MAJAMBAZI WAWILI WACHOMWA MOTO ARUSHA ASUBUHI HII NA PIKIPIKI YAO,WALIIBA SIMU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лип 2024

КОМЕНТАРІ • 161

  • @barackmosha951
    @barackmosha951 19 днів тому +20

    Ila Hawa wananchi wenye hasira Kali ni wa kitambo na hawzeeki nguvu wanayo na wap kila sehem kama sahv wapo Arusha ila iba dar uone wanavyokuja kama jet 😂😂

  • @tuikezeezra1315
    @tuikezeezra1315 18 днів тому +3

    Du ila Arusha kuna vijana wa Ovyoo😂😂😂😂😂😂

  • @PaulinaLunyonga
    @PaulinaLunyonga 19 днів тому +18

    Goooood kazi nzuriiiii

  • @Matiasmsetdaudy
    @Matiasmsetdaudy 16 днів тому +1

    Dah, hongeren kwa kuwadhibiti

  • @vero57
    @vero57 19 днів тому +5

    Last week, wamechomwa lakini hawasikii uwiii , jamani jamani vijana acheni tamaaa mbaya, ee mungu tusaidie.

  • @gladnessfinda7534
    @gladnessfinda7534 19 днів тому +9

    Sijui Arusha nn shida vijana wamepotea jmn!!
    Asbh pia wameuliwa wawili kwa mawe na fimbo kwa uwizi kuku.
    Vijana wadogo sana!
    Mungu tusaidie

    • @alutoolifestyle9319
      @alutoolifestyle9319 18 днів тому +1

      We Gladness,vipi kuhusu sisi ambao tumetoka tupo kwenye mikoa mengine na tutaibiwa?mm hapa nilisafiri wamevunja nondo dirishani,wamefanikiwa kuniibia pikipiki,mtungi wa gesi na tv,walitokea mlangoni,wakachukua mafuta Lita 3 wakamimina kwenye gril na wakawafungia vijana wangu kwa nje.
      Yaan huwezi kuelewa maumivu ya kuibiwa mpaka uibiwe nakuambia

    • @petermbise
      @petermbise 16 днів тому

      Asante mpaka waishe

    • @petermbise
      @petermbise 16 днів тому +1

      ​@@alutoolifestyle9319pole sana kwa kilichojitokeza kwako siyo kwako wapo kila mahali hapa Arusha ila kilio cha watu kimefika wataisha.

  • @maureenlilykiwia1515
    @maureenlilykiwia1515 18 днів тому +1

    Uwii mimi jamani naumia nilikwapuliwa pochi na hawa binadamu nililia kama mtoto mdogo ada ya mwanangu iliondoka nililia nilipaaza sauti jamani unajua mimi ni mjane kweli napata wapi hela nyingine jamani kha Mungu awarehemu

  • @nurupeter7671
    @nurupeter7671 19 днів тому +19

    awataki kazi wauwawe💪 tulioibiwa tunamachungu sanaa😭

  • @stefanomasolwa8979
    @stefanomasolwa8979 19 днів тому +2

    Hiyo iwe fundisho kabisaa wanafahamu kuchoma weziyo visu na Kuiba leo nao wamepatikana acha niseme tu Asante Mungu

  • @victoriapatrick9840
    @victoriapatrick9840 18 днів тому +2

    Kama ujawahi kuibiwa na kupigwa na vibaka uwezi kuelewa hasira za za waja 🚶‍♀️

  • @omaryrazalo4302
    @omaryrazalo4302 19 днів тому +3

    😮 wiz sio nzuri achen wiz mtakufa

  • @janemushi850
    @janemushi850 17 днів тому +1

    Safi sana ushirikiano kama huu ndo unatakiwa

  • @LaurencePima-dq3uj
    @LaurencePima-dq3uj 18 днів тому +1

    Saiv ni kuchoma tu hakuna haja ya kusomeana kesi

  • @petermbise
    @petermbise 16 днів тому +1

    Nimefurahi sana kwakweli kazi hii iendelee mpaka wapotee kabisa pumbavu.

  • @mnisi3694
    @mnisi3694 19 днів тому +3

    Natamani na hii kitu wangekuwa wanafanya morogoro maana waizi sana huwa nawa mind kukwapua simu za watu

  • @Saimon_tz1
    @Saimon_tz1 19 днів тому +4

    wajuba video nzima ninayo apa nime ipost share kila mahali iwe funzo

  • @ramalacha1692
    @ramalacha1692 19 днів тому +5

    pia pipkiki zinazo chomwa moto ziwe zinaoneshwa namba zao za usajili maana zingine zimeibiwa

  • @jizzotheking9238
    @jizzotheking9238 19 днів тому +4

    Hakuna kitu kinanipa furaha kama kusikia mwez kauliwa, yaan nafarijika saana Mungu anisamehe

    • @user-hd5bg8qw1b
      @user-hd5bg8qw1b 19 днів тому

      NA M'BAKAJI ,MTEKAJI WOTE PIA WAULIWE TU.

  • @NgadiDarema-qs1ou
    @NgadiDarema-qs1ou 19 днів тому +3

    Naona majambazi yamerudi tena,, rip jpm😭

  • @penuelmichael3374
    @penuelmichael3374 18 днів тому +1

    Haosio majambazi ni vibaka jambazi haibi simu jamani! Japo wakiachwa ndo wanaenda kuwa majambazi nikumlizatu

  • @veritasmlay9242
    @veritasmlay9242 19 днів тому +3

    Kwa leo wezi wanne safi sana maana tumewachoka japo inauma sana jaman maana ni huzuni kwa mzazi

  • @dianamakyara4210
    @dianamakyara4210 19 днів тому +2

    Hata maeneo ya sakina arusha meet kwa juu tunaibiwa jamani dah🤔

  • @kassimmambo2279
    @kassimmambo2279 19 днів тому +4

    Arusha watengenezewe sanamu lao

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 19 днів тому +4

    Hao ndo wanatubia mboga huku Tandale

  • @mwansasu
    @mwansasu 19 днів тому +5

    Unaomba like za mauwaji😂

  • @benlaizer9936
    @benlaizer9936 18 днів тому +1

    Wakichoma visu wanachomwa moto!! Dah ubaya ubaya!! Wananchi wenye hasira Kali hawazeekagi jamani?

  • @luganojohn2673
    @luganojohn2673 19 днів тому +1

    duuhh siku hz hadi kibaka ni jambazi daah... hv kweli jambazi aache kutembeza risasi kadhaa hapo waandishi mnafanya tusiwaamini sasa wekeni kichwa cha habari kulingana na tukio husika arusha vibaka ndio wanaosumbua raia na wanatakiwa kuisha jambazi kitu kingine mzee

  • @IreneSimon-sn1hy
    @IreneSimon-sn1hy 19 днів тому +8

    Naombeni like jamn wa kwanza mie

    • @boniphacewambura1427
      @boniphacewambura1427 19 днів тому +2

      Mzifanyiaga nini hizo like
      Ujue kuna mambo ya kijinga

    • @boniphacewambura1427
      @boniphacewambura1427 19 днів тому +3

      Ongea point upewe like

    • @MusaMasota
      @MusaMasota 19 днів тому

      Hzo znatosha

    • @dallasmusic6465
      @dallasmusic6465 19 днів тому

      Huna akili

    • @joycemaregesi18
      @joycemaregesi18 18 днів тому

      Sasa unaomba like umefanya nn kwenye hii video hapo umeshiriki kuchoma hao wezi au na ww ni miongoni mwa hao wezi kwahyo umenusulika ndo maana unaomba like ujipongeze 😮upuuzi tu

  • @user-rf9vn7lz1n
    @user-rf9vn7lz1n 19 днів тому +2

    Kuibiw jaman kam ujawah kuibiw ujuw uchungu wak ila ambao tulishawah ibiw kam sis uku jaman ni maumiv mno

  • @latifamubba100
    @latifamubba100 19 днів тому +1

    Arusha noma San nizaid ya San nyie watu wa arusha kama wakenya amuogopi

  • @danielthomas9609
    @danielthomas9609 19 днів тому +1

    Arusha hatunaga show mbovu

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 19 днів тому +2

    Wezi wanarudisha nyuma sana maendeleo ya watu mtu anajinyima mwingine anawaza kuiba

  • @MandoliiMoshi
    @MandoliiMoshi 19 днів тому +1

    kila cku huwa nawambia machali w a arusha mtachomwa moto wote sababu mnakula bangi mnqjikuta nyinyi n nyinyi akati cc tunakula bangi alafu tunafanya kazi kwenye mikoa ya watu kama iv nko zangu mbeya natafuta pesa asee myie makumathan achen wizi wa kizaman mnaifedheesha arusha yetu makuzi nyie

  • @gadisonmichael7805
    @gadisonmichael7805 19 днів тому +2

    safi sanaaa tena sana hilo ni janga la nchi nzima

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 19 днів тому

      Wizi Mazuri Africa ni kuiba kwa kalamu. Wezi wa kalamu ni hao vijana tuwaua leo. Damu yao bado iko juu yetu. Wameiba hawakua, adhabu ya kifo ni kifo. Mahakama zipo wazi?, mm damu za ovyo mtaani?

  • @MusaMasota
    @MusaMasota 19 днів тому +1

    Watafte pesa jaman dah 😭😭😭😭

  • @zainabramadhani9838
    @zainabramadhani9838 19 днів тому +3

    Kazi zipo Kuna Saida fundi,gereji wanataka kula kiulaini

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 19 днів тому

      Kazi zipo kwa nini hawazioni?. Bahati mbaya hoja hii imeifanya Africa na tz kudumaa. Sema kuna vibarua ndugu. Kama wewe unazo rasilimali bikira unasemaje kazi zipo?. Kwa nini tusiwe na hoja kwamba ukosefu wa umahiri wa kuzindua fursa za kazi ni tatizo. Jamii zote duniani kuna watu Mungu kawapa kipaji cha kubuni fursa na watu wengine wakaja kuajiliwa. Hatutaki kugusha hapo kwa sababu kubwa kipande hicho ni sehemu ya kazi uongozi. Uongozi wa Africa umezembea wana hapo hivyo utumia propaganda kama hivyo ili ujilaumu mwenyewe usidai. Kimsingi ni kazi serikali kubuni, kuhamasisha uwekezaji kwa kuzingatia vipaumbele. Kila mwaka wa fedha nchi hii hatuwezi kujenga kiwanda kimoja kwa ubia Kati ya raia, wbinafsi na serikali?. Nini kiumbele chetu. Vifo kama hivi ni hile methali Mficha ndwele kilio kitamuumbua. Hatufanyi inavyopaswa kupunguza njaa kwa watu wetu. Biashara ya boda nayo wengi hailipi kama mwanzo. Machinga na kodi. Turudi viwandani kwa kufa na kupona. Hao vijana wadokozi na walevi hatapotea.

  • @CharlesWeston-tc2mt
    @CharlesWeston-tc2mt 19 днів тому +2

    Dah yaani wanaenda kuiba mitaa ya shivaz, R.I.P

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 19 днів тому +1

      Katikati ya jiji kabisa

    • @MandoliiMoshi
      @MandoliiMoshi 19 днів тому

      ​@@rumdeesonsoa1811shivazi kwa wajanja wakina marina wachaga walioiba miaka iyo tena mamilion ya pesa ase mmeinhia cha kike wazee

  • @MandoliiMoshi
    @MandoliiMoshi 19 днів тому +1

    mnaennda kuiba shivazi mrina mtaa wa wachaga wezi walioshindika kimataifa asee wachaga n wezi ila wanaiba mamilion ya pesa

  • @hidayahshabani3379
    @hidayahshabani3379 19 днів тому +1

    Safi sana wanatutesa tatu mzuka

  • @benjagaspar5304
    @benjagaspar5304 19 днів тому +1

    Kaz nzur

  • @user-xg4zr4ew7d
    @user-xg4zr4ew7d 18 днів тому +1

    Arusha vjanawamezd wizi wachawachomwe

  • @user-rf9vn7lz1n
    @user-rf9vn7lz1n 19 днів тому +1

    Bora tyu ukiwamud bora kulik kuwaach wakiend jela wanarud mtaan ten daah bora kuchom moto

  • @Alexismadimo
    @Alexismadimo 19 днів тому +1

    Vijana wafanye kaz ila wanawake wauze k
    Nchi ngumu sana
    Madada poa wanatetewa hawana kaz ila wez wanachomwa wakatafute kaz

    • @mnisi3694
      @mnisi3694 19 днів тому

      Unataka kusema nn sasa

  • @richytarimo4656
    @richytarimo4656 19 днів тому +1

    juz kat nimepita tabata sanene nimekuta mwiz kachomwa moto,,, aliiba pkpk

  • @HafsaShayo-iv5xh
    @HafsaShayo-iv5xh 19 днів тому

    Mungu nisaidie

  • @letthedeadburythedead2148
    @letthedeadburythedead2148 19 днів тому +1

    Wengi wao hapo walienda kununua K

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 19 днів тому

    Well done wananchi wa Arusha

  • @CharlesSlyvester
    @CharlesSlyvester 19 днів тому

    Dah!!!! Ni balaa

  • @patelokoh5828
    @patelokoh5828 19 днів тому +1

    Iwe funzo kwa wavivu hawataki kujituma wataka Short cut kwa life

  • @rosinamtauka9933
    @rosinamtauka9933 19 днів тому +1

    siku hizi huwezi pitisha siku bila kusikia tukio baya Arusha

  • @linnusaloyce6559
    @linnusaloyce6559 19 днів тому +1

    Dawa kiberiti tu wizi utaisha au kupoa

  • @dallasmusic6465
    @dallasmusic6465 19 днів тому

    Arusha safeeee na kazi iendeleeeee

  • @karolinamasawe8978
    @karolinamasawe8978 18 днів тому

    Jamani mnavyofanya siyo vizuri

  • @anaabsaid3544
    @anaabsaid3544 5 днів тому

    Vijana wa Arusha ni wa ovyo bangi tu sasa mwizi kumuuwa ndiyo sheria ya wapi ni sheria ya arusha au vipi? Na wenyeji pia na wa ovyo kuuwa ndiyo maana yake nini?

  • @user-qg3nu1kv2n
    @user-qg3nu1kv2n 19 днів тому +1

    Hakuna kabaya WANANCHIIIIII

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 19 днів тому +1

    Mshahara wa dhambi ni mauti saf sanaaaa 😂

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 19 днів тому

      Mahuti ni ile ya umilele. Tukizoea kumwaga ndamu ovyo. Kuna siku damu itatugeuka. Kuu mtu ni kitu rahisi ila ubinadamu wetu tuliumbwa kuogopa kufanya hivyo. Huo woga ukiondoka kwa raia madhara ni makubwa. Tunapata picha ipi kusikia mtoto kafa na kutolewa viungo?. Bila shaka ni zao la jamii iliyozea kutoa uhai. Kwa nini tusiongozane kuanzisha viwanda , biashara, mashamba, migodi, na huduma. Ili kupunguza njaa. Tunaweza kufanya kwa kufa na kupona?. Ubinafsi wetu tuudhibiti kiasi gani? . Hili ni zao la maisha ya dhuluma tunayoishi?. Hatuna moja mbele ya haki ni upendo. Tz tunapendana kiasi gani? . Vibaka ni zao letu wote. Kwenye uhai wa jamii hakuna kuchelewa, jibu ni fursa za kipato kwa kila mmoja wetu.

  • @user-ol7pp5dw8j
    @user-ol7pp5dw8j 19 днів тому

    Ayo TV unazingua sana

  • @HEKIMAKAPANGE
    @HEKIMAKAPANGE 19 днів тому

    Mhmhm Arusha poleni sanaaaaaa

  • @ValentinaDeo-y2d
    @ValentinaDeo-y2d 18 днів тому

    Aaa-hhhh aseeeee

  • @vladimirputn1809
    @vladimirputn1809 19 днів тому +1

    zamwizi zimeongezeka zimefika 54

  • @anaabsaid3544
    @anaabsaid3544 5 днів тому

    Hasira kali ndiyo nini mana yake? Aliyoibiwa atowe ripoti polisi hawo wenye hasira kali wameibiwa nini kama sio bangi tu ya arusha hata wakiongea utawachukia kabisa shame on you arusha

  • @2pacFreeStyle96
    @2pacFreeStyle96 19 днів тому

    Majambazi au wezi😂

  • @RukiaMohamed-m9h
    @RukiaMohamed-m9h 18 днів тому

    Nanikwri,hao,sio,majambaz,nivibaka

  • @BenneVeddah
    @BenneVeddah 19 днів тому

    Hapa CAG harusini wala time haiundwi

  • @luluray2115
    @luluray2115 19 днів тому

    Saf sana

  • @JosephMchaki-fy5te
    @JosephMchaki-fy5te 18 днів тому

    Chuga ujanja ukizid mnakuwa mafala

  • @RidhiwaniMrisho
    @RidhiwaniMrisho 19 днів тому

    Rest in peace

  • @ZIGYTZ
    @ZIGYTZ 18 днів тому

    Hii maisha😢

  • @wilfredmbussa4930
    @wilfredmbussa4930 19 днів тому

    Hapo hata askari wamewasifu, maana wangewaacha wangeonekana wazembe

  • @user-lv8nz2fi9t
    @user-lv8nz2fi9t 19 днів тому

    Saf sanaaa

  • @yasiniabasi6490
    @yasiniabasi6490 18 днів тому

    Asaivi chuga tunapiga kinert

  • @adamhashim3352
    @adamhashim3352 19 днів тому

    Wanakaribishwa mbinguni wakutane na jiko la gesi

  • @chesterbrand6723
    @chesterbrand6723 19 днів тому

    Asee Baba Hassan ameenda dahaaa ....

    • @newgarden8036
      @newgarden8036 19 днів тому

      Unamjua??

    • @chesterbrand6723
      @chesterbrand6723 19 днів тому

      ​@@newgarden8036😢
      Yes Papa Jana ameninulia lunch ni kiongozi wa bajaji pale friends Conner kwenye kilo mida ya jion hady usiku ..

    • @letthedeadburythedead2148
      @letthedeadburythedead2148 19 днів тому

      ​@@chesterbrand6723 ndo yupi hapo

  • @gwamakamwasongwe8053
    @gwamakamwasongwe8053 18 днів тому

    Ni vibaka sio majambazi

  • @chesterbrand6723
    @chesterbrand6723 19 днів тому +1

    Rip Baba Hassan nyambuleti tutakuzika miembeni RIP Baba la Baba baik ni yako....

    • @josephnjau9544
      @josephnjau9544 19 днів тому

      Unamjua

    • @chesterbrand6723
      @chesterbrand6723 19 днів тому

      ​​@newgarden8036 😢
      Yes Papa Jana ameninulia lunch ni kiongozi wa bajaji pale friends Conner kwenye kilo mida ya jion hady usiku ..

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 19 днів тому

    Arusha mauji yamezidi sheria mkononi mwee

  • @williammatata2611
    @williammatata2611 19 днів тому

    Arusha maisha magumu sana

  • @noelmusa3502
    @noelmusa3502 19 днів тому

    Safi sana kazi nzuri sana wananchi

  • @florencejohn6427
    @florencejohn6427 19 днів тому

    Maji ya chuga yanaharibu meno ya warembo

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 19 днів тому

    Dawa Yao kuwachoma moto

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 19 днів тому

    Kauli ya chalamila naiiona

  • @yazidijumanne5195
    @yazidijumanne5195 19 днів тому

    Kama kazi yako dhambi unazani malipo nini

  • @user-si9bm1cn9z
    @user-si9bm1cn9z 19 днів тому

    Safi uwa mbwa hao

  • @SaleheKijazy
    @SaleheKijazy 19 днів тому

    Yani Kama huyu anae ongea ana takiwa afungwe kwa kesi ya mauaji

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 19 днів тому +3

    Safi sana

  • @MussacharlesSongo
    @MussacharlesSongo 19 днів тому +4

    Arusha siyo tanzania aiseee

    • @aminamahamudumtumba5897
      @aminamahamudumtumba5897 19 днів тому +1

      Kweli kabix yaan hatar

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 19 днів тому +1

      Kote tabu tu.

    • @MandoliiMoshi
      @MandoliiMoshi 19 днів тому

      acheni ushamba makuma nyie unaiba cmu unaujanja gani kuiba cmu iba mamilion ya pesa kama ww n mjanja machali wa arusha wanaotamani vitu vidogo vudogo n makuma2 ndomana wanakufa kama nyie niwajanja nendeni bongo moshi Nairobi kama hamjala chuma wote makuma nyie

    • @MandoliiMoshi
      @MandoliiMoshi 19 днів тому

      nyie machali mnajikuta wajanja huku mnaiba cmu pochi asa huo n ujanja gan ka c ukuma ndomana machali wa moshi tunafanikiwa sababu tunaiba mamilion ya pesa nyiingi asee acheni wizi wa vitu vidogo vidogo mtachomwa moto wote kumbukeni arusha hakuna folena wahaga tupo doria na chuma kiunoni

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 19 днів тому

    MWANAUME KAZI KAZI

  • @delsonandrea5223
    @delsonandrea5223 19 днів тому +1

    Ttz Arusha vijana wa ovyo Sana wengi waoo

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 19 днів тому

    Sasa mnapopakia pikipiki bado inatoa moshi si mnahatarisha maisha na hiyo gari ya polisi inaweza kuungua

  • @RehemaMbogo
    @RehemaMbogo 18 днів тому

    Duh

  • @mrsferuzi7443
    @mrsferuzi7443 18 днів тому

    Mshahara wa zambi mauti

  • @user-wh2mm1eq2x
    @user-wh2mm1eq2x 19 днів тому

    Uki ua Kwa upanga na wewe utauwawa Kwa upanga

  • @delsonandrea5223
    @delsonandrea5223 19 днів тому

    Uweni wote saf sana

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 19 днів тому

      Waue wote Taifa mamlaka ya Raia haipo? . Nchi yetu imekamilika, mahakama siku ipi imefungwa au Rais hayuko ikulu. Ni kiwangu cha juu sana kukosea taifa kwa kutokufuta sheria. Ulinzi Mazuri ni wa sheria tu.

    • @mcback4384
      @mcback4384 19 днів тому +1

      ​@@GodfreyOswardhata wewe ukiiba tutakuua

  • @dullayomwinyi3359
    @dullayomwinyi3359 19 днів тому

    Dawa ndo hiyo wamezoeya wafanye kazi waache janjajanja

  • @HappyAgilityPuppy-lg8wg
    @HappyAgilityPuppy-lg8wg 19 днів тому

    wandishi wa habari mbadilike mjifunze kutofautisha mwizi, don dongo, kibaka,jambazi nisawa na skauti ,mgambo, polisi ,mwanajeshi,

    • @mcback4384
      @mcback4384 19 днів тому +1

      Wote wezi hao hakuna kujali aitwaje

  • @sergebaleke695
    @sergebaleke695 19 днів тому

    Arusha bana

  • @SwaleheMussa-l5f
    @SwaleheMussa-l5f 15 днів тому

    Jaman😂😂😂😂

  • @jasminsumari
    @jasminsumari 19 днів тому

    Kwakwel arusha awataki mchezo

  • @HamisMzava
    @HamisMzava 18 днів тому

    Duu😂😂😂

  • @user-nb6yh2bn9y
    @user-nb6yh2bn9y 19 днів тому

    Majambazi au vibaka 😏😏😏