Dr Sule hongera sanaa na ustadh mbogo Allah awajaalie baraka yele am ptoud to be a Muslim nishasilimisha wawili na huu ni mwanzo tuu inshAllah my target 100 inshAllah
@@richardchimba3800hiyo biblia yemyewe unajua kama imeandikwa na binadamu anaitwa Paul baada ya kifo cha yesu kwa miaka 500? Imebadilishwa badilishwa na zipo 63 na tofauti tofauti. Quran moja peke yake. Mqnyezi mungu kasema ataihifadhi Quran na imebakia hivo hivo na imehifadhiwa na millions ya waislamu. Nyie leo biblia ikitupwa kwenye bahari dini yenu imepotea. Sisi mpaka watoto wa miaka 15 wameihifadhi yote neno kwa neno herufi kwa herufi.
Mnazaa kwa uchungu halafu mnasema yesu kabeba zambi zenu wakati wanawake wanazaa kwa uchungu mwanamme anatafuta kwa jasho mcjidanganye Kila mtu atabeba mzigo wake endeleeni kujidanganya nafc zenu
Maskini wakristo mnamuita yesu mungu saivi mnatunga uongo kweupe polenini yesu ni Nabii kama manabii waliotangulia wote mcvike uungu Kila nabii Ana miujiza aliopewa na mungu iweje miujiza ya yesu awe yeye mungu yani nyie mungu mnamfanya kama kimdoli akili kweli ni nywele kilamtu Ana zake
Kipofu ni wew usiojua bibliyaa yako. Vip vitabu vya mungu viwe 70. Allah hana mpango w vitabu 70 hlaf vije viandikwe n binadamu. Kueni wasomi. Ondoa ushabiki. Yanga, simba ndionafas, yako wewe
@@mudiali4506 hawa wakristo biblia yao imeandikwa baada ya miaka 500 baada ya yesu kufa. Imeandikwa na Paul ambae hata hajakutana na yesu wala hamjui. Halafu huyo Paul hawamjui hata jina la baba yake, hawamjui huyu mtu ni nani hasa.. ndio maana biblia haiaminiki. Na zipo nyingi na zina utafauti. kuna contradictions kwenye hizo Biblia, vipi utaamini ni uongo tu wa huyo Paul
Huyu anasema yesu kafa siku ya kwanza alisema yesu ni mungu na siku ya pili anasema yesu kafa na huyo ndo wanamtakidi kuwa mungu na mungu hafi, wakristo wanakubali mungu wao kafa Sasa nani anawasimamia?
@@mudiali4506 Siyo ahabaha yangu. Mwenye nahubiri ni Yesu kristo aliye hai anayetupatiya uzima wa milele kupitiya kifo na ufufuko wake tukimuamini kama bwana na mwokozi wetu
Kama Mungu wako ni yesu aliye surubiwa sawa sasa lakini alipo zaliwa na udogo ule dunia ilikua nani?na alipo kufa zile siku tatu akiwa mauti je dunia na vilivyomo ndani yake vliongozwa na nani?
@@JumaAthumani-vb8us Yesu kristo ni mwana wa Mungu. Asili yake ni ya Mungu. Alitumwa na baba yake kama mwanawe. Alikufa yeye aliye mwana kondoo wa Mungu na alifufuka yuko hai. Alikuja kwa jina ya baba yake, Mungu. Kwahiyo anahaki ya kuitwa Mungu.
Ukweli mkiristo amemlemea muislam kabisa wacha kudanganya watu na uongo wewe sule hata wewe unajua na kama hujui basi wewe mbali na ujinga na Dr bado huelewi
Wakristo dini yao inaqababaisha. Waungu wao watatu na wanababaisha babyish tu. Wazungu wenzao wameshawacha hiyo dini zamani. Wanaingia uislamu kwa makundi
This is a man arguing with the Holy spirit but the other is being guided by demons,,demons dd not witness the death since they could not stand the presence of the Holy spirit in intense glory,,,thus why Islamist are lost coz are lead by demons
Ndacha Mungu akubaliki
Baba Sule unajitahifi sana kueleza vzr!ila tatizo Ndacha haelewinamna ya kujibu kwa ufasaha
Masha Allah Dr Sule
Waislamu hawana points hapo Ndacha uko sawa sana
Wapinga Kristo
Mashallah mastadhi wangu
Hongera sana dr
Sule ameshindwa waziwazi
Dr Sule hongera sanaa na ustadh mbogo Allah awajaalie baraka yele am ptoud to be a Muslim nishasilimisha wawili na huu ni mwanzo tuu inshAllah my target 100 inshAllah
Walikuwa wote wa uislamu wameshindwa na ndacha 😂😂😂
@@richardchimba3800hiyo biblia yemyewe unajua kama imeandikwa na binadamu anaitwa Paul baada ya kifo cha yesu kwa miaka 500? Imebadilishwa badilishwa na zipo 63 na tofauti tofauti. Quran moja peke yake. Mqnyezi mungu kasema ataihifadhi Quran na imebakia hivo hivo na imehifadhiwa na millions ya waislamu. Nyie leo biblia ikitupwa kwenye bahari dini yenu imepotea. Sisi mpaka watoto wa miaka 15 wameihifadhi yote neno kwa neno herufi kwa herufi.
mashallah Dr sule uwislam nuru 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Allah azidi kuleta kher mashaa llah
Ameen yaraab
Wislam nuru kabisa
Kutoka congo kalemie
Poleen mliopotea kerbn uislam
wakirsto ndio wapofu bc wanaita yesu mungu na pia yesu akona mungu
Big up tu be Muslim
Ni waz dr sule ameshindwa kabisa
Arguing with none witnesses, when was the. Islam formed
We sule achakupoteza watu, mungu gani afe kama binaadam wake
SULE AMESHINDWA HOJA
Sure anakichwa kigumu,mwache akomaze shingo hatimae ivunjike.
Tatizo hawa ,wanaongozwa na mapepo ,huyu jamaa hata udoctor sijui nani alimpa
Naomba Mlete mdahalo wa Je ISSA BIN MARIAMU NDIO YESU?waseme huyo wao ambae hajafa na Kristo aliyekufa [Mungu katika Roho na mwanadamj katika mwili)
Sule hapo umegonga mwamba huyo ndio Ndacha
I don't understand where this name Dr sule come from
Me too
WAISLAM HAWANA HOJA KABISA NI USHABIKI TU KAMA MPIRA
Wewe fanya dhambi yesu ameshabeba hiyo ndiyo hoja
Mm ningekua muislam leo ningeachana na uislam na kufuata ukristo ndini ya kwel na uzima
Ukristo ni ukafiri
yani ni sawa na kusema engelikuw wew ni mstaarabu wenge achana nao kisha ukaenda kufuata usiokuwa ustaarabu
@@sadiqkivunjor5698uislam ndio ukafiri wa wazi
Mnazaa kwa uchungu halafu mnasema yesu kabeba zambi zenu wakati wanawake wanazaa kwa uchungu mwanamme anatafuta kwa jasho mcjidanganye Kila mtu atabeba mzigo wake endeleeni kujidanganya nafc zenu
Maskini wakristo mnamuita yesu mungu saivi mnatunga uongo kweupe polenini yesu ni Nabii kama manabii waliotangulia wote mcvike uungu Kila nabii Ana miujiza aliopewa na mungu iweje miujiza ya yesu awe yeye mungu yani nyie mungu mnamfanya kama kimdoli akili kweli ni nywele kilamtu Ana zake
Qoran aiwezi ongoza mwanadam abaki salama
Where said juma kinyogori is?
Hongera sana mchungaji ndacha waislamu vipofu wanaona majini kwenye Vitabu😂
Kipofu ni wew usiojua bibliyaa yako. Vip vitabu vya mungu viwe 70. Allah hana mpango w vitabu 70 hlaf vije viandikwe n binadamu. Kueni wasomi.
Ondoa ushabiki. Yanga, simba ndionafas, yako wewe
@@mudiali4506 hawa wakristo biblia yao imeandikwa baada ya miaka 500 baada ya yesu kufa. Imeandikwa na Paul ambae hata hajakutana na yesu wala hamjui. Halafu huyo Paul hawamjui hata jina la baba yake, hawamjui huyu mtu ni nani hasa.. ndio maana biblia haiaminiki. Na zipo nyingi na zina utafauti. kuna contradictions kwenye hizo Biblia, vipi utaamini ni uongo tu wa huyo Paul
SULE UNATIA HURUMA. umeshindwa na hoja peupe... Maswal hujui kujibu..
mbona mmeikata kata mnaogopa ianzie mwanzo
Mie naona majini mnaona nyie wakristo mnoyatoa kanisani kilacku pepo toka pepo toka kwa Jina la yesu mungu anatahiriwa mcba mkubwa huu
Kama yesu mungu mbona hakujua kama ule mti aliokuwa anaufata alivyokuwa na njaa hauna matunda?? Jamani wakristo mbona mnamdhihaki mungu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wakiristo hamna lolote,mara yesu MUNGU mara mtoto wa MUNGU mara mtu.
Wewe husikilizi kwa kuelewa na kama una sikiliza na hauelewi basi kaombewe jini karini akutoke kwanza ufunguke ubongo😂
@@mobutu3884 wakati yesu hajui vitu anaonesha udhaifu miasma mtoto wa mungu mkishakwama. Mkisahau munamupa uungu. Acheni kuabudu kiumbe cha mungu.
@@mobutu3884 wew ndo ukaombewe na waislam usamehehe dhamb zako maan mungu mnamfananisha na aliemtuma
Huyo wakuuliza swali mbanahaeleweki kiakili kamaamepungukiwa
Leo hii ipo live
Dr sule muongo kabisa😂😂😂
Kweli kabisa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ndacha motoni
Ashakubali kama hajafa meambie atakufa kin
Dacha unaongojewa na moto ya jahanam una daganya watu
Huyu anasema yesu kafa siku ya kwanza alisema yesu ni mungu na siku ya pili anasema yesu kafa na huyo ndo wanamtakidi kuwa mungu na mungu hafi, wakristo wanakubali mungu wao kafa Sasa nani anawasimamia?
Wakristo wana masikio lkn hawasikii wana macho lkn hawaoni ila mungu humuongoa amtakae yule ambae atakae kujifunza
Wanamuabudu kiumbe sijui akili zao ziko wapi😂😂
Sulle Hana lolote😂😂😂😂😂
yani sisi wakiristo tunawaita machizi maarifa yan8 kama wanazo lkn hamna kitu
Majini ya Sule hazimsaidie hata kidogo. Hoja zimemshinda kabisa. Hata pete haimsaidie. Jahazi la uislamu umezama kabisa.
Wew Si ujitokeze utoe mdahalo wako wakujuwe
@@mudiali4506 Siyo ahabaha yangu. Mwenye nahubiri ni Yesu kristo aliye hai anayetupatiya uzima wa milele kupitiya kifo na ufufuko wake tukimuamini kama bwana na mwokozi wetu
Kama Mungu wako ni yesu aliye surubiwa sawa sasa lakini alipo zaliwa na udogo ule dunia ilikua nani?na alipo kufa zile siku tatu akiwa mauti je dunia na vilivyomo ndani yake vliongozwa na nani?
@@JumaAthumani-vb8us Yesu kristo ni mwana wa Mungu. Asili yake ni ya Mungu. Alitumwa na baba yake kama mwanawe. Alikufa yeye aliye mwana kondoo wa Mungu na alifufuka yuko hai. Alikuja kwa jina ya baba yake, Mungu. Kwahiyo anahaki ya kuitwa Mungu.
Kwa haki kabisa Sule ameshindwa wazi wazi sema ndacha ni mstaraabu tu
Mbona mmeikata mnaogopa kuweka yote
Amekirimiwa jina lipitalo kila jina hili kwajina kila koti lpikwe
Acha uongo eti nguo 1 Ina rangi mbalimbali😅😅😅😅
QURAN 5:117
Huyo ndacha hajibu maswali anapoteza watu tu. Mungu gani anakufa. Anakula anaenda chooni. Mungu wa kikristo vichekesho😂🤣
Yesu aliuvaa uwanadam ivyo lazima aish kama mwanadamu
Ukweli mkiristo amemlemea muislam kabisa wacha kudanganya watu na uongo wewe sule hata wewe unajua na kama hujui basi wewe mbali na ujinga na Dr bado huelewi
Wakristo hawana akili kabisaa na wala hawaoni😂
Mbona Sule ameshindwa 😂😂😂😂
Wakristo dini yao inaqababaisha. Waungu wao watatu na wanababaisha babyish tu. Wazungu wenzao wameshawacha hiyo dini zamani. Wanaingia uislamu kwa makundi
Ni waz dr sule ameishiwa sasa swala la nguo na kufa kwa yesu wap na wap mbona swal lake ni nje ya mada
Yesu kiumbe jamani wakristo. Yeye mwwnyewe kamsujudia mola. Acheni huo ukafiri
Wewe unaabudu na mashetani msikitini uko salama kweli.
Ukafiri mnao nyinyi waislam wote
Hoja za sulle, ni weak, so weak
Dokta sule nakoombea kwamungu ukapate pepo yapamoja na masohaba wamtume mohaamadi
Huyo ndacha mbona anawapotezea tu mda yaan haelewi hata anajibu Nini na ameulizwa Nini .
Nguvu ya pete 😂
User tulia ikuiingie soma vitabu vyako acha tegemea lucifer
This is a man arguing with the Holy spirit but the other is being guided by demons,,demons dd not witness the death since they could not stand the presence of the Holy spirit in intense glory,,,thus why Islamist are lost coz are lead by demons
Dacha unaongojewa na moto ya jahanam una daganya watu
Anawapoteza wenzake huyu ndacha. Moto unamsubiri