SHEIKH WALID USINGENISOMESHA UNGENIACHA TU KWENYE MAMBO YA MPIRA, NIACHE TU NITAMBE.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2023
  • HAPA UTAPATA ELIMU PAMOJA NA HEKMA,
    TAFADHALI SUBSCRIBE.
    .
    Please Like, Comment and Do not forget to Subscribe to Our Channel (ua-cam.com/channels/hJb.html...)
    ....
    Also Connect with Us on Social Media Platforms
    Like our Page on Facebook : / sanatvtz
    ...
    Follow us on Instagram: / sanatvtz
    ...
    Find us on Tiktok: / sanatvtz
    ...
    #SANATVTZ #SANATV

КОМЕНТАРІ • 24

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 9 місяців тому +1

    Maa shaa ALLAH 💚💚💚💚

  • @Swalahudintv
    @Swalahudintv 9 місяців тому +3

    Allah atuongoze katıka haki na atujalie mwisho mwema

    • @HuzeifaMsomali17
      @HuzeifaMsomali17 29 днів тому

      Wewe ndio upo kwny Haki wengine wanakosea au Acha kuhukumu watu ww bado sana

  • @user-qt4lr9cx4y
    @user-qt4lr9cx4y 9 місяців тому +1

    Fanyeni yote ila tmbueni Quruan ni mwongozo wetu ,na mtambue bado mwongozo watu awa ufwati watu awa ukumiani kupitia kuruani .

  • @salumahmadasalum1556
    @salumahmadasalum1556 9 місяців тому +4

    Tunaposhindiwa sisi ni pale tunapozungumza maneno matupu pasina Qur aan.pale tunapo mzungumzia mtume Muhammad swala llaahu alayhi wasallaam.
    Ama pale tunapoleta adhkar zetu
    Nisieleweke vingine mimi ni mtu NINAEIPENDA MAULIDI

  • @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
    @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm 9 місяців тому

    masufi na matwarika na story zao za kujambiana

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 місяці тому

    Ahal Al Bidaa!!

    • @HuzeifaMsomali17
      @HuzeifaMsomali17 29 днів тому

      Wewe mwenzetu ushabashiriwa Pepo Tuache sie watu wa Bid'aa

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 29 днів тому

      @@HuzeifaMsomali17 Ahal Al Bidaa

  • @adnaankhanbhai7057
    @adnaankhanbhai7057 2 місяці тому

    Minafiiki hio ime kutana wanaojiita waislamu

    • @HuzeifaMsomali17
      @HuzeifaMsomali17 29 днів тому

      Na ww Muislamu gani unawaita wenzako Wanafki huo ujasiri umeutolea wapi?

    • @HuzeifaMsomali17
      @HuzeifaMsomali17 29 днів тому

      Basi msijisifu Usafi kwani Allah anamjua sana aliemsafi. Qur'an 53:32

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg Місяць тому

    Usifuate jeneza la watu bidaa

  • @babuumohd4290
    @babuumohd4290 9 місяців тому +2

    Naomba nipewe hii ilmu kwanza nataka kujua tofauti yakusherehekewa raisi kuzaliwa na kusherehekewa Raisi kuingia kwa mji fulani zote zinakua ni sherehe za kuzaliwa Rais?

  • @uthmanmaluja7005
    @uthmanmaluja7005 9 місяців тому +3

    Sijui wangekuwa wanaelimu Kama wanachuoni wenye kuzingatiwa ingekuwaje majigambo yake.Kila siku mnatetea majambo yenu ya kizushi hakuna dalili ya quraan Wala hadithi za Mtume swalalahu ghalayhi wasalam

    • @habibumuhammad730
      @habibumuhammad730 9 місяців тому +1

      Ungeona hapo majigambo yake naa ss twatetea hatuna dalili na ww unae pinga tupe dalili ama dalili zako ni shekhe kasema shekhe kasema

    • @AsmanMwanza-kr5fw
      @AsmanMwanza-kr5fw 9 місяців тому +1

      Kama hutaki mtume kutangazwa na kusifiwa tuachie ss tumsifu na tutamsifu mpaka kufa,

    • @abdulkhaliqmuhammed456
      @abdulkhaliqmuhammed456 9 місяців тому

      Maa shaa ALLAAH Ila na wewe pia una elimu usijidharau na elimu yako yaonyesha wazi hapo uliposema 👉 GHALAYHI. Kwanza inatakiwa kila mtu ajishughulishe na mapungufu yake kwanza kisha ya wengine. ALLAH ATUONGOZE SOTE AAAMIIYN

    • @EtihadBega
      @EtihadBega 9 місяців тому

      Lete hoja

  • @Abuuabdillah259
    @Abuuabdillah259 9 місяців тому +2

    Mjinga mmoja huyu