Mashaalah Ramadhani mwenyezi mungu akuhifhadi una mfahamu ndacha vyema na kumkaba vyema kwa maana yeye ana hepa hepa maswali na kuileta qauli mpya juu yake, sasa suali Rahisi ni kwamba wapi kwa vitabu vyao yesu mwenyewe kasema mimi ni mtoto wa mungu aw mimi mungu bila ya kusemewa na kina paulo aw wengine. ndacha atoe kwa bibilia wapi yesu kwa kinywa chake kasema yeye ni mwana wa mungu.hii ni ukafiri thahiri.
Shukran sana jazakallah heri inshalla ndacha ataslimu tu polepole unampeleka bila fujo sheikh ramadhn Allah awajaze heri na umri mrefu muweze kuwaelimisha kina askofu na ndacha ❤❤❤❤❤❤❤
Pongezi Alhamdulillahi. Ndacha ni Muongo mzushi. Allah ameeleza wazi jina la Mtume anayeitwa na akina Ndacha eti Yesu ni Isa bin Mariam. Lakini ndacha ajua akitumia jina Isa bin Mariam Ukristo utaporomoka. Kwa hivyo, ili Ukristo upate uhai ni muhimu sana kwao kuzua hilo jina Yesu na kudai eti lilitamkwa na Malaika aliyetumwa kwa Bikra Mariam kumpasha habari ya kumzaa mtoto. Kwani Malaika alikuwa akiongea Kiswahili? Je ni Malaaika ndiye aliyesema, mtoto wa Bikra Mariam ataitwa Yesu?
@prochesernest5439 Acha kuongea uwongo. Majini ni viumbe vya Mwenyezi Mungu kama viumbe wengine. Kuna wema na wabaya. Na wameumbwa ila hawaonekani. Hata Malaika hawaonekani na watu.
@@mutomubaya kazi mnayo waislamu kuwatetea majini mashetani ndungu zenu mnayatete kwasababu ni viumbe mbona shetani ni kiumbe hamtetei mnawatetea wadogo zake shetani majini hayo hayana tofauti na huyo shetani mmedanganywa na Muhammad heti wameslimu wamekuwa waislamu nyie yakumbatieni Cha moto mtakipata sis wakristo hatuna ushirika nayo hayo majini mashetani ndiomaana tunayafukuza Toka huko njoo Kwa Yesu kristo mwokozi wetu hupone jehanamu ipo nakupa Aya quruan 6:128 hona yanavyojivuna njinsi yanavyonufaishana na nyie waislamu wewe hakuna majini mashetani wazuri Toka huko
Kazi nzuri Ustadh Ramadhan kwa kuleta waalimu tofauti tuskie kauli zao.. Naomba Allah akujalie uzidi na hii show 😊. Thanks for hosting Ndacha coz yeye ndio Baba Yao wakikristo lakina baado hawana kauli
Shekhe asnt Sana kwa arimu yako ss nime erewa kwa utalatibu mzuli. Mno alla ukupe arimu zaidi na mwisho mwema lakn naomba alla anifishe Hali yakua ni musilim 🎉❤❤❤❤❤❤❤
Kumbe ndacha ni mwepesi kiasi hiki, anakubali yesu ni mtume, lakini pia anakubali si mungu, anakubali Mungu wa pekee ni baba nadhan haya si majibu mazuri sana kwa wakiristo wenzake wakisikia - Kazi nzuri Sheikh Ramadhan
MASHAALLAH ALLAH S.W.T akuongoze akupe afya na maisha marefu ili uwalete hao wanaoshirikisha ALLAH S.W.T katika njia ilio nyoka (street path )watoke ngiza waje nuruu na dacha ALLAH S.W.T amuongoze amulete nuruu. Dacha anajua ukweli lakini sababu ya pesa hawezi
Kila ilinichekesha ni aliposema huyo pasta yesu ni nabii na bado anaita Mungu.. anajipinga yeye mwenyewe .. Mungu amwongozo wakiristo walio na moyo ya kuona ukweli .. si macho inaona ukweli bali ni mioyo❤
@@anwarambar6141 a Bible ilikuja kabla Quran haijadika... bible Niya 600Bc bt Quran ni ya 7 century... Waislamu mlicook vitu kutoka kwa bible... Enda kwa historia uone gani ndio ilitanguliq ndio uanze kupingana ...
@@anwarambar6141 bible ilikuja mbele ya Quran na mambo iko kwa bible ndio imefogged to Quran... Mkibwdilisha majina ety yesu khisa.... My friend go back to the root
Assalamualaikum warahmatullah wabarakatuh nimependa hiki kipindi ,ALLAH Akulipe Kila lakheri ustadh kwa kuzidi kuipambaniya dini Ya ALLAH ,ila ningependa tu kugusiya pastor ndacha nimewahi kufatiliya mdahalo wako ukihakikishiya Watu kuwa yesu Ni MUNGU ila Leo umeeleza tena kuwa yesu sii MUNGU ni Vizuri Sana kwa kijikosowa kwenye kauli zako
Mungu wa kweli na wapekee na awape mafunuo zaidi ya uchambuzi na mafundisho ya kweli ili kila.aaminie na kuifuta njia ya kweli ya uzima apate kuyapokea na kuifuta kweli yake
InshaAllah step by step nuru ya Hidaya itakuja kuenea ulimwengu mzima ,kwa hivyo Ndacha pia ni maalumat yameongezeka na kupata kujua kuwa Yesu siyo Mungu,binadamu wote siku zetu zote haziwi sawa ,tuzidi kupanda marhala za juu siku baada ya siku...na Ndacha pia twamuombea Hidaya na wengine wengi kama yeye..
Kama jini anaweza kujibadilisha awe mnyama, ndege, binadamu n.k. Mungu muumba wa viumbe vyote yeye hawezi! Sisi tunajua ni Shetani hawezi kubadilika kwa hivyo kama Allah hawezi kubadilika basi yeye si yuko sawa na Shetani. Enyewe hata sifa zake kama Al-Makir, Al-Muzil ni sawa na sifa za Shetani
Mwalimu Ndacha barikiwa sana kwa kujitolea kuwaelezea ukweli ili na hao waamini Yesu kristo ni mwana wa MUNGU aliyetukufia msalabani ili tukombolewa sisi wenye dhambi ili tumtambue yeye ndo njia ,ukweli na uzima wa milele.
Cha maana ni kwamba watu kujua kama Yesu anaweza kushuka Leo na kuhubiria WAISLAAM hawawezi kumkubali ila tu watamkana kama wayaudi,sababu wao wanamjua ISSA bin maria period.But filling to know in him was God.he was prophicied by the prophets in old testament like Isaia untill he was born by Mary as the son of God.Jesus with time told Jewish before there was Abraham I am.yaani kabla kuweko kwa abrahan alikuwa lakinq hakuwa amechipuka kutoka kwa babake Mungu Ili azaliwe na Mariam lkn wakati ulipowadia Mungu karuhusu kuzaliwa na Mariam ila si kwa njia ya mapezi ya baba na mama.
You are blasphemy you ought to repent your sins because there is no words of good in bible juses was right to say his father is god coz every creature his father is god juses he did not guilty but his disciples they were fool to write life of Jesus and add their unknown things they mislead people and God decided to sent Mohammed as light path to all people who going astray
Pastor ndacha unaelezea yesu mwenye umjui waislamu assalamu Alaikum warahmatulahi wabarakatuh sii tushukuru Mungu kwa kutujulisha mengi kuhusu mitume wote allihamudulila (tujitahidi kitafuta pepo Isa -bin Mariam karibu anarudi na vile munavyio juwa yeye ndie atakuwa swalisha )hiyo siku 😢 jee Imani mtakuwa Bado nayo ? Allah atusaidie tusipotoshwe 😢🤲🤲🙏
Mimi ni mzaliwa wa mozambique wilaya ya mwidumbe kabila la kimakonde 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 Pastor na kukubali sana mana una jua kwongea kwa kufafanua jisi ya bwana wetu yesu klisto 🇲🇿
Yesu yuh Mwana wa Mungu. Hiio ndio hata mwisho wa dahari, Shetani alijuwa kuja kwa Mwana wa Mungu ila hakiwa na uhakika hata alpokuwa yupo duniani alifanya udadisi, naye uishi na kusema Mungu hana mwana, Luka 4: 1-9 angalia swali lake kwa Yesu. hakula cho chote , kwa hiyo baada ya muda huo aliona njaa. 3 Shetani akamwambia, “Kama wewe ni Mwana wa Mungu, amuru jiwe hili liwe mkate.”
Hongereni walimu,nyie mmetulia kila mtu anampa mwenzie kujieleza,Sio kina Mazinge makele tu kama walevi,nyie ni big up kila mtu ameelewa kwa iman yake,Ndacha nakuelewa
Kwa mujibu wa biblia wanaadamu wengine sio wana wa Mungu? Kama na wao ni wana wa Mungu, sasa kuna tofauti gani kati ya yeye na sisi katika suala la kuitwa mwana wa Mungu.
Manshallah sheik ramadan kuri mungu hakusadia kaka
Kazi nzuri ndacha hebu wachambulie biblia wajue Yesu ni mwana wa Mungu kiroho
Ndacha God bless you..Good work for God's kingdom
Ma sha Allah shk ramadhan Allah akupe afva na maisha marefu.pst ndacha naye mwenyezi mungu amwongoze kwa njia ilinyooka.
Well done Ndacha good work
Mashaalah Ramadhani mwenyezi mungu akuhifhadi una mfahamu ndacha vyema na kumkaba vyema kwa maana yeye ana hepa hepa maswali na kuileta qauli mpya juu yake, sasa suali Rahisi ni kwamba wapi kwa vitabu vyao yesu mwenyewe kasema mimi ni mtoto wa mungu aw mimi mungu bila ya kusemewa na kina paulo aw wengine. ndacha atoe kwa bibilia wapi yesu kwa kinywa chake kasema yeye ni mwana wa mungu.hii ni ukafiri thahiri.
Shukran sana jazakallah heri inshalla ndacha ataslimu tu polepole unampeleka bila fujo sheikh ramadhn Allah awajaze heri na umri mrefu muweze kuwaelimisha kina askofu na ndacha ❤❤❤❤❤❤❤
Amiin amiin amiin
Kiukweli ndacha hatumuelewi akiulizwa swali anakutilia aah unajua unajua😄😄😄
Ndacha your a wonderful teacher!! Grorly to God!!
kazi nzuri huyu huyu ndacha ndo alifanya nikasilimu nameombea Allah amuonyeshe pia njia ya haki
ALLAHU AKBAR
@@HamdiNuh umeslimu kujiunga na majini mapepo wachafu mashetani hapo vip ? Toka huko umepotea vibaya mno
Pongezi Alhamdulillahi. Ndacha ni Muongo mzushi. Allah ameeleza wazi jina la Mtume anayeitwa na akina Ndacha eti Yesu ni Isa bin Mariam. Lakini ndacha ajua akitumia jina Isa bin Mariam Ukristo utaporomoka. Kwa hivyo, ili Ukristo upate uhai ni muhimu sana kwao kuzua hilo jina Yesu na kudai eti lilitamkwa na Malaika aliyetumwa kwa Bikra Mariam kumpasha habari ya kumzaa mtoto. Kwani Malaika alikuwa akiongea Kiswahili? Je ni Malaaika ndiye aliyesema, mtoto wa Bikra Mariam ataitwa Yesu?
@prochesernest5439 Acha kuongea uwongo. Majini ni viumbe vya Mwenyezi Mungu kama viumbe wengine. Kuna wema na wabaya. Na wameumbwa ila hawaonekani. Hata Malaika hawaonekani na watu.
@@mutomubaya kazi mnayo waislamu kuwatetea majini mashetani ndungu zenu mnayatete kwasababu ni viumbe mbona shetani ni kiumbe hamtetei mnawatetea wadogo zake shetani majini hayo hayana tofauti na huyo shetani mmedanganywa na Muhammad heti wameslimu wamekuwa waislamu nyie yakumbatieni Cha moto mtakipata sis wakristo hatuna ushirika nayo hayo majini mashetani ndiomaana tunayafukuza Toka huko njoo Kwa Yesu kristo mwokozi wetu hupone jehanamu ipo nakupa Aya quruan 6:128 hona yanavyojivuna njinsi yanavyonufaishana na nyie waislamu wewe hakuna majini mashetani wazuri Toka huko
Yesu si Mungu.
Ndacha Mungu akuzidishie uvumilivu na hekima
Ndacha kafanyaje sasa
Kazi nzuri Ustadh Ramadhan kwa kuleta waalimu tofauti tuskie kauli zao.. Naomba Allah akujalie uzidi na hii show 😊. Thanks for hosting Ndacha coz yeye ndio Baba Yao wakikristo lakina baado hawana kauli
Walahi tushukuru Allah kwa kutupa Nuru waislamu 😢
ISAYA 44:24 NATAKA majibu yesu anasema yeye aliyekuwepo na Mungu wakati ISAYA Mungu anakataa alikuwa pekee yake
KITABU CHA MORMONI WANASEMA KILA MWANADAMU ALIKUWEPO KABLA YA KUZAKIWA
@@zahraabdul9652 nuru au giza!
@@zahraabdul9652 hebu nimulikie nuru iliyoko katika uislamu
Barakallah fique, mashallah Sheik Ramadhan mwenyezi mungu akudizishie na akupe maisha marefu uzidi kuwazindua ndugu zetu Hawa. Hakika wako katika kiza!!!
Shekhe asnt Sana kwa arimu yako ss nime erewa kwa utalatibu mzuli. Mno alla ukupe arimu zaidi na mwisho mwema lakn naomba alla anifishe Hali yakua ni musilim 🎉❤❤❤❤❤❤❤
Ustadh Ramadan mungu ndeye atakulipa jaza yako kwa mungu
Kumbe ndacha ni mwepesi kiasi hiki, anakubali yesu ni mtume, lakini pia anakubali si mungu, anakubali Mungu wa pekee ni baba nadhan haya si majibu mazuri sana kwa wakiristo wenzake wakisikia - Kazi nzuri Sheikh Ramadhan
Ndacha 4 life and proud to be a Christian ❤❤
Kazi nzuri .mashallah sema ndacha anajua ukweli sema ndo ili abishe ndo awe mkristo.....ubishi kaumbiwa
Allah awajalie mashekhe wetu uwislam tume utupa kwenye hi ibada
Mungu akubariki sana mtumishi ndasha
Sheikh Ramadhani Bin Kuria ... Maashaa Allah 💖 ...
Mafunzo Mazuri .. Tunafahamu Alhamdulillaah
MashaALLAH Ramadhan ALLAH akupe maisha marefu , ndacha mpaka asilimu asitoke hapa
Jazaka Allah Kheir Sheikh Ramadhan
Kazi yenu ni nzuri sana watu wa Mungu. Naamini elimu hii inatufundisha wengi.
Barakallahu fikum sheikh wetu,,Allah azidi kukupa hekma. Ndacha Allah amuongoze. Musabato
Mungu akubariki sana Ndacha kwakuelimisha hao waeslam
Kazi nzuri huwenda wakaijuondoa matanga poli wakamjua Mungu wa kweli.
asalam aleykum
ALLAH akuhifadhi sheikh ramadhan
nashauri ndacha awe anaheshimu QUR AN asiwekee simu na aishike kwa nidhamu mzingatie hilo
kazi nzuri sana jazakallahu kheir
Ustadh naomba uichambue video hii vizuri umuanike ndacha amejichanganya sana na kusema kauli tofauti tofauti anapoulizwa swali kwa mara ya pili
Hii ni sehemu ya kwanza
Masha’allaah Mashekhe wetu Allah azidi kuwapa tawfiq yaarabbal alamin.
Masha allah ramadhani kuria kwa kazi yakoo mungu akupea nguvuu
Mungu akuongezee Upako Mtumishi NDACHA.
Meu pastor ndacha Deus te abensoe ❤❤
Baarakallahu fiikum straight path daawah
Ndachaaa❤❤
Assalam Aleikum Warahmatullah Wabarakatuh mashallah sheikh ramadhan Allah akulinde sheikh wangu
MASHAALLAH ALLAH S.W.T akuongoze akupe afya na maisha marefu ili uwalete hao wanaoshirikisha ALLAH S.W.T katika njia ilio nyoka (street path )watoke ngiza waje nuruu na dacha ALLAH S.W.T amuongoze amulete nuruu. Dacha anajua ukweli lakini sababu ya pesa hawezi
alhamdulillah, maashaallah mwalim
Ustadh khalifa hogera umetulia kazi nzuri ma sha Allah
Allah akuzidishie hekma
Kila ilinichekesha ni aliposema huyo pasta yesu ni nabii na bado anaita Mungu.. anajipinga yeye mwenyewe .. Mungu amwongozo wakiristo walio na moyo ya kuona ukweli .. si macho inaona ukweli bali ni mioyo❤
Bibilia inasema hivyo wewe ni nani
@@bitsanjE so mwalimu pia ni mwanafunzi 😂😂. Nyie mnajichanganya sana aisee. Yesu ni Nabii na tena Mungu how nah
@@bitsanjE IMEANDIKWA MINGU HANA MFANO NA HABADILIKI BADILIKI NA HAKUNA ALIYEMUONA MUNGU SO YESU HAWEZI KUA MUNGU MUNGU HAONEKANIKI IPO WAZI HYO
Allah amuongeze nguvu amulide ampe afya dawa iendelee kwa neema ya uislamu barikiweni sana sana kwa mafundisho bora Allhamdhillah
Mekwenda vizuri ndani ya mjadala kongole wenyekujifunza wananafasi mungu awaongoe maelezo yenu mvuto kwa wenye hekima ya kielimu Allahu karim🙏
maashallah umefanya vrz sana shekh
Ndacha Mungu akuzidishie
Jazakumullah khair InshaAllah...
Mshallah kazi nzuri mashkehi wetu na pasta in shaa Allah ata silimu tu
Aamiin Yaa Rabb
dah! ndacha leo kapata mwamba wke, shekh ramadhan MashALLAHu
Mwamba gani kujipa moyo tu😂
She ramadhan mungu akubarik
Ndacha is the man of God... He is my guy in one religion.... E truth in you is the light of the world
eti Ndacha ni A man of God usiwachekeshe walio nuna
@@anwarambar6141 a Bible ilikuja kabla Quran haijadika... bible Niya 600Bc bt Quran ni ya 7 century... Waislamu mlicook vitu kutoka kwa bible... Enda kwa historia uone gani ndio ilitanguliq ndio uanze kupingana ...
Look at what the old man is saying, let's come to Islam so that the infidels don't die
@@barutiabuu9492 I can't join dini ya waaasi na kuuwa watu ety mwende mbinguni direct... What is that.... Mjifunze kuwa wema kwa ata...
@@anwarambar6141 bible ilikuja mbele ya Quran na mambo iko kwa bible ndio imefogged to Quran... Mkibwdilisha majina ety yesu khisa.... My friend go back to the root
mashallah sheikh Ramazani mwenye akiri timamo amesikiya
Waaleikum Salaam warahmatullah wabarakatuh
May Allah guide him.
Allah awajaliye afya njema na subra wahadhiri wetu
ua-cam.com/video/L_iOjl7Pn0s/v-deo.htmlsi=UjcPhUHJbuHpNhdr
Assalamualaikum warahmatullah wabarakatuh nimependa hiki kipindi ,ALLAH Akulipe Kila lakheri ustadh kwa kuzidi kuipambaniya dini Ya ALLAH ,ila ningependa tu kugusiya pastor ndacha nimewahi kufatiliya mdahalo wako ukihakikishiya Watu kuwa yesu Ni MUNGU ila Leo umeeleza tena kuwa yesu sii MUNGU ni Vizuri Sana kwa kijikosowa kwenye kauli zako
Mungu wa kweli na wapekee na awape mafunuo zaidi ya uchambuzi na mafundisho ya kweli ili kila.aaminie na kuifuta njia ya kweli ya uzima apate kuyapokea na kuifuta kweli yake
Yesu kristo kwani ni jina moja hapo ndipo jibu lilipo kwa maana ya kwamba hukaa ndani yangu nami ndani yake
Mungu akubariki mtumishi dacha katika safari ya kumsilimisha ramadhani kuria na waislamu wengine wazidi kuelewa uungu wa bwana wetu yesu kristo
Katika safari ya kumsilimisha?
Ramadan Mungu akubariki
InshaAllah step by step nuru ya Hidaya itakuja kuenea ulimwengu mzima ,kwa hivyo Ndacha pia ni maalumat yameongezeka na kupata kujua kuwa Yesu siyo Mungu,binadamu wote siku zetu zote haziwi sawa ,tuzidi kupanda marhala za juu siku baada ya siku...na Ndacha pia twamuombea Hidaya na wengine wengi kama yeye..
MASHALLAH SHEIKH RAMADHAN
💯% inasema MTOTO wa NYOKA n NYOKA, MTOTO wa Ng'ombe NI ndama Ila bado NI NG'OMBE .... 🎉
Eti Mungu amefanyika mwili. Msiba huu. Mungu haonekani please wala kivuli ya kubasilika ❤
Soma bibilia
Allah Sio Mungu WA kweli huyo ni kiumbe
@@prochesernest5439 na hawaamin ukiwauliza kwann wanasujudia kuelekea al kaaba wanakwambia n umoja
@@prochesernest5439 ongeza volume
Kama jini anaweza kujibadilisha awe mnyama, ndege, binadamu n.k. Mungu muumba wa viumbe vyote yeye hawezi! Sisi tunajua ni Shetani hawezi kubadilika kwa hivyo kama Allah hawezi kubadilika basi yeye si yuko sawa na Shetani. Enyewe hata sifa zake kama Al-Makir, Al-Muzil ni sawa na sifa za Shetani
Aslam alykum cheikh wetu, Aksanti sana kwa kumupa darassa NDAca , Mungu musaidiye asikilize na alewe.
Darasa gani ww!, endeleeni kujidanganya, 😂😂😂😂
Ndacha neno like ndani yako na umefundisha vizuri
😂😂
Sio kwamba mungu anazaa kwamapenzi ya mwili, hapana, mungu anamfanya mtu kua mwanae, ktk roho
Twende kazi
Mwalimu Ndacha barikiwa sana kwa kujitolea kuwaelezea ukweli ili na hao waamini Yesu kristo ni mwana wa MUNGU aliyetukufia msalabani ili tukombolewa sisi wenye dhambi ili tumtambue yeye ndo njia ,ukweli na uzima wa milele.
Ndacha akafanya niwe mchristo . Mungu akuzidishiyee
Ulikuwa wa dini gani before
Cha maana ni kwamba watu kujua kama Yesu anaweza kushuka Leo na kuhubiria WAISLAAM hawawezi kumkubali ila tu watamkana kama wayaudi,sababu wao wanamjua ISSA bin maria period.But filling to know in him was God.he was prophicied by the prophets in old testament like Isaia untill he was born by Mary as the son of God.Jesus with time told Jewish before there was Abraham I am.yaani kabla kuweko kwa abrahan alikuwa lakinq hakuwa amechipuka kutoka kwa babake Mungu Ili azaliwe na Mariam lkn wakati ulipowadia Mungu karuhusu kuzaliwa na Mariam ila si kwa njia ya mapezi ya baba na mama.
I love the maturity in this discussion.
You are blasphemy you ought to repent your sins because there is no words of good in bible juses was right to say his father is god coz every creature his father is god juses he did not guilty but his disciples they were fool to write life of Jesus and add their unknown things they mislead people and God decided to sent Mohammed as light path to all people who going astray
Pastor ndacha unaelezea yesu mwenye umjui waislamu assalamu Alaikum warahmatulahi wabarakatuh sii tushukuru Mungu kwa kutujulisha mengi kuhusu mitume wote allihamudulila (tujitahidi kitafuta pepo Isa -bin Mariam karibu anarudi na vile munavyio juwa yeye ndie atakuwa swalisha )hiyo siku 😢 jee Imani mtakuwa Bado nayo ? Allah atusaidie tusipotoshwe 😢🤲🤲🙏
Umepotea wewe...
Umekwishakupotea
@@SiriliNachan nyie mlie kwa ukweli mjuzi lolote Allah awasaidie
@@ronaldmatimbo9691 wewe ulie kwa njia nzuri nakwombea
@@zahraabdul9652 na yesu mwenywe ndo atakuja kutuchukua wafuasi wake😊
Akili ndongo sana Mungu ana zaa kwa neno yani anatamka inakuwa, Au unafili anatanua miguu mtoto anatoka,ii niakili ya kislamu
"Mungu anatamka, inakuwa" .... Hii ndio imani ya Kiislamu.. Karibu kwenye dini ya kweli ❤
Akili ya reverse ya wakristo....
Mara yesu ni mungu mara Mtoto wa mungu 😊
Mimi ni mzaliwa wa mozambique wilaya ya mwidumbe kabila la kimakonde 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 Pastor na kukubali sana mana una jua kwongea kwa kufafanua jisi ya bwana wetu yesu klisto 🇲🇿
Nao estas entender Bem. Mungu akuonyesha njia ya ukweli
Asalaam alykum.allah amuongoze ndacha ktk njia ilionyooka,maana amefunikwa nakitu kizito sana naanatia huruma sana.allah muongozee
Mashalah ustath
Amen yesu ni muumbaji
God bless u ndacha.
Hapo Allah mizidishiyeni elimu za zati
Takbirr❤❤
Yesu ni mungu wacha .halikuja kama an expresion of Gods image akafanyika mwili
MASHA ALLAH 💚
Ubalikiwe ndacha pamoja na hao wa isumali nao pia ni wana wa Ibrahim mungu awazidishie
Ramadhan makes alot of sense
Masha Allah Sheikh Ramadhani Kwa Mafundisho
Yesu yuh Mwana wa Mungu. Hiio ndio hata mwisho wa dahari, Shetani alijuwa kuja kwa Mwana wa Mungu ila hakiwa na uhakika hata alpokuwa yupo duniani alifanya udadisi, naye uishi na kusema Mungu hana mwana, Luka 4: 1-9 angalia swali lake kwa Yesu. hakula cho chote , kwa hiyo baada ya muda huo aliona njaa.
3 Shetani akamwambia, “Kama wewe ni Mwana wa Mungu, amuru jiwe hili liwe mkate.”
yesu ni mwana wa mungu tena ninabi wamungu❤❤❤
مشأ الله تبارك الله
Nyinyi mta chomeka nani kawabia mungu anataka mizani....na mukome mungu mwenye tuna homba ni wetu zote hufai kujanji...na mkome
ongeleni kwa kulitangaz jina la yesu
Hongereni walimu,nyie mmetulia kila mtu anampa mwenzie kujieleza,Sio kina Mazinge makele tu kama walevi,nyie ni big up kila mtu ameelewa kwa iman yake,Ndacha nakuelewa
Umewaeleza vema pasta ni vem wakamuomba mungu alie umba dunia na kila kilichopo awape kwerii na waitambue kwer ya munguu Hakikaa
Ramadhani napenda uko makini sana
Kazi nzuri ndacha
Ndacha Mey God bless you
Asante
ALLAHUMMA BARIK.
Huyu kijana mungu amongoze ktk haki apate kuijuwa dini ya kislam
Mimi nataka ni silimu Kwa hoja
Yesu hajaumbwa mwana huoniutatu musioujuanyie wala hamuamini kwahilo .
Barikiwa ndacha Mungu awape nguvu na fikra nzuri yakumjua Yesu na babake Mungu
Kwa mujibu wa biblia wanaadamu wengine sio wana wa Mungu? Kama na wao ni wana wa Mungu, sasa kuna tofauti gani kati ya yeye na sisi katika suala la kuitwa mwana wa Mungu.
Mmmmh ati babake mungu
sisi Wakristo tunamwabudu Yesu Mungu wetu