SHEIKH WALID AFAFANUA KIELMU BARZANJ " HAMUONI BARZANJ INAVYOTUPWA? SISI WENYEWE TUNAIKATAA,

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 сер 2023
  • Follow Us On:
    INSTAGRAM: / miladu_tv
    FACEBOOK: / babdeo miladu/
    TIKTOK: www.tiktok.com/@miladu_tv?lan...
    UA-cam: / @babdeomiladu
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 344

  • @hafsalonlinetv105
    @hafsalonlinetv105 11 місяців тому +2

    Masalafi, Mawahabi, maanswari Sunnah tatizo lao ni moja tu:
    Wanajibiwa kisomi zaidi ila wao wana khiari wajibiwe kwa masemango, mashekhe zetu ni wenye hekma hawajibu kwa kutovukwa na adabu, Allaah amewapa hekma na busara nyingi katika kuendesha mambo. Jibu limepatikana hapo ila kwa kua Allaah ametia vizibo katika nyoyo zao na macho yao hawawezi kuona lolote hapo.
    Allaah awabaarik mashekhe zetu.
    Ila sheikh waleed ni kiboko elimu anayo Alhamdu lillaah. Allaah amsidishie elimu yenye kheri na dunia yake na akhera yake
    Allaahumma aamiiin,,,,,,,

  • @user-cv8kw8kd4k
    @user-cv8kw8kd4k 11 місяців тому +15

    Shekhe Walid uko vizuri. ALLAH akupe zaidi elimu., ILA HOJA 19. NAKUOMBA uzijibu ww, hakuna kuzunguka .. ni mwezi sasa hakuna hoja ata moja iliiyo pata majibu.

    • @Seng522
      @Seng522 11 місяців тому

      Ameen, akhy hizo hoja 19 sio hoja hata kidogo mie binafsi ninauwezo WA kuzivunja moja baada ya nyingine ila kama kweli unasimamia Haki kabla ya kuvunja moja baada ya nyingine niambie Kwanza unafahamu kua shekhe wako alimzulia shekhe jaafari ktk miongoni mwa hizo hoja 19 alizozijenga Sasa wewe niambie kama kweli umsomi WA Dini naunafatilia Haki nasio ushabiki niambie Katika hizo hoja 19 ni hoja zipi ambazo kweli nimaneno ya jaafari na niyapi sio ya jaafari ila nishekhe wako ndio kamzulia

    • @mohd39789
      @mohd39789 11 місяців тому

      ​@@Seng522wanashindwa wapumbavu wakubwa wa kisufi utaweza wewe dagaa mdogo?

    • @mohd39789
      @mohd39789 11 місяців тому

      Tatizo la masufi wanatetea upuuzi wa madhehebu yao lakini uongo na shirk katika kitabu cha barzanj upo wazi wazi

    • @khadiaally9192
      @khadiaally9192 11 місяців тому

      ​@@mohd39789Sasa wewe unayetukana bila hekima nyie mawahabi vitsbu vyeni vipo koleki tu

    • @wardalwena5846
      @wardalwena5846 11 місяців тому

      ​@@mohd39789huwezi kufukisha ujumbe mpaak utukane?

  • @AndulHida-hs5py
    @AndulHida-hs5py 11 місяців тому +5

    Barak Allah feeq, Jazzak Allah kheri

  • @muhamedsaidsaleh1539
    @muhamedsaidsaleh1539 10 місяців тому +1

    Maashaallah
    shukran sheikh Waleed Allah azid kukuongoza tunufaike n elimu yako

  • @ibra.mstudingfile8584
    @ibra.mstudingfile8584 11 місяців тому +2

    Wallah sheh nakupenda bure kusoma na kutambua kunitji umakin wa hali ya juu san tumekufam shekh mung akupe hekm zaid ya kutoa mwangaza zaidi n somo kubwa ilo

  • @OmaryKitwana-vo5do
    @OmaryKitwana-vo5do 11 місяців тому +2

    Wallahi nimestafid sana
    Allah akulipe shekh waliid

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 11 місяців тому +2

    MASHA ALLAH 💚 .

  • @maryamhashim8536
    @maryamhashim8536 11 місяців тому +1

    Mashaa Allah 🤲

  • @hassanabdulrahman189
    @hassanabdulrahman189 10 місяців тому

    Ma sha Allah
    Allah akuhifadhi na hassad 🤲🤲🤲

  • @mohamedkibwana7558
    @mohamedkibwana7558 10 місяців тому +1

    Umri Taweel Sheikh wetu 🤲

  • @mbjunior166
    @mbjunior166 11 місяців тому +7

    Aiseeh naona hoja 19 bado ni mwiba wa koo! Maulidi yote hoja ni mtoto wa Bachu tu lakin anaejib hoja hakuna😂😂😂! Sasa masheikh wote wakisufi wenye elimu yenye sanadi waliosomeshwa na sio kujisomea wenye maulidi yao na vitabu vyao kama wangegawana zile hoja 19 japo mbili mbili si wangekua weshazijibu zote hivi umma umenufaika na kuelewa😀

    • @user-ql7xr4gq3c
      @user-ql7xr4gq3c 11 місяців тому

      بارك الله فيك ايهاالشيخ وليد فليتعلم محمد باشو منه وليأ خذ العلم منه ويتفقه البرزنجي منه

    • @omaryhunte
      @omaryhunte 10 місяців тому

      Kwa ni wewe umesoma watu wakafaidika na elimu yako kama shekh walid alhad ? Au unaleta tu ushabiki .

  • @ShaibmbaroukHemed-mi5rf
    @ShaibmbaroukHemed-mi5rf 11 місяців тому +34

    Shekh walid mm nazifuata sana darsa zako Allah akuzidushie kheri sasa tatizo bachu katoa nukta zake zipatiwe jibu kwanni kama munaona bachu hana hoja kuhusu barazanji hazijibiwi kilasiku munamsema bachu kakashifu barazanji nawanachuoni lkn hatuoni jawabu yakile alichosema nishirki nakatoa ushahidi wake ilikua nyiewasomi mumjibu kielimutu ingekua tatizo limepatiwa ufumbuzi lkn kumsema sematu bila kujibiwa alichokitilia shaka mutaonekana usomiwenu umefeli nabachu hata mukimsemavipi bado yuko sawa nacc tunajua bachu yuko sawa kwasabbu hamuna jibu lakumjibu mumebaki nalawamatu nukta 19 zipo palepale

    • @Seng522
      @Seng522 11 місяців тому

      Akhy vip ww? Ajibiwe kwani yeye aliuliza ni clip gani ambayo bachu aliuliza zaidi ya kuhukumu kua watu niwashirikina Tena anaowahukumu wameshatangulia mbele ya Haki, Ama kuhusu hizo hoja 19 alizo muuliza sabas niyeye na sabas hakuumuuliza alhadi na istoshe mcheni Allah na kama kweli ninyi ni wasomi WA Dini sio mashabiki tu fatiliene ukweli WA hizo hoja 19 amezijengea ktk maneno ya jaafari kweli kama anavyo mtuhumu Ama amemzulia halafu unambia kua zimebaki ngapi ambazo nikweli nimaneno ya jaafari mimi wallah nitakujibu zote

    • @khadiaally9192
      @khadiaally9192 11 місяців тому

      Tatizo hata yeye hatoa hoja kupitia wana vyuoni Bal kauliza maswa kwa kukosa kuelewa yeye Sasa hiyo c hoja anashida ya kuelewà so Ange ena kusomeshwa ingekua bola nawe nikupee chaleji nipe nukuluu yoyote kutoka kwa wanavyuoni aliye wahii kuuliza nukuta hata mmoja Kama hamna sasa c hoja niufup was kuelewa kwake

    • @seifsalah6843
      @seifsalah6843 11 місяців тому +2

      Mimi naona umezungumza kwa hekima sana

    • @eddieeddie2755
      @eddieeddie2755 11 місяців тому +2

      Kweli kabisa, hawawezi kujibu hata nukta 1, ni lawama tuuu, Bachu hivi Bachu vile, jibuni hoja zake km nyinyi ni wakweli.

    • @mody-guyngido2792
      @mody-guyngido2792 11 місяців тому +3

      Maulidi sio Ibada,hiyo iko hivyo Tu kama ni sherehe sherehekeeni Tu Masheikh wetu

  • @hafsalonlinetv105
    @hafsalonlinetv105 11 місяців тому

    Allaaahu Akbar,,,

  • @maimunashariffathman2073
    @maimunashariffathman2073 9 місяців тому

    MashaAllah tabarakallah

  • @serengetishipping2196
    @serengetishipping2196 11 місяців тому +1

    Mashallah sheikh walid tumestafid

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 11 місяців тому +7

    Hawa masufi vile wamebabaika na nukta 19 ndani za qasidah za uongi na ushirkina itafikiria wadungwa na kisu cha sumu wamebakia na maneni tupu hakuna aliojibu hoja moja kati za 19 basi maneno za projo tu

    • @mbjunior166
      @mbjunior166 11 місяців тому

      Aisehh kumbe wameshikwa pabaya sana😂😂😂

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 11 місяців тому

      Nibora Yamtu Kuwa Mjinga Utajifunza. Lakini Ukijaaliwa Kuwa Mpumbavi Huo Niuogonjwa Usiopona Milele. Eti Maswali 19. Kusoma Nikitu Kingine. Nakuelewa Nikitu Kingine.

    • @barzaqtradingcompany8541
      @barzaqtradingcompany8541 11 місяців тому

      @@nurdinmfamau3493 hio nimsemi waki mashia walipo saydina Ali ni mungu someni kuwa vitabu zao vile munayo sema mandishi kitu kingine nakuelewa ni kingine, ebo nitafsirie وَلَا تَدْعُ مِن دُونِ ٱللَّهِ مَا لَا يَنفَعُكَ وَلَا يَضُرُّكَ ۖ فَإِن فَعَلْتَ فَإِنَّكَ إِذًا مِّنَ ٱلظَّٰلِمِينَ
      nitafsirie vile kuwa mandishi kingiye nakuelekwako kingine vile unadai

  • @mikekhalifaali7510
    @mikekhalifaali7510 11 місяців тому +5

    Sasa kama walimu ndio nyinyi heri ajisomee tu mwenyewe, Maulid ni upuuz mtupu tena sio ibaada

    • @arafatally3723
      @arafatally3723 10 місяців тому

      Naomba Mummad Bachu ajisomee pia kama uko ufaradhi wa kurudisha ukhilafa Kwa manhaj ya Mtume(s.a.w).

  • @SalehSaleh-re1ud
    @SalehSaleh-re1ud 11 місяців тому +4

    Subhanallah, kajisomea mwenyewe tu lakini kapiga maswali 19 tu ya uongo ulio ndani ya barzanji lakini masufi wanashindwa kuyajibu. Hivi angesoma kwa masheikh wakubwa ingekuaje???
    قال يونس بن عبد الأعلى: سمعت الشافعي يقول : (لو أن رجلا تصوف أول النهار لم يأت عليه الظهر إلا وجدته أحمق). رواه البيهقي في "مناقب الشافعي" (٢/ ٢٠٧) بإسناد صحيح

    • @sadickmguruka
      @sadickmguruka 10 місяців тому

      Kumbe alijisomea mwenyewe

    • @twahirburhan3726
      @twahirburhan3726 10 місяців тому

      Sasa hao mashekh zenu wa BAKWATA mbona mpaka leo wameshindwa kumjibu bad ala yake wanamshambulia tu,wamjibu kwanza na si kutetea BIDAA ya MAULIDI am a yo ni uzushi tu

    • @twahirburhan3726
      @twahirburhan3726 10 місяців тому

      YAANI ETI MASHEKH WA BAKWATA WANAIJUA DINI KULIKO MASWAHABA WA MTUME S.A.W!! KITUKO CHA DUNIA

  • @user-pr1lh1lv8m
    @user-pr1lh1lv8m 11 місяців тому +6

    Jibuni hizo hoja mwanzo ndo museme chochote mtakachotaka

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 11 місяців тому +4

    Clip nyingi ni ooooh mtoto wa bacho hivi mtoto wa bacho hivi na vile yoote hayo yaletwa na kuwa anapinga maulidi sasa sabas amewaangusha ndio hasira zoote hizi lkni sharif Abdulkadir Al Ahdal ndie aliyamaliza kwa kumkataa sabas mbele ya camera sababu alishindwa kujibu

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 Місяць тому

    Mashaalah ulipo tupo

  • @abuuadil4070
    @abuuadil4070 10 місяців тому

    Sheikh Walid sema kweli KUHUSU kitabu Cha barzanji makosa na URONGO mwingi na munanyamaza isipokuwa ndungu bachu amejitoleya kuzungumza UKWELI ndiyo watwariki masheikh wameksirika KWA UKWELI wa bachu MUNGU amlinde bachu KWA msimamo wake wa UKWELI KUHUSU dini kesho Kila mtu ataulizwa msimamo wako wa dini sikufuhata maslah ya duniya

  • @hidayaramadhani1833
    @hidayaramadhani1833 2 місяці тому

    Njaa za mawahabi nimtihani mno hawampendi mtume wala mwenyezi mungu wapenda Saudia kwaajili ya misaada wamefikia mpaka mwezi kutoka Saudia niwakimataifa jamani innalillah wainnaillaihrrajiuuun

  • @issicajosefu9681
    @issicajosefu9681 11 місяців тому +7

    Jibuni hizo hoja 19 kwanza
    Halafu ndoo tujue hizo chuki zeni kwa shk Mohammad bachu ni za kweli

    • @nassibnassib2078
      @nassibnassib2078 11 місяців тому

      Ukijisomea utakua kama mtoto wa bacho....hakuna hoja hapo zote dhaifu.. ukisema mtoto wako ni kisu anakua kisu kweli?..... Someni KWA wajuzi msijisomee....

    • @abuuwandi1354
      @abuuwandi1354 11 місяців тому

      Bachu hamna kt ukitaka kujuwa hamna kitu mpeleke kwenye mambo y mwez

    • @mbjunior166
      @mbjunior166 11 місяців тому

      @@abuuwandi1354 Mwezi wa nn sasa😂😂😂

    • @sleemhamoud4394
      @sleemhamoud4394 11 місяців тому

      ​@@nassibnassib2078khawariji huyo Bachu kafukuzwa znz anatapa tapa Tanga na Mombasa kwa wahuni wenziwe 😅

    • @rogertuga007
      @rogertuga007 11 місяців тому

      ​@@nassibnassib2078hao wajuzi ndio wajibu Sasa hizo ili na nyie wafata upepo mpate kuelewa mnachokifata.

  • @abdallahsaid1127
    @abdallahsaid1127 11 місяців тому +1

    Ass alkm, mashekhe mnazunguka sana kutafuta majibu ya kumjibu Muhammad bacho, mnafanya makusudi kuwacha msingi aliotulekeza Allah kwenye sura ya 4 Aya 59 au ni hawaa tu za nafsi. Hebu waislamu tuwache kufuata matamanio ya nafsi, ALLAH ATUONYESHE HAKI NA ATUWEZESHE KUIFUATA, NA ATUONYESHE BATILI NA ATUWEZESHE KUIEPUKA.

    • @yahkiwera3611
      @yahkiwera3611 2 місяці тому

      Wewe nimshabiki wasini km mpira wewe sio muislamu mwenye kutaka kujua Diniyako😊

  • @nafisa-3999
    @nafisa-3999 11 місяців тому +8

    Jibuni hoja 19

    • @nadyasalim7956
      @nadyasalim7956 11 місяців тому

      hawana jibu

    • @khamisfarouk9493
      @khamisfarouk9493 11 місяців тому

      Hatutak mtatufnya nn

    • @yahkiwera3611
      @yahkiwera3611 2 місяці тому

      Huwenda ukawa kijikafiri kijidogo dogo wewe ninashaka na Elimu yako km umesoma

  • @Captainome
    @Captainome 11 місяців тому +4

    Mkipindisha tunayoosha hakuna stry za shekh mkuu wala shekh mdogo hapa unapotosha ummaa kwa ajili ya maisha yenu.

    • @safinamakoto2747
      @safinamakoto2747 11 місяців тому

      Pinga hakuna shida chunga kisije KIBRI kikawa KATIKA kifua chako.

    • @Captainome
      @Captainome 11 місяців тому

      @@safinamakoto2747 usijali my bro amini unacho kisoma kikusaidie hapa Duniani na kesho akhera.

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 11 місяців тому

      Mawahabi ndivo mulivo itakuwaje hakuna cha shekhe mkubwa hakuna wanazuoni na mtume s a w alisema musiwatukane maswahaba wake na wanazuoni leo bachu sijui ilimu kaitowa wapi kuwapotosha wanazuoni kumuhukumu mpaka mamayake mtume s a w

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 11 місяців тому

      Bachu atasapotiwa na machizi wenzie

    • @Captainome
      @Captainome 11 місяців тому +1

      @@fikafikan8484 tunaongelea hao washekh zenu mashekh ubabwa yaani yiyi masufii yaani hamjui tu vile mmepotezea watu mda urongoo urongoo ybabaishaji wenu roundy hii Allah atawafedhesha moja moja.

  • @user-pr1lh1lv8m
    @user-pr1lh1lv8m 11 місяців тому +4

    Kama mwadharau elimu zake mbona mwashindwa kuzijibu hoja zake tangu zamani bila shaka mumeshindwa masheikh wote wa tanzania na wa kenya hamutoshi jama ni simba marara

    • @mbjunior166
      @mbjunior166 11 місяців тому +1

      Wamebaki na porojo mipasho na mapovu tu😂😂😂

    • @abuujibriltv5233
      @abuujibriltv5233 11 місяців тому

      Mawahabi mnadhiki sana ya mashekh yaani hata bachu mnaona nishekh ana elimu. Eti hoja 19😂😂😂😂

    • @user-pr1lh1lv8m
      @user-pr1lh1lv8m 11 місяців тому

      Mumeshindwa kujibu maswali ya mtu ambaye Hana elimu mchoro huo

  • @ashamngindo8023
    @ashamngindo8023 11 місяців тому +2

    Mashallah shekh wetu. Mungu akuhifadh

  • @twahirburhan3726
    @twahirburhan3726 11 місяців тому +8

    MSAIDIENI YULE MWENZENU ALIYESHINDWA KUJIBU ZILE HOJA 19 ZA BACHU NA SI KUPONDA TU

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 10 місяців тому

      Asaidiwe nn bachu ndio afaa asaidiwe uwelewa wake mdogo

  • @ummy-vo6sp
    @ummy-vo6sp 11 місяців тому +5

    Aliye muongoa mungu hakuna wa kumpoteza

  • @user-pr1lh1lv8m
    @user-pr1lh1lv8m 11 місяців тому +7

    Maneno mengi hayamalizi maneno jibuni hoja ili munaqasha isonge mbele

    • @SaidimaulidiMaulidi-lf9de
      @SaidimaulidiMaulidi-lf9de 11 місяців тому

      Ajibu nini hapo Kuna Cha kujibu hapo,bachu ni kishaa Sasa kichaa anajibiwa.

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 11 місяців тому

      Ukishindana Nakichaa Nawe Utakuwa Kichaaa. Hatuwezi Kushindana Nakichaa.

    • @sleemhamoud4394
      @sleemhamoud4394 11 місяців тому

      ​@@SaidimaulidiMaulidi-lf9denyinyi masufi mumeregea kwann hamumchukulii hatuwa Hutu Bachu mbona zanzibar kachukuwa hatua kali ya kutojihusisha na daawa

  • @kibavumrisho3495
    @kibavumrisho3495 11 місяців тому +1

    Nawaomba sana masheikh muache hayo anaetaka majibu akasome itamtosha kuwa ni jibu sahh atafuata kuliko haya yanayoendelea endeleeni mtupe faida hao wenye minakash waendelee

  • @salemshaban2413
    @salemshaban2413 11 місяців тому +3

    Fanya darsa ukifundishe kitabu cha barzanji upinge nukta 19

    • @JamalMohamedibnusaalim
      @JamalMohamedibnusaalim 10 місяців тому

      Jamaa mnateseka sana na maulid bas tutabadilisha jina worry out

  • @salemshaban2413
    @salemshaban2413 11 місяців тому +2

    Sasa kiwa barzanji ni sahihi mbona basi msijibu hoja 19 ndio tujue yeye kasoma.mwenyewe muelimisheni basi ndio ajue na sisi tujue

  • @wazirihamisi6484
    @wazirihamisi6484 11 місяців тому +2

    فقد ثبت في الحديث الصحيح أن النبي صلى الله عليه وسلم قال: افترقت اليهود على إحدى وسبعين فرقة، وافترقت النصارى على اثنتين وسبعين فرقة، وستفترق هذه الأمة على ثلاث وسبعين فرقة كلها في النار إلا واحدة، قيل: من هي يا رسول الله؟ قال: من كان على مثل ما أنا عليه وأصحابي

    • @ummurahma7597
      @ummurahma7597 10 місяців тому

      Wa hadhihi firka firka AHLU SUNNAH NOMOSKAR WAL JAMAA

  • @SaidMkashari
    @SaidMkashari 11 місяців тому +3

    Assalamualaikum jamani naona kejeli nyingi za majibu nyinyi waache mashekh kwa mashekh wamalizane jamani dini haijaja kugombanisha jamani tuacheni tumuogope mungu kila moja ana mwalimu wake na ufahamu wake na uelewa wake kama ww mwalimu wako bacho fata yale aliyokufundishwa sio mwalimu wako bachu acha nayo

    • @user-bo1ew3xq6w
      @user-bo1ew3xq6w 11 місяців тому

      Hapa ndugu yangu hatutaeza kuwaachia wavuta bangi na wakula unga wakimawahabi kututuakania masheikh wetu lazima wakule vimondo.

  • @rahmahsaidomar9111
    @rahmahsaidomar9111 10 місяців тому

    Kama kweli maulidi yapo na munafaa basi muitetee na mutoe majibu 19 mulizoekewa. Ni kejeli tu na hamuna jibu. Allah awaongoze na atuongoze sote.

  • @eddieeddie2755
    @eddieeddie2755 11 місяців тому +3

    Jibuni hoja za Bachu km ni wakweli mpaka leo hamjajibu hata moja 19-0

    • @shamisahmed4806
      @shamisahmed4806 11 місяців тому

      Hata wale wanaopinga uwepo wa Allah mtukufu zile sababu wanazozitoa kuthibitisha ilo wanaloliamini wao wanaita ni hoja za msingi....
      ..izo 19 ni hoja kwako,kwetu sisi sio hoja izo bali umajnuni tu ndio mana hatupotezi muda kushughulishwa na hilo!!
      Maulidi tutayasoma mpaka Peponi in shaa Allah!!!

  • @salemshaban2413
    @salemshaban2413 11 місяців тому +1

    Munamkashifu bachu tuu lakini mlishindwa kujibu hoja 19

  • @mohd39789
    @mohd39789 11 місяців тому +2

    Tatizo la masufi ni wapumbavu sana, masufi wengi wanatetea upuuzi wa madhehebu yao na kulinda maslahi/matumbo yao.
    Tuseme haya shekh Muhammad Bachu hakusomeshwa au hakusoma kama mnavyoaminisha wapumbavu wenzenu je na nukuu alizozitoa za wanavyuoni wakubwa tena wazamani nao hawakusoma, mmesoma nyinyi tu wapumbavu wa kisufi?

    • @mbjunior166
      @mbjunior166 11 місяців тому

      Wapuuzi sana hawa😂😂😂

    • @user-ke5rk8cb9g
      @user-ke5rk8cb9g 11 місяців тому

      Haha wewe mnafika mbali jamani fata unacho kiamini siyo kuongea vibaya kikubwa kumcha mwenyezimungu

    • @ismailmadenge3818
      @ismailmadenge3818 10 місяців тому

      nyie mnachojua ni kutukana tu sio zaidi ya hapo.😄

  • @hajimgwami5224
    @hajimgwami5224 10 місяців тому

    HATA WASKRISTO NA WAYAHUDI WANATAFUTA MAKOSA KWENYE QUR AN NA ANAYAPA KUTOKANA NA KUSOMA KWAO BILA KUSOMESHWA NA IKIFIKA WAKATI AKISOMESHWA WANAELEWA NA KUIFUATA HAKI NDIO MAANA LEO WANAREVERT KWENYE UILSLAM KAMA NZIGEEEEE. UKITAKA KUKIELEWA KITABU SOMESHWAAAAA

  • @ShadiJuma
    @ShadiJuma 11 місяців тому +2

    Shida waislam hasomi tunataka mihemko shekh walid afundisha vizuli

  • @rahmahsaidomar9111
    @rahmahsaidomar9111 10 місяців тому

    Kujusomea ndio kujua. Msiwe kama manaseara wasomewa bibilia na kufwata tu. Kwani hatuna uwezo wenyewe kujua yaliomo. Watu wana akili wakujisomea kisha kujua. Kusomeshwa ndio kupotozwa. Mambo mengine akili tu. Sheikh waijua ndani ya moyo wako kua maulid haufai mbona kuwapotosha watu kwa yakini. Muogope Allah ndani mwako wayajua.

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 9 місяців тому

      Elimu ya manaswara ni kubwa kuliko unavyo fikiri

  • @sadickmguruka
    @sadickmguruka 11 місяців тому +1

    Jafary kiboko ya mawahabi aliaacha mwiba sana Allah khery kwa sadaqat jaria aliyoiacha ambayo mpaka leo wanaopanga kumdogesha mtume wanamdogesha vipi ili hali kuna kitabu kinachomsifia kwa sifa kem kem

    • @rogertuga007
      @rogertuga007 11 місяців тому

      Sifa hadi za kuzusha 😂😂😂😂kweli ni kem kem

    • @kundeigang3879
      @kundeigang3879 10 місяців тому

      @@rogertuga007 sifa gan za kuzusha

    • @rogertuga007
      @rogertuga007 10 місяців тому

      @@kundeigang3879 wanyama na ndege kuzungumza kuhusu mimba ya Mtume ni mojawapo.

  • @user-lo5jm1nr8e
    @user-lo5jm1nr8e 11 місяців тому +1

    Jibuni hoja sio kumsema mtuu ni dalili za wazi kua maulidi ni shirki

  • @niffonlinetz7214
    @niffonlinetz7214 11 місяців тому +5

    JIBUNI HOJA ZA BACHU ALAFU BACHU ANAWASUBILI KWA MUNAQASHA ASA HATUWAELEWI MNALUKA LUKA TU 😂

    • @JamalMohamedibnusaalim
      @JamalMohamedibnusaalim 10 місяців тому

      Ww elimu ni sanad nenda ukapige goti kwa mashekhe ndo utaelewa.

    • @JamalMohamedibnusaalim
      @JamalMohamedibnusaalim 10 місяців тому

      Wacha kufata mkumbo ndg tafuta elimu achana na masheikh social media

  • @user-re9xu2qj7q
    @user-re9xu2qj7q 11 місяців тому +4

    Suala sio maulid laaaaaaa!!!!
    Suala ni kwamba kisomo cha maulid kimeguzwa biashara za watu wachache

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 11 місяців тому

      Kama Ilivyo Misikiti Nibiashara Tusiswali. Wanaopeleka Hija Watu Nibiashara Tusihiji. Wanaosomesha Watu Nibiashara Tusisome.

    • @mikekhalifaali7510
      @mikekhalifaali7510 11 місяців тому

      ​@@nurdinmfamau3493hoja ya kipuuz kabisaa, Maulid sio ibaada

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 11 місяців тому

      @@mikekhalifaali7510 Aliyekwambia Maulid Ni Ibada Nani.

    • @mikekhalifaali7510
      @mikekhalifaali7510 11 місяців тому

      @@nurdinmfamau3493 swali gani Hilo kwan Maulid yamo katika Quran au Hadith, hakuyafanya mtume wala maswahaba zake, au nyie ndio mnaifahamu dini sana zaidi ya mtume na maswahaba? Maulid ni bidaah bwana haina Dalili yoyote

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 11 місяців тому

    Pia Ukiona Haya Maneno Huyaelewi. Basi Ujue Maneno Haya Siyako. Unashida Natafsiri Yamaneno Haya Waone Wenye Maneno Yao. Usikurupuke.

  • @halidim.yahaya394
    @halidim.yahaya394 9 місяців тому

    Alhabib Walid

  • @makhanguwakhutu2408
    @makhanguwakhutu2408 11 місяців тому +2

    tatizo mnahepa jibu

  • @babayaoyega2540
    @babayaoyega2540 11 місяців тому +1

    Tupe dalili maulidi haqqi ubabaifu tu wamaneno bila dalili

  • @fakihassani3
    @fakihassani3 10 місяців тому

    Mbona hamukukaa mukamsaidia majibu Bachu km munaona yuko sahihi kazi yenu kujiona sahihi t kwa kuvaa kanzu fupi hamuna lolote zaidi kibri hamutaki kisoma ubaguzi ndio kz yenu na kila mtu kwenu hana elimu

  • @samsiakassakangeta1780
    @samsiakassakangeta1780 11 місяців тому

    Sheikh Walid Asalam Alaykum warahmatullah wabarakatuh!
    Tunakutaka wewe upange munaqasha na uusimamie haswa baina ya hawa watoto wako wa wili: Mtoto wako wa Twariqa na huyu Mtoto wako mwengine Mohommad Bachu anaye wawakilisha watoto wa Sunnah!
    Wewe mzazi wao uwasimilize live hoja zao,kisha mwisho usuluhishe ni mtoto yupi kapatia hoja na yupi ameshindwa,ili watakaoshindwa wawe wanawaheshimu wenzao!
    Huwezi kuikata kesi hii kwa wewe kusemea nje ya pazia tu!

  • @user-sx9br8mi9x
    @user-sx9br8mi9x 10 місяців тому

    Shek walid uko sawa but sio sana vile, hapankwa maulidi vipi, tunasubiri majibu ya maswali 19 ya mwalimu bachu. Hacheni ujanja pls toeni majibu. Tumechoka kusubiri 😂😂

  • @MbarakaMakamba-bx3nn
    @MbarakaMakamba-bx3nn 11 місяців тому +1

    Hajaanza kupinga yy waliping wakubw na wamekubali wakubwa vilevile

  • @husseingitonga8921
    @husseingitonga8921 9 місяців тому

    Wazushi hamna haya ata kidogo. Kama wakristo wanavyo sema biblia lazima uwe na roho kuielewa nyinyi ni ma swad na madhuma ata warabu hawakosei herufu? Wazushi siku zenu zimekwisha Allah araonyesha wapi kuna haki

  • @RamadhaniRamadhani-yd4hq
    @RamadhaniRamadhani-yd4hq 11 місяців тому +1

    Alietunga kitabu cha maulidi nibinaadamu nae anakoseapia anatakiwa alekebishwe au kwakua ni muarabu hatakiwi kurekebishwa

    • @user-bo1ew3xq6w
      @user-bo1ew3xq6w 11 місяців тому

      Hakuna mahali alikosea mwanachuoni wetu isipo kuwa mahasidi wakiwahabi wamekuwa na husuda juu ya harakaati za huyo mwana chuoni kwa bidii yake ya kuongoza katika kuisimamisha dola ya kiislamu ya twarika ambayo kwa sasa ndio inaongoza kote ulimwenguni juu ya ikhlas ya kumpwekesha allah na sifa za mtume wetu sheikh barzaji allah azidi kulitia nuru na miangaza kaburi lake.

  • @muhidinally3753
    @muhidinally3753 11 місяців тому +4

    Hakuna anayemiliki elimu Shekh Walid. Nyie mliopewa Elimu kwa kusomeshwa na masheikh sawa tu. Lakini kuna watu wamefanya jitihada na kuhifadhi Quran kwa usaidizi mdogo sana kutoka kwa watu wa kawaida. Kama hawa mtasema hawana elimu kwa sababu hawasomeshwa na Sheikh Mohammad Ayoub mnataka kusema elimu ya dini ina trade mark ambayo ili upate kufaidiki lazima uipate kwa mwenye nayo. Sio sawa Sheikh Walid. Hiyo haikubaliki. Sheikh Mohammad Bachu ametoa hoja zake juu ya Brazanji. Nyie masheikh wenye ithibati basi njooni muwafahamishe umma kwamba hoja zake si sahihi. Lete zenu zilizo sahihi. Lakini kama mna sema juu juu tu eti hakusoma, hana elimu, haijibu masiala ya msingi kuwa Barazanji ina uwongo na ushirikina. Tusaidieni masheikh

    • @seifsalah6843
      @seifsalah6843 11 місяців тому

      Naam

    • @khadiaally9192
      @khadiaally9192 11 місяців тому

      Ipo hiv Kama hadidhi Zina silisila he nakuuliza elim ya dini Haina yaweza kua hujui silisila kwa mfano kwenye hadithi huwa twauliza he hadithi hiyo kapokea Nani paka ifike kwa mtume ndo ninakua sahihi Sasa Kama ni hiyo he elimu nikujisomesha tu chubani au lazima tijue aliye kusomeshwa ili tujue wewe unayoyasema Yana ilim Dani yake

  • @suleymansalim5732
    @suleymansalim5732 11 місяців тому

    HII NI AIBU YANI KILA MTU AKISIMAMA ANAMLAUMU BACHU LKN HASEMI KUHUSU ZILE HOJA 19 BACHU HIVI MARA VILE MARA SIJUI MWEHU MLEVI MVUTA BANGE JAHILI MPUMBAVU MUHUNI...NK ALAFU MKIMALIZA MNAKUJA KUSEMA YEYE NDO KATUKANA. LKN UKITAFUTA MATUS YAKE HUYAPATI NYIE NDO MNAO MTUKANA

  • @Hussein-qq2uy
    @Hussein-qq2uy 11 місяців тому

    Mawahabi wengi humu wanazungumzia hoja 19 eti masheikh wa kisufi wameshindwa kuzijibu kisha wanatamba na kutangaza ushindi kama alivyojitangaza kinara wao mtoto wa bachu mimi naomba niwashauri muachane na hizi hoja 19 maana si pahala pake kwa sasa kwanini nasema hivyo? sheikh wenu bachu hakuwa tayari kwa munaqasha wa kielimu bali yeye alikuwa anataka ajibiwe kama anavyoamini yeye na hiyo ndo pwenti aliyoizungumzia sheikh walid hakuna elimu ya kujisomea bali ni kusomeshwa,,,,na kwa Bahati mbaya bachu haliamini hilo na ndo maana ziko fani nyingine ambazo yeye hazijui na hasa fani za lugha ya kiarabu na aruudh,,,,, ambazo kwa asilimia kubwa zinahitaji upige goti kwa mwalimu usomeshwe na siyo ujanja ujanja,,ifike pahala bachu lazima akiri kuwa barzanji ni kitabu kilichojaa bahari za mashairi,fani za balagha na mantwiq,,,,,anapozitakaa fani hizi kwa kuwa tu hazijui ,,,basi atambue kuwa hata hizo hoja zake kumi na tisa hazijibiki na kwa mantiki hiyo hana sifa ya.kushiriki minaqasha na masheikh wenye elimu zao akapige goti asomeshwe kwanza akumbuke bachu huu siyo mjadala wa tawhiid wala fiqhi hii ni barzanji ni kitabu cha sira kilichoandikwa kwa mfumo wa mashairi yaliozingatia bahari mbalimbali pamoja na mushabbihaat na mafumbo mbalimbali ambazo utatuzi wake huupati ispokuwa kwenye fani za lugha namuomba asome kwanza kisha ndo ajibiwe hizo hoja zake 19 kwa sasa hazijibiki ajijibu mwenyewe tu

    • @rogertuga007
      @rogertuga007 11 місяців тому

      Sabas alitakiwa ajibu Sasa kielimu kumuonyesha wapi hakuelewa lakini alisema dakika 20 hazitoshi kujibu hoja. Japo alijinasibu kuwa atajibu kwa dk 5. Kwahiyo baada ya kutolewa hoja hizo alitakiwa kuchambua moja moja kielimu ili kumuelimisha na abiria wengine pia wapate kuelimika. Lakini mwisho wa siku alikimbia akaulizwe marehemu mwenyewe alikusudia nini.

  • @RamadhaniRamadhani-yd4hq
    @RamadhaniRamadhani-yd4hq 11 місяців тому

    Huyu shekhe ana hekima sana ila kachomekewa hoja nzito nayeye ni MTU wa twalika lazima aegemee upande wake ila barazanj ilikosewa kidogo ingelekebishwa na mtunzi aedelee kuenziwa na kumsifu

  • @ahmedaljabri5891
    @ahmedaljabri5891 10 місяців тому

    Aaa sheikh wacha kutaja juju, kama upo na haki elimisha waislam hiyo barzaji kama ni kweli

  • @abdallahkabuto8392
    @abdallahkabuto8392 10 місяців тому

    Mashaallah,(a physiian who treats himself ,has a fool for a physician) kujisomesha huwa hufai.

  • @hidayaramadhani1833
    @hidayaramadhani1833 2 місяці тому

    Bachu hajijui hajielewi napia hakuanza yeye atatulia sio muda mawahabi ktk uislamu wakweli hawamo nandio maana wanaongoza kwabidaa

  • @IbrahimNtirenganya
    @IbrahimNtirenganya 2 місяці тому

    Masufi maneno kuyapapa wanazani ni dalili

  • @feiz3180
    @feiz3180 11 місяців тому +2

    Maulidi ni barzanji. Sote tunajuwa hilo. Kubabaisha na kubabaika haisaidii kitu. Wakimbieni mashia. wao ndio wakuu wa maulidi.

    • @user-fy4op1sw2f
      @user-fy4op1sw2f 11 місяців тому +1

      Mwenye akili hashindani na mjinga
      Nyie ni mashabiki wa ujinga na endeleeni kushabikia na hoja zake za kijinga

    • @sadickmguruka
      @sadickmguruka 11 місяців тому

      Mashia wana ukuu gani wa barazanji wakati maulidi barazanji yenyewe imeandikwa na jafary albarazanji ambae amekuwa imamu na Muft wa maka na madina au na yeye alikuwa mshia?

    • @feiz3180
      @feiz3180 10 місяців тому

      @@sadickmguruka wanatumia pesa kuendeleza maulidi. Mombasa, Dar, Tanga, Lamu etc wao ndio watowao pesa kuwabeba Qadiria kwa hali na mali kuendelea uzushi.

  • @kavumohemedi871
    @kavumohemedi871 11 місяців тому +2

    Bidaa ni mbaya acheni

  • @swalehjamal4867
    @swalehjamal4867 11 місяців тому

    Nyoteni hamuna la kuongea …ni barzanji ilivotupwa thu…wanafiq mbna hamusemi alivoomba msamaha kwa Mungu? Mwataka kuombwa nyinyi misamaha kwakua nnani nyinyi?

  • @RamadhaniRamadhani-yd4hq
    @RamadhaniRamadhani-yd4hq 11 місяців тому +1

    Aaaa? Kijana mdogo kawasumbua akili. Haya tujibuni basi anaefuta madhambi ni mtume au muumba?

    • @abdullatiframadhani5059
      @abdullatiframadhani5059 11 місяців тому

      Ndugu yangu tujengeni dini yetu tusimesheni watoto dini yetu, bora maulidi kuliko baadae watoto wetu watakuja kujibadisha kujigeuza wanawake dunia imeshakwisha tushikamane tusigombanie vitu vitakavyotugawa

    • @RamadhaniRamadhani-yd4hq
      @RamadhaniRamadhani-yd4hq 11 місяців тому

      @@abdullatiframadhani5059 hahahaaaa ushoga na usagaji. Mungu atuhurumie

  • @user-sx9br8mi9x
    @user-sx9br8mi9x 10 місяців тому

    Chaajabu kumbe mnakubali kuna hadith munkar kwenye barzanj. Lakn mbona bado mnazitumia kumsingizia mtu uongo?? Nataka jibu pls

  • @FatmaSeif-ek8ks
    @FatmaSeif-ek8ks 10 місяців тому

    Sijauona ushekh wa bachu.Kwani bwana mtume alibishana kwenye uislamu wake.ukimuona mtu analeta vurugu na mabishano ndani ya dini yake huyo anakasoro.Mimi naomba mashekhe wetu na maulamaa mwacheni huyo .

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 11 місяців тому +4

    Kamba 19 zimekaaaa koooni
    Taaaabani
    Huna uwezo wa kujibu hata hojja mojja kieleimu

    • @rjqaasam4587
      @rjqaasam4587 11 місяців тому

      Zile ni HOJA kwa Mtu Mjinga kama wewe mbele ya wenye Elimu pale hakuna hoja

    • @user412
      @user412 11 місяців тому

      Hapana hoja pale.

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 9 місяців тому

    Bado hamjasema baado jibu hoja 19 za bachu punguzeni porojo

  • @omarymakange8449
    @omarymakange8449 11 місяців тому +1

    Alhamdulillah.. Allah atuepushe na uwahabi pandikizi la wamagharibi wanatuharibia dini yetu tukufu..

    • @MohammedOmar-wt3vg
      @MohammedOmar-wt3vg 11 місяців тому

      Astagh firullah

    • @mwinyiulalawi4202
      @mwinyiulalawi4202 11 місяців тому

      Unakielewa unachoandika au je unajua waitwao wahabi ni kina nani na hao wamagharibi wanawafadhiri ili wafaidike Nini?

  • @jumamajid7557
    @jumamajid7557 11 місяців тому +1

    Hahah ujumbe umefika

  • @muftiahmadimahmudulemba1918
    @muftiahmadimahmudulemba1918 11 місяців тому

    Nikweli tatizo nikusomea nasio kusomeshwa

  • @anyeresa928
    @anyeresa928 11 місяців тому +12

    Sheikh bacho anamadhaifu yake kama mimi na nyie.. Ila kawazidi kielim

    • @abubakarmohamed4783
      @abubakarmohamed4783 11 місяців тому +1

      Huko ni kuitweza ilimu ni kama kusema kamba yachinja kuliko kisu

    • @abubakarmohamed4783
      @abubakarmohamed4783 11 місяців тому +4

      bachu kwa Sheikh Walid Al Hadi ni kama jiwe kwa Dhahabu

    • @mohd39789
      @mohd39789 11 місяців тому +1

      Hakika

    • @abubakarmohamed4783
      @abubakarmohamed4783 11 місяців тому +3

      Nyama za wanazuoni zina sumu waislamu wenzangu tuacheni ushabiki wanazuoni wenyewe walikuwa wakisema ikhtilafu beina ya wanazuoni ni rehma wao ni kama njia yoyote utakayemfuata utafika utakapo

    • @mohd39789
      @mohd39789 11 місяців тому +1

      @@abubakarmohamed4783 kwahiyo kama kuna mwanachuoni kasema uongo aachwe tu?
      Hivi nyinyi masufi na mashia mnawatukana mashekh wanaopinga bid'aa?

  • @abdulmanaf5144
    @abdulmanaf5144 11 місяців тому

    Nmeamn sheikh wa bongo ni sawa na mlevi pemba

    • @wamsalsuyuwtwiy9229
      @wamsalsuyuwtwiy9229 11 місяців тому

      Samahan akhi kama nitakuudhi kwa haya nitakayoyasema "jaribu kufikiri mwisho wa chochote au lolote unalotaka kulisema na kulifanya uliyoyazungumza hata sidhani kama we we mwenyewe yakiwa yamesemwa upande wako Yang's kudu ravish a samahani akhi

  • @fakihassani3
    @fakihassani3 10 місяців тому

    Mumeona wapi hoja 19 au ndio nyie vilaza?

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw 11 місяців тому +1

    Hoja gani wewe wazijibu. M unazidi kumchetua. Huo bachu mwenzenu. Anabeba. Mzigo mkubwa

  • @makhanguwakhutu2408
    @makhanguwakhutu2408 11 місяців тому +2

    sheikh wa mkoa pia umekosa kujibu hoja za kijana wa bachu hakuna cha sufi wa wahaabi tunachosubiri ni majibu kamili sio kuhepa hepa

    • @FATEHEWASAPA
      @FATEHEWASAPA 10 місяців тому

      Nikweli mtoto wabachi nichizi anaweza kusikia manenohaya akabisha au akaporomosha mitusiyake

    • @FATEHEWASAPA
      @FATEHEWASAPA 10 місяців тому

      Mambo mazito hayo

  • @suleymansalim5732
    @suleymansalim5732 11 місяців тому +3

    😂😂nakwambiaje😂bado hamjasema😂 mtasema yote😂mpaka visivyobsemwa Bachu tulia tu ushamaliza kazi

  • @Chalazatz
    @Chalazatz 11 місяців тому

    Maneno adhimu kabisa aya

  • @tanzania_001
    @tanzania_001 11 місяців тому

    Sheikh Walid Kitambi hicho 😅

  • @mafiatv5479
    @mafiatv5479 11 місяців тому +1

    Mi nasema tumekubali kashinda
    si basi... sisi tutaendelea nayo kama kawaida
    Ila asiwatie watu ktk makosa pengine yeye ndo hajaelewa kilichoandikwa maskini
    ila ajihadhari yasije mtokea km walopita

  • @hometownke.9658
    @hometownke.9658 10 місяців тому

    UZUSHI MWISHOWE MOTONI TU

  • @user-ek3zk4bx5j
    @user-ek3zk4bx5j 11 місяців тому

    Uko sawa sheikh.hao mawahabi wanashindana kukufuru

  • @user-wy7om5ln7l
    @user-wy7om5ln7l 10 місяців тому

    wewe unaetaka hoja 19 zijibiwe mbona huna uelewa kama uyo bachu mwenyewe zijibiwe mara ngapi

  • @user-wy7om5ln7l
    @user-wy7om5ln7l 10 місяців тому

    hao wanaojiita mawahabi na salafiy niwatu wa ajabu sana ivi inawezekana kweli waislam wote wawafate wanavotaka wao tu?au wao tu ndio mashekh hakuna shekh zaidi ya salafiy

  • @fadhilimusa9732
    @fadhilimusa9732 11 місяців тому +3

    Maulidi tutasoma mpaka qiyama.wahabi akipinga ndio anayapalilia yazidi kunawiri.

    • @BuruhaniKitomozi-gb7fb
      @BuruhaniKitomozi-gb7fb 11 місяців тому

      Dawa yawatuwanaopingahaki pindi inapodhihili nikuchinjwa sasa subirini waislamuwakweliwatapopatanguvu mtachinjwanyoteinshaallah waovuwakubwawaibadanyie allahawaongoze kuwafunguwanyoyo

  • @JamalMohamedibnusaalim
    @JamalMohamedibnusaalim 11 місяців тому

    Mashekh zangu ugomvi hauna nafasi kati ya yetu waislam ilimu ni pana mno wote mnajua hilo alaf kua na ilmu co sababu chakuzingatia ktk hiyo elimu kunae manufaa? Je hikma ipo? Ko msipate taabu ktk hilo masheikh zangu, usitumie jazba kubwaa akat ilmu enyewe haina manufaa wala hikma allah keshasema man yuutwiil hikmata faqad uutiya khayran kathiiraa.. faqatw.

  • @MustafaOyoo-qz7rp
    @MustafaOyoo-qz7rp 11 місяців тому

    Huyu sheikh ni mtu wa uzushi

  • @Seng522
    @Seng522 11 місяців тому +4

    Mie ninachopenda sana nikuona miwahabi inawafatalia sana mashekhe zetu. Tena wanawafatilia vyema sana Sasa Hua najiuliza kama mashekhe zetu niwabidaa kwann mawahabi hawatosheki na mashekhe zao Wakasoma Dini ila utakuta Katika kila clip yoyote Ile ya mashekhe zetu utawakuta Hawa watu ila trust me Hua hawana Muda WA kusoma Dini zaidi Hua niushabiki tu nakujifanya Wana elimu kumbe bangi tupu

    • @Captainome
      @Captainome 11 місяців тому +2

      Hawaezi kuwacha wapitosha umma kwakutaka Dunia yao,tuko na wao bamper the tu bumper wamedangaya watu siku yingi so ukishndwa kuona wakirekebishwa we tizama tu.

    • @Seng522
      @Seng522 11 місяців тому

      @@Captainome Sasa wewe umerekebisha nn au Huyo shekhe wako karekebisha nn? Au huko kutupa kitabu then Kuja kuomba radhi baada ya kusemwa???

    • @Captainome
      @Captainome 11 місяців тому

      @@Seng522 kitabu kutupwa alikiri mwenyewe nikosa na kaomba radhi sasa yy ndio mumefaya topic kwenye misikiti na kwenye magrouo zamaulindi zenye hamna la kuongea kila Asmara bachu bachu,this roundy tutawasnyooshaa na shubhat zenu mustake kutengeneza maisha yenu kupitia waislamu wasiojua kitu.

    • @Seng522
      @Seng522 11 місяців тому

      @@Captainome istoshe nakushauri uende ukakusomeshe kama ndio shekhe wako coz hawezi kumzuia mtu kusimamia alichokua nahakika nacho sana sana atawachota wafuata mkumbo ila sio wasomi wadini Tena walosoma kwa ikhlaswi

    • @saidkondo5112
      @saidkondo5112 11 місяців тому +1

      Hiii dini yetu sote mashekhe zako wakilopoka tunawabainisha,wakitaka wawaiteni chumbani wawaambieni usufi wenu

  • @hamisisalimu6908
    @hamisisalimu6908 11 місяців тому +2

    Yani hizo hoja 19 na mpaka 30 zilizoulizwa hata mimi nazi jibu, 😅 manake nivichekesho, mawahabi akili zao fupi kweli kweli. Mimi sio sheik wala sijasoma lakini nazi jibu. 😅😅

  • @user-wt6mr2ds1i
    @user-wt6mr2ds1i 10 місяців тому

    Kaulize ww hoja zako

  • @saidkondo5112
    @saidkondo5112 11 місяців тому +15

    Walidi hoja za mtoto wa bachu zipo wazi mjibuni,kama kapotosha ,mnazuunguka zuunguka tu,"eti huwezi kuelewa maneno ya barazanji"ilmu ni sanadi tupeni sanadi ya maneno ya barzanji,

    • @SaidimaulidiMaulidi-lf9de
      @SaidimaulidiMaulidi-lf9de 11 місяців тому +3

      Kwahiyo wewe bachu unamuona anaelimu sana eeh,wewe bachu ni jazba tu ni debe tupu tu kelele nyingi hamna elimu Wala hekma Wala adabu ni mpuuzi tukwetu upo.😅😅😅

    • @abuushakiraddausiy8666
      @abuushakiraddausiy8666 11 місяців тому +1

      Kama Hana elimu jibun hoja zake acha uzuzu

    • @mzamilomocho6531
      @mzamilomocho6531 11 місяців тому +4

      Bachu hana elimu zaidi upotoshaji TU.

    • @ukongaaljazeerat1009
      @ukongaaljazeerat1009 11 місяців тому

      @@abuushakiraddausiy8666 nyny ndo mazuzu

    • @abuushakiraddausiy8666
      @abuushakiraddausiy8666 11 місяців тому +2

      Sawa Hana ajibiwe hoja zake bhas na sis tupumzike

  • @mahammoudhaji
    @mahammoudhaji 11 місяців тому

    Mume shika hoja 19 km ni hoja kweli zingeshajibiwa zile ni hoja kwenu mawahabi lkn kwetu sufiyyuna sio hoja kwanza jiulizeni swla 1 tu kwamba hizo mnazoita hoja hem jrbuni kuangalia yyte aliyoitoa kwenye Quran au Hadith lkn it was just rubbish and we put them in the dustbin

    • @muhidinally3753
      @muhidinally3753 11 місяців тому

      Aaaaaa ndugu yangu hoja hizo haziwezi kutoka kwenye Quran au Sunna kwa sababu huko haziko na ndio msingi wa Sheikh Mohammad Bacho nyie Suufia mnatoa wapi?? Usijizime data wewe Suufia bin Shia

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 11 місяців тому +1

    Tonge imembadilisha mpaka misimqmo ya dini
    Kutoka kuwa mtu wa sunna hadi kuwa sufiiii
    Dunia bwana

    • @hassanisihaka910
      @hassanisihaka910 11 місяців тому

      Nyinyi hamumjui Walid sisi tuachieni kaka yetu kama nyinyi hamumuelewi tulieeni

    • @Seng522
      @Seng522 11 місяців тому

      Acha unafiki ndugu eti tonge Huyo hajawahi kua wahabi

    • @jaizaniimamu3880
      @jaizaniimamu3880 11 місяців тому

      huyo hajawai kua mvaa kaptula

  • @alijuju8697
    @alijuju8697 9 місяців тому

    Sheikh Mohammad Bachu alipaswa kujibu suala aliloulizwa na mwenzake.
    Lskini Bscho alijifanya yeye first eleven lakini mbona hakijibu swala iloulizwa.
    Lakini baada kuona hana jibu ndio akajifanya kuuliza swala.
    Kwa hiyo yeye kwa kuwa hakuweza kujibu hilo swala basi angelisema kuwa hajui.
    Kwa hiyo na wewe usijifanye mnafiki kwa kuugeuza ukweli na.kutaka iwe uongo.