TAHARUKI ARUSHA: ROBERT ADAIWA KUFUFUKA, AONGEA ALIPOKUWA "HATA AKIFUFUKA HATUMPI ARDHI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 чер 2024

КОМЕНТАРІ • 560

  • @victoravelin575
    @victoravelin575 День тому +13

    Kama umesikia tulimzika na nguo izo izo #like hapa

  • @latwibujuma
    @latwibujuma 2 дні тому +77

    Welcome back mwamba tuendeleze kupambana huna baya mjomba 😂😂😂

  • @christinamongi7951
    @christinamongi7951 2 дні тому +33

    Kila nikiwaza kande tumekula chepe tumepiga na hata kama kafufuka shamba hatumpi😂😂😂sina mbavu mie mwingne hakumbuki kazikwa mwaka gan ila ni kama .....😂😂😂

  • @kutailass6671
    @kutailass6671 2 дні тому +44

    Yaam Robert kayashinda maut halafu ety kesi ya shamba imshinde 😂😂😂😂 Arusha ndiko niliko kulia mie 😊

    • @FriddaUrasa
      @FriddaUrasa 2 дні тому

      Hakika upo sawa,hata kama walikosea,nikafufuka.Amina.

    • @user-ub1xk6yz6l
      @user-ub1xk6yz6l День тому

      Umeua😂😂😂😂😂

    • @ayubutv9651
      @ayubutv9651 День тому

      😂😂😂😂😂

    • @athumanfuko199
      @athumanfuko199 День тому +3

      😂akiwatishia kesho ataondoka nao wote kwenda kuzimu lazima wamwachie shamba

    • @sharifasaleh4802
      @sharifasaleh4802 День тому

      Hahaaaa hawaogopi

  • @godsonmasseri7622
    @godsonmasseri7622 День тому +3

    Welcome back brother tuendeleze mapambano 😅😅 uje utuadisie mambo ya heaven 😂 pakoje😂🙌

  • @IsmailMjesh
    @IsmailMjesh День тому +5

    Hizi ni zama za mwisho' allah atupe mwisho mwemaa 🤲

    • @Churchofecclesia
      @Churchofecclesia 35 хвилин тому

      Allah hakupi mwisho mwema, Bali YESU KRISTO ndo anaekupa mwisho mwema

  • @deborampinga8185
    @deborampinga8185 2 дні тому +29

    hv Arusha ni nchi nyingn et eeeh maana duu matukio kila siku

  • @FahadAbubakari
    @FahadAbubakari 2 дні тому +53

    Taarifa za arusha hususan za huyu muandishi ni zakiaina yake

  • @lucangwiseman
    @lucangwiseman День тому +7

    He is back Legend😂😂 kitawarambaaa😅

  • @samwelimoshi7304
    @samwelimoshi7304 День тому +12

    Huyu pastor hana tofauti na wanafunzi wa Yesu, hawakuamini kama. Ni yeye kafufuka mpaka Yesu akawaambia nishikeni viganja vyangu ndo muamini mimi ndiye

  • @osmundmtavangu
    @osmundmtavangu 2 дні тому +66

    Mchungaji na yeye hana jicho la rohoni😅😅😅😅😅 ama kweli Arusha ni nchi ingine ndani ya Tanzania.

  • @BrunoNamanga
    @BrunoNamanga 2 дні тому +16

    HAPA NILIPO NATETEMEKA WANAGOMBANA NA MAREHEMU ALIERUDI.....
    MAUZAUZA JAMANI😢😢😢😢😢

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 2 дні тому +2

      Mazinga ubwa ya uchawi hayo

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 2 дні тому +3

      Ukifa kifo cha ukwel chamu mungu huwez fufuka mpaka siku ya mwishoo

    • @mariasixmund7964
      @mariasixmund7964 День тому +1

      Na huyo marehemu akicheza atauliwa tena 🙌

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 13 годин тому

      ​@@mariasixmund7964😂😂😂😂muhimu akaze wakimuua arud tena mpk wachoke wnyw

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 2 дні тому +25

    Wachawi ni mtihani Mungu kawaimbua

    • @adamapollo9859
      @adamapollo9859 День тому

      Hajafa bana labda walizika mtu si wakwao huyo alikuwa anajikuliya sembe tu bado nani kamtowa kabrin kama si unafiki😂😂😂

  • @user-pd5hl9di2q
    @user-pd5hl9di2q 2 дні тому +24

    Karudi master sasa sterling hauwawi, naona wanapaniki Hao kazi wanayo

  • @user-ly9us4db3m
    @user-ly9us4db3m 2 дні тому +10

    Arusha shikamoo dur noma sana huyu mzee anavyo babaika kuongea mbaka nimecheka et tulimkatazs ndio kuuza shamba jaman

  • @user-wn8ul7gp2b
    @user-wn8ul7gp2b 2 дні тому +26

    arusha my country❤

  • @AmmyJ-blue
    @AmmyJ-blue День тому +1

    Mwamba hafi hadi apate chake. Welcome back

  • @jacklinesimon7544
    @jacklinesimon7544 День тому +4

    Pastor ulifanya Kazi yako Kwa uweledi mkubwa Sana...hata kama uliona hamna kitu ww haikuhusu coz ungeleta taharuki lakin haipaswi hivyo..congats

    • @StellaMwasha
      @StellaMwasha День тому

      Kwani pasta aliona kuwa hakufa au

  • @vi3ayo1622
    @vi3ayo1622 2 дні тому +4

    Nasema hivi kila mtu afe na chake😂😂😂 hamna kufa kizembe uache mali kwa mtu hiyo hamnagaa manzeee😅😅😅

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION День тому +5

    Uchawi sio lazima sumbawanga au kigoma
    Huyo mzee aliehojiwa mwanzo ,,akitulia mmuhoji vizuri

    • @femidayahaya4882
      @femidayahaya4882 День тому +1

      Nakuunga mko..Mzee hayupo sawa

    • @MasumbukoKilunga-mf7sg
      @MasumbukoKilunga-mf7sg День тому +1

      Umenena vyema yaweza kuwa huyo mzee ni chanzo cha Mambo....

    • @haikawilson216
      @haikawilson216 День тому +1

      Yaan akili yangu ishamuona sio mtu mzuri kabisa

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 13 годин тому

      😂😂😂😂wamuhoji kipindi hikihiki alichopanik ndio majibu yatakua sahihi akitulia atadanganya huyo mzee...Robertinyo umerud baba tupo pamoja mpk upate shamba lako 😅😅

  • @DannyWiston-xo4hx
    @DannyWiston-xo4hx 2 дні тому +7

    Arusha,vijana mpaka wazee bangi tupu

  • @LotiMollel-nw1it
    @LotiMollel-nw1it 2 дні тому +37

    Karibu Tena uraiyani mwamba hakuna kufa 😂😂

  • @deodathsilayo3639
    @deodathsilayo3639 2 дні тому +16

    Hili ni picha la kihindi steling anakupiga hata kwenye ndoto😅😅😅

  • @marthaaugustinokimilike4228
    @marthaaugustinokimilike4228 2 дні тому +10

    Hee huyu si anatembeaga na gari ya taka huyu alikufa lini😮

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 День тому +4

    Ningekuwa Robert ningewapiga maigizo ya kutisha nikaokota dunia nzima kwa kwenda mbele. Mpaka hapo angejitangaza yeye nabii😂😂😂😂

  • @winniedotto1459
    @winniedotto1459 День тому +2

    Makande tulikula 😂😂😂dah Arusha 🙌

  • @user-rl3yh6ls7b
    @user-rl3yh6ls7b 2 дні тому +16

    Kuna mubaba ameongea point kwamba kwenye boma wamemzika mtu ambae siyo, me nasubiri part two ya hiii stori mana lazima kaburi lifukuliwe .....

    • @heavengift779
      @heavengift779 2 дні тому +1

      Ni jambo la kufikirisha, lakini masela wana uthibitisho mpaka wa mavazi ni yale yale na pastor anathibitisha, ndugu walioshiriki pia na hata kabla ya kufariki alipataja nyumban kwao.. so wahuni , ndugu , GPS 😂 na pastor watakuwa wanashuhudia uongo mmnh hapana, wazo la kujiridhisha ni muhimu pia… kuna mahali tutakuwa tumepigwa.. 😂,, wacha ije episode 2 tuone 🙌 # New Lazarus in Town 😂😂

    • @malkiarosemuhando3310
      @malkiarosemuhando3310 День тому

      Yeye kasema hakuwepo kwenye msiba Sasa angejuaje kama ndiye au siye!?

    • @TumsifuSilaa
      @TumsifuSilaa День тому

      Kwan huyo robert ni nan mbona ni maajabu ya dunia

  • @moudyhamisi2641
    @moudyhamisi2641 2 дні тому +3

    Tulimzika mtu na makande tulikulaaah yeah 🤲🤲🤲

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 2 дні тому +26

    Walimfanyia uchawi kusudi wamdhurumu shamba.

    • @Maxpaul-oi8pw
      @Maxpaul-oi8pw День тому +1

      Huenda ndo ivo na ndo maaana yule mzee naona kama kachukia sana ..sasa kama dili limebuma ishakula kwake

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 2 дні тому +14

    Kwa matukio ya manji na msigwa ukiongezea na laufufuko tutasahau kuhoji jamaa alieokotwa katavi

  • @bushbabytz
    @bushbabytz 2 дні тому +18

    ILA HII SAYANSI YA KIAFRIKA SIJUI WANAFANYA FANYAJE HAPO😂

  • @ptr255
    @ptr255 2 дні тому +10

    Dunia imeishaa 😢😢

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 2 дні тому +6

    HUYU MZEE NDIO ALIMPOTEZA KISHILIKINA KWA MAELEZO YAKE UYU MZEE ANAYOSEMA SHAMBA ATUMPI MNAWASIWASI NAE SANA😂😂😂

  • @user-tl2qs6ut1g
    @user-tl2qs6ut1g День тому +4

    Huyo baba mdogo anajua anachofanya

  • @user-vy2bc6xg3i
    @user-vy2bc6xg3i 2 дні тому +5

    Mzee mbona anaogopa sana 😂😂😂 anahojiwa huku atetemeka

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 День тому +2

    Yaani kafara msukule Mungu akiamua anamtoa mtu tu bado mdogo wangu amekufa kifo cha kutatanisha tu

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 13 годин тому

      Nae atarud tu ameanza robby kwanza kisha na yy atakuja km hajafa kwa amri ya mungu

  • @marcelinabwakila7049
    @marcelinabwakila7049 19 годин тому

    Huyo mzee anaesema shamba hatumpi,awe mshtakiwa number moja

  • @YusuphFredMelele
    @YusuphFredMelele 2 дні тому +10

    Mzee Kali rudia shamba lake😊😊

  • @user-bl1kb5id6c
    @user-bl1kb5id6c День тому +1

    Hi familia bhn inamambo mengi SEMA mpokeeni jombaa bado anataka kula ugali😊😊

  • @GisellaLukas
    @GisellaLukas День тому +2

    𝕟𝕚 𝕟𝕪𝕒𝕜𝕒𝕥𝕚 𝕫𝕒 𝕞𝕨𝕚𝕤𝕙𝕠

  • @ifmknowledgepower7333
    @ifmknowledgepower7333 2 дні тому +7

    Sasa Ninaanza kuamin,i kuna mtu ameishawai kuniambia 70,% ya vifo vingi Dunia sio mapenzi ya Mungu ni Hila za shetani, na 20% ni ujinga na uzembe wa watu wenyewe na 10% ndio mapenzi ya Mungu..
    Bila kuwa na Mungu wa kweli ni mwendo wa kupigwa viini macho tu.
    Sterling hafi, mwamba karudi wabaya wake waombe ardhi ipasuke wamezwe, vinginevyo kitawahusu.

    • @user-do6pw7fz8t
      @user-do6pw7fz8t День тому +1

      Ndiyo maana yake!! Vingi siyo vifo vya MUNGU hata kidogoooo! Ni uchawiiiiiiii!!!

  • @omarmwarizo9678
    @omarmwarizo9678 2 дні тому +9

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂nacheko lakino naogopo...eti tutakaa nae lkn shamba hatumpi

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 День тому +1

    Subhana Allah

  • @RaulentJulius-bg4ov
    @RaulentJulius-bg4ov День тому

    Daaaaaah makubwa sanaa

  • @frankazalia5985
    @frankazalia5985 День тому +1

    Duh arushaaa bahna

  • @amanimakoi7651
    @amanimakoi7651 День тому

    Hii pia inaweza kua ushahidi wa time travel. Huyu mtu katoka from the past to the future lakin alipofika future akajikuta the future him ameshafariki.

  • @EwaldAntony
    @EwaldAntony 2 дні тому +2

    Aleluyaaaaaaaaaa

  • @jacobsafari700
    @jacobsafari700 2 дні тому +3

    Kumbukumbu imenitoka next time 😅

  • @irenemabula795
    @irenemabula795 День тому

    Yan dah Arusha mko vzr mshindwe TU na kutengeneza pepp yenu aseee 😂😂😂😂😂

  • @Evancepiusbenald
    @Evancepiusbenald 2 дні тому +2

    Hi nayo ni noma sana jamani

  • @HusseinMwanya
    @HusseinMwanya День тому +1

    Yeah kweli hii ni live bila chenga naona kumeanza kuchangamka

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 2 дні тому

    Mwee 🙌🙌

  • @abuukamanda.s.mkenga6687
    @abuukamanda.s.mkenga6687 День тому

    Wachaw shikamoon🙌. Ila hawa manabii wa mchongo wangmpt huyu Mwamba wangpiga ela

  • @fanty2651
    @fanty2651 День тому +1

    Mzee wa ukoo anajua😀

  • @prince.eric_msemwa9732
    @prince.eric_msemwa9732 День тому

    Original kabisa 😁

  • @user-wg1nz5ms2n
    @user-wg1nz5ms2n День тому

    Original kabisa

  • @MsAisha-w4o
    @MsAisha-w4o День тому

    Uchawi upo ..mngu atulinde waja wake 😢🙏

  • @user-do6pw7fz8t
    @user-do6pw7fz8t День тому

    Waambie hao akina Milad Ayo wampigie Askofu Gwajima kama mnataka kuthibitisha hiki kitu mtona! Tena wapige simu mkiwa mnasikia mtashangaaaa!!!!

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa2671 2 дні тому +1

    Makonda ana kazi kubwa, Arusha haiiishi vituko....

  • @mohamedgull5868
    @mohamedgull5868 16 годин тому

    NI KAMA KUNA USHIRIKINA “mtangazji “
    SIO KAMA NI USHIRIKINA HII NI ORIGINAL”mzee” 😅😅😂😂😂

  • @sadiqadam7971
    @sadiqadam7971 День тому

    Arusha msitufanyie hivyo, hebu tuacheni kidogo 😂

  • @Dismasmmassy
    @Dismasmmassy 2 дні тому +1

    Arusha iko tz kweli

  • @NdekejaKamuli-sh5pe
    @NdekejaKamuli-sh5pe День тому

    Yes wafukue live tuone kilicho ndani ya jeneza.

  • @user-wy5wv3tf8y
    @user-wy5wv3tf8y 2 дні тому

    Maajabu yaduniya

  • @SinemaZaChina
    @SinemaZaChina 18 годин тому

    chuga ya wenyewe babaangu ila nini wanagu wa chuga karibu muangalie masinema huku wazee

  • @deborampinga8185
    @deborampinga8185 2 дні тому +2

    sasa jmn akizaa mtt lin ila Arusha jmn😂😂😂😂😂

  • @user-gc1ez1yv4k
    @user-gc1ez1yv4k 2 дні тому +1

    Iko hivi wapendwa:Inapotokea ndugu katika famili amekufa, ikawa mmemuhifadhi mochwari, na pengine amekaa siku zaidi ya siku 2 na kuendelea mwili na viungo vya marehemu yaani ,rangi ya ngozi , sura, na hata urefu nao kidogo huongezeeka.Ndiyo maana siku ya kukabidhiwa mwili wenu kwa ajili ya kuuzika,huwa ni vizuri kuwa makini na huwa tunashauriwa ndugu wa karibu sana wawepo,yaani kunzia mtoto,mama,baba au mke,mme.tupunguze ule u kimbele mbele.Kuweni makini.Lkn ndugu zangu wa Arusha punguzeni siku za kunywa pombe na mikutano ya kisiasa.

  • @FredyMolley-zq3em
    @FredyMolley-zq3em 19 годин тому +1

    Kweli kaburi iangaliwe tafazali

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 2 дні тому +2

    Af huyu jamaa n kama ukoo ulikuw umemchoka mana wanavyoviongea vinashangaza!

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 2 дні тому +1

    Mmezika mtu ambaye sio, atafutwe familia iliyopoteza ndugu yao waje watambue mwili

  • @user-wd2bc7bf5x
    @user-wd2bc7bf5x 2 дні тому +6

    😂😂haya uliechukua shamba lake mwenyew amerudi kama ulimuua uzulum utajua hujui

    • @osmundmtavangu
      @osmundmtavangu 2 дні тому +1

      Mwamba huyu hapa,picha linaanza upya lazima apewe shamba lake😄😄😄😄😄

    • @joycesanga4378
      @joycesanga4378 День тому

      Kuna haja ya kuaga marehemu kwa kumwangalia kwenye jeneza waache tabia ya kuweka picha wanapoaga mwili

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 2 дні тому +2

    Me ndio maana napenda kuangalia habari za Tanzania 🇹🇿 lol 😄 😆 kuna maajabu kila sekta

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija День тому

    Arusha🙌🙌🙌

  • @user-do6pw7fz8t
    @user-do6pw7fz8t День тому

    Kwa hiyo kilichotokea hapo baada ya kuzika akachukuliwa kichawi ili aende kufanya kazi za kichawi! Lakini kwa Neema za MUNGU amemgomea yule mchawi ndio maana mnamuona! MUNGU ametaka muwajue adui zenu kwenye familia! Muhoji kwa upole atawaambia na waliyomchukuwa msukule!

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 2 дні тому +1

    Mch nae naona kama king'amz kinayumba!! Na yeye haelew k2 hapoo😂😂😂

  • @ayubujumbe9954
    @ayubujumbe9954 2 дні тому +3

    KUMEKUCHA KUMEKUCHA.

  • @gloriaaugustino8031
    @gloriaaugustino8031 2 дні тому +4

    shamba LA babake

  • @CatherineMbatta
    @CatherineMbatta День тому

    Hapo ndio mtamuelewa nabii Dominic kiboko ya wachawi😢

  • @DevineConnection-zx3mz
    @DevineConnection-zx3mz 2 дні тому +2

    Mwamba kaludi 🥂🦅🤔

  • @innocentvicent5513
    @innocentvicent5513 День тому +1

    Mwamba huyu hapaa sas😂😂

  • @kingrichboe
    @kingrichboe 2 дні тому +4

    Hii ndio chuga

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 День тому

    Duh Arusha haishi matukio!😮

  • @Chuni_technology
    @Chuni_technology 2 дні тому +2

    Ila ndugu jamani mpaka mumuue mwenzenu

  • @user-gc1ez1yv4k
    @user-gc1ez1yv4k 2 дні тому

    Arusha,kaeni mjitafakari, kuna mahali mmemkose Mungu.Someni nyalama za nyakati.Mkiona mmeletewa hata mkuu wa mkoa ili aje awanyooshe,mjue mnalo.Sisi tunamkumbuka sana magufuli,maana kabla ya kutwaliwa zake mbinguni,alituondolea huyo mtu hapa Dar,tunaisha kama peponi.

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly День тому

    Sasa amefufukaje??mmmmh!!!mi nahitaji kujua zaidi
    Ni kweli kufukuliwe tu tujue😮😮😮😮sababu weee

  • @barackmoses7003
    @barackmoses7003 День тому

    Mmmmh Arusha yangu

  • @veronicafransis5705
    @veronicafransis5705 2 дні тому +2

    Jmn hv vitu vipo na vinafanyika kbs

  • @rennydsollo7791
    @rennydsollo7791 2 дні тому +9

    Wanakwambia hata kama kafufuka shamba hatumpi.... chuga mna niniii😂🙌🙌
    Mwamba karibu tuendelee kukatwa tozo, hakuna kutoroka tena sasaa😁😁

  • @FriddaUrasa
    @FriddaUrasa 2 дні тому

    Hata kama mlikosea kule mwochwari,huyo kafufuka,mliyemzika ndg zake lazima watakua wanamtafuta Amina

  • @irenemabula795
    @irenemabula795 День тому

    Marehem kaotesh mahindi duh kwel wat lzm wapige kande bhana 😂😂😂😅

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 2 дні тому +2

    Huyo Mwamba aulizwe kama shetani yupo au wachungaji wanatupanga daadek 😅😊

  • @michaelmtanzania219
    @michaelmtanzania219 День тому

    Yaan natamani ningekuwa mimi

  • @FatmaAbdulhalim
    @FatmaAbdulhalim День тому

    Sio kweli

  • @abiudkarume938
    @abiudkarume938 2 дні тому +2

    Ata Lazaro alifufuka kwaiyo sio ajabu

  • @rachelmsekena603
    @rachelmsekena603 День тому

    Yeye mwenyewe anasema alikua wapi baada ya kufa

  • @rosejeremiah-ib3qq
    @rosejeremiah-ib3qq День тому

    😂hahahaha hapo walimpeperusha Robert kiuchawi kisa ilo shamba ila mungu kawaumbua mwenyewe amerudi alikuwa ajafa watu walipigwa kiini macho wkt wa kuaga, waliaga mgomba na si Robert.

  • @maryamsaleh4787
    @maryamsaleh4787 2 дні тому

    😂😂😂😂😂😂😂 ivi mbona kizungu zungu 😂😂😂 arusha shkamoo

  • @Max9_captain
    @Max9_captain День тому

    Mamae hii ndo arusha yangu😂😂😂

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 День тому

    😂😂😂eti ni kweli alizikwa kwan marehemu anajua km alizikwa

  • @isaacmunisi5559
    @isaacmunisi5559 День тому

    Hizo nilaaana za aridhi zinawarudia Arusha watu wamekua waroho wa aridhi sn sn Sasa hata ukiangalia hapo huyo dingii anayoweru kinoma tafakari alivyoweru.