SHEIKH MPYA AMJIBU SHEIKH ALHAD - "MIMI SINA MANENO MENGI, NAFANYA VITENDO TU"
Вставка
- Опубліковано 6 лют 2023
- SHEIKH MPYA AMJIBU SHEIKH ALHAD - "MIMI SINA MANENO MENGI, NAFANYA VITENDO TU"
Aliyekuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa leo amekutana uso kwa uso na Sheikh Mpya wa Dar es Salaam aliyeteuliwa baada ya Alhadi kutenguliwa, Walid Omary.
Wawili hao wamekutana kwa ajili ya Sheikh Alhadi kukabidhi ofisi kwa Sheikh Walid aliyeteuliwa kurithi mikoba yake.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
Shekh Allah akubariki,hua nafuatilia sana Dua zako za mafundisho ya mtume Muhamed na hakika zinamafanikio ndani yake km ukimtanguliza mungu
ALLAH akupe wepesi sheikh WALID ALHAD hakika maneno yako ni mazito na yenye busara kubwa ndani yake
masha Allah
Allah iwafakka
Umekua kama simba na yanga jamani waislam tunaenda wapi 😢
nyie Wenye ilmu mna mambo ya ajabu sana mpaka mimi hua najiuliza hua baada ya kupata ilmu hua ni nini mnagunduaga mpaka mnakua na mambo ya ajabu ajabu kiasi hiki katika dunia hii ?🤔
Kiburi
Bakwata kuna mbonga ndo maana musa analilia kuna clip moja ivi hajafurahishwa kutolewa ofisini
Huni limekasirika kwelkweli aiseee
Hahaha balaa
tuwaheshimu wakubwa zetu wanapokua kwenye kikao basi
Hivi kwanini shekhar Alhad anapenda kuvaa sunglassesx
Anaona aibu kwa vitabia vyake.
Umbea wenu wala haj amjibu katoa hotuma yake kama musa sali m alivyotoa acheni makasiriko acheni fit ma wenyewe wanaele wana
Kwa nn mchukia sana huyu shekhe aliopita chuki ni mbaya sana
Uyo mawani naye vip kama jasusi
Jaa.maa.kavimba.uyo