HAJI MANARA ATOA SALAM ZA MAULID MSIKITI WA MTORO/ AKUMBUSHIA KWA KWA KUSOMA QASWIDA YA MAULID

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 14

  • @KubwaKuliko-dk4bm
    @KubwaKuliko-dk4bm Рік тому +1

    Mm sijawahi ona hawa watu wa dufu kupigia ndani ya msikiti!!

  • @SaidihusseinAthumani-dy9kw
    @SaidihusseinAthumani-dy9kw Рік тому

    shehe manara shukran

  • @MwanaheryBudi
    @MwanaheryBudi 9 місяців тому

    Huyu ni mtu wa hovyo alafu anasimama mbele ya waislamu kuzungumza…nyinyi mashekhe. Mnajielewa kweli

  • @TwahirHassan-p7b
    @TwahirHassan-p7b Рік тому

    Hakuna maulid

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 Рік тому

    Kweli huuu ninuzushi wanamtanguliza misemaji ya mipira na watu wa klabu😢

  • @MwanaheryBudi
    @MwanaheryBudi 9 місяців тому

    Huyu ni mtu niwa mambo ya hovyo kabosaaa.nyie mashekhe. Mkoje

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 Рік тому +1

    Ibada za uzushi bwana kuna wakati wanaogopa kufanyia hata ndani ya msikitini😂😂😂

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Рік тому

      Mzeee we unawasiwasi gani na peponi utaingia peke yako waache na uzushi wao we ushajua we sio mzushi sa wazushi wanakushughulisha vipi

    • @mubarakaahmada5155
      @mubarakaahmada5155 Рік тому

      Ndugu yangu kama kweli wewe ni mkweli tumia ukweli wako kuwapiga vita wale wanaopiga vita uislam sio waislam wenzio

    • @mubarakaahmada5155
      @mubarakaahmada5155 Рік тому +1

      Acha unafiki wako kuna watu wanacheza mpira uchi tena wanawake je ushasema hayo au kuongozwa na wanawake si uislam je umesema hayo ila wanaomswalia mtume ndio maaduwi zako acha unafiki hizo ndio hazitakiwi

    • @IssaFumo-o7j
      @IssaFumo-o7j Рік тому

      Jamani Hawa mawahabi ni maadui wa Mtume Hawa.Sasa kama tyr mshajiona mmeipata Pepo bas ya nini kufuatilia fuatilia mambo yasiyowahusu?

    • @chemstry409
      @chemstry409 Рік тому

      Wewe inakuhusu nini??? FUATA YAKO NA WAISLAM WAACHE WAFANYE IBADA YAO...