Nmejikuta napoteza imani yote kwa sheikh huyu baada ya kusimama kidete kumtetea Tapeli mshirikina firdaus, siwez hata kukaa kumsikiliza na hii inasababishwa na tamaa za pesa tu, Allah awaongoe
Mtu anapokosea huambiwa ili ajirekebishe sababu umma wetu umesifiwa kwa kuamrisha mema na kukataza mabaya, Hua namsikiliza Sikh zote ila anapoghafilika huambiwa sabab yeye ni binadamu tu,na mtu kuwa mwana zuoni haifanyi kuwa Bora zaidi kwa Allah
@zaiyanahashim6990 kwa majina ni kama mwislam vile, amekula hasara Mzee hashim na kama ametangulia mbele za haki ALLAH amfanyie wepesi marejeo yake na kama yu hai awalee kiislam wale ambao bado wanaweza kuleleka ktk familia yake kwako wewe ni INNA LILLAH WAINNA ILAIH RAAJIUUN, unamtuhumu mwanawazuoni ambaye hatamki jambo ila kalitoa ktk kitabu cha ALLAH na HEKIMA za S.A.W uwepo wake hapo ni kwa ajili ya HEKIMA na elimu kubwa ya dini alinayonayo kiasi maulamaa na masheikh wakubwa walimwidhinisha auongoze umma wa waislam DSM na nchi nzima, wewe unasema ni tamaa fedha kwa shida ipi aliyonayo, kama una akili ifute hiyo kauli yako
TAABARAKA LLAHU AHSANUL KHAALIQIYN
JazaakaLLahu khaira
Nmejikuta napoteza imani yote kwa sheikh huyu baada ya kusimama kidete kumtetea Tapeli mshirikina firdaus, siwez hata kukaa kumsikiliza na hii inasababishwa na tamaa za pesa tu, Allah awaongoe
Huo ni mdomo wako unasema hukumu ujuavyo lkn kumbuka tu wewe huna chochote cha kujifananisha na mwanawazuoni huyu mwanawazuoni huyu
Mtu anapokosea huambiwa ili ajirekebishe sababu umma wetu umesifiwa kwa kuamrisha mema na kukataza mabaya, Hua namsikiliza Sikh zote ila anapoghafilika huambiwa sabab yeye ni binadamu tu,na mtu kuwa mwana zuoni haifanyi kuwa Bora zaidi kwa Allah
Na mm sijamhukumu hakika atoae hukmu ni Allah s.w