SHEIKH WALID AMSOMESHA MTOTO WA BACHU | SEMA HUJUI SIO HAKUNA | HADHARA YA MASJID MTORO 2023

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 444

  • @misbahukhalifa3216
    @misbahukhalifa3216 11 днів тому

    Mungu akujazi kila la kheri na baraka Aamiin Sheikh Walid nakupenda sana kwa ajili ya Mungu na Mtumi.

  • @allyhamad7999
    @allyhamad7999 Рік тому +19

    KICHWA CHA HABARI NI TOFAUTI NA KILICHOMO NDANI, Kwa kweli Shekh wa mkoa amezungumza vizuri sana ktk clip hii , ni faraja kuwa na shekh mwenye elimu ktk mkoa wetu. Allah amhifadhi

  • @RashMash-l1b
    @RashMash-l1b Рік тому +28

    Allah awatoe waja wake kwenye baatwil na aweeka katika njia ya haki aameen.

  • @yahayasalum2943
    @yahayasalum2943 11 місяців тому +3

    Maulidi ni jambo lenye kuziswa
    Maswahab Allah awaridhie ni wajuzi zaid wa kuijua dini ya Allah.
    Na ndiyo watu wenye pupa zaid wa mambo ya kheti
    Na ndy watu walimpenda zaid mtume
    Na ndiyo walioshikamana zaid na sunna za mtume
    Na pamoja na yote hayo hawakusherehekea mazaxi ya mtume
    Yangelikuwa yana kheri wangetutangulia juu yake

  • @akhtarbegum1219
    @akhtarbegum1219 Рік тому +13

    MashaAllah khutbah ya Hikma. Jazakallah khayr.

  • @misbahukhalifa3216
    @misbahukhalifa3216 11 днів тому

    اللهم صل على سيدنا محمد وعلى آل سيدنا محمد الطيبين الطاهرين

  • @harithkamgasha1750
    @harithkamgasha1750 Рік тому +2

    Sayadhakkaru mayyakhsha wayatajannabuhal ashaka
    Allah akuweke muda mrefu wenye KHERI na baraka sheikh Walid

  • @UstadhiShekhe
    @UstadhiShekhe 11 місяців тому +3

    Mashaallah Allah akuzidishie elimu zaid

  • @maulidmohamed5792
    @maulidmohamed5792 Рік тому +3

    Mashaa Allah

  • @Shuwayyaiddy-in3so
    @Shuwayyaiddy-in3so 8 місяців тому +1

    باراك الله فيك

  • @mobilespecialschool4216
    @mobilespecialschool4216 Рік тому +9

    ** Mashallah sheikh nampenda anaxungumza vizuri ila ANGEMALIZIA NA HAPO KWA WANYAMA KUXUNGUMZA LUGHA FASAHA YA KIARABU, ANGETUSAIDIA SANA TUJUE NI MAJAZI AU MASHAIRI***

    • @bafagih93
      @bafagih93 Рік тому +3

      Ndugu yangu jambo la wanyama kuzungumza lisikushtuwe maana ikiwa Mungu ameweza kufanya wanyama wakazungumza na Nabii Suleiman.Swali je itashindikana kwa Mtume Muhammad kuzaliwa kwake ? Kimsingi Mungu anaeza kufanya jambo likawa kun faya kun. Nukta muhimu mitume sio kama sisi daraja zao ziko juu kutuliko sisi.

    • @omarabdallah372
      @omarabdallah372 Рік тому

      ​@@bafagih93lakini kumbuka kuwa Nabi Suleiman Allah alimpa ufahamu wakuskia lugha za wanyama na sio vile unafikiria wewe na Allah alimjalia yeye pekee kuskia sio kilam2. Ila hapo kwa wanyama kuongea kiarabu faswaaa 😅😅😅😅😅😅😅 na mengi kuongezea juu ya mtume. Fanyeni maulidi Ila hakuna kitu maulidi kwa uislam. Sisi nikinani kufanya maulidi wakati maswahaba hawakufanya Kisha huyo munaye mfanyia maulidi mwenyewe alikua akifunga siku yakuzaliwa kwake. Mbona musifuate Sunna basi kumpenda mtume mifunge na nyinyi kwani mpaka kukusanyika kwenu mupige magoma na kucheza . Allah akupeni ufahamu IN SHAA ALLAH.

    • @bafagih93
      @bafagih93 Рік тому +1

      @@omarabdallah372 wanishangaza sana brother sasa ikiwa mtume hakufanya kitu wakati wake wewe ndio wapima ni bidaah basi kuna mangapi yakupima ambayo ni bidaah ukianza na calendar ya kiislamu wakati wa mtume ilikuwa hamna ? Lakini cha muhimu unafaa kuelewa kama jambo ni bidaah na ni bora kwa uisilamu basi bidaah hio huwa ni katika bidaah inayofaaa ...umuhimu unafaa kuelewa wakati wewe utataka kuelewa. Hapa hatushindani bali tunaelimishana.

    • @alsharif456
      @alsharif456 Рік тому

      Siipendi malumbano katika hili lakini naomba niseme ," Ispokua walioamini na kutenda amali njema" Al assir- Jee miongoni mwa amali njema ni zipi?
      Na kama tusisome haya maulidi basi tuambieni tufanye nini ili kwamba ibaki tu dunia ijue kwamba hii sku kuna jambo kwa waislam duniani kote?
      Kwasababu tukisema tuache kusoma hyo maulidi unaufikiria tutafanya nini kutofautisha hulka za Zetu na Makafiri

    • @mobilespecialschool4216
      @mobilespecialschool4216 Рік тому

      @@alsharif456 funga kila j3 na alhamis, watendee wema wazazi wako, simamisha swala, toa zaka, nenda hija kama unaweza, na mengine mengi ukifanya haya makafiri wote na dunia watajua wewe unampenda mtume

  • @AthumaniBakari-o6r
    @AthumaniBakari-o6r 23 дні тому

    KAMA MAULIDI KWENYE QUR'AN HAYAJA TAJWA BASI HAYAPO NAJE MWENYEWE BWANA MTUME S.A.W HAJA YAFANYA BASI MAULIDI HAYAPO HADITHI ZIMETUNGWA TUTOLEENI MAULI KWENYE QUR'AN TUKUFU JAMANI MWATUCHANGANYA SISI WENYE ELMU NDOGO

  • @inasrashidissanassor-pv7ur
    @inasrashidissanassor-pv7ur Рік тому +1

    Shukrani sana sheikh, mawahabi ni makafiri kabisa.

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 Рік тому +3

    Masha-allah

  • @mohamedamiri4597
    @mohamedamiri4597 Рік тому +5

    Mashaallah

  • @muftiahmadimahmudulemba1918
    @muftiahmadimahmudulemba1918 Рік тому +3

    Maa Shaa Allaahu
    Wafuasi watume
    صلى الله عليه وسلم

  • @hassanchombola-ui5de
    @hassanchombola-ui5de Рік тому +1

    Allah akbar

  • @ShuraimSoud
    @ShuraimSoud Рік тому +5

    Maulidi uzushi

  • @twahirburhan3726
    @twahirburhan3726 Рік тому +4

    Mbaya zaidi kuna wengine miaka ya nyuma walikuwa wakiyapinga Maulid lakini baada ya kupata vyeo wanayaunga mkono....Muogopeni Allah.

  • @yusuphabdallah685
    @yusuphabdallah685 Рік тому +6

    YAANI MIMI YUSUPH BIN ABDALLAH,KUANZIA LEO SITAKAA NISHEREKEE MAULID AU KUWA SEHEM YA MAULID,ALLAH ANISIMAMIE....

    • @jumanneomary2997
      @jumanneomary2997 Рік тому +1

      Nani alikuradhimisha kusherekea maulid

    • @Abdallah-e7o
      @Abdallah-e7o Рік тому

      Kuffar ww

    • @iddyjohn1032
      @iddyjohn1032 Рік тому

      Kaendeleee kukumbatia ila sisi tuachie Mtume wetu

    • @rjqaasam4587
      @rjqaasam4587 Рік тому

      Wala sisi hatukuhitaji wewe
      😂😂😂😂

    • @saidihaji3739
      @saidihaji3739 Рік тому

      ​@@Abdallah-e7o
      Mbona unamwita mwenzio jina la kumtoa katika uislamu ??
      UNAYO DALILI JUU YA HILO ??
      AU UNAJISEMEA TU KAMA MTOTO WA BACHO ?
      Anapoambiwa athibitishe analeta balbala tu hadi akakimbia ..

  • @hajimuhidini1903
    @hajimuhidini1903 Рік тому +1

    Sh walidi samahani sikusudii kukukosoa mmi ni mtafutaji wa Elim hii وربك يخلق مايشاء ويختار، ،،،،،، ipoh surat Al qasas aya ya 68 kama nimekusikiavizuri umesema Al anam mmi nailiwahi kuihifadhi aya hiyo katika suratul qaswas 668

    • @isihakaselemani5727
      @isihakaselemani5727 Рік тому

      668 mbona sura hiyo haijafika aya hizo au na ww unasoma msahafu gani huo.

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 Рік тому +6

    Mashallah sheikh walidi uko vizuri baarakallah fiyka

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 Рік тому

      Nyie masufi ni mijitu mijinga sijapata kuona maulid ni bidaa kubwa hakufanya mtume wala maswahaba wake walio waongofuuu

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 Рік тому

      Nyie mpeda wapi bidaa hi kubwaaa

    • @alhimnamussasaid3619
      @alhimnamussasaid3619 Рік тому +1

      @@awadhally1052 hapo ndo elimu yenu ilipoishia Mtume hakufanya basi hayo mengine tuachieni wenyewe hamujaitwa hapa pumbavu nyinyi

    • @rukiaissa5878
      @rukiaissa5878 Рік тому

      ​usiwatukane al akhy hao ni binaadamu nao

    • @alhimnamussasaid3619
      @alhimnamussasaid3619 Рік тому

      @@rukiaissa5878 🙏

  • @SaidiMlisho-r5z
    @SaidiMlisho-r5z Рік тому +5

    Marahii alhamdulillaah tumepata haswaa shekhe wamkoa

  • @faridahmed6296
    @faridahmed6296 11 місяців тому +1

    Aya Za mungu twazijuwa bibi Mariyam ajulikana c Mada hiyo

  • @nurasalimu2403
    @nurasalimu2403 Рік тому +2

    Mnao coment kiubishani mnaocoment muwe makini RAKIBU/ ATIDU wanaandika matendo yenu nyie endeleeni kuchafuwana mtajuta siku ya mwisho Allah awasamehe😢

    • @LuqmanAndrew-nu9rx
      @LuqmanAndrew-nu9rx 2 місяці тому

      Mbaya zaid ukiandika comment leo itaishi mpaka Qiyama, Allah atuongoze

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 Рік тому +7

    المشترك الأكبر والأقوي والأظهر هو اجتماع الصوفية والشيعة معًا ليس فقط في تقديس أوليائهم وأئمتهم، ولكن في إعداد الحدث والتاريخ وجعله في خدمتهم ولصالحهم بحسب رؤيتهم وإن نحروا المنهجية التاريخية والعلمية أيضًا على قربان التقرب إليهم، ولو زيفوا الوقائع.
    إن من يطالع القصائد الحارة فى مراثي النبي صلى الله عليه وسلم من كافة المسلمين على اختلاف عصورهم ومشاربهم، سيتكشف له أن قصائد الشيعة غالبًا ما يكون مفتتحها مدح أو رثاء الرسول بينما غايتها الكامنة هى مديح أو رثاء آل البيت والمعصومين من أئمتهم، يشهد بهذا الدكتور محمود على مكي حيث يقول : (على أن ما نلاحظه على شعر السيد الحميري، وغيره من شعراء الشيعة، أن تناولهم لجوانب من سيرة الرسول صلى الله عليه وسلم لم يكن مقصودًا لذاته، بل هو موظَّف لخدمة عقائدهم فى آل البيت، فهو مجرد منطلق لهم لكي يبسطوا قضيتهم وحججهم لأحقية أئمة آل البيت فى الخلافة) [المدائح النبوية، ص73].
    ذلك في الوقت الذي يتجرد فيه أهل السنة من هذا النَّزق؛ فمبتدأ رثائهم ومدحهم وخاتمته هو خالص محبتهم للرسول صلى الله عليه وسلم، وإن بدت قصائدهم ـ للوهلة الأولى ـ أقل لوعة وحرقة واشتياقًا لأنها تقوم على العقل أو ما يسمى الرشدنة، بينما يفتقد الصوفية هذا الرشد فتبدو قصائدهم أكثر حرارة وموجدة لأن محبتهم دعائمها العاطفة المحمومة غير الرشيدة التي تستمد سخونتها من الأحاديث الضعيفة والموضوعات والقصص الموضوعة المدسوسة على سيرة رسولنا الكريم صلى الله عليه وسلم.
    ومع هذا فلا يستطيع منصف إلا أن يشهد بأن المتصوفة خالفوا الشيعة من حيث كون مدحهم للرسول صلى الله عليه وسلم ومراثيهم فيه إنما غايته حب الرسول ذاته دون أن يخلطوا به حبهم لمشايخهم وأقطابهم وأبدالهم، وهي نظرة تتفق مع أهل السنة حينًا ثم لا تلبث أن تفارقها حين تتبنى مفهوم أزلية الوجود المحمدي وأن هذا الوجود أول شيء خلقه الله وأن كل موجود يستمد منه، فهو مبدأ الوجود والحياة وأن نوره تجسم في صورة آدم وصور الأنبياء من بعده. وهو يتجسم بعد الرسول في صور الأولياء من أقطاب الصوفية الذين يصلون منه إلى مرحلة الذوبان بما يسمى بالفناء الكلي فى الذات العلية، لتجد أنهم ما كادوا يلامسون أهل السنة حتى يميلوا كل الميل تجاه الشيعة فيتجاوز حبهم لمشايخهم وأقطابهم حبهم للرسول صلى الله عليه وسلم، وهذا عندهم أصل الأصول للقربى والوصول فيسبحوا بعيدًا عن مرفأ النهج النبوي القويم وإن ظنوا المثول

  • @AbdiazizOsman-fv2pi
    @AbdiazizOsman-fv2pi 11 місяців тому +1

    قالت هو من عند الله ...
    Sheikh alikosea

  • @qussayribnommar511
    @qussayribnommar511 Місяць тому

    Masheikh Wanapenda Baatwili Kuliko Haqi

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 Рік тому +1

    Mobana hatuoni wadudu , paka ngurue ,simba , samaki papa jodar king siku ya rabiul awal kukusanyika ku sherehekea mazazi yamtume, na hawo wanyama nibwawo wakuwanza ku pongeza hongera mimba ya mtume

    • @fahadusama2015
      @fahadusama2015 Рік тому

      Utawaona au utawaskia weww bwana. Tafta udhaifu wako wengne twawaskia😂😂😂😂

    • @barzaqtradingcompany8541
      @barzaqtradingcompany8541 Рік тому

      @@fahadusama2015 ebo ni masharti ya swala nigapi, ya kuyswadhi ni ngapi, saumu na haj nayo masharti nigapi tuanzie nchini

    • @fahadusama2015
      @fahadusama2015 Рік тому

      Selewi umeandika nini bwana

  • @Iddymaryam08
    @Iddymaryam08 Рік тому +13

    Nitangulize kusema binafsi si shabiki wa maulid toka utoto na huwa siendi. Ila kamwe siwezi kaa na kutukana wanafanya maulid. Sabb nimepata kusoma kiduchuuu kwa sheikh wakubwa (horizontal vs vertical learning approach). Wanaofanya wanahoja zao ziheshimu kama huzipendi waachie kama utashindwa kuwavuta upande wako. Kipindi tunakua mwanza, maulid ilikuwa ni kuchanga na kujenga msingi wa walau darasa moja

    • @saadomar2480
      @saadomar2480 Рік тому

      Ahsante Sana habiib, hayamaneno uliyoyasema wallaahi Allaah akubariki Sana Mzee, MWISHOWAKO uwemwema, namm mawazoyangu nikamayako kanakwamba tulizaliwapamoja

    • @misrusaidi3627
      @misrusaidi3627 Рік тому +1

      Yaani sawa umesema mimi sili nguruwe ila wanaokula sioni ubaya

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz Рік тому +1

      Na je kama wanaofanya maulidi wanapotea 2endele kuwaacha kwasababu wanaa mlongo wao na sababu zao

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz Рік тому +1

      @@saadomar2480 itabidi m2 akiwa anapotea aachwe apote kwasababu ashaamua kupotea kwann Umma huu umeitwa Umma bora ukijua ilo bc utakua ushajua kwann wa2 wanawakosoa wa2 wa maulid

    • @ishirininasita2626
      @ishirininasita2626 Рік тому

      Hata sisi hatujagawanya tauhid makundi matatu na hatujawaita mushrikina

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah5176 Рік тому +1

    Sh BACHU LETE USHAHIDI WAPI MTUME KALA UROJO...

  • @MahdiMustafa-d1e
    @MahdiMustafa-d1e Рік тому +1

    Huu wingi wa mashek sio mzuri . Kumbe wanajua kuhusu barzanj na uongo kwenye kitabu chake na bado wanasisitiza maulidi . Kwani shida iko wapi mkisema ukweli??

  • @barwani890
    @barwani890 Рік тому +2

    Mashaallah ustaadh waliid maneno. Yako na akili yako kama ustaadh alhadi Allah amraham .tabaraka rahmani ndugu yangu Allah akuzidishie

  • @omarabdallah372
    @omarabdallah372 Рік тому +1

    Kisha kuhusu mtume s.a.w alifunga sikuwaiga mayahudi ila alifanya kwakuwa musa hakuwa muyahudi alikua muislam sawa. Na nyinyi mwawaiga mashiya wala hamuigi mtume kuwa hakufanya maulidi siku yake kuzaliwa.

  • @جنانياسر-ج9ض
    @جنانياسر-ج9ض Рік тому +1

    Mashal ah

  • @Ochu87-q4p
    @Ochu87-q4p 7 місяців тому +1

    Ikiwa nafsi yako inasita ukitaka kufanya Ibada basi jua Ibada hiyo Allah anaipenda kwa ivo Ibilisi lazima atafute Mwanya wa kukuzuia, Allah atusaisie sote

  • @powergold5141
    @powergold5141 Рік тому +2

    Mimi naitaka pepo but sio nipate kwa kushiriki katika maulidi!!

  • @alisaid5166
    @alisaid5166 Рік тому +5

    Surat qasas hiyo sio anaam nakukumbusha tu. Inshaallah.

  • @awatifomar5185
    @awatifomar5185 Рік тому +1

    ALLAH ATUONGOZE ILA KWANI KUNA SIRI GANI KWENYE UZUSHI HATA TUKAFIKIA KUTOA UONGO KM NDIO DALILI KM

  • @JumaOmar-lj9yh
    @JumaOmar-lj9yh Рік тому +6

    Mnashindwa kite tea barazanji uzushi mtupu

    • @سعدياقوت-ت2خ
      @سعدياقوت-ت2خ Рік тому

      Kasome acha ushabiki😂😂😂

    • @iddyjohn1032
      @iddyjohn1032 Рік тому +1

      Kama mpaka leo wasema tumeshindwa maana yake wewe ndio umeshindwa kwasababu hata leo hapa tulipo ukiulizwa swali huwezi jibu,na Lau ukipewa dalili pia huwez amini kwasababu wewe una TAASUBI.

    • @fasilamohammed1560
      @fasilamohammed1560 Рік тому

      Kasome elmu kwanza ndio uongee. Uzushi wa barzanji ni nini eleza. Hio bachu wenu yeye alijibiwa swali lake mbona yeye ameshindwa kujibu swali aloulizwa. Jana ajuwalo huyu maneno mengi tuu. Nenda u google uone vile huyo bachu anatolewa makosa .

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 28 днів тому

      MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa,
      SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo
      Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ?
      Nakupa Highlight:
      Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR (KATOA HUKUMU YA HADITH HAPO)
      Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea
      AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ.
      Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج
      Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini? na Tija ya تخريج ni ipi?
      Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza
      Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza
      BAADA YA MALUMBANO, Ustadh said akaamua atoe hadithi kwenye DARAI NNUBUA inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar
      Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO
      JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO (HADITH) HUITWA NI UONGO ?
      swali lake lili gusa MTU au MUANDISHI au KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO)
      Sheikh bachu akasema SIONGELEI SHEIKH JAFFARY BARAZANJI mi naongelea hadith
      Ostadh said akamwambia mbona swali lipo pale pale… JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ?
      mi nimekuja kutetea maneno ya sheikh jaffary barazanji, kutetea maneno yake kuwa sio uongo na video zako zote (sheikh bachu) una muitaga sheikh jaffary barazanji ni muongo na kitabu unakiita uongo na unamuita mshirikina. Ndo mana nimekuja kumtetea
      SWAlI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamua KUNYANYUKA NA KUONDOKA
      Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR.
      Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO sio kwa MANENO YAKE ila maneno ya WANAZUONI WA مصطلح الحديث
      akampa maneno ya WANAZUONI مصطلح الحديث wamesema wamesahihisha hadith kutumika ispokua HADITH MAUDHUI na pia hawaijasahihisha HADITH DHAIFU Kwenye HUKUMI WAL AKHAIDI ILA wamesahihisha kutumia HADITH DHAIF kwenye sira
      na akamwambia tupo kwenye sira na HIKI KITABU CHA BARAZANJI NI SIRA ndo mana tunakitumia. SHEIKH BACHU UMESEMA hii hadith ni munkar na hadith munkar ni ipo kwenye kipengere cha HADITH DHAIFU
      akamwambia hii uloleta ni hadith lazima tutudi kwa wataalamu wa hadith, je itifaki gani ya wanazuoni wa hadith walosema haya maneno uongo sio maneno yako..
      SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH
      ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH??
      Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث

  • @abuusaid3297
    @abuusaid3297 Рік тому +1

    Hizo aya unavyo zitafasir ndivyo walivyo zitafasr wanazuoni wabobez w tafasr y qur..n, au unatujulisha kua wewe pia ni mwanafunz w alie kua mnajim w afrik mashark, kumbe hukuchukuatu sent, kil wik bali uliisom kwake elim y ramli na nyot, duh huu ni mtihani mwingine!!!!

  • @AhmadyAlly
    @AhmadyAlly Рік тому +1

    Huyo n shekh wa mkoa bali sii shekh wa waislmu

  • @sijartv9554
    @sijartv9554 Рік тому +3

    Shekh walidi kaka yangu hapo umevuruga sana yani kuna siku ya nuksi Allah akukumbushe ktk haqqi

    • @iddyjohn1032
      @iddyjohn1032 Рік тому

      Kwani ni yeye au ni aya??

    • @iddyjohn1032
      @iddyjohn1032 Рік тому +1

      Hebu ichukue hii aya Watu hawasemi kwa matamanio yao tu'
      { إِنَّاۤ أَرۡسَلۡنَا عَلَیۡهِمۡ رِیحࣰا صَرۡصَرࣰا فِی یَوۡمِ نَحۡسࣲ مُّسۡتَمِرࣲّ (19) تَنزِعُ ٱلنَّاسَ كَأَنَّهُمۡ أَعۡجَازُ نَخۡلࣲ مُّنقَعِرࣲ (20) فَكَیۡفَ كَانَ عَذَابِی وَنُذُرِ (21) وَلَقَدۡ یَسَّرۡنَا ٱلۡقُرۡءَانَ لِلذِّكۡرِ فَهَلۡ مِن مُّدَّكِرࣲ (22) }
      [Surah Al-Qamar: 19-22]

    • @iddyjohn1032
      @iddyjohn1032 Рік тому +1

      Hiyo nakhasin mustamir maana yake nini kwani mustamir si fiilu mudhwaar ambayo ni istimraar??

  • @FahmiSaleh-s8f
    @FahmiSaleh-s8f Рік тому +1

    Maulidi ni bidaaaaaaaa

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 Рік тому +1

    خير الهدى هدى محمد وشر الأمور محدثاتها

  • @USTAZZAGHAWIYUSTAZZAGHAWIY
    @USTAZZAGHAWIYUSTAZZAGHAWIY Рік тому +1

    KAMA MWAJUA HILO BASI ACHENI KUTAJANA MAJINA SOTE TUBAKI NI WAGENI WA MTUME صلى الله عليه وآله وسلم

  • @iddimohamed254
    @iddimohamed254 Рік тому +1

    Hizi sherehe za maulidi hazina dalili mmejipangia wenyewe tu kama zile za crismas huo ndio ukweli,hata mkisirika mstahamili.

  • @NureinHarawe
    @NureinHarawe Рік тому +2

    suratul qaswas aya 68 so an'aam

  • @zuberihamisi460
    @zuberihamisi460 Рік тому +1

    Tatizo masheikh angalieni tusiwafuate manaswara wanao hadhimisha siku ya kuzaliwa Issa bin Mariam. Yapo mambo 35 yanayo yaramisha hio Maulidi.toeni dalili za kuhalalisha maulidi

  • @habibasalim3092
    @habibasalim3092 6 місяців тому +1

    Maulid Ni uzushi na hakuna atakae mfunza Nasoro Bachu,hivi hawa watu wa maulidi hua wakiobgea uzushi hua wanajiskiza kweli SUfi hamko pamoja na mtume msijisumbue

  • @adammaulid2356
    @adammaulid2356 Рік тому +1

    وربك يخلق ما يشاء ويختار
    Sio suratul an-ami ni suratu Al-qaswas ay 68

    • @saadomar2480
      @saadomar2480 Рік тому

      Kusahau kitu chakawaida. Tu, Wala usijalimzee

    • @10gb27
      @10gb27 11 місяців тому

      Kwahio katika aliyoyaongea ya karibia nusu saa, ulilofanikiwa kuliokota ni hilo tu😢

  • @twahirburhan3726
    @twahirburhan3726 Рік тому +2

    Baatwill haiwezi kuishinda HAQQI hata siku moja, ukweli utabaki kuwa ukweli tu kwamba MAULIDI NI UZUSHI TU Nna hakuna hata SWAHABA MMOJA ALIYEFANYA HUU UZUSHI ETI WA MAZAZI YA MTUME...YAANI NI AJABU KWAMBA MASUFI NA MASHIA WANAUJUA UISLAM KUWASHINDA MASWAHABA...

    • @mangofish9079
      @mangofish9079 Рік тому

      wewe hapo kumuadhimisha mzazi wako siku yake ya kuzaliwa na kufariki kwake ukaisoma tarehe yake na kisha kumuombea dua ni vibaya??

  • @jay29jay78
    @jay29jay78 11 місяців тому +1

    Hivi vita vya maulidi bado vyaendelea tu...haya mambo kuanzia 1960's....huyu mtoto bachu elimu yake ndogo ukilonganisha na hao wengine....hamaki nyingi za kitoto

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 Рік тому +4

    Siku hizi ukitaka upate comments na views nyingi andika kichwa cha habari moto wa Bachu na weka picha yake kabisa maana ndie habari ya mjini😂 Simbaaa😂😂😂 ana kichwa kimoja ila kama ana vichwa 1000 anaitwa milles têtes kwaki faransa😂

  • @abusumeya6092
    @abusumeya6092 Рік тому

    سورة القصص

  • @DuniaSultan-wt1ry
    @DuniaSultan-wt1ry Місяць тому

    Kwa kusema Kuna siku nuksi ktk hi Dunia ilo limekatazwa kwa adithi ya mtume swalallahu alayhi wasalam aliyeipokea abuu huraira radhiyallahu anhu amesema allah ananiuzi Bin adam anaetukana masiku akika allah ndio masiku na yeye ndie ubadirisha usiku na mchana na ktk riwaya nyingine Wala usitukane siku akika allah yeye ndio masiku) soma kitabu al mukhalasu sherehe kitabu tawhidi ukurasa 339 mpaka 341 20:17

  • @zigzag4487
    @zigzag4487 Рік тому +1

    Nyie ndio mnaupotosha umati wa mtume Muhamad kwa hadithi munkar badae watakuja wengine wataweka ibada yao km hii ya maulidi

  • @nusalim3389
    @nusalim3389 Рік тому +6

    Kwahio na nyinyi ndio hamtatoa hio itifaki Hadi aseme hajui,akisema hakuna hamtoi?kwahio mmko radhi mbanie hio elimu hata kwa masufi wenzenu, Haya sisi kwa niaba yake twasema hajui wewe saidi haya tuambie kama IPO endapo angesema hajui,nakupa hii challenge

    • @mwanakheri2880
      @mwanakheri2880 Рік тому

      Hebu tuambie taraweeh Mtume hajaiweka kwa muda mskitini. Kuogopea isifanywe ni faradhi. Sasa tukiswali taraweh mskitini si ni bid a pia. Mnaona maulid tu
      Tutayasoma mpaka kufa

    • @nusalim3389
      @nusalim3389 Рік тому

      ​@@mwanakheri2880 Usituchekeshe ,huwez fananisha maulidi na taraweeh ukafanya qiasi,taraweeh Ina asli kwny dini hadithi zipo wazi,mtume ameiswali na masahaba,Kisha badae ndio akaogopea isije faradhishwa kwsbb wahyi unaendelea yupo hai,lkn Omar ndio akaiendeleza kwsbb ana mashikio na walimsikia mtume aliiacha kuswali msikitini kwsbb moja,na hio sababu ishakatika kwakuwa kashakufa na wahyi haushuki,hajazusha asli Bali ameendeleza Sunna,je nyinyi Wana maulidi mtume na masahaba waliwahi hata mara moja au mlijitungia Karne za baadae kw hoja za kutunga tunga,

    • @wakatikaisi6743
      @wakatikaisi6743 Рік тому

      Eeeeh aje asome kwa sababu elimu hanaa huyo bachuu

    • @iddyjohn1032
      @iddyjohn1032 Рік тому +1

      Bidaaa moja wapo ni tarawehe mnayoswali ya rakaa nane zile alizo swali Mtume swala llahu alayhi wassalam kwa lisaaa tu wakati Mtume swala llahu alayhi wassalam alikuwa anaswali hizo rakaa nane mpaka unamkuta wakati wa kula Daku ndio amalizia ya nane,sasa nyinyi huo uzushi wa kuswali saa moja ama kwa juzu moja tu na mwakimbilia kwenda kulala mmetoa wapi??
      Hayo mashindano ya Qur'an mmetoa wapi???hiyo kuswali kwa pamoja tarawehe mmetoa wapi, wakati wa Mtume hakukuwa na fataha kasira dhuma Tee Theee bee n.k katika lugha ya kiarabu ambayo ndiyo leo HII twaisoma Qur'an hivi je kama wakati wa kipenzi chetu hazikuwepo leo sio bidaaa ???

  • @omarally6819
    @omarally6819 Рік тому +10

    Sote watu wa Sunnah wafuasi khasa wa Bwana Mtume Muhammad Swallallaahu Alayhi Wasallama, tukiona hivi hua tuna sikitika kwa namna munavyo potea

    • @yusuphrashidi-dr1kb
      @yusuphrashidi-dr1kb Рік тому

      Toa hadithi na aya sio mtazamo wako

    • @omarally6819
      @omarally6819 Рік тому

      @@yusuphrashidi-dr1kb Hahahaha, Shekh Muhammad Nassoro Bachu peke yake kawatoa mwijiko,hahahahahaha.
      Mnataka nini tena?
      Tatizo nyoyo zeny zisha kufa kwa uovu wa bid'ah ulivyo wafikisha mahala pabaya sana

    • @yusuphrashidi-dr1kb
      @yusuphrashidi-dr1kb Рік тому

      @@omarally6819 Toa hadithi na aya sheikh unakimbia nenda kasome kwnz

    • @mwanakheri2880
      @mwanakheri2880 Рік тому

      Shida ya mawahabi wao labda washaletewa habari kuwa wameongoka na wataenda peponi. Tutasoma maulid kila mnavoyapinga

    • @Maalim_Samatta
      @Maalim_Samatta Рік тому

      ​@@omarally6819😂😂😂masufi si watu wazuri, wamemsababishia mtoto wa watu hadi kakojolea kiti walichomkaribishia 😂😂😂😂

  • @abuutamiimattanzaaniy8676
    @abuutamiimattanzaaniy8676 Рік тому +3

    Watu wa maulidi zingatieni hapa: IKIWA HAKUNA ANDIKO KWENYE VITABU VITAKATIFU KUTHIBITISHA SHEREHE YA KRISMASS (KUZALIWA YESU), hivyohivyo HAKUNA ANDIKO KWENYE VITABU VITAKATIFU KUTHIBITISHA SHEREHE YA MAULIDI (KUZALIWA MTUME MUHAMMAD SWALLALLAHU ALAIHI WASALLAM), Nyinyi na wakristo ni kitu kimoja Munafuata uzushi, Musiwasemange Wenzenu

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 6 місяців тому

      Kabisa, Na Watu wa Maulidi kupinga wakristo kufanya Christmas na wao hawajielewi kama ndio wamewafanana nao, yaani hata sijui hawa watu wa Maulidi wanafikiria nini

    • @abuutamiimattanzaaniy8676
      @abuutamiimattanzaaniy8676 6 місяців тому

      @@habibasalim3092 naam, wakielewa kwamba upande wa kushoto wamezua jambo la krismass basi na wao wamezua maulidi, ngoma droo

    • @shabanimussa4269
      @shabanimussa4269 Місяць тому

      duuuu wewe nimjinga kunzia kichwani Hadi miguuni mwako wewe nimpumbavu mjinga usie jitambua

    • @shabanimussa4269
      @shabanimussa4269 Місяць тому

      tatizo hamkusoma wajinga nyinyi

    • @abuutamiimattanzaaniy8676
      @abuutamiimattanzaaniy8676 Місяць тому

      @@shabanimussa4269 Alaa! 🤣🤣🤣 Hayo matusi ni alama ya kushindwa hoja. Ukweli unauma sana Wallah

  • @AllyMbarak-t6x
    @AllyMbarak-t6x Рік тому +3

    Kama watu wanasherehekea kuzaliwa wavuta bangi na wanamuziki wa kizazi kipya kuna ubaya gani kwa mbora wa viumbe?(saw),hata kama ni bida"a,ni mapenzi tu.usithubutu kuingilia mapenzi unatafuta balaa,tunampenda saaana mtume wetu.

    • @SharifeNuru-wu1jj
      @SharifeNuru-wu1jj Рік тому

      unaakili sana Allah akupe mwisho mwema inshaallah yani hakuna shida hata kama hakikufanywa na mitume sii mtu mitume wote lkn hupati dhambi mbn haina shida ufaham ndio hawana vitu vingine sio mpaka uwe na ilmu

    • @ibnqassim7002
      @ibnqassim7002 Рік тому

      @@SharifeNuru-wu1jj kwaiyo ww umempenda mtume kuliko maswahaba???

    • @ibnqassim7002
      @ibnqassim7002 Рік тому

      Kwaiyo wewe umempenda mtume kuliko Binti yee fatwimaa,mkewe Aisha, swahib wake Aboukary kuliko ndugu yee Ally kuliko mkwewe omary na Othman??

    • @ushindiushindi5749
      @ushindiushindi5749 11 місяців тому

      Jinga kubwa hilo

  • @faridahmed6296
    @faridahmed6296 11 місяців тому +1

    Urongo wa kikao hicho chote. Waliyo hapo ni wazushi tu. Na uzushi wao wakupenda mtume. Angaliyeni huyu shk asema hapo alivyo vaa na hao wote wapendao mtume zaidi mavazi hayo mbona kwenye swala zote mwava kanzu mbovu bila koti bila juba bila kashida bila bakora bila miwani muvazo nyote fashion moja mbona mavazi mazuri hamuvai mbele ya mungu

  • @BakariBinuri
    @BakariBinuri 4 місяці тому +1

    Wallahi mtaulizwa qiama maswahaba wasijue nyie mashehe u bwabwa au waganga wa faraki mjue dunia imekwisha

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 28 днів тому

      Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu… USILAM UMEKATAZA KUITANA HAYA MAJINA YASIOFAA Surah Hujurat Aya 11 imetusihi mambo haya, unamuita muumini mwenzako SubhanaAllah, aya hii ilikuja kwa walioamini wote tusiitane kwa majina mabaya (ya kejeli), kwani ubaya wa sifa na jina ni utokaji nje wa maadili ya Dini, na yeyote yule asiyetubu (kutubia kwa tabia yake hiyo), basi hao ndio walio wadhalimu. ALLAH ametueleza kuwa “kuitana majina mabaya na utokaji nje wa maadili ya Dini, baada ya kuwa mmeingia kwenye Uislamu na mmeufahamu. basi watu wenyekufanya hivyo ndio watu waliozidhulumu nafsi zao kwa kuyatenda mambo haya yaliyokatazwa.
      ‎يا أيها الذين آمنوا لا يسخر قوم من قوم عسى أن يكونوا خيرا منهم ولا نساء من نساء عسى أن يكن خيرا منهن ولا تلمزوا أنفسكم ولا تنابزوا بالألقاب بئس الاسم الفسوق بعد الإيمان ومن لم يتب فأولئك هم الظالمون
      Tumekatazwa hata kutukana na kuikejeri miungu isio kuwa ALLAH
      ‎وَلَا تَسُبُّوا الَّذِينَ يَدْعُونَ مِن دُونِ اللَّهِ فَيَسُبُّوا اللَّهَ عَدْوًا بِغَيْرِ عِلْمٍ كَذَلِكَ زَيَّنَّا لِكُلِّ أُمَّةٍ عَمَلَهُمْ ثُمَّ إِلَى رَبِّهِم مَّرْجِعُهُمْ
      ‎فَيُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ
      HAPO UMEEENDA KINYUME NA MAFUNDISHO YA DINI YA UISLAM
      Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى ametuambia
      ‎إِنَّا نَحْنُ نُحْيِي الْمَوْتَى وَنَكْتُبُ مَا قَدَّمُوا وَآثَارَهُمْ وَكُلَّ شَيْءٍ أَحْصَيْنَاهُ فِي إِمَامٍ مُّبِينٍ
      Hakika Sisi tunawafufua wafu, na tunayaandika wanayo yatanguliza, na wanayo yaacha nyuma. Na kila kitu tumekihifadhi katika daftari asli lenye kubainisha.
      hajo maneno uloyacommemt utakuja kuulizwa ndugu yangu

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 Рік тому +3

    😂😂😂😂😂 badala tukapigane na watu wasiopenda uwisilamu mnakazana na maulidi maulidi 😢😢

  • @Abun70242
    @Abun70242 Рік тому +2

    Jamanini mtetezi wa kitabu cha barzanji nafikiri hajazaliwa,ni mbembwe tu.

  • @mwamba-
    @mwamba- Рік тому +1

    15:30 KUZURU KABURI LA MTUME SAW

  • @Hongkongman2
    @Hongkongman2 11 місяців тому +1

    Mijitu ya maulid kwa kujifanya inampenda mtume
    kumbe asilmia kubwa ni watu wa kilevi cha mirungi

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 Рік тому +1

    Birthday party
    A.K.A mawlidi hayakubaliki

  • @iddysufiani4963
    @iddysufiani4963 Рік тому +3

    Alie elewa like hapaa

  • @Hanif-Salaton
    @Hanif-Salaton Рік тому +1

    Asalaam Alaukum Sheikh Walid.Umetaja kuchangia DAMU swali likanijia. Quran inaruhusu binaadamu tuchangiane DAMU?

    • @10gb27
      @10gb27 11 місяців тому

      Kwani Quran inaruhusu unywe panadol 😂

  • @HumyrahChannel
    @HumyrahChannel Рік тому +1

    Kwani walid ni nabii pia yy uko kwenye maslah kaburi kila mtu atakuwa pekee yake, Allah atufanyie wepesi Ameen

    • @hassanrajab7147
      @hassanrajab7147 Рік тому +1

      Ww kama hutaki mtume asifiwe kaa kandoo

    • @HumyrahChannel
      @HumyrahChannel Рік тому

      @@hassanrajab7147 mnajifanya kumsifu kuliko walikuwa nae maswahaba wapenzi wake, mumpende zaidi, tumamsifi sana daima sio mfungo huu pekee, mtume kazakiwa lini hakuna anae juwa hio siku ni Ile alikufaa subhanallah

  • @jumalove2631
    @jumalove2631 Рік тому +1

    Saut

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 Рік тому +1

    Sisemi maulidi haramu lakni wakati wa masahaba ilikua hana maulid na kunamtu kakaa kayatunga mauld sio faradhi wa sio sunna mauli hafai kuyapa darja ya faradhi wa la kuyapadarja ya sunna

  • @RamadhanZuberi-fy8qb
    @RamadhanZuberi-fy8qb Місяць тому

    Unaposema maulidy uzushi unafaham wachokizungumza aw watoa kilma tu mrad maulid nen tafsir na maana ya maulidy kwasababu kuna attafsir wal,,maaani na istwilaah nipe maana ya na tafsr ya neno maulid so wasema tu maulid uzushi ko nawe pia ni uzushi swez laum pia maana elim na uelewa ni vitu viwili tofauty waeza kua na elim lakin huna uelewa allah atupen ufaham na ttawqir ktk kwely

  • @KhamisMajlo
    @KhamisMajlo 15 днів тому

    Sas mtume yup shekh munaemfuata mana kama ibada Muhammad hajafundisha au kasahau hii

  • @MohaMody-jf1zh
    @MohaMody-jf1zh Рік тому +1

    Kwani vita vikubwa vinavowakabili waislamu karne hii ni maulidi sio? Inna lillahi wainna ilaihi rajiun

  • @AhmadyAlly
    @AhmadyAlly Рік тому +1

    Na lau maulidii ingalikuw n suunaa bs mtume asingali wacha kufanya kwn kuna mengi aliyaona kbla kufa kwk jeee aliona kutakuja wanazuwon waovu na waongoo ndio kma hawa wanaosapot maulidii

  • @RashidmbetaOmar-dm2jh
    @RashidmbetaOmar-dm2jh Рік тому +1

    Kasome wwe Kwanza kama uko naelimu usingemzushia mtume .ama nikutafute nikuelimishe kuvaa kanzu tayari wajiona shekhe

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Рік тому +2

    Masufi hawana kheriii

  • @JJJ-pz5lu
    @JJJ-pz5lu Рік тому

    Kupata rizki kwa utapeli ni Haramu,,,Kichwa cha habari tofauti na maneno yasemwayo

  • @MohaMody-jf1zh
    @MohaMody-jf1zh Рік тому

    Mtoto wa Bachu na kuuliza elimu uliokwenda kuisoma ni ya kupinga maulidi pekee? Leo 6/10/23 mskiti Musa mombasa kuanzia mwanzo wa khutba ya ijumaa mpaka mwisho hakuna kitu umeongea Ila maulid kwani yanakuudhi sana? Msiba kweli

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 Рік тому

    أما الشيعة فقد رأوا في علي ابن أبي طالب "الإمام الأول" بعد رسول الله صلى الله عليه وسلم وأثبتوا له الوصاية، وقداسة خاصة تأرجحت بين كونه معصومًا، ووصيًا، ووليًا، وإمامًا، ومهديًا، ونبيًا، وإلهًا، كما صوروه وبيده كرامات لا تقل عن المعجزات، وعددوها، وتكلموا عن بدء وجوده على الأرض حتى صار "محمد" هو النور المحمدي الأول، و "علي" ظلاله أو انعكاسه.
    هذا عن "علي" في حياته بحسب تصور الشيعة بعامة، أما عن مدفنه بالنجف قريبًا من كربلاء فعند الشيعة الإمامية المعتدلة أن سيدنا إبراهيم عليه وعلى نبينا الصلاة والسلام قد أنبأ أن هذا المكان سيكون قبر "علي" وعليه مشهد عظيم يفوز به سبعون ألفًا يدخلون الجنة بغير حساب ويشفعون لغيرهم! فكان القبر هو "وادي السلام" وهو جزء من جنة الله الباقية وإليه تحشد أرواح الشيعة، ويلتمسون من "علي" الشفاعة، ومن "قبره" الشفاء في الدنيا، فينادونه: (يا صاحب العصا والميسم.. يا قسيم الجنة والنار.. يا وارث النبيين".
    ومن العجيب أن الشيعة قبل أن يخطوا باب المشهد العلوي بأقدامهم يتجهون نحو يثرب مدينة الرسول صلى الله عليه وسلم، يصيحون: (أتأذن يا رسول الله أن أدخل على "علي" ابن عمك، وزوج ابنتك)، ولكنهم حين يتخطون الباب الخارجي لمشهد علي ويقفون أمام قبره يرددون: (السلام على الذات العليا، السلام على ذات الله القائمة بالسنن، السلام على المن والسلوى) [انظر "شجرة محمد" للدكتور علي سامي النشار، ومحمد شاكر].
    وزيارة الشيعة لمدينة رسول الله صلى الله عليه وسلم تشهد بجلاء صحة ما ذهبتُ إليه أن رسول الله صلى عليه وسلم بالنسبة للشيعة وسيلة ليس إلا، وإنما الغاية فهو ابن عمه "علي" رضي الله عنه، وهو ما يثبت أن هذا نهج مركوز فيهم تبنوه عقيدة وشريعة، وأظهرت قصائدهم مكنون قلوبهم حين يفتتحونها بمدح أو رثاء الرسول صلى الله عليه وسلم على سبيل الوسيلة، بينما غايتهم ومقصدهم هي مديح أو رثاء آل البيت والمعصومين من أئمتهم وعلى رأسهم علي بن أبي طالب الذي حاولوا تلفيق وقائع التاريخ ليكون له مع الرسول صلى الله عليه وسلم في كل أوقاته ورحلاته صحبة ومشاركة وإن استلزم هذا نفي الأشخاص الذين شهدوا تلك الوقائع، ذلك أن العقل الشيعي يسمح بتجاوز ذلك كله وهضمه بمنتهى الأريحية.

  • @nshimirimanadjibril
    @nshimirimanadjibril Рік тому +5

    iyo ni bidaa,haina dalili hata moja katika ulimwengu wa ilmu

    • @ustadhirajabu5736
      @ustadhirajabu5736 Рік тому

      Kutumia yutubu nisinna pia mtume katumia

    • @jimjam-xg7rv
      @jimjam-xg7rv Рік тому

      Kwanza tafuta elimu ya dini ili ujuwe maana ya bidaa na jiya zake

  • @hassanhamid4359
    @hassanhamid4359 Рік тому +3

    Wachawi

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 Рік тому

    Haki umetukuka
    تَمْهِيدٌ فِي مَذْهَبِ مَالِكٍ فِي ذَلِكَ:
    كَانَ الْإِمَامُ مَالِكُ بْنُ أَنَسٍ مِنْ أَشَدِّ عُلَمَاءِ السَّلَفِ تَشْدِيدًا فِي اتِّبَاعِ السُّنَّةِ، وَتَدْقِيقًا فِي إِنْكَارِ الْبِدَعِ وَالْمُحْدَثَاتِ فِي الدِّينِ، حَتَّى إِنَّهُ أَنْكَرَ عَلَى عَبْدِ الرَّحْمَنِ بْنِ مَهْدِيٍّ - وَنَاهِيكَ بِعِلْمِهِ وَهَدْيِهِ - وَضْعَ رِدَائِهِ فِي مَسْجِدِ النَّبِيِّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ مِنَ الْحَرِّ وَالصَّلَاةِ عَلَيْهِ. وَأَنْكَرَ عَلَى مَنِ اسْتَشَارَهُ فِي الْإِحْرَامِ مِنْ مَسْجِدِ الرَّسُولِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ مِنْ عِنْدِ قَبْرِهِ وَنَهَاهُ عَنْ ذَلِكَ وَأَمْرَهُ بِالْإِحْرَامِ مِنَ الْمِيقَاتِ، فَلَمَّا أَلَحَّ الرَّجُلُ قَالَ لَهُ: " لَا تَفْعَلْ فَإِنِّي أَخْشَى عَلَيْكَ الْفِتْنَةَ " فَقَالَ الرَّجُلُ: وَأَيُّ فِتْنَةٍ فِي هَذَا؟ إِنَّمَا هِيَ أَمْيَالٌ أَزِيدُهَا. قَالَ: وَأَيُّ فِتْنَةٍ أَعْظَمُ مِنْ أَنْ تَرَى أَنَّكَ قَدْ سَبَقْتَ إِلَى فَضِيلَةٍ قَصَّرَ عَنْهَا رَسُولُ اللهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ؟ إِنِّي سَمِعْتُ اللهَ يَقُولُ: (فَلْيَحْذَرِ الَّذِينَ يُخَالِفُونَ عَنْ أَمْرِهِ أَنْ تُصِيبَهُمْ فِتْنَةٌ أَوْ يُصِيبَهُمْ عَذَابٌ أَلِيمٌ) (24: 63) وَمِنْ أَجَلِّ كَلَامِهِ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ: مَنْ أَحْدَثَ فِي هَذِهِ الْأُمَّةِ شَيْئًا لَمْ يَكُنْ عَلَيْهِ سَلَفُهَا فَقَدْ زَعَمَ أَنَّ رَسُولَ اللهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ خَانَ الدِّينَ وَفِي رِوَايَةٍ: الرِّسَالَةَ؛ لِأَنَّ اللهَ يَقُولُ: (الْيَوْمَ أَكْمَلْتُ لَكُمْ دِينَكُمْ) فَمَا لَمْ يَكُنْ يَوْمَئِذٍ دِينًا لَا يَكُونُ الْيَوْمَ دِينًا اهـ.

  • @maftahmusa9513
    @maftahmusa9513 Рік тому +4

    انا لله وانا اليه رجعون sjawahi kusikia tafsiri mbovu ya quran kama anayosema huyo mnaemwita shekh wa mkoa subhana llah eti KUNASIKU YA NUKSI ALLAH KAUMBA SIKU YA NUKSI HAWA MAGURAFI WAKO MBALI NA TAWHID.

    • @mohamedrashid7864
      @mohamedrashid7864 Рік тому +1

      Maftahmusa ubongo ndio m'bovu kabisaaa . Huwezi kuwa umeshasikia kila kitu acha ujinga

    • @mohamedrashid7864
      @mohamedrashid7864 Рік тому +1

      Uwahabi ni tawi la ukristo

    • @iddyjohn1032
      @iddyjohn1032 Рік тому

      Wewe ni hovyo hovyo kweli kabisa,sasa hapo unafuata dini ama Taasubi??
      Kwani hii sio aya ?je hiyo tafsiri unayotaka ni ipi ??
      { إِنَّاۤ أَرۡسَلۡنَا عَلَیۡهِمۡ رِیحࣰا صَرۡصَرࣰا فِی یَوۡمِ نَحۡسࣲ مُّسۡتَمِرّ }
      [Surah Al-Qamar: 19]
      Hii مُّسۡتَمِرࣲّ maana yake nini???

    • @سعدياقوت-ت2خ
      @سعدياقوت-ت2خ Рік тому +2

      Shida yako ni little knowledge bro kasome

    • @neemamohamed5926
      @neemamohamed5926 Рік тому +1

      ​@@mohamedrashid7864usufi ni ukafiri, Bora niwe mkristo kuliko kuwa kafir

  • @SaidiBakari-kl1gu
    @SaidiBakari-kl1gu 3 дні тому

    Maulidi tumeyazoweya tu . Hayana dalili katika kitabu cha mweyezimungu wala Suna za mtume wala tabii tabiina...Ni hoja za kupamba pamba tu)NAKSHI)

  • @abduljecha7779
    @abduljecha7779 Рік тому

    Jameni hili Jambo Nashidwa shida iko wapi. Watu waliitana kwenye mahojiano. Sasa huyu mmoja ndiye kakaa kioja. Swali ni mtu maulidi yake alikua akifanyaje, jibu alikua akifunga kila Jumatatu. Je waswahaba walikua wakimswalia vipi Mtume? Na Jambo kama ni munkar walizuia vipi? jibu ni mkono, ulimi kuchukia. Tuacheni maslah

  • @rashidhemed1444
    @rashidhemed1444 16 днів тому

    Kuanzia leo nilikua wahabi nisharudi baada kuujua ukweli kuwa mawahabi ni watu hatari sana ktk dinu yetu yaani miwahabi ina sifa za ujuaju kisha tunafundishwa kuwabagua waislamu wenzetu tunaweza kuoisha na muuslamu mwenzako humsalimiii moaka umuine ana kikanzu kifupi na kafuga ndevu hatari na asie na ndevu tumbague jamani dini inapelekwa wapi na mawahabi

  • @Africa822
    @Africa822 Рік тому

    Bachu akiulizwa swali gumu, utasikia asema "ILO SIO SWALI" "SWALI ILO HAKUNA"

  • @hashimrashid
    @hashimrashid Рік тому +1

    Nyinyi mawahabi mnaharibu dini na hamuwezi kuishi kama mtume waongo saana

  • @suleymansalim5732
    @suleymansalim5732 Рік тому +1

    MAJIBU YA JOJA 19 MPAKA SIKU YA KILELE CHA MAULID HAYAJAPATIKANA KAZ KUSEMA MTOTO HAJUI HAJUI MTUJUZEE HIZO HOJA SAID HAJATETEA HATA MOJA

    • @alhimnamussasaid3619
      @alhimnamussasaid3619 Рік тому

      Tatzo sio kujibiwa hoja, hoja hujubiwa kwa utaratibu wa maelezo na maswali kama swali moja tu kakimbia unadhani hizo hoja zake mbovu zitajibiwa vp hata kule tanga alikua anakwepa kujibu maswali na kujifanya mjuaji

    • @wakatikaisi6743
      @wakatikaisi6743 Рік тому

      Njoo darasanii wewe...huna elimuuu njoo usomeee

    • @Abdallah-e7o
      @Abdallah-e7o Рік тому

      Bwana wenu kakimbia swali moja tu

  • @hashimrashid
    @hashimrashid Рік тому

    Wewe mwenyewe ni bidaa umezushwa na mungu halafu hutaki bidaa ni ajabu sana

    • @thetycoon9478
      @thetycoon9478 Рік тому

      Astaghfirullah,kivip kuwa mwanadamu ni bidaa

    • @mwanakheri2880
      @mwanakheri2880 Рік тому

      ​@@thetycoon9478sababu mmekuja baada ya Mtumi😂

  • @SirajuMsolokelo-ic6zd
    @SirajuMsolokelo-ic6zd 11 місяців тому

    Hao wanaopnga maulid niwaongo tu man wanasema maulid nibidaa Mana Zama za mtume hayakuwepo VP hao hawatumii cmu na Kama wanatumia je Zama za mtume zilikuwepo

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Рік тому +2

    Jaafar barzanji ni liongo limemzulia mtume ushirikina

    • @wakatikaisi6743
      @wakatikaisi6743 Рік тому

      Sawa wee uliekua mkweli huna KITABU hata kimoja Cha dini kutuonyesha juhudi yoyote katika dinii...acha ujinga

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 Рік тому

    وكان وراء هذه البيئة الصوفية والبيئة الشيعية السالفة بيئة أهل السنة، لكنها لم تبنِ هذا الإجلال على أفكار المتصوفة والشيعة وما ذهبا إليه من قِدَّم النور المحمدي أو من قِدَّم الوجود المحمدي ولم تبنه أيضًا على أنه صورة الذات الإلهية وكل وجود مستعارٌ منه، وإنما بنته على قدسيته وأنه مَثَلٌ أعلى في الحياتين الدينية والخُلُقية، ومن أجل ذلك تعلقت بلألائه قلوب أهل السنة، ولهجوا بمديحه والثناء عليه بقصائد رنانة أكثروا فيها من الاستغاثة به. وكانوا إذا حجُّوا أو أدَّوا فريضة الحج زاروا قبره الطاهر في ذهابهم أو في إيابهم خاشعين متبتلين[دكتور شوقي ضيف، فصول في الشعر ونقده].
    كما يتأكد اتفاق المشرب والمسلك والمنهج بين الشيعة والصوفية في حبهم وتوقيرهم ــ إلى حد المغالاة ــ الإمام علي بن أبي طالب وأولاده، ومشايعتهم له حتى زيفوا الحقائق التاريخية دون أن تجفل لهم عين؛ فقد احتل ابن عم النبي وصهره في عقائد أهل السنة والجماعة المكان الأول في الحياة الروحية للمسلمين ــ رفعه أهل السنة بلا استثناء، رفعوه "روحيًا" على مقام كل من أبي بكر وعمر ولكن وضعوه فقهيًا في النسق، رابع خلفاء محمد صلى الله عليه وسلم ــ أما الصوفية وهم في مجموعهم أهل سنة وجماعة .... فكان الإمام علي رأس سندهم، وقمة سلاسلهم وإليه نهاية الطريق ووضعوا على لسانه آثارًا ونسبوا إليه العلم اللدني ... وإلى علي يتشوف التصوف السني.
    أما الشيعة فقد رأوا في علي ابن أبي طالب "الإمام الأول" بعد رسول الله صلى الله عليه وسلم وأثبتوا له الوصاية، وقداسة خاصة تأرجحت بين كونه معصومًا، ووصيًا، ووليًا، وإمامًا، ومهديًا، ونبيًا، وإلهًا، كما صوروه وبيده كرامات لا تقل عن المعجزات، وعددوها، وتكلموا عن بدء وجوده على الأرض حتى صار "محمد" هو النور المحمدي الأول، و "علي" ظلاله أو انعكاسه.

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 Рік тому

    Uhisiano Baina na masufi
    ولقد اتفق الطرفان الشيعة والمتصوفة على الزعم بأن للدين باطنًا وظاهرًا، في محاولة للاستعلاء بالعلم على العلماء من أهل الظاهر، باعتبارهم هم أهل الباطن والباطن هو المراد على الحقيقة, ولا يعلمه إلا الأئمة والأولياء بينما علم الظاهر هو المتبادر من النصوص ويفهمه العامة وغيرهم! وحجتهم في هذا، أن منهج النقل معارض للمنهج الذوقي الذي يأتي منه العلم مباشرة إلى القلب دون حاجة إلى رواية، وفي ذلك ما يقوله الصوفية للفقهاء: (أخذتم علومكم من ميت عن ميت، وأخذنا علومنا من الحي الذي لا يموت)، وهو ما يعبر عنه ابن الفارض بقوله في التائية الكبرى:
    فثمَّ وراءَ النقلِ علمٌ يدقُّ عنْ مَداركِ غاياتِ العُقُولِ السّليمَة
    أما المشترك الأكبر بينهما فيأتي في تقديسهم للأئمة والأولياء؛ فرفع الشيعة مرتبة أئمتهم فوق مرتبة الأنبياء عليهم السلام أو مثلها، فادعوا لأئمتهم العصمة من الزلل، فلا تجوز عليهم الكبائر ولا الصغائر، لا عمدًا ولا سهوًا، من طفولتهم إلى موتهم، كما يعتقدون فيهم الإحاطة بكل ما فيه مصلحة المسلمين [انظر: مقالات الإسلاميين للأشعري (21/1). شرح نهج البلاغة لابن أبي الحديد (12/7). عقائد الإمامية ص 51. الحكومة الإسلامية للخميني ص 91].
    وانتهج صنيعهم الصوفية فأنزلوا صفات من صفات الخالق عز وجل على أوليائهم وأقطابهم وأبدالهم من التصرف في الكون، وتدبير شؤونه ونحو هذا.
    يلي تقديس الأولياء والأئمة، تقديس الموتى والقبور، والاستغاثة بهم؛ فتقديس القبور وزيارة المشاهد ركن من أركان المعتقد الشيعي، وهم أول من بنى المشاهد على القبور، وجعلوه شعارهم [رسائل إخوان الصفا: 4/119].
    وأدركهم الصوفية فجعلوا أهم شعائرهم زيارة القبور, وبناء الأضرحة, والطواف بها, والتبرك بأحجارها والاستغاثة بأصحابها كما أسلفنا

  • @yusuphabdallah685
    @yusuphabdallah685 Рік тому

    Wanachonishangaza hawa watu...basi ili na sisi tuelewe basi wayajibu maswali ya Bachu ili tujue kuwa Bachu anatudanganya...mwisho wa siku wanakuna kufanya Raddi bila kujibu kilichoulizwa...

    • @munirramadhan4435
      @munirramadhan4435 Рік тому

      Soma usisubiri watu wajijishane ili uelewe kwani nawew utakuja kuulizwa muda wako umeutumiaje

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 Рік тому

    Yule mtoto kakaa kooni wanasema hana walimu cha ajabu maswala yake 19/30 wameshindwa kuyajibu duniani .. mteteeni barzanji
    Musimtukane dogo

  • @mzeemmwinyihajihatibuhatib9331

    Sheikh bachu wallah yuko wazi na ameeleweka ila sasa masufi wamefungua mlango wa shari wacheni sasa watu waingie.kumbukeni yooote ni mas'ulia ya uovu unaofanyika kwenye mlango huo wa shari.

    • @nassorseif2799
      @nassorseif2799 Рік тому

      Soma itikadi za mawahabi kuhusu Allah wasikupumbaze kwa maulid tu ukaona ni jambo kubwa pasi na kujua itikadi zao juu ya Allah wakimfananisha na baadhi ya vitu

    • @iddimohamed254
      @iddimohamed254 Рік тому +2

      Hawana hoja ndio maana wanabweka tu..kwa hili la barzanji ata Walid hamuwezi bachu.

    • @jamilahjamilah4157
      @jamilahjamilah4157 Рік тому

      Hivi ww umeona bachu tuu ndoo yuko sahihi someni usifuate mkumbo na msihukum watu acheni mungu ahukum mbona wezenu wakiristo wana madhehebu mengi na hakushifia yy waslam mnamatatizo ngani km wao wana soma maulidi shida yako nn waallaah mawahabi yy wabishi sana na hilo jina walikuwa hamlitaki bachu akalikubali juzi kwenye munakasha wamombasa na mshauri bachu wenu mombasa hawawezi kwa elimu wako vizuri sana

    • @iddimohamed254
      @iddimohamed254 Рік тому +1

      @@jamilahjamilah4157 uwezi elewa mpaka uwe unatafta haki maulidi sio ibada.Mombasa hatutaki maulidi na bachu tunamkubali upende usipende.

    • @jamilahjamilah4157
      @jamilahjamilah4157 Рік тому

      @@iddimohamed254 kwani wee ulisikia wamekwambia maulidi ni ibaada km nguzo za kiislam wee ndio wale wale tangazeni uislm sio kupiga vita maulidi wee km hutaki acha mwezako asome kesho mungu atahukum yy mawahabi kinawawasha nn kwani kuna kitu wanakuja kuomba kwenu simkazane kusomesha vitabu ili watu waaelewe pia km hawataki sibasi yann kashifa wakati mtume anatukataza mmekazana maulidi maulidi lini mtasema issa sio mungu yani mawahabi sijui mkonje nasikuzote yy ndio wenye choko choko kaa