Masha Allah natamani tu nikutane na sheik Mazinge siku moja nimsalimie tu nipige picha na yeye iwe kumbukumbu .Kazi mashekhe wetu wanazozifanya ni nzito mno ni Mungu ndio atawalipa
Masha Allah Masha Allah! Salamu zangu kwanza kwa Shekhe mazinge! INSHA ALLAH ALLAH awape umri mweze kulingania DINI YA HAKI AMIN AMIN! SHEKHE RAMADHANI ALLAH ATAKULIPA DARAJA YA JUU AMIN AMIN AMIN!!
Mazinge huwa hajibu maswali Bali anakimbia maswali kwa kuingiza utani na mambo yalio nje ya mada mtu anakuliza kwanini mtume alioa mtt mdogo wa miaka6 yeye anakujibu kwani huyo binti ni mwanao Sasa hapo kajibu Nini Yani nikituko mnamsifu bure
This Sheikh MAZINGE s Fantastic and Amazing! May Almighty Allah bless him. He is indeed blessed by the Lord of all mankind. Christians, please listen to him without bias. He will guide you, using the Quran, and Bible, to HEAVEN. His arguments make sense. Turn your intellectual cup the right side up so you can receive guidance. If your cup is upside down because of BIAS, you will not get any guidance. Listen to him. It is what your LORD wants. May God, ELAHA in Aramaic, ALLAH in Arabic, wants you to do. So you too can be SAVED! Thanks. RAY FROM CANADA
Bila dini utapotea. Dini ni uislamu. Uchristo si diini. Bibilia haikutaja ukristo ni dini. Uislamu kwa qurani na bibilia ime taja uislamu ni diini. Sasa wewe fata maandiko, na ufanye utafiti kweli utapata.
Mashallah jazakallah lkheir mungu awajalie kila la kheri na mashekh wetu mungu awape umri mrefu muzidi kulingania dini yake na awajalie awape mwisho mema dah Yussuf wambungu shekh wetu sijui kwa nn na yy sijamuona
Atapata Zambi bure kuwapotosha wenzie bola ukweli uwe wazi dini inayo julikana kwa mungu ni hii Moja tu aache kupotosha watu je ataweza kuwatetea watu ote siku ya kiyama 😭😭 innalillah wainna Lillah lajuhn 😭😭
MashaAllah takhbir Allah Akbar.Mimi najua ISSA A.s ni miongoni mwa mitume aliumbwa kama alivyoumbwa Adam bila mama Wala baba ila Nabii Issa alikuwa na mama pekee
Mashallah wenzetu mliojaliwa kwa hili endeleeni kutoa Dawa ila wazo langu naomba mngetoa na lugha-za nje ili tunapopata fursa tutaendelea kuzinunua na kuwapa waelewe zaidi.
Wallah wabillah ndacha unapango lako la moto siku ya kiyama. Allah akulani hapa dunian nabkesho siku ya mwisho. Waliomin ndio waislam . Pol san ndacha ww nikafir wa waziwazi
Mnafikiri mnaukwaza Ukristu kumbe mnauhubiri Ukristu.Hamuwezi kuudhofisha Ukristu Kwa mfumo wowote ule.Mt.16:18. Kule kuuchalenji Ukristu ni maumivu tu ambayo kupona kwake ni kumuamini Yesu na kumfuata.
Francis Ndacha is too loud,but don't assume that loud is strong and quiet is weak,to the contrary Mazinge and Kinyogoli won the debate, islam won christianism lost
Sijapata kuona nchi kama Tanzania Watu wa dini tofauti kukaa pamoja kuilimishana au kufundisha tu; HII NCHI TAKATIFU!!!! VIONGOZI WA NCHI MTAMBIE!!!!! MUECHE KUPIGA!!!!
@@Kdkdkdkkfffjjcj we tulia siku inakuja utajua YESU KRISTO ndiye Mungu wa kweli na ni BWANA na mwokozi wa ulimwengu wote Yeyote asiyemkiri YESU KRISTO ameshahukumiwa
Huyo hana maana yani ndacha hafai kabisa atachafua amani mulokua nao watanzania kweli hata kenya Ana mdomo mchafu sana kuliko Choo nakuambieni mimi ni mkenya Hawezi dabete ya Amani kabisa yani kufundisha hajui,kiboko yake ni Muhammad na Kassim na Anwar na Yusuf wambuga Haruki kabisa mbele za hao anageuza maandiko sana muchunge hilo mnafiki
Na msimmepende akimpenda mungu inatosha...hakuna sehemu alikotukana..kama husikiii akitoa Aya kwenye Quran . So kwenye kuruani ndo Kuna matusi labdaa mkiishiwa mada msipende kuongea fitnaa
Ustadh mazinge mung aendelee kukupa umri zaidi jamn waislam wote tumuombee dua mazinge na maustadh wengne inshallah
Wallahi ingekuwa inawezekama kupunguza umri na ukampatia mtu mwingine maisha yangu me ningemuachia mazinge
ALLAHU AKBAR.
TAKBIIIR ALLAH AKBAR ☑️
R.I.P
Allah Akbar
Ukweli bro lkn tunamwombwa Muumba akatoe mmoja katika kizazi chake kidume kama yeye
Masha Allah, Allahu Akbar, nilizaliwa Mkristo but for now imani yangu mimi ni muislamu nawapenda nyote kwa ajili ya ALLAH
Mashallah ❤❤❤ sheikh wangu Mazinge Allah akupe umri mrefu wenye mafanikio
Masha Allah natamani tu nikutane na sheik Mazinge siku moja nimsalimie tu nipige picha na yeye iwe kumbukumbu .Kazi mashekhe wetu wanazozifanya ni nzito mno ni Mungu ndio atawalipa
Ndacha acha kupotoza umma ukweli unaonekana
MashaAllah barakallahu feekum masheikhe wetu Allah awabariki kila la kheir na baraka
Qur'an yenu yenyewe hamuijui ata nimeshangaa.
Ukweli
Waislamu wapinga Kristo hawa
@@jacksonmutunga4894 mtaelewa tyuu
@@charlestaari8441 😂😂😂
Masha Allah Masha Allah! Salamu zangu kwanza kwa Shekhe mazinge! INSHA ALLAH ALLAH awape umri mweze kulingania DINI YA HAKI AMIN AMIN! SHEKHE RAMADHANI ALLAH ATAKULIPA DARAJA YA JUU AMIN AMIN AMIN!!
J.......funn
Mashallah,Allah(s.w) azidi kuwajaalia neema katika Kazi kubwa ya kuitetea kalima ya Laa ilaha ilallah na dini ya haki. Bismillah
Nampenda sana al Habib mazinge na said kajogolo mola awape moyo huo huo wa kutowa watu ujingani maana wazungu wanapoteza umma
Namuona Sheikh wangu Mazinge Anafurahia saaaana kuona vijana wake Wana wakalisha Mapasta waongo
Allah awahifadhi wahadhir wetu awape nguvu na afya
Maashaallah mwenyezimungu mungu awaongoze mashehe wetu
Babu #Mazinge maswali yake niatari ujibu n'ngooo......mpaka kiama.
Safi sana sheikh Ramadhani kuria Ben kaguo.
Aty yesu arudishe punda 😂😂😂😂😂😂swali la kijinga ilo
@@louiskhan7372 asirejeshe kwanini wakati kaazima
Mazinge huwa hajibu maswali Bali anakimbia maswali kwa kuingiza utani na mambo yalio nje ya mada mtu anakuliza kwanini mtume alioa mtt mdogo wa miaka6 yeye anakujibu kwani huyo binti ni mwanao Sasa hapo kajibu Nini Yani nikituko mnamsifu bure
Huwa anajibu upuzi Bora hata wale wenzake wanakuja na hoja huyu ndio hamna kitu
Kwer uwez kujibu🤣🤣🤣
This Sheikh MAZINGE s Fantastic and Amazing! May Almighty Allah bless him. He is indeed blessed by the Lord of all mankind. Christians, please listen to him without bias. He will guide you, using the Quran, and Bible, to HEAVEN. His arguments make sense. Turn your intellectual cup the right side up so you can receive guidance. If your cup is upside down because of BIAS, you will not get any guidance. Listen to him. It is what your LORD wants. May God, ELAHA in Aramaic, ALLAH in Arabic, wants you to do. So you too can be SAVED! Thanks. RAY FROM CANADA
MashaAllah Jazakhallahu kheiri Masheikh wetu Allah awalipe kwakupigania dini yetu ya hakhi bila shaka InshaAllah.
Mashallahu mashehe wetu wrote allahu bariku
Allahum Amiin 🤲 🤲 🤲 🤲
Said kinyongoli Simba wa ndacha
Mashaallah nakutakiyen kher mashekhe wangu mungu awajaliy mwisho mwema nafanya kz ya mitume
Manshallah tabaraka Rahman. Waislam Takbir.wakristo sioni comment zao.Allah awape umri mrefu ma cheikh zetu
Masha ALLAH ALLAH awapa afya na awafanyie wepesi Kwa kila Jambo
Mazinge Allah aku linde sana uendelee kutangaza uislam inshaallah
Maashaallah mashekhe wetu Allah awaongoze
Sasa hapo dini ya mungu ni ipi??kila mtu anasema kwake ni bora je mimi nikikaa bila dini nitalaumiwa? Imani ni bora kuliko dini 🙏
Bila dini utapotea. Dini ni uislamu. Uchristo si diini. Bibilia haikutaja ukristo ni dini. Uislamu kwa qurani na bibilia ime taja uislamu ni diini. Sasa wewe fata maandiko, na ufanye utafiti kweli utapata.
Mashallah jazakallah lkheir mungu awajalie kila la kheri na mashekh wetu mungu awape umri mrefu muzidi kulingania dini yake na awajalie awape mwisho mema dah Yussuf wambungu shekh wetu sijui kwa nn na yy sijamuona
Ahhh mashaallah Shekh mazinge
Mazinge unanimalizia MB 🤣🤣 mashaallh 🙏
😊😊🥰🥰
Masha’Allah uislam ni raha jamani❤ Allah awape umri mref na wenye baraka tele ndani yake, Na Hamidu anajua sana kusoma na kuleta raha kwa kweli❤
Mashallah najivunia kuwa muislam wallah raha sana
❤❤❤❤❤
MAASHALLAH SHEHE MAZINGE UZUR WAKE HANA HARAKA HAKUNA MCHUNGAJI ANAECHOMOA DAWA TU
Ndacha ni mnafik yy upotosha wakristo manake hawajui maandiko ...Huyo kenya twamjua ni muongo Astaghfirlah.
😂😂😂😂
Atapata Zambi bure kuwapotosha wenzie bola ukweli uwe wazi dini inayo julikana kwa mungu ni hii Moja tu aache kupotosha watu je ataweza kuwatetea watu ote siku ya kiyama 😭😭 innalillah wainna Lillah lajuhn 😭😭
Mazingé mze mwalimu bingwa
Mashallah Alla masheikh wetu mungu awaongoze kweli mwaiteteya Dini 💓
Àà
Allah awaongoze masheikh wetu wazidi kutuerimisha dini naimani ijae ndani yetu
Masha allah am proud to be muslim🙏🙏🙏
profesa mazinge Mashallah. Tabaraka ALLAH.
Kuna watu wanatupenda na kuutetea uislamu bila sababu mungu awatunze sanaa👏🏽👏🏽
wallahi hata hamtazami mazinge anamuona kama anapoteza mda mazinge wallahi raha. allah akupe umri mrefu miaka mbele
Allahum Amiin 🤲 🤲 🤲 🤲
Mashaallah 💓❤️❤️❤️ nawapa saaaan masheikh wetu Allah awape maisha marefu kulingania dini ya kiislam
Mashalh shegh mazing mwenyez mungu akuzidishie her
Mazinge kiboko ya makafiri
ua-cam.com/video/Eh1tMTW6PvU/v-deo.html
Guzalink ☝️ ukhty ufaidike
Makafiri ni wenye kuabudu jiwe ndani kibanda cheusi.
@@TruthMustBeTold_911. Wapi wanaabu kibanda na jiwe jeusi.
@@mussammanga7791 wewe pekeyake ndie hujui,mtaa wenu wote wajua.
@@TruthMustBeTold_911. Nimekuuliza swali jibu swali.
Mengine yataendelea baadae.
Mashshaallah shekh wetu mazinge
Asalam alkum Asante sana kwakufundi kafili ndacha anaewapotosha walimwengu kwajili ya maslai yatumbo kushiba nakucha
Walaikm Salam warahmatullah wabarakat ni hatar
Mashallah Allah azdi kuwap nguvu
MashaAllah takhbir Allah Akbar.Mimi najua ISSA A.s ni miongoni mwa mitume aliumbwa kama alivyoumbwa Adam bila mama Wala baba ila Nabii Issa alikuwa na mama pekee
Mashaallah mashaallah shekhe mazinge mungu akupe umri mrefu uzidi kulingania dini ya kiislam
Y allah wape umri mrefu ma sheikh zetu yarabi
Masheikh wetu Allah amlipe pepo in Sha Allah
Mashallah wenzetu mliojaliwa kwa hili endeleeni kutoa Dawa ila wazo langu naomba mngetoa na lugha-za nje ili tunapopata fursa tutaendelea kuzinunua na kuwapa waelewe zaidi.
God shall be one forever,praise be his Mighty name❤
Wallah wabillah ndacha unapango lako la moto siku ya kiyama. Allah akulani hapa dunian nabkesho siku ya mwisho. Waliomin ndio waislam . Pol san ndacha ww nikafir wa waziwazi
Sheikh mazinge vizuri sana
Sheikh mazinge mungu akupe umri mrefu n'a afya njema
i'm proud to be a Muslim mwenyze mngu hawaongoze kwa wale ambao sio waislamu katika njia iliyo nyooka amiiin
Mashaallah mazinge mungu akupe Maisha malefu
Yarabi naomba Allah awape nguvu na hekma ili mupate kupambana na hawa makafiri
Allahum Amiin 🤲 🤲 🤲
lailahailallahh muhammad rasull.lahh
Professa mazinge Allah.akulipe ujiramwema.duniani.na.akhera.nawaislamuwootekwajumla nnishaallah
Maneno ya kipuuzi hayajibu swali,ooh nitawatengeneza ooh wanasaidiana ,ushabik tu ndacha ,jibu swali hauna lolote kwa mwenye Akili
Yey ni uong tuuu anatumia
Mnafikiri mnaukwaza Ukristu kumbe mnauhubiri Ukristu.Hamuwezi kuudhofisha Ukristu Kwa mfumo wowote ule.Mt.16:18. Kule kuuchalenji Ukristu ni maumivu tu ambayo kupona kwake ni kumuamini Yesu na kumfuata.
May God protect all of Has Christian and Muslim
Roho mtakatifu,Nuru Yako ionekane katika wanadamu
Ndacha ana maneno mengi lakini hawezi kabisa kujibu maswali hasa ya Shekhe Mazinge.
Anarukaruka badae anauliza tena maswali
Ndacha kafa kifo Cha mende😂😂😂 Mohammed s.a.w ndio mtume wetu ❤❤❤❤❤
Nyinyi wakristo kama mnamfuata Yesu msiowe kwa sababu Yesu hakuoa alieoa banana wetu Muhammad (S.A.W)
Muhammed pia alirogwa....Kwa hivyo waislamu waro.....
Nimependa Darasa lenu.
Mashekhe zetu allah atawalipa wema wenu.maana ukwel mnawapa hivyo hawatawalaum siku ya mwisho.waache wajitaftaie moto
Heri kila mtu atete maisha yake sisi wote hatuja toshea mbele yake mungu
Masha Allah Allah awahifadhi mashekhe wetu awape afya malipo yenu kwa mwenyezi Mungu.Nawapenda sana mashekhe wetu kwa jili ya Allah.
Ndacha anatisha kwa kweli. Tuache ushabiki.
Hujakosea kwa uong wak anatishq kbs il anatisha nyinyi makafir wenzen
Allah awalipe jannat firdaus inshallah
Francis Ndacha is too loud,but don't assume that loud is strong and quiet is weak,to the contrary Mazinge and Kinyogoli won the debate, islam won christianism lost
Asalam alekum yasheikhe mazinge
Ama hakika mazinge ulkua mbonge la mbegu yan atary ALLAH akujalibu
Ndacha kelele tu hana point
Masha Allah 🤝
Yaani wao wenyewe wanamkubali mazinge ilaubishi tuu ALLAH awaongoze
Masha ALLAH ALLAH ALLAH
Masha'Allah TabarakaAllah mazinge❤
Allah awabariki
Mashaalah utadh mazinge♥️
Mashaallah ❤Uislamu raha
You are ma roll model mazinge.
Yaallah mjaalie shekhe wet mazinge pamoja na wenzake Manisha marefu
Asalam alaykum waramatulah wabarakatuh shukurani 🙏 ♥️
Aaww
Walaikm Salam warahmatullah wabarakat
Mazinge Allah akuenzi na akuzidishie nuru ya elimu yenye manufaa
Sijapata kuona nchi kama Tanzania Watu wa dini tofauti kukaa pamoja kuilimishana au kufundisha tu; HII NCHI TAKATIFU!!!! VIONGOZI WA NCHI MTAMBIE!!!!! MUECHE KUPIGA!!!!
Allah akupe maixha marefu ili uwape mwongozo sahihi
Hapa Kenya wakristo tumewaweka kwenye debe. Nyinyi TZ mnawabembeleza.
Wewe waja upuzi
@@MAUREENMTV254 upuzi ni kubembelezana
Alla awape jannatifridaus inshaallah
Allahum Amiin 🤲 🤲 🤲 🤲
Mazinge umepotea Mungu akurehemu
😂😂😂
Wanaomdharau YESU KRISTO Kuna siku inakuja watalia kilio Cha kusaga meno, tubuni kabla hamjachelewa
yy mwenyewe kapigwa kibano takatifu ataweza kutuokoa.wote wakirudi wale waliompiga kibano itakuweje
Ndo wa kiristo mnatakiwa mtubu hamuoni wapi yesu kaingiwa na vipi kaswali hamna akili hata macho ya kusoma hamna poleni
@@Kdkdkdkkfffjjcj we tulia siku inakuja utajua YESU KRISTO ndiye Mungu wa kweli na ni BWANA na mwokozi wa ulimwengu wote Yeyote asiyemkiri YESU KRISTO ameshahukumiwa
@@rayasalim6512 unatia huruma kwa kuwa huijui iliyo kweli, kweli ipo kwa YESU KRISTO pekee, tubu kabla haujachelewa
@@marianachriss2444, Mtajiju mnaemkiri Mtume wa Allah kwa kumkatia mauno kanisani.
MASHALLAH FAZAKIRU MAJADANI
Allah atatimiza Nuru yake hata Kama makufar watalipinga Hilo..na Allah mwnyw kalisema..
Huyo hana maana yani ndacha hafai kabisa atachafua amani mulokua nao watanzania kweli hata kenya Ana mdomo mchafu sana kuliko Choo nakuambieni mimi ni mkenya Hawezi dabete ya Amani kabisa yani kufundisha hajui,kiboko yake ni Muhammad na Kassim na Anwar na Yusuf wambuga Haruki kabisa mbele za hao anageuza maandiko sana muchunge hilo mnafiki
Kama hawezi huku tanzania atawezaa tu atatulizwaa kama mpiraa uchizi wake hukoo
Kabisa hata mm hupenda akipambana na Qassim Muhammad na Yusuf alafu ujinga wake matusi huwa simpendi hata mm
Na msimmepende akimpenda mungu inatosha...hakuna sehemu alikotukana..kama husikiii akitoa Aya kwenye Quran . So kwenye kuruani ndo Kuna matusi labdaa mkiishiwa mada msipende kuongea fitnaa
Ndacha mbona humalizi aya za qur an tukufu Mashekh endeleni kuwaelewesh Allah akipenda wataongoka
Yan kisi anasema kanisan anadhan na kwenye muhadhara atatumia zil bin zakanis akajisahau Kam Kuna wa somi
Na walio lala kwenye kiristo wamepotea na mapadri wenu wamekupotezeni poleni
Nashkur San Kwa kuzaliwa katika uislam allah azid kuzikuza Iman zetu uislam ndio dini ya haki
Christianity is about Worshipping creations instead of the creator - Allah
If ISA is the word of Allah and Allah created everything by his word (be) then basically Jesus is the creator.
Waht about you islam worshiping the Image beast In Mecca....😬
@@awinojuju8522 it is explained in Surah Quraish...and Worship the LORD of this house...not Worship this house
Eeeee Mungu rehemu kizazi hiki ......Bila neema Yako kitapotea katika dini kwa jina la Allah
Wallahi raha 🤣🤣🤣🤣🤣ndacha achana na profesa kinyogoli anakutosha 💥💥💥💥💥💥💥
Lohhh wakiristo wameulizwa swali moto kweli 😂😂 hawana hoja
Allahuakibar