SHEIKH WALID AKISOMA QURAN TAJWED, KATIKA MASHINDANO YA QURAN TAJWEED MASJID IDRISSA DSM 2023
Вставка
- Опубліковано 31 бер 2023
- SHEIKH WALID AKISOMA QURAN TAJWED, KATIKA MASHINDANO YA QURAN TAJWEED MASJID IDRISSA DSM 2023
Follow Us On:
INSTAGRAM: / miladu_tv
FACEBOOK: / babdeo miladu/
TIKTOK: www.tiktok.com/@miladu_tv?lan...
UA-cam: / @babdeomiladu - Розваги
MashaAllah moh'd
الله طول عمره
Mashaallah, Allahu akbar, Allah akujaalie kila la kheri hakika unaitendea haki qur an, machozi ya furaha yanatutoka kwa utamu wa sauti tamu ya qur an. Hakika Mufti jicho lako linaona mbali Allah akuhifadhwi.
Allahumma Amiin
Nakukubali sheikh wngu allah akupe umrii mrefuu inshllh qoran iwe muongozo wako daima sheikh wngu twajifunza mengi kwako upole na hikmaa zizidi kuujenga moyo wako
Mungu awazidishia upendo mashekhe wangu uo ndio uislamu aliotufundisha mtume muhamad
Amiin Amiin Amiin Ya Rabbal Al Amiin
Kabisa
S.a.w
Mashaallah
Masha Allah , hadi mwili unasisimka kwa kutajwa Allah ❤❤❤
SWADAQTA ❤
Shkh anazidi kutudhihirishia kua samahau tul muft ajakosea kumchagua kua kiongoz wetu wan DAR ES SALAAAM MASHLWAHHHHH ALWAHHH ATUWEKEEE 🤲🙏
Allah akupe Afya na umri sheikh wangu wa mkoa....
Maa shaa Allah Shukran Wajazaukum llah khayra Allah Akupe pepo Yake Bila ya khesabu
Mashallah Alhamdulillah kwa kupata kiongozi kama ww watanzania wanakupenda sanaa ...Allah akupe umri na afya
Allah ni Bariki niongoze Katika Njia iliyonyooka Kama Shekh walidi Inshallah
Mashaallah mungu akizidishie kher nyingi zidi kupambana tupo nyuma yako tukikufuata
Hakika ule ubakwata na usunni umepungua
Mwili umenisisimuka Mashallah Mashallah 🤲🌙🧕🏻❤️❤️❤️
Mashaallah ama kwahakika shekhe Mwenyeezi mungu kakubariki vitu vingi niombee duwa namm angalau nijekupata ktk kizazi changu kama ww inshallah
insha'Allah
MashAllah❤️❤️❤️
Mashaallah mashaallah tabarakallah
MashaAllah shekhe walid Allah akuja ze kheir
Maasha Allah
Alhamdu lillah
raha tupu
Ma sha Allah Ma sha Allah Quran imewaunganisha vema Mashekhe wetu Kwa Upendo Mkubwa sana Nasi tunawapenda sana na tutapendana sana pia waumini wa Dini yetu tukufu ya Uislam.Allah awahifadhi ,Aamin
Masha allah Masha allah
Mashaallah Qur'an tamu sana kuisoma na kuisikiliza.
Maashaallaah shekhe waliid
Ma shaa allah yuko fiti sheikh Walid
Masha Allah
Allah kareem
Mashallah shekh Walid hakika umeitendea haki Qur'an hakika wewe ni shekh Allah azidi kukuongoza na akuhifadh
Mtoto wa Quran ni Quran Mungu akupe umri mrefu utupe shekh Walid
QUR'UAN imetakasika na kua na mtoto
@@halifashabani1373 baba yake alikuwa mtu wa Quran na mtoto wake ni mtu wa Quran.
Tumemfahamu sisi
@@sharifjuma1220 kusema baba mtu alikua mtu wa QUR'UAN na mtoto pia amekua mtu wa QUR'UAN ni ni kauli sahihi kwa sababu mtu wa Quruan ni yule mwenye kuisoma na kuifuata QUR'UAN. .
Lakin si sawa kusema "mtoto wa QUR'UAN ni QUR'UAN" hii ni shubuha na Allah ndio mjuzi zaidi
@@halifashabani1373 itakuwa ndio nyie waungu watu. Kama mimi nimemfahamu basi Mungu ndie mjuzi wa lugha. Sio wewe. Soma halafu acha
Ya Rabi wahifdhi masheikh wetu waoengezee upendo miongoni mwao
M.mungu akubari sheihk wetu.tukupendae.
Maashaallah Sheikh Walid amefiti hapo alipowekwa ,na alipo.Allah amlipe na mzidishe.Amina.
MA SHA ALLAH
MashaAllah masheikh wetu Allah awalinde na kila shari inatia raha sana namuona sheikh wangu Kishki yuko hapo.🤲❤💪
Amiin Ya Rabb
Mashallah Tabarakallah
Maashaallah shekhe letu Allaah akuweke umri mrefu tuzidi kufaidi matunda yako
MaashaAllah
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH. ALLAHU AKBAR WALILLAHI AL HAMDU
ماشاءالله بارك الله فيك
Masha Allah Kwa hakika al Marhum katutendea haki katuachia mtu sahihi ,Allah amsamehe makosa yake amjaalie kaburi yake iwe bustani katika bustani za pepo
Maasha Allah seikh waliid
Mashaalahh
Alhamdullillah
Maa sha Allah Shukran sheikh kwa ufunguzi mzuri tunakupenda na Allah anakupenda zaidi.😊
Maashaallah tabara rahamani shekh Waldi mungu akuhifadhi ❤❤
masha Allah Alhammdulillah .ila waisramu inapo somwa quruwan basi unyenyekevu uzidi .bali sikwashangwe vifijo
Mashallah!! Mungu akujalie umri mrefu wenye neema na akupee wepesi katika kila zito sheikh wetu
MashaAllah tabaraqAllah
Allah....naskia wivu wallai sheikh walid una faaaaaa kabsaa🙏🙏💙💙💙💙
Mashaallah. Wallah sheikh umesoma kiufundi zaid. Allah akulipe badala Inshaallah
Allha hu mma amini
Allah ampe umri mrefu huyu shekhe, na afya njema.
Sauti mashaallah @@@
Allahumma Aamin
Maashaallaah
Allah akujaalie Kila kheri sheikh
MASHA ALLAH KHEIR UNAJUWA NA WAPENDWA MNO. ALLAH AKULINDE SWAHIBA WANGU DUA NJEMA NAKUOMBEA
Maashaallah
Mashallah... Mwamba yupo vizuri wallah
MashaAllah, Allah Akbar Sheikh Nakupenda sana
Mashaa Allah
MashaAllah
Mashallah
Hope wana Wa Dar es Salam wamechelewa sana kumpata huyu shehe MashaAllah yaani hadi machozi yanatoka kwa jinsi anavyooendeza machoni mwa waislamu MashaAllah Allah akupe uwadilifu katika uongozi wako,usiwe kama yule aliepita .
Mi nikimuoma tu shekh walid huwa naskia raha balaa😂😂
❤wallahi huyu mtu anatakiwa asikaimu tena wampatie kuwa sheikh wa mkoa moja kwa moja.
Mashallah very beautiful
Masha ALLAH, ila pumzi sheikh wangu!!
MÅÅSHÅÅLLÅh ÅLLAh a2linde Zaid 2siukane uislam
>>>Masha Allah
Mashaallh
Mashaallah nyoyozinakosheka wallahi
Quran inaraha ikisomwa ,hongera shekh Walid
Huyu ndo mwamba mungu akuongoze shekhe walid
MASHA'ALLAH 🤲🤲🤲🤲🤲
Mashaallah💕
Maashallah
Muft umeona mbali
Allah awalinde inshallah
❤❤❤❤ Mashaallaa
Masha Allah, nakupenda Kwa Ajily ya Allah Shekhe walid Alhad Omar kawambwaaa
Allah amlaze pema shekh alhad namkumbuka sana tu msasani pale na hata alipokuwa akija bagamoyo alikuwa na mapokezi na shekh sudi pale nyumbani nasi akitufundisha ukumbini hd saa tatu usiku,,,,ninajivunia mengi tu kutokea kwa shekh alhad,,,,,ni mpole sana na akicheka Hadi mwanya unaonekana,,,,💯
Ma sha Allah
Shekh yupo vizur maashallha sema kuna watu wana bahaba zaid sema inapendeza ni vizur ktk dini mungu atuongoze.
Mashaallah❤❤❤
MaahaLLAH
Amefanana na anasoma Quran kama sheikh OKASHA KAMENY mashaAllah
Jazaka Allah khaira shekh walidii
Mashaallah alla Akujaaliye rehma wallah wewe unaweza na unaweze tena namomba Mungu ikifika kunipa kizazi bc anijaaliye watoto wacha mungu wenye hekma na busara km wewe au zaidi Nakupenda Wallahi kwa ajili ya Allah❤
Mashaalah
Mashaa Allah shekh wetu Allah akuhifadhi
Maasha Allah
Masha allah sheikh wetu uko vizuri
ALLAH ANAWATU WAKE JAMANI NA NIWALE WANAODUMU KATIKA QURAAN NA KUIFATA. YAA ALLAH TUJAALIE MWISHO MWEMA KWA BARKA YA QURAAN.
Mashalla
Naam Masha Allah
ALLAHU AKBAR
MashaAllah nawaonea wivu wana Daru salaam Mnasheikh Mchesh na muungwana Sana anajishusha mnoo kwa watu
Mashallah mashallah
Mashallah ❤
Mashaallah tabaraka Allah shukurn sana shekhe wetu uko vizuri Sana ww jitahidi tu kwenye kutafuta pumzi
Mashaaallah haaadha sheikh libaladi fiii dar Salam Allah akbaru shukuranlaka akhy likariiiim jazakallah khaira
Aslm alkm ww.... Masha Allah!!! Allah awape mapenzi zaidi. Allah awalinde awape umri ili muzidi kutuelimisha. Jazakallah kheir 🙏
Masha Allah ❤
Allah akuweke Mwalimu .Mashaalah
Mashaa Allah sheikh Walid kipenzi cha waumini Allah akuhifadhi akuweke