele amupatie nyny ikiwezekan na mimba amupatie kwa sababu yesu ni mwanaume
Hujalazimishwa kucomment kama huna cha kusema...maana naona akili yako ni uji tu
Wakristo mnajizima data ,,kwa mfano hamuimini Quran lakini mnaamini baadhi ya Aya za Quran,nyingi wababsishaji tu hamueleweki
Waislamu washajua ukweli ata sule anajua lakni anawakula pesa ya waislamu bure😮
Nmecheka Sana vile mbogo amepelkwa Raba na onyango huku akijiita et ana uziefu ni kama vile Goliath alipelekwa mbio na kijana daudi
Hahaha acha fitna onyango kashindwa na maada Bado mdogo Sanaa
ALLAH amlipe kila la kheri sheikh wetu mbogo kwa elimu bora
Mdahalo uliopita mulisem yesu mung mkuu leo mnasema mwan wa mung ndacha unawapa wakristo kipigo kizitoo😂😂😂😂😂😂😂
Kiswahili ndio hakipo Kwenye akili zako.karudi darasani
Ndacha alijibu hoja zote za Şule ila Sule kashindwa kujibu hoja za mwenzie…..kamjibu tena kupitia maandiko alio soma akaishia njiani 😂😂
Qur'an the best 👌 👍 😍 🥰 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
To follow religion without intellectual understanding....you will be lost.
Islam is a snake in grass, or islam are grasses which hides a venomous deadly snake--a viper
watu wa digital Amana kitu video zinakwama kwamba sijui aliwajili anawapa awapa ela kweli
hakuna mkamilifu mkamilifu ni Allah
I LOVING JESUS
Hebu jichunguze utaona kwamba unampenda Paulo Wala si Jesus 😂
Kafundisha nini huyu muongo mbona aongelei kufufuka
MWANZILISHI WA IMANI YA WAKRISTO YUKO HAI MPAKA LEOOOOO ELEWA APO WAISLAMU
Ivi nyinyi waislamu mna akili kweli??😂
Basi leo nimeona mtu anajiuliza swali hua najiuliza...ni nini inawafanya wakose kuelewa vitu ndogo ndogo kama hizo??? Alafu hua nacheka nikiskia mafunzo ya huyo dactari bandia 😂😂😂
SULLE ELIMU YAKO NI YA KITOTO SANA,YAANI BADO HUJAKUA
Mhammad anakwenda motoni na waislamu wake wote
Ongopa hayo maneno unasemà
@@feiswalislam8465 mhammad ni mchokozi kawatukana wakristo sana kwenye kitabu chake cha quran kawaita makafiri ili kujitukuza yeye aonekane ni mtume wa kweli kuliko mitume wengine wote walio mtangulia nakwambia wakiristo na wayahudi ni makafiri na kwamba vitabu vilivyo tangulia vimehalibiwa ila kitabu chake tu cha quran ndio kipo sahihi yani eti kajitukuza kumshinda hata yesu ili wafuasi wake wamuone yeye ndie mtume wa kweli kuliko Yesu
SULE KAVURUGWA JUKWAANI , NETWORK INAYUMBA
Sule leo kapoaa kama maji mtungini. Kapewa spana hatariii
Leo ameona moto 😂😂😂